RAIS MWINYI UFUNGUZI SHUKRAN PALACE HOTEL - MICHAMVI ZANZIBAR

  Рет қаралды 8,751

Tifu Tv

Tifu Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 11
@AbdullaSeifKhamis-se9sc
@AbdullaSeifKhamis-se9sc 3 ай бұрын
Zanzibar ya waislam imekwisha kizazi chetu jamanii 😢😢😢😢😢😢 pesa nzur lakin nimtihan
@salyali7807
@salyali7807 3 ай бұрын
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun ... wazanzibari tumekwisha .. tumekua jaa la kila .... yaarabi wahifadhi watoto ... Allahumma ameen
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 3 ай бұрын
hiyo hotel mwenyewe anajulikana bwanaa
@AbdullaSeifKhamis-se9sc
@AbdullaSeifKhamis-se9sc 3 ай бұрын
Baada ya miaka michache tu tutakuja lia tuache tamaa na kuiga. Saiv tunapiga kelele maadili maadili bac tutakujasema tumekwisha.
@reformerthrone972
@reformerthrone972 3 ай бұрын
Jamani chukuweni hadhari Sana na wahindi. Wa siikh wanaovaa kilemba ..... Na haya sio maneno ya kipuuzi. Naomba serekali ya zanzibar izingatie Sana haya maneno na anaetaka kuthibiti au kuhakikisha maneno yangu asome yanayotokea hivi Siku hizi nchi ya Canada naomba musome yanayotokea hivi Siku hizi kule Canada. Mutajuwa kwanini nimehadharisha kwa Hawa watu.
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 3 ай бұрын
Wanafanya nini wahindi mie mwenyewe sina IMANI nao hawa watu twambie lakini kilichotokea canada
@reformerthrone972
@reformerthrone972 3 ай бұрын
@@iddijumaali7192 Kilichotokea Canada Kuna baadhi ya Miji ukenda utafikiri uko India Na wao ndio wameshika kila kitu imesababisha kuwa wananchi wa Canada kwenye asili kule hawawezi hata kulipa umeme na maji na kodi za nyumba
@Nassor2377
@Nassor2377 3 ай бұрын
Hao wanatumiwa na viongozi wetu wenye mali ni hawahawa wanatuzunka tuu pesa za wanyonge hizo wazanzibar ...kisha kunatafutwa wahindi wabovu kuwekwa kama wenye mali kumbe nyuma ya pazia
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 3 ай бұрын
Vipi Kuhusu mikakati ya kuilinda dini yetu?
@JanethSwai-i3d
@JanethSwai-i3d 3 ай бұрын
zanzibar sio nchi ya kiisalamu bwana😂😂
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 3 ай бұрын
@@JanethSwai-i3d unateseka ukiwa wapi?
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
RELI NA MATUKIO | NDANI YA ZANZIBAR ILIKOZALIWA RELI YA TZ
26:28
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 471 М.
MWAMBA KABISA GIRIKI AKISOMA MLANGO WA KWANZA KWA UFUNDI MKUBWA
7:58
KWANINI ZANZIBAR INAANZISHA BIMA YA LAZIMA KWA WAGENI?
14:08
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 3,6 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН