TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID. #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi
Пікірлер: 21
@R10_Rajab3 ай бұрын
Serikali iajiri Security gurd wakuwepo kila siku ,Maintenance wakuwepo kila siku ,wafanya usafi wakuwepo kila siku 6am to 6pm ila Security masaa24 hapo kidogo mtafanya kitu cha maana
@AtwifMabrouk4 ай бұрын
MASHALLAH Tumesha jengewa nasi tujitahidi KUYATUNZA Pia Nafasi zipatikane kwa Bei Rafiki kwa Wafanya BIASHARA
@moodyman75882 ай бұрын
Asalama aleykum warhamatu wabarakatu. Km ss tunsomba Ulizia kuhusu kuwekeza maana ndo wanarudisha nyuma
@NashatAhmed-z2t4 ай бұрын
Mungu ayanusuru haya masoko isifike baada ya mwaka 1 tu yakawa machafu. Maana lile la samaki kule Malindi washaanza kulichafua.
@MrKhatibu3 ай бұрын
Ndani ya soko ziwepo huduma za kifedha kama Atm au bank, dispensary kwa huduma ya kwanza na Ulinzi wa kisiasa. Pia huduma za choo za kulipia ili kudumisha huduma za kijamii kwa wote.
@MathewNathan-yb2bz4 ай бұрын
Hayo ndio maendeleo tunayoyataka.Hongera serikali.
@Onlyforfun1992tube4 ай бұрын
Kwan we Mathew mzanzbar mkaazi au mzanzbar asili
@Onlyforfun1992tube4 ай бұрын
Skuiz kuna wazanzibari wakaazi Mzee jitaje tukujue haraka sana
@MathewNathan-yb2bz4 ай бұрын
@@Onlyforfun1992tube mzanzibari asili
@rashidally11494 ай бұрын
Semeni Unguja kuko hivi maana munatamka ZANZIBAR ili kuficha ubaguzi watu wasiojua waone na Pemba imo wakati Pemba kama jina lake pembazoni 😊😊😊
@Onlyforfun1992tube4 ай бұрын
Wazanzibari wakaazi watuache wazanzibari asili tunufaike kwanza na masoko msitufanyie zogo
@SA-xj8hc4 ай бұрын
Hatutaki Wamachinga kila kona ya Zanzibar sasa masoko tayari.
@R10_Rajab4 ай бұрын
Yes Watengeneze sheria ambayo mtu yeyeto akionekana na kupatikana akiwa na biashara mkononi akitembeza apigwe faini kubwa sana hata Millioni 10 ilimradi watu wasitembeze na kupanga biashara barabarani ni uchafu wa mji ,na lengo la faini sio kukomoa lengo ni Kosa lisifanyike..
@harithwhite5893 ай бұрын
Utakuta watu wanakojolea pembezoni mwa kuta za jingo ilo
@Onlyforfun1992tube4 ай бұрын
Muacheni raisi azindueeeee
@alitwaqwa7394 ай бұрын
Elimu kubwa inahitajika kwa raia wanunuzi na wafanya biashara lazima Ina hitajika waaminishwe kua biashara ni usafi
@R10_Rajab4 ай бұрын
Usafi Usafi Usafi hilo ndio kubwa kuliko vyote ,Serikali ni wakati wa kuajiri Campuni za Usafi na kufunga nazo mkataba ili waweze kushughulikia usafi wa masoko ,stendi za mabus vituo vya huduma za afya hilo pia linaweza kupunguza ajira kwa vijana wasio na ajira maana Campuni itaajiri vijana ambao hawana ajira na kuwapatia elimu then wafanye kazi...
@abdull_hafidh4 ай бұрын
Kodi yake sasa lazma ukimbie
@rashidally11494 ай бұрын
Kwani kuna ubaya wa Tanganyika kujiita watanganyika mpaka wajiite watanzania? Na ubaya Unguja kujiita waunguja mpaka mujiite Zanzibar? Kuweni wazalendo