HELA ZIKO HUKU RAFIKI ZANGU/MASANJA AWEKA WAZI HATUA ZOTE

  Рет қаралды 253,068

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

5 жыл бұрын

HELA ZIKO HUKU RAFIKI ZANGU/MASANJA AWEKA WAZI HATUA ZOTE.
KUMEKUWA NA WIMBI KUBWA LA WATU KUTAMANI KUJISHUGHULISHA NA MAMBO YA KILIMO SASA MFATILIE MASANJA AMBVAYE AMELIMA KWA MDA MREFU NA HAA ANAKUWEKEA WAZI HATUA KWA HATUA KUHUSIANA NA KILIMO CHA MPUNGA MAENEO YA KAPUNGA WILAYANI MBARALI MKOA WA MBEYA FATILIA UJIFUNZE ZAIDI

Пікірлер: 595
@rosecruzy6666
@rosecruzy6666 4 жыл бұрын
Wangapi wameelewa kama mimi big up masanja such a good soul🔥🔥🔥
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 3 жыл бұрын
Hongera sana kaka Mtumishi! Nakukubali sana kakaangu, endelea kubarikiwa!
@aggy_cakeandbites
@aggy_cakeandbites 5 жыл бұрын
kwa kweli natamani kuwepo kwenye hiyo tour. Napenda Sana Kulima najua itanisaidia kwa namna moja amazing nyingine
@kijanisaini5688
@kijanisaini5688 6 ай бұрын
hello nitafute nipo huku tufanye kilimo
@nizarkatunda9662
@nizarkatunda9662 8 күн бұрын
@@kijanisaini5688 Kaka habari nilikuwa napenda kuwasiliana na wewe juu ya hili suala naweza kukupata vipi.?
@njauson5965
@njauson5965 5 жыл бұрын
Hongera sana Ndg!na shukran sana kwa elimu nami najipanga kwa ajili ya msim ujao
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 5 жыл бұрын
Njau Son Sawa karibu sanaa
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 5 жыл бұрын
Hongera sana brother Mgaya, Huko kwetu usangu ni zaidi ya Mererani, Ni kuanzia hapo Kapunga, Ubaruku hadi madibira ni utajiri tu.
@godfreymagoso5334
@godfreymagoso5334 4 жыл бұрын
@@Feelfreechurch ni zaidi ya asante mtumishi,,,,, shukrani sana
@aliymajala5678
@aliymajala5678 3 жыл бұрын
Brother nahitaji kuja shambani Niko Iringa town
@godfreymagoso5334
@godfreymagoso5334 4 жыл бұрын
Data yang imeenda kihalali,,,,,,, Asante mtumishi
@mariammwasile4792
@mariammwasile4792 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki sanaa maana hio sir sio wote wanaweza kusema nakufatilia sanaa niko omani nikilud ishaallah
@kisinzaemmanuel6318
@kisinzaemmanuel6318 5 жыл бұрын
Asante bro Masanja tuko pamoja kuijenga nchi
@rosecruzy6666
@rosecruzy6666 4 жыл бұрын
Jaman nime subscribe kabisa wewe ni genius👏👏
@liesharehema5193
@liesharehema5193 5 жыл бұрын
Nisaidie mamba ya muwekezaji tunashuru kwa elimu ya Burr ubarikiwe mungu akupe umri mrefu zaidi
@bightenabednego4580
@bightenabednego4580 5 жыл бұрын
Bro nimekufatilia, nimekuelewa! Kwa Neema za Mungu, mwakani msimu ujao tutakua pamoja
@m-musicstudios2023
@m-musicstudios2023 5 жыл бұрын
braza mimi n mwanafunzi wa chuo npo mwaka wa mwisho kaka nashukuru kwa darasa umeniongezea idea nyingi nashukuru kaka kwa somo hili natamani hata siku moja nipate nafasi ya kukaa na wew ili kuendelea kujifunza mengi kutoka kwako natumai siku moja nitapata hiyo nafasi ila ahsante kwa darasa na endelea na moyo huohuo ilui wengine tujifunze kutoka kwenu
@dannyhimmtafya5625
@dannyhimmtafya5625 3 жыл бұрын
Pastor Isaya my most High God bless you.
@revocatusmanyama3311
@revocatusmanyama3311 8 күн бұрын
Ubarikiwe sana mkuu Kwa kutuelekeza namna ya kilimo cha mpunga bro
@mammyali3424
@mammyali3424 5 жыл бұрын
Ni kiwa ndani ya Dubai..wanipa moral... masanja ubarikiwe Sana.... wanibariki na Mungu akubariki pia nafatilia yote ufanyayo
@pinielalphayo4111
@pinielalphayo4111 4 жыл бұрын
Nimekutunuku shahada ya uzamivu ktk kilimo Kutoka chuo cha Sokoine University of Agriculture SUA, Hongera sana
@theosaimon6933
@theosaimon6933 5 жыл бұрын
Thanx for your time brother and your education about farming
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Yaani Mungu akuinue kwa viwango vya hali ya juu maana ungeweza kuamua kukaa na mawazo yako.moja ya msingi mkuu wa imani ni kutoa kuliko kupokea na mataokeo yake utapokea zaidi hadi ushangae.nimeipenda na moja kati ya vitu 2 ninavyovipenda zaidi kuvifanya duniani ni kufanya biashara ambayo kwa wakati huohuo ni huduma ya muhimu zaidi kwa mwanadamu nayo ni kilimo na ndio maana hata watoto wangu nimewafundisha kabla ya kula anza kukibariki hicho chakula na waliohusika nacho kuanzia mashambani,barabarani,viwandani,masokoni,magengeni,jikoni n.k maana hadi kina fika hapo unapokula wewe, Mungu ameilinda na kuibariki mikono ya watu wengi sana.sina mtaji lkn naamini ipo cku Mungu atanibariki kwa upande huo pia.ubarikiwe mtumishi,inguluve igendage na veve.
@meekhoon1378
@meekhoon1378 5 жыл бұрын
incredible my bro
@prosperutwa2260
@prosperutwa2260 4 жыл бұрын
👏 shukran Sana masanja mungu hakubarik
@mariumukasiba-nq6uz
@mariumukasiba-nq6uz 9 ай бұрын
Mungu akubariki wachache kama wewe zidi kubarikiwa kwa sababu unatoa the way u give is the way u receive ni haki yako mungu akupe . Mungu akuinue mara zote
@stanleysamson7756
@stanleysamson7756 5 жыл бұрын
Bigp sanaa msanja mkandamizaji Kiukwel nafatilia sanaa mapambano yako. 💪💪💪💪
@angelmwanja3295
@angelmwanja3295 4 жыл бұрын
Una roho nzuri masanja mungu akubariki .asante kwa mafundisho
@Crownvalz
@Crownvalz 5 жыл бұрын
Dah nimenunua shamba Ruvu huko heka mbili yani nimelimankila kitu nikakata tamaa ila nimeangalia hii video kesho naingia shambani aiseee dah m inspired
@HASASON
@HASASON 5 жыл бұрын
Dah Masanja you are an inspiration
@ezekielleonard8160
@ezekielleonard8160 4 жыл бұрын
Shukraniiiii broo
@omariochumu935
@omariochumu935 4 жыл бұрын
Brother, brother ,brother wewe ni genius
@saidmabrouknassor4229
@saidmabrouknassor4229 4 жыл бұрын
Umenihamasisha sana kaka Masanja shukran🤝
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 5 жыл бұрын
Masanja nakuomba Mtumishi w Mungu kama una nafasi nipo chini ya miguu yako naombaumsaidie Pascal muimbaji wa enjili . Ukisimama kumuombea michango watu wataitika mara hata kama una uwezo wa kulibeba hilo pia itaugusa Moyo wa Mungu. Ubarikiwe Mtumishi.
@mohamedharunamohamedharuna7124
@mohamedharunamohamedharuna7124 3 жыл бұрын
Asante kwa elimu nzuri
@ramadhanhaji2993
@ramadhanhaji2993 4 жыл бұрын
Ahsante sana kwa somo zuri. Ubarikiwe ndugu kwa elimu unayoitoa. Nimehamasika sana nitakutafuta.
@jobmwakijale7447
@jobmwakijale7447 3 жыл бұрын
Pastor umetisha sana Elimu nzuri sana nimeipata Mungu akubariki sana
@susanmarco9982
@susanmarco9982 3 жыл бұрын
Thank you for sharing
@seifmwagao8943
@seifmwagao8943 5 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza nimepata elimu kubwa sana maana nilikua nakutana na wababaishaji sna thanx a lot masanja mungu akubariki maana umekua mkweli sna i appreciate
@jonathanliwa1955
@jonathanliwa1955 3 жыл бұрын
Nmekuelewa brather nakukubali sana
@allysaid6742
@allysaid6742 5 жыл бұрын
Ahsante sana BROO kwa upendo wako kwa wananchi wenzako kwa kuwapa Darasa zuri na bure lenye manufaa kwa yule atakae amua kulifanya, kwakweli nimeipenda sana, mungu akuzidishie khery na baraka broo
@dominionbiginga4170
@dominionbiginga4170 3 жыл бұрын
Wow! Be biessed. Nimefurahi saana
@athumanimganga370
@athumanimganga370 5 жыл бұрын
Nimeelewa broo Asante
@carloskomba5869
@carloskomba5869 3 жыл бұрын
Nimejisikia raha sana kwa jinsi ulivyo ichambua future yangu
@sakinaomar301
@sakinaomar301 5 жыл бұрын
Asante mpenzi we love you
@zedec4690
@zedec4690 2 жыл бұрын
shukrani bro
@elishampinda4102
@elishampinda4102 5 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@abdulkarimjuma8460
@abdulkarimjuma8460 3 жыл бұрын
Asante Brother endelea kutuelimisha zaidi🙏🏽🙏🏽 unatupa hamasa vijana wenzako
@bonifacenzogere3026
@bonifacenzogere3026 4 жыл бұрын
Safi sana Mtumishi wa Mungu . Mwaka huu tutakua pamoja
@deborahlusenga3574
@deborahlusenga3574 4 жыл бұрын
Umetoa elimu nzuri sana, barikiwa kaka
@isayachihota8264
@isayachihota8264 3 жыл бұрын
'Inspiring!' Can you pls put english subtitle to this video!
@paliscoedison2752
@paliscoedison2752 4 жыл бұрын
Nice sana broo love u
@theresiaswai6801
@theresiaswai6801 4 жыл бұрын
i really appriciate you brother,you are a genius and thanks for the knowledge
@neymaneyma6561
@neymaneyma6561 4 жыл бұрын
Nakukubal sana masanja
@bakariomary4772
@bakariomary4772 4 жыл бұрын
Aisee Braza Masanja mm ni moja kati y wadau ambao wanaamini ktk kilimo ila bad sijaingia huko lakn naamin one day kuanzia mwishon mwa mwak huu naweza kufanya kitu
@amanijolam4140
@amanijolam4140 5 жыл бұрын
umeongea point sana watu wengi tunadanganyana huku mtaani big up masanja
@hekimarichard1088
@hekimarichard1088 3 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana kweri
@anzatv8628
@anzatv8628 5 жыл бұрын
Masanja, kiukweli napenda sana, uhamasishaji wako. Mungu akutie nguvu zaidi. Mimi nimezaliwa Mbarali, yote unayoongea ni ukweli mtupu
@anselmokidaboma9328
@anselmokidaboma9328 5 жыл бұрын
duh, ahsante sana kaka,,,,,,,,,,,mwaka huu nitafanya, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@dafrozakipingi1803
@dafrozakipingi1803 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Mungu akubariki
@jeremiamshelela8588
@jeremiamshelela8588 4 жыл бұрын
Asante sana!
@abdulabdallah4350
@abdulabdallah4350 4 жыл бұрын
Ahsante masanja ahsante sana Mungu akubariki
@Mnyaruge
@Mnyaruge 4 жыл бұрын
I like it 💪
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 5 жыл бұрын
mtu kama huyu lazma serikali ikuthamini sana kazi nzuri sana.
@elifasifungo6531
@elifasifungo6531 5 жыл бұрын
Asante sana kaka Emmanuel, nimevutiwa sana na videos zako
@esterpetro4605
@esterpetro4605 4 жыл бұрын
Hongera sana mng azidi kukusimamia, pia asante kwa elimu nzr nimejifunza
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 4 жыл бұрын
Wow great opportunity for those who want this business
@zawdigaare9559
@zawdigaare9559 5 жыл бұрын
Safi sana mchungaji uko vizuri, tupe ujasiri maana kilimo kinataka moyo kaka.
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 6 ай бұрын
Great ideas from the man himself. Tour naihitaji brother Masanja.
@Firefotball1990
@Firefotball1990 5 жыл бұрын
Asante sana broo kwa huo mchongo
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 4 жыл бұрын
Unanipa MACHUNGU Sana ,masanja 😍😍😍hongera saana
@mhojamsafiri2273
@mhojamsafiri2273 3 жыл бұрын
Dah! Yani Masanja yani umeniacha mdomo wazi.hongera sana mkuu
@sideboy4909
@sideboy4909 5 жыл бұрын
Asante mkanda mizaji
@mwapwaniyahya528
@mwapwaniyahya528 3 жыл бұрын
Uko vzr sana kaka mungu akubariki
@johnsonmsuya1495
@johnsonmsuya1495 3 жыл бұрын
Ur genius broh,,,salute
@saidmwenda1800
@saidmwenda1800 4 жыл бұрын
Thanks broo kwa aidia nzur
@mixinfo6202
@mixinfo6202 4 жыл бұрын
Ur the best brother.... Nami ntaingia huko karibu
@frankbiznews2902
@frankbiznews2902 3 жыл бұрын
Masanja kazi nzuri
@haddasahestara7543
@haddasahestara7543 3 жыл бұрын
Àsante Sana
@badenpoly6821
@badenpoly6821 4 жыл бұрын
Ahsante sana bro
@monabangaseka1064
@monabangaseka1064 4 жыл бұрын
Napenda kilimo inshallah 🙏
@scollamadaya7874
@scollamadaya7874 Жыл бұрын
Asanteee mtumishi wa MUNGU.
@eddymenas
@eddymenas 4 жыл бұрын
Keep inspiring bro
@isacklaghaa2955
@isacklaghaa2955 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Brother, haujawa mchoyo kutupa elimu juu ya kilimo
@stafeljohn7061
@stafeljohn7061 3 жыл бұрын
Safi sanah
@paulokisoma177
@paulokisoma177 Жыл бұрын
God bless you my Bi-Shop Masanja, one day I bilive l will see you life in order to shere ldear of life in our Ministry of Jesus Christ. Pastor Paul Kisoma lringa.
@jumasultani8611
@jumasultani8611 Жыл бұрын
Ahsante masanja nimepata elimu kubwa shukraaan kwa kupush ndoto yangu thnx brother
@lawrencecalebu4744
@lawrencecalebu4744 4 жыл бұрын
Nimekukubali sana man hongera sana
@Mike-yg7pb
@Mike-yg7pb 4 жыл бұрын
Uko vizuri sana brother masanja halafu umeelezea vizuri sana sana It s very nice, live story.
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Hiyi kazi ni nzuri
@geofreykwakwa5612
@geofreykwakwa5612 5 жыл бұрын
Safi hongera kaka nimejifunza
@deotv503
@deotv503 4 жыл бұрын
Daaah huyuu jamaa no mpiganajii snaaa na hajikweziii I appreciate you bro for what your doing
@shittostar1182
@shittostar1182 4 жыл бұрын
Hili ni darasa, ahsante bro.
@salomevestinamichael1458
@salomevestinamichael1458 8 ай бұрын
Nimebarikiwa sana mkandamizaji,no yako naihitaji mwakani tutakwenda wote Madibila kaka yangu ❤
@mohamedimmbaga7185
@mohamedimmbaga7185 3 жыл бұрын
Upo sawa kaka
@awesafari6027
@awesafari6027 3 жыл бұрын
Duuh masanja umetisha kaka I appreciate you bro
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 5 жыл бұрын
Asante sana, mambo kama haya ndio tunaotaka mutuoneshe.
@barikalfred3037
@barikalfred3037 4 жыл бұрын
Asante Sana mkandamizaji umenipa elim kubwa sana
@ramadhansylvesta1952
@ramadhansylvesta1952 5 жыл бұрын
Safi Ila dah! Mbona hzo hesabu zako zko juu sana Mzee
@humphreymwamatandala3669
@humphreymwamatandala3669 5 жыл бұрын
Safi sana.
@gm7045
@gm7045 4 жыл бұрын
Nimekubari mwana wane kazi zako 👍
@alexfaustine2193
@alexfaustine2193 3 жыл бұрын
Asante sana mwanawanu
@diacusterrible
@diacusterrible 5 жыл бұрын
GENIUS MASANJA
@immwillswilliams8656
@immwillswilliams8656 3 жыл бұрын
Hongera sana Masanja
@yonajohn152
@yonajohn152 4 жыл бұрын
Asante bro
@cyprianoanthony8622
@cyprianoanthony8622 3 жыл бұрын
Aiseeee Mungu azidi kukuinua zaidi mtu wa Mungu maana ni wachache wanaoweza kushirikisha baraka wengine.🙏🙏🙏
@cosmasrobert2056
@cosmasrobert2056 4 жыл бұрын
Good sana bro
JAMAA APATA MKE KUFANYA KAZI KWA MASANJA/BATA LA KUPANDA MPUNGA
10:44
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 47 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 205 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
MASANJA USIKUBALI KUFA NJAA SHAMBANI/ MBINU HII YA KIJESHI!
10:35
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 125 М.
MASANJA  HADHARANI FATILIA MPAKA MWISHO
24:02
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 727 М.
Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi
11:32
Pesa360
Рет қаралды 67 М.
MASANJA: INAITAJIKA UMAKINI MDA WA KUVUNA MPUNGA (mchongo wa kilimo)
11:53
MASUKA: Kutoka kumiliki ghala la nafaka hadi hoteli ya kisasa Geita
6:18
Daily News Digital
Рет қаралды 12 М.
KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM
29:22
Gangana Info Channel
Рет қаралды 12 М.
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 950 М.
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 1 МЛН
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 60 МЛН
Duman - мен болмасам кім? (Mood Video)
2:35
Duman Marat
Рет қаралды 122 М.
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 739 М.