Jinsi Ya Kuzungumza Na Wanawake Wa Marekani | How To Approach American Girls The Right Way...Ep 02

  Рет қаралды 182,825

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Күн бұрын

Hii video ilifanyika mitaa ya The Grove na Rodeo Drive iliyopo Beverly Hills, California USA.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
My previous video;
• Nani Anakupa Upendo? |...
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
TikTok: www.tiktok.com...
My Other Channel: / @jackchalz
#jackwausa #losangeles #mtaani

Пікірлер: 432
@hamisjuma1654
@hamisjuma1654 9 ай бұрын
Mambo vp jack nipo pandezako zasinza mitaa yako ulipo toka jina langu naitwa hamis napenda kazi zako napenda namimi nifke uko jack
@lidya6342
@lidya6342 Жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu Jack mungu akutunze nimekupenda sana unavyo jiamini nami dada yako natoka.mwanza Tanzania
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 29 күн бұрын
Kama viongozi wetu wanakufuatilia basi inabidi wakupe ubalozi wa kuvitangaza vivutio vyetu unajitahidi sana👏👏👏👏
@davidntiruka4292
@davidntiruka4292 Жыл бұрын
Pamoja na umahiri wako katika ku-engage na watu uko very bold na confidence yako iko juu sana. Nimefurahia zaidi kuona unavyoitangaza Tanzania na vivutio vyake vya kitalii. Hata kama unafanya kwa passion na mapenzi binafsi naona ni wakati sahihi kwa serikali yetu kufanya kazi nawe katika kuutangaza utalii huko ughaibuni. Big up Jack
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante sana kwa hilo!!😊🙏🏾
@PaschalNkuba-cv9bd
@PaschalNkuba-cv9bd 8 ай бұрын
We jack chukua namba yangu unisev kwenye group lako maana nimeandaa safari ya kuja huko Lakin ninapesa yangu sitegemei kulia lia cha kufanya nataka Tu nikija unitemveze malekani siku Moja afu nitakulipa
@PaschalNkuba-cv9bd
@PaschalNkuba-cv9bd 8 ай бұрын
Ipo wasap
@kamuogo
@kamuogo 6 ай бұрын
Kaka Fanya michongo tuje kaka si wajua Tena
@FredAd-j1u
@FredAd-j1u 3 ай бұрын
Sema mwana confidence yako ipo juu sana mzee hongera keep it up jack
@ramadhanitokwete8069
@ramadhanitokwete8069 8 ай бұрын
Umetisha sana big up
@johngerald4677
@johngerald4677 Жыл бұрын
Wanawake wa ulaya tofaut na tz hawana jeur kama wetu
@InformationMarketer007
@InformationMarketer007 2 ай бұрын
Hapo sio ulaya ni marekani
@dannyosolo2752
@dannyosolo2752 Жыл бұрын
Great vlogging Bro ...Umetuchanuaa sana...hongera from Kenya 🇰🇪
@samuelbuyu2826
@samuelbuyu2826 Жыл бұрын
I like the way you do your stuffs,so skillful and agressive.haubahatishi umebobea
@user-EzbonMureithi
@user-EzbonMureithi Жыл бұрын
Am learning how to interact with ladies through this man
@shawn-the-first.1643
@shawn-the-first.1643 Жыл бұрын
Am beginning to love this channel
@mikepima
@mikepima Жыл бұрын
After watching alots of KZbin from deferent country leo nimepata mwangu mwenyewe Safi sana keep it up my boy😂
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Pamoja sana!
@shukranitv2971
@shukranitv2971 Жыл бұрын
Nikpata mzungu nakuita Jack unajiamini sna mzeee syo Domo zege
@unique6011
@unique6011 Жыл бұрын
Subscribed after hearing the way you started with God, shows how you really respect and love God
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
🙏🏾
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz 11 ай бұрын
@@jackwausa I love america soldier help brother so happy for this clip 🙏🙏🙏🙏🙏🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷💪💪💪💪💪💪💪💪👊👊👊
@kamuogo
@kamuogo 6 ай бұрын
Safi kaka
@johnstonemuhindi6574
@johnstonemuhindi6574 Жыл бұрын
You doing good content Men.... when I realized you're from Africa and TZ I had to subscribe because you maa brother am kenian and keep doing that bro selling Africa to the world. Tunajivunia kuwa Wa..Afrika.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Pamoja sana!
@robertservas1953
@robertservas1953 Жыл бұрын
African ladies are just African doesn't matter where on globe they're wake na this laughter
@godfreyerasto1737
@godfreyerasto1737 Жыл бұрын
Jack umetisha...Confidence is 10/10 great content
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks!!
@BrunoEmmanuel-mt6ek
@BrunoEmmanuel-mt6ek Жыл бұрын
Brother you are so confident and creative Napenda kipindi chako
@joelmdoutch2668
@joelmdoutch2668 9 ай бұрын
Nakubali home boy ujapoa tupe madini
@saidrambo4147
@saidrambo4147 Жыл бұрын
Jackson nakuaminia😊
@markomapessa9536
@markomapessa9536 Жыл бұрын
Nkukubali jembe langu Tanzania one love
@fadhilhamdu7063
@fadhilhamdu7063 9 ай бұрын
Wa pili kaelewa swaga asaaaaaaa
@godmbise-gj9ug
@godmbise-gj9ug 2 ай бұрын
You are representing Tanzania so well, keep it on and up
@khamiswarambo9167
@khamiswarambo9167 Жыл бұрын
Jack wa USA kaka umetisha itabidi unisaidie kaka
@jobsterwatlujeli3506
@jobsterwatlujeli3506 Жыл бұрын
Nipe connection ya demu wa uko
@santanbrown
@santanbrown Жыл бұрын
Buh i love yah content its nzuri
@InformationMarketer007
@InformationMarketer007 2 ай бұрын
Thats good idea
@HamimAbedi-ff5sk
@HamimAbedi-ff5sk Жыл бұрын
Mkal wamambo JACK you make our 🇹🇿 on air
@MasomeAbell-cr1um
@MasomeAbell-cr1um Жыл бұрын
Kazi nzuri sana hongera sana
@BastaCommunications
@BastaCommunications Жыл бұрын
umebobea ndugu. Mahojiano swafi and professional
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks!!
@James-gt3ee
@James-gt3ee Жыл бұрын
VP Bro,a new subscriber from jirani🇰🇪..kazi safi💪🏿👍🏿
@linusbundi1742
@linusbundi1742 Жыл бұрын
Your introduction made me subscribe to your channel. Much respect 🙏🏻 bro, keep going 💪
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Welcome aboard!
@edwardmanyama4954
@edwardmanyama4954 Жыл бұрын
Uko vizuri bwana mdogo nimeupenda Sana juhudi zako njoo nikufundishe au unichukue nikakuelekeze mbinu😂
@felixmusic4587
@felixmusic4587 Жыл бұрын
Uko sawa bro
@Mr.Nyingi
@Mr.Nyingi Жыл бұрын
Siachi kuangalia hii Channel yako mzee 😂😂😂😂 4real i enjoyed 😅😅
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
I'm glad to hear that!
@ramadhankombe2643
@ramadhankombe2643 Жыл бұрын
Nakufuatilia xn,naenjoy xn,hakika unajiamin xn.unatakiwa uwe jasir hasa.
@philbertzacharia3087
@philbertzacharia3087 Жыл бұрын
Jack us i love the way you are doing of course you earn into your pocket through by this what you do
@jacobmathew475
@jacobmathew475 Жыл бұрын
Mimi binafsi nafuhishwa sana unavyojiamini na unavyowauliza maswali..hongera sana naomba unipe kazi ya kukurekodi😅
@carsoncarter53
@carsoncarter53 Жыл бұрын
Wow so amazing you do perfect stuff by the way i watch from Norway
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks for watching!
@Nickojunior
@Nickojunior Жыл бұрын
9:02 Wazungu hautongozi 😅😅
@princesuleiman.
@princesuleiman. Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa maisha marefu yenye afya na upendo
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina na Asante!
@GlennMsemwa
@GlennMsemwa Жыл бұрын
Mjomba confidence inasoma 100%
@silvestermanase6101
@silvestermanase6101 Жыл бұрын
Mshikaji anajiamini balaa
@moneymakerrecords92
@moneymakerrecords92 8 ай бұрын
Big up sana bro... Mungu Akuinue zaidi una kitu kikubwa sana kibiashara kama youtuber 🎉
@jackwausa
@jackwausa 8 ай бұрын
Amina na Asante'
@dismasdastan5493
@dismasdastan5493 Жыл бұрын
Camera man yuko vibaya
@yuzzoclassic4609
@yuzzoclassic4609 Жыл бұрын
Jack umetisha jack
@Wordchefs
@Wordchefs Жыл бұрын
Rangi za upinde km zote dah kutembea napo ni kusoma,Kaza🏆na yako mpk kieleweke
@islamabass2648
@islamabass2648 Жыл бұрын
Nimekubali upo na confidence Sana na lugha imenyooka bob
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Shukrani!
@rusakanyohenry6932
@rusakanyohenry6932 Жыл бұрын
​@@jackwausa daaah bro ung'eng'e umenyoka natamani Sana kujua lugha lkn shida sijui ni nini licha ya kuwa nimepiga kidogo shule😂
@clintonjeah2860
@clintonjeah2860 Жыл бұрын
Jack ni mnyama sana
@jackrushtaa-ri1oy
@jackrushtaa-ri1oy Жыл бұрын
Ni Jack🇰🇪hapa..Haha 😂 Jack,,😅😅napenda kazi yako,,nakuja LA hivi karibuni
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Karibu sana!
@alexanderchacha8585
@alexanderchacha8585 Жыл бұрын
Nakupata kutoka Ukonga Dar essalaam miamia kaka❤❤
@marielulu2439
@marielulu2439 Жыл бұрын
Emungu wangu nitajua kizungu mimi jamani 😢😢❤❤
@InformationMarketer007
@InformationMarketer007 2 ай бұрын
Ukiweka juhudi ya kujifunza na kupractice utajua tu
@randomtube3002
@randomtube3002 Ай бұрын
Mpaka hapo umeshajua kitendo cha kutaka kujua it is a good starting point
@godlema6104
@godlema6104 5 ай бұрын
Kitu ambacho nimejionea tofauti wasichana wa nje wanajiamini sana alafu wanajielewa angekuwa mbongo apo ukimrekodi anakuambia futa unataka ukaniloge
@fernandinyopogbafmj
@fernandinyopogbafmj Жыл бұрын
Aaahhhh😂😂wademu wauko eehhh naona kama niwagumu sana kweli
@SimonMasalakulangwa
@SimonMasalakulangwa Жыл бұрын
Hongera jack kutuwskilisha.
@brunokimaro1053
@brunokimaro1053 Жыл бұрын
Uko sawa
@kellyjones_mk
@kellyjones_mk Жыл бұрын
CONFIDENCE BROTHER. Watching from Kenya
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thank you for watching!
@exsaverykomba7936
@exsaverykomba7936 Жыл бұрын
Jack umeteseka sana kutongoza mwambie twende tuka ,.........ok
@nandu7039
@nandu7039 Жыл бұрын
KING NANDU IS HERE...big up bro, pamoja sana🌏
@jumamwandai3941
@jumamwandai3941 Жыл бұрын
😅😅 Eh banaaaa eh 🔥🔥
@felixmusic4587
@felixmusic4587 Жыл бұрын
Mase Am Edwin from Kenya umenibamba sanaa unitafutie Moja.
@mwangosikennedy9643
@mwangosikennedy9643 Жыл бұрын
Safi sana Jack kweli tembea uone
@explorewithbertin
@explorewithbertin Жыл бұрын
Nice Vlog aisee
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante!
@joelnimbona1199
@joelnimbona1199 Жыл бұрын
Mjomba nakupata 100% kutoka Burundi ❤❤❤
@josephmatinoKE
@josephmatinoKE Жыл бұрын
great
@madevujnr3383
@madevujnr3383 Жыл бұрын
Great work
@ahmedhunter1345
@ahmedhunter1345 Жыл бұрын
Yaaani ndugu natamny ningekuwa nakushkia camera, content on point
@mbarakbinzoo
@mbarakbinzoo Жыл бұрын
Hayo ndio majaaliwa yetu au kazi tunayoiweza n ngoma pia
@ltlmedia8480
@ltlmedia8480 Жыл бұрын
Yaani nimecheka kinoma aisee, eti "unataka kutest zari kama wewe fundi? Ngoja tuone ufundi wako unaishia wapi??" Umetisha sana mwamba
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 Жыл бұрын
Jack you are doing nice thing
@kitwanajohn8237
@kitwanajohn8237 Жыл бұрын
Hongera jack unajua jinsi ya kuongea
@monicageorge2181
@monicageorge2181 Жыл бұрын
Nakubali mwanangu
@grantmwakalambile2808
@grantmwakalambile2808 Жыл бұрын
We jack mnyama sana nmekubal upo vzr
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
✌🏾
@adventureguidertanzania2331
@adventureguidertanzania2331 Жыл бұрын
I like it
@RoadmanEA
@RoadmanEA Жыл бұрын
Most brave tanzanian to ever exist
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks!!🙏🏾
@patrickndichu3905
@patrickndichu3905 Жыл бұрын
Huyu ako sawa kuliko ibra.
@dictarchelsea
@dictarchelsea Жыл бұрын
@@patrickndichu3905 Tanzanians vibes
@patrickndichu3905
@patrickndichu3905 Жыл бұрын
@@dictarchelsea kabisa👊👊
@agaboy
@agaboy Жыл бұрын
Nakubali Sana 🔥
@omaryramadhani1056
@omaryramadhani1056 Жыл бұрын
Nakuelewa brooo
@shado2545
@shado2545 Жыл бұрын
Daaah wazungu wana discipline saana ❤❤
@iam_Hosea
@iam_Hosea Жыл бұрын
Kwema
@Ismaelkhaani
@Ismaelkhaani Жыл бұрын
Nice vedio....keep going bro from horn of Africa 🇸🇴
@EdwinyMsungu-ii6hw
@EdwinyMsungu-ii6hw Жыл бұрын
Unajua bro nmefurai sana
@ArnoldMbungo
@ArnoldMbungo Жыл бұрын
Ebwana ehh Jacky umetisha sana tunainjoy video sana much love from dar es salaam
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Nimefurahi kusikia hivyo!
@Adamz.kartel
@Adamz.kartel Жыл бұрын
Afu sio kesi💯✔️
@icyhum9994
@icyhum9994 Жыл бұрын
jack unadondosha injili kimataifa , keep grinding my booiii...
@MustaphaMahindas
@MustaphaMahindas Жыл бұрын
😂😂😂
@raymondkisinga4374
@raymondkisinga4374 Жыл бұрын
Nakubali saana . kutoka Tanzania
@hassanissa4145
@hassanissa4145 Жыл бұрын
Baba iyo kazi nikwakua umejipa mwenyewe tu lkn sio kazi rahisi
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Kweli kabisa. Sio kazi rahisi!
@AllianoBahati-qj2tn
@AllianoBahati-qj2tn Жыл бұрын
Bro nakubali, wewe nihatari , uko mkali kabisa, wewe uko kibuga ndani tutafutiye hawo wademu
@allygoodboytzsdoneintanzan3970
@allygoodboytzsdoneintanzan3970 Жыл бұрын
Mwanangu nakukuli sana
@IdrissaIssa-w8u
@IdrissaIssa-w8u Жыл бұрын
Nimekubali Kazi Mzee jack✌🏻
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Жыл бұрын
Kaka upo vizuri sana video zako zinaeleweka ila tungeomba uwe unaweka subtitles maana kuna baadhi hatuskii ukiwa kwenye noisy place sauti zao zinatoka mbali.
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Жыл бұрын
Subtitle ipo kwenye sim yako hapo hapo ukigusa video unayotazama kuna kisehem kimeandikwa cc kiguse hicho utaona inakuja sawa kijana
@boniphacesumbuka418
@boniphacesumbuka418 Жыл бұрын
da. shukran
@mabalarobert1767
@mabalarobert1767 Жыл бұрын
Nakkbali Jack kaza moyo utafanikiwa
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina!!
@tobesimatiku8459
@tobesimatiku8459 Жыл бұрын
Tutafutane uko vizuri Sana jamaa yangu
@officialkalengotalent2014
@officialkalengotalent2014 Жыл бұрын
Kwa kazi hii kaka upewe ubalozi 💪❤
@MusaMlanzy
@MusaMlanzy Жыл бұрын
Jaki ao waliokataa wangekukubalia fleshi ila wameogopa camera ila ungekua private wangekuelewa
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Nitajaribu na hidden camera tuone reaction yao!
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Asante Jack
@carlmax2221
@carlmax2221 Жыл бұрын
Nice content tukutane siku Moja mashallah
@orlandoclyment8041
@orlandoclyment8041 Жыл бұрын
Noma xanaa!!!!!
@rugemintwazaumurundi6388
@rugemintwazaumurundi6388 Жыл бұрын
Good 👍
@MukandayisengaAmina-sf4we
@MukandayisengaAmina-sf4we Жыл бұрын
Bwana we unanifuraishaga tu sana❤
@munyemanayusuf7626
@munyemanayusuf7626 Жыл бұрын
Wow
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 Жыл бұрын
Yani kiukweli selikari yatanzania ukuangalie kwa jicho la pili Mana unatangaza Sana kuhusu vivutio vya Tanzania nimeskia kuhusu national park ebwana safi Sana jack
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Shukrani sana. Tupo pamoja!
@elchaffu8139
@elchaffu8139 Жыл бұрын
Jack wewe noma sana all the way from zanzibar Island*🏁
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Pamoja sana!
@ibrahimsaidi5068
@ibrahimsaidi5068 Жыл бұрын
Mazingira safi uchafu hakuna mji safi sio kama kaliakooo
@iddimussaomary-ux6eo
@iddimussaomary-ux6eo Жыл бұрын
Is so amaizing bigup
How to Become Elsa! Frozen Extreme Makeover!
32:03
Troom Troom Trick
Рет қаралды 10 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
JAMAA ANACHEKESHA SANAA
7:24
WiMediaTZ
Рет қаралды 101 М.
MAISHA YALIKUA MAGUMU NILIPOFIKA USA | NASOMEA UIGIZAJI | CHANGAMOTO KUBWA NI KUKATALIWA
57:20
Safari yangu kuja USA na kuishi miaka 15 (Njia niliyotumia)
15:34
5 MAGICIANS that SHOCKED the judges! | AGT 2023
33:52
America's Got Talent
Рет қаралды 7 МЛН