MBARIKIWA ATANGANZA KUUZA GARI ILI APATE PESA ZA MATIBABU YAKE NA MKE WAKE. Ina km elfu 19. ML 27

  Рет қаралды 46,106

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 316
@sharomhainessi7708
@sharomhainessi7708 6 ай бұрын
Pole Sana Mtumishi Wa Mungu Tupe nafasi ya kuchangia Ila usiuze mali ulionunua kwa kazi ya Injili hilo nalo litapita Mtu wa Mungu Tupo tayari kuchangia kwa garama yoyote.
@franciswanje-o5u
@franciswanje-o5u 2 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu
@elikimuchurchtz
@elikimuchurchtz 7 ай бұрын
Mungu ni mungu mtumishi mbalikiwa usiuze mali ni jaribu linapita sikiliza sauti ya mungu kupitia watu hawa wanao upendo wakukuchangia nami naomba tupe nafasi tuchangie kuonyesha upendo wa mungu kwako
@gracemhagama4108
@gracemhagama4108 7 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu. Tuna kuombea wewe na mama yetu Salome Mungu impendeze mupate matibabu ili ktk afya iliyonjema,muweze kumtumikia Mungu wetu.Amina.
@rizikikisigaye3918
@rizikikisigaye3918 6 ай бұрын
Poleni watumishi wa Mungu! Kwa mapito hayo. Nachojua nikwamba Iko siku mungu atawafuta machozi. Tuko tayari kuchangia kidogo tulicho nacho. Amina.
@berthasindwani9389
@berthasindwani9389 Ай бұрын
Polen sana mungu awatie nguvu
@pastorbonifacenjiku2955
@pastorbonifacenjiku2955 7 ай бұрын
Poleni sana watumishi wa MUNGU, tunaweza kuchangia fedha za matibabu bila kuuzwa mali
@YusuphMalale
@YusuphMalale 6 ай бұрын
Usiogope mtumishi Mungu aliye kuita kwenye huduma atakupigania
@DanielSafari-wm8ur
@DanielSafari-wm8ur 7 ай бұрын
Pole sana Masihi wa Bwana,Mungu yu upande wako Daima rafiki yangu ,naamin lile alilo kusudia juu yako ww na mke wako lita timia ktk jina la Yesu
@sadockjohn2460
@sadockjohn2460 6 ай бұрын
Pole Sana mtumishe wa mungu aliye haye usiuze gari tutajangia matibab yako majalib hayana budi kutokea
@LovelyChocolateBonbons-ok2ww
@LovelyChocolateBonbons-ok2ww 5 ай бұрын
Mungu akubariki
@fkirumba1463
@fkirumba1463 3 ай бұрын
Pole sana mtumishi.mimi naomba nikushauri jambo moja.acha kufanya mashindano ya mitandaoni.sio Kila unaloliona unaweza kushindana nalo.mengine onya kwa u pole na upendo alafu maombi ya we mengi kuliko maneno.hizo hela hela na mikiki mikiki ya kesi,mabishani hata inadhuru afya ya familia yako wewe,mkeo hata yaweza dhuru watoto.Tafuteni kuwa na amani na watu wote.ukilifanya hili utaona utakavyopunguza matatizo mengi kwa familia yako Pia nashauri usiuze gari,naamini una waumini wengi na wasio waumini.hao wanaweza kukuchangia fedha ya MATIBABU. MUNGU atutetee mtumishi.
@Hussein_Mustafa_Parmar
@Hussein_Mustafa_Parmar 11 күн бұрын
Kupambana na utawala kule au kutafutwa kama vile Shoga au mwanaharakati wa haki za binadamu au kuwa Sheikh au Pastor kupinga mabaya yao inaweza ikamwangamiza mtu na kumfilisi na ni utawala hatari na wa kidikteta na Shoga hana heshima yeyote kule na wanaonekana na utawala kwamba ni watu waovu na wenye utovu wa nidhamu na tabia mbaya na wahalifu wakubwa na wanafanya uhalifu mkubwa na utovu wa tabia na nidhamu na kinyume na mila kulingana na Serikali na ni wahalifu wakubwa kimila wanatafutwa na kutegewa na kupigwa na kufungwa miaks mingi na kazi kubwa na minyanyaso makubwa na adhabu kama wahalifu wakubwa na wanategewa na kutafutwa kama watu waovu wahalifu sana na wanaofanya mambo ya ovyo na ya uchafu na ya utovu wa nidhamu na tabia mbaya mno kinyume na Mila ya nchi kwa muujibu wa Serikali kule kwa uhakika wanatafutwa kama wahalifu wakubwa na watovu wa nidhamu katika hali ya hatari kuliko dunia ijuavyo katika hali ya hatari wakilipwa wapelelezi waendelee na mambo yao kuona ushoga ni uhalifu wa hali ya juu na wabaya na waovu na watovu wa nidhamu kwa kazi ya intelijensia wanawatafuta na wakiwapata wanawakamata na kupitia wapelelezi wanawatafuta tangu Sera za Marais wote tangu Kikwete na mkapa na Nyerere na Magufuli na samia kama wanavyosema huko watu kwamba wanaowakubali mashoga kule ni mashoga wenyewe tu na ingawa wapo wenye huruma na Mashoga katika raia lakini Serikali hatari sana katika intelijensia wanaona kwamba mashoga na matendo ya ushoga ni utovu wa nidhamu na uhalifu wa hali ya juu na mambo mabaya na yasiyo na nidhamu au heshima na ni uhalifu wa hali ya juu
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 2 ай бұрын
We unawasema watumishi wa Mungu. Unaisema mamlaka. Embu uwe mkimya upigane kiroho.
@ambakisyeevaristo
@ambakisyeevaristo 6 ай бұрын
Pole sana watumishi wangu Ni vema tukuchangi
@Tuvibe-z1j
@Tuvibe-z1j 6 ай бұрын
Ni huzuni sana baba yangu...tupe nafasi tuchange...kisha nawaalika hapa kwetu kenya kwa baba wetu Evangelist Ezekiel...Mavuweni Kenya
@peacemwesiga
@peacemwesiga 6 ай бұрын
Pole mtumishi wa Mungu Mungu awafanyie wepesi
@EliaMhile
@EliaMhile Ай бұрын
Pole sana
@JamesMalale-io1qj
@JamesMalale-io1qj 7 ай бұрын
Pole sana mchungaji nakuomba uendelee kusimama na mungu usije kubadilisha mawazo hao mashetani hawajui walicho kifanya lakn simama namungu nae hatokuacha kamwe
@MariaNgumbi-z7l
@MariaNgumbi-z7l 6 ай бұрын
Mungu akusimamie katika maisha yako pole sana mtumishi
@richardkiula7522
@richardkiula7522 7 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu. Pamoja na kwamba nimekuwa nikitoa baadhi ya mambo, lakini katika hili kwa kweli nakupa pole na pia badala ya kuuza gari hiyo ambayo ni nyenzo muhimu katika kufanya huduma, nashauri uruhusu tuchangie matibabu yako na ya mama mchungaji. Nakushauri usije gari. Tumekuwa tukiwachangia watanzania wengi wanaopita katika shida, nawe u mtanzania kama sisi. Mungu awaponye.
@AhimidiweMwaigaga
@AhimidiweMwaigaga 6 ай бұрын
Mungu akusimamamie
@tonyyohana9782
@tonyyohana9782 6 ай бұрын
Mungu awatie nguvu watumishi wa Mungu mama utapona tuu Wenda Mungu anakupima imani barikiweni sana watumishi wa Mungu mpone mapema tumemic huduma yenu mitaan
@SleepyAlpineVillage-yp2sz
@SleepyAlpineVillage-yp2sz 6 ай бұрын
Mungu wa uzima wangu hujawahi kuniacha hata siku moja nakuoomba ukamponye mtumishi wako hakika umewaponya mataifa ,nakushukuru mungu wangu naamini tayari amepona kuanzia Sasa hivi ameni🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@alamagatasanga1805
@alamagatasanga1805 6 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa Bwana na hili nalo litapita tunamwamini mungu
@JohnMahu-f1g
@JohnMahu-f1g 6 ай бұрын
Mungu ni mponyaji ingia ndan ya moyo kw sala Kuna sehm kma ulikosa atakuambia utubu upone mungu asipoingilia ht ukiuza nyumba haitasaidia
@EzaiJaphet
@EzaiJaphet 6 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi maana unayoyapitia yanatuumiza wengi na tunaguswa naamini utabaki kuwa mshindi kwa sababu hata ongea yako inaonyesha ujasir na nguvu ya kushinda . Amen
@MikeNgeno-r5z
@MikeNgeno-r5z 6 ай бұрын
Praying for you my brother my country love so much Nina imani utashinda pila kuhuza kari ya injili coz yule mungu aliye kupa maono ya kununua pato yuko Amen, karibu Kenya we need your God.
@AmosiMwambene
@AmosiMwambene 6 ай бұрын
Mungu akutokee Mzee akuponye pamoja na Mama kwa Jina la Yesu kirsto
@belinamwambeleko370
@belinamwambeleko370 7 ай бұрын
Pole sana mtumishi na mama salome. Hakika wew ni ayubu wa kiazi hiki kupitia imani yako kwa mungu wengi tunaona nuru baba mungu hajawacha 🙏
@rashidhassan8156
@rashidhassan8156 6 ай бұрын
Mbarikiwa mdomo ndo umemponza 😅
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 6 ай бұрын
Twambie mtumish wa mungu tuchangie matibabu🙏🙏
@IsackMwampashi-jj8wy
@IsackMwampashi-jj8wy 6 ай бұрын
Pole sana mungu akutetee yote yanapita upo mda bwana atatenda
@KAMANDAGAMALIELI-zp1ni
@KAMANDAGAMALIELI-zp1ni 6 ай бұрын
Mbarikiwa acha kuliza watanzania.. ivo vitu kakupa Mungu ili ufanyie kazi yake Sasa kusema unaviuza ili ukatibiwe nijambo linalooumiza sana.. Sikiliza mioyo yawengi bado inakupenda bado ipo nawewe nakuomba weka wazi matibabu yako yanaitaji kiasi gani? alafu nasisi tukuoneshe mioyo yetu kwakujitoa tulicho nacho.. Kama ikipungua basi Uza mali za Mungu nakikizidi basi mpe Mungu utukufu, sisi niwatanzania haiwezekani gari iliyofanyiwa kazi ya Mungu tena katika haki et leo ikanajisiwe.. Mbarikiwa plz tangaza unaitaji kiasi gani hakika Mungu ataenda kukushangaza! plz plz plz uwe free we sema tu alafu tuachie tukushangaze kama haujamrudia Mungu kwa machozi mtu wa Mungu.
@lwitikomusa1712
@lwitikomusa1712 6 ай бұрын
Tunakupenda kaka ebu weka waz garama watanzania tupo tyr kuchangia huna baya mtumishi 📖💓🙏
@daniellaizer8948
@daniellaizer8948 6 ай бұрын
Mtumishi mwenzangu pole kwa pito hilo ila ushauri uruhusu kwanza atakayependa kuchangia kama isipotosha mungu atafanya njia nyingine wewe ni wa watu wewe ni wa mungu ni kweli ni afya kuwa na chako lkn ktk hili ruhusu tu watu wawe nyuma yako
@NGUVUYAUKOMBOZITV
@NGUVUYAUKOMBOZITV 6 ай бұрын
God bless your life!! Wewe ni Shujaa your David,your Samsoni, My Brother hakika kama nikikombe hakika umekinywea na Bado unakinywea your kamanda simama simama jitahidi simama ushindi uko upande wako. Samahani chuchangishe kwanza fedha isipo tosha ndiyo maamuzi ya chukuliwe lakini Kwa Sasa tuchange kwanza Shujaaaa your shujaaa na kuamini ushindwi kuinuka....
@marykyelu5451
@marykyelu5451 6 ай бұрын
Polen sana watumishi wa mungu
@lydiamgovano5638
@lydiamgovano5638 7 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu, inasikitisha sana, ninakuombea wewe na familia yako. Hayo yote yatapita, utasimama tena hakika utasimama , tuko pamoja tutachangia matibabu na tutaendelea kuomba
@alexmwakisole-gl7mw
@alexmwakisole-gl7mw 6 ай бұрын
Mungu aliyewaita atawatetea. Kazi yenu ni ukombozi wa watu wengi katika Taifa hili.
@BahatiMpalanzi
@BahatiMpalanzi 7 ай бұрын
Munguatawasaidia musikatetamaa baba
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 7 ай бұрын
Ni Maumivu juu ya Maumivu, Sema tu MUNGU anayajua yote haya. MUNGU atabaki kuwa MUNGU tu.Amina ❤
@SajoMwakipesile
@SajoMwakipesile 7 ай бұрын
Mungu atabariki tu
@SubiraNkwavu
@SubiraNkwavu 6 ай бұрын
Iko siku Mungu atajitwalia utukufu kwa yote mnayopotia, haijalishi nikwamda gani mtapita❤❤❤
@VIOLETNANDERA-mt8ce
@VIOLETNANDERA-mt8ce 6 ай бұрын
mi maoni yangu ni kwamba. ungejaribu na kwa watumishi wenzako pia hasua wenye wako na uezo wakuona katika ulimwengu wa Rohoni. ungelijaribu kuenda kwa mtumishi wa MUNGU mjungaji peter karimu hapo hata ungeweza kupata mali ya Bwana huenda mtasaidika zaidi juu pia naamini kupitia maombi MUNGU atafunua shida penye Iko. hospitalini endeni ila pia jaribu njia zote juu MUNGU anaweza kosa kukufunulia tatizo lako na amfunulie mwingine. na ndani mwangu Nina Imani kuwa utasaidika utakapochukua hatua sahihi. nenda kwa waombaji wenye nguvu na Kila kitu kitakua sawa. MUNGU awabariki nyote na awaponye Amen. ila hiyo hali yako usiikimbilie tu hosi peke nenda kwa watu wa MUNGU wenye nguvu.
@JAMESGASPER-kj5bk
@JAMESGASPER-kj5bk 6 ай бұрын
Wewe unawajua watumishi wewe
@EmmanuelPatrick-w8n
@EmmanuelPatrick-w8n 6 ай бұрын
Pole sana MUNGU atawatetea
@AlphonceAlphonce
@AlphonceAlphonce 6 ай бұрын
Tupo tayali kuchangia. Mtumishi wa mungu
@GodloveMwandoje
@GodloveMwandoje 6 ай бұрын
Poleni mtumishi kaachiwa mungu mwema
@ChristerShao
@ChristerShao 7 ай бұрын
Kutoa si utajiri bali moyo wa upendo na huruma mungu awswekee mkono wa uponyaji.
@princejosephat8316
@princejosephat8316 7 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu jaribu lisiktoe kwenye mpango wa Mungu...endelea kumtafta sikio lake sio zito ashindwe kusikia atawaponya kwa Jina la Yesu.
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 7 ай бұрын
Poleni sana kwa hili inabidi tuungane. Nimesikia huruma sana
@SafariMsafi-um1pz
@SafariMsafi-um1pz 7 ай бұрын
Dotto magari uko wapi....! Changamkia tenda mzee
@christophermwanjoka7406
@christophermwanjoka7406 7 ай бұрын
Pole sana....Mungu atimize kusudi lake kwenu....Mungu ni baba na itabaki hivyo milele...No matter tunapitia nyakati gani
@Wakwetujitu
@Wakwetujitu 7 ай бұрын
Mungu akutetee mtumishi ata ayubu alipitia shida
@gadisanga-ee2il
@gadisanga-ee2il 6 ай бұрын
Poleee. Na hujakosea saana kutangaza kuuza Gari kunamsemo huwa tunasema chako kikuokoe. Pole sana mama mbarikiwa. Kwakuumwa na kuuza Mali ilionunuliwa najua wamama huwahampendi kuuza chombochandani labda kiwe kibovu lakini kwahki kipya.
@bibishemartha4378
@bibishemartha4378 7 ай бұрын
Usiuze chombo chamungu afathali tupo tayari kwa kuchanga ili utukufu wa mungu ubaki i am from congo 🇨🇩🇨🇩
@joshuajulias8288
@joshuajulias8288 7 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa mungu hayo Ni majaribu tu lakini usiuze gari yako Kwanza bora tukuchangie
@Frances-b4k
@Frances-b4k 7 ай бұрын
Mtumishi wa Pole sana,kama ningekuwa na uwezo wa kufanya jambo kuhusu AFYA yenu YAANI pesa ya matibabu ningekushauri gari isiuzwe Baba yangu kwakuwa kazi bado inaendelea na Hilo ni jaribu tu,ila utavuka salama
@ElizabethMmary-h6i
@ElizabethMmary-h6i 6 ай бұрын
GOD BLESS YOU MAN OF GOD
@MariamuMchunguz-tx9xk
@MariamuMchunguz-tx9xk 6 ай бұрын
Bei gani mtumishi
@bashirbaruan3969
@bashirbaruan3969 6 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu mungu awaponye lakini pia akuongozeni ktk njia sahihi yenye mafanikio.
@sarahsamsoncsermak4249
@sarahsamsoncsermak4249 3 ай бұрын
Tutachangia Kaka
@hilderpatrick7783
@hilderpatrick7783 6 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi yeye atamuleta mnunuzi
@KindendendeShadrack
@KindendendeShadrack 6 ай бұрын
Mungu akutie nguvu pole sana
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 6 ай бұрын
Sio pole,mchangieni
@pastor.benedictortungaraza9537
@pastor.benedictortungaraza9537 6 ай бұрын
Pole mtumishi usiuze gari taja pesa inayotakiwa kisha weka namba tuchangie
@PriscaChachaMarwa-yp6kq
@PriscaChachaMarwa-yp6kq 6 ай бұрын
Mungu yupo pamoja nawe mtumishi Mimi ningeshauri utengenese group pesa itapatikana kwa halaka Sana amini hivyo
@bulengepetite6062
@bulengepetite6062 7 ай бұрын
Natowa pole sana tena sana kwa jama yote. Mungu awakubuke. ❤❤❤❤.
@Magrethmakaji
@Magrethmakaji 6 ай бұрын
Unauza bei gani hiyo canter mtumishi?
@EdaMalamsha
@EdaMalamsha 7 ай бұрын
Mungu.yu mwema, uponyaji utakuwa nanyi kwa vile tunaamini Mungu hakuachi
@PIUSrafael
@PIUSrafael 6 ай бұрын
Pole sana mtumishi yote yatapita tumkumbuke ayubu
@azizabuyonde8368
@azizabuyonde8368 6 ай бұрын
Nini kinaendeleya?
@jasmineomary4325
@jasmineomary4325 6 ай бұрын
Pole baba na familia Yako mungu awatetee
@karolshirima8935
@karolshirima8935 6 ай бұрын
Ni kiasi gani kinahitajika mtumishi...?
@gwantwajoseph5564
@gwantwajoseph5564 7 ай бұрын
Pole sana ,MUNGU tunae mwabudu akuponye pamoja na mama .
@Elisha-zr8ms
@Elisha-zr8ms 6 ай бұрын
Nomba nichangie kichache mchungaji niombe no
@hilderpatrick7783
@hilderpatrick7783 6 ай бұрын
Yaan nasikia maumivu makali sana Mungu wetu hashindwi na jambo
@pastormalitiushuhuda9965
@pastormalitiushuhuda9965 7 ай бұрын
Pole sana mtumishi Mungu, Yesu asimame nanyi wakati huu mahitaji
@Abdallahwinnerdady
@Abdallahwinnerdady 6 ай бұрын
Sh ngap iyo Noa na hiyo centa?
@fathermore9772
@fathermore9772 6 ай бұрын
Ala wakisha pona wanaanza kuhubiri waleteni wagonjwa wapate miujiza ...kwao wenyewe miujiza haifanyi kazi
@leahakuyen-bk2xg
@leahakuyen-bk2xg 6 ай бұрын
Pole sana mtumishi' pesa ya kenya inakuja ngapi?
@Ngorokaenterprises
@Ngorokaenterprises 6 ай бұрын
Bei Gani nimeipenda
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 7 ай бұрын
Pole sana Mtumishi,Majaribu yako yamefikia mwisho,Mimi naona Uchungu
@ElifaziHotel
@ElifaziHotel 6 ай бұрын
Kwani matibabu ni kiasi gani?
@joseesiara9012
@joseesiara9012 7 ай бұрын
Pole sana mchungaji, bado Mungu yupo upande wako.
@bensonmoris463
@bensonmoris463 7 ай бұрын
mtumishelilie mungu awaponye achen hizo asset
@OscaSangu
@OscaSangu 6 ай бұрын
bei ni sh,ngap
@clemenceparokola
@clemenceparokola 7 ай бұрын
Jamani mtumishi weka namba yakuchangia,maana mimi sijawahi kukutana na wewe live,ila huwa nabarikiwa sana kwa nyimbo zako na mahubiri. Salome,Mungu atakupinya mimi huwa natamani wanawake wote wangekuwa kama wewe amani ingetawala katika ndoa,unahekima sana dada yangu,toa account tutachangia kwa kadili mungu atakavyo tuongoza
@franktimoth9786
@franktimoth9786 7 ай бұрын
Mbalikiwa pole sana na hayo mapito lkn mungu anajuwa hayo yote unayoyapitia na ameyaluhusu kwa makusudi yake lkn ninaimani kuna jambo zuri mungu analiandaa ktk maisha yako
@LivingKyamba
@LivingKyamba 7 ай бұрын
Pole Mungu afungue milango pesa zipatikane
@JacksonZakayo-tt3jg
@JacksonZakayo-tt3jg 6 ай бұрын
Kwa Mungu hakuna kuwahi wala kuchelewa mtumishi wa Mungu sema kiasi chamatibabu yako
@REHEMABALTAZARMWANZA
@REHEMABALTAZARMWANZA 7 ай бұрын
Mtumishi je hili gari lingelikuwepo? Acha Mungu Ajashindwa Kutuma Malaika Kukupatia Pesa za Matibabu! Pole na Hongera Wewe ni Mshindi! Mungu Awezi Kukuacha, Ongeza Sublah za Kumngojea na Utulivu Zaidi Utapata Jibu Atakalo Kwambia! Shalom🙏🏻
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 7 ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu watumishi wa Mungu
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 7 ай бұрын
Mungu awaponye mtu Wa Mungu
@MariamNdelwa-h6y
@MariamNdelwa-h6y 7 ай бұрын
Mungu awakumbuke tunawapenda,
@YESU..YUAJA..REPENT..
@YESU..YUAJA..REPENT.. 7 ай бұрын
Mtu wa mungu pole sana. Tunazidi kukuombea kila wakati yesu akutie nguvu wewe pamoja na mama. Yeye aliyekutoa gerezani basi anaweza kukuondolea maumivu ya maradhi yoyote bila hats kwenda kwa wataalamu..
@RachelBahahazo
@RachelBahahazo 7 ай бұрын
Mchangien yesu hawez toa hela za ma tumiz wal ela ya dawa
@frenkfarm1139
@frenkfarm1139 6 ай бұрын
ukimalinza kumuombea tuchange tumusaidie baba mbalikiwa tumutoe eneo alilopo tusiwe wabaya moyo tushiliki kazi ya mungu kwa pamoja 💪
@zakariachomo8916
@zakariachomo8916 6 ай бұрын
Mlungu yupo ntumishi hayo yatapita tuu poleni sana
@iddally1021
@iddally1021 7 ай бұрын
Kama Mungu aliweza kilio Cha Ezekiel na kughairi kifo,Nina amini katika jina la Bwana wa Majeshi,jina lenye nguvu jina lenye uwezo,Juu Yako Baba,utapona na mara dufu utaongezewa,Pita tu baba na kuendelea kukinywea kikombe,kikubwa Mungu unamjua na unaendeleaje kutufundisha
@RehemaManase-t7j
@RehemaManase-t7j 6 ай бұрын
Jamano Mungu awaponye,
@PaulKaisi
@PaulKaisi 7 ай бұрын
Ushauri mtu wa Mungu weka utaratibu tumchangie
@meikoking
@meikoking 6 ай бұрын
😊😊😊
@uzimatv3464
@uzimatv3464 7 ай бұрын
Pole Sana unauzaje?
@bonmwakalinga4687
@bonmwakalinga4687 7 ай бұрын
Tuko tayari kuchanga mtu wa mungu.
Kumbe! Mbarikiwa atangaza hadharani utajiri wake unaomfanya awe jeuri. Ndio maana....
17:41
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 14 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 491 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 10 МЛН
Mbarikiwa apinga uwepo wa uchaguzi. Asema hautabadili chochote
30:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 1,9 М.
MBARIKIWA AMWANGUKIA NCHIMBI. Sina hatia inipasayo kuuawa. Kwa nini hamuwazuii hawa?
32:58
Mbarikiwa amwangukia MAKONDA. Nimetumwa nikuletee ujumbe huu wewe na serikali kwa ujumla
44:32
Mwamposa kukiri hivi ameonyesha dhahiri kuwa ni JAMBAZI MKUU KIROHO.
30:07
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 31 М.
Mke wa Mbarikiwa aongea baada ya mumewake KUHUKUMIWA MIAKA3 JELA
11:15
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 73 М.