Tazama matukio yote muhimu pamoja na goli kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar uliopigwa katika dimba la Azam Complex, Chamazi. Goli limefungwa na Mudathir Yahya
Пікірлер: 18
@roudhamahmoud76323 күн бұрын
Inauma pole gamond sihaba tumeshinda
@user-ru2zp5nk2u23 күн бұрын
Alaah! Bahatiyenu Azam mumenyoosha maelezo
@directorjoxnvany629523 күн бұрын
Mm wa kwanza
@iddiyrashid168223 күн бұрын
Waamuzi wa mchongo wakasome sheria za mpira
@NizzohDejoz-ff1ib23 күн бұрын
Wa kwanza nizzoh
@anastaziagabriel801523 күн бұрын
Nimezielewa jes za kagera sugar
@user-io2rj2yp5d23 күн бұрын
Duuh ila Kagera walitaka msimu huu uishe pasipo sisi kuchukua matokeo kwao
@yangacongosupporter605123 күн бұрын
Yanga mbele Big team
@salimmalaka25623 күн бұрын
COCHA LA MACHOGO FC HANA NIDHAMU LIFUNGIWE TU
@abrahamabinala525023 күн бұрын
Tunashukuru kwa kuposti video ilio enea mana mlitoa boko
@user-io2rj2yp5d23 күн бұрын
Muda muda ww ni hatarii nyakati za kuchoka ww unatupa faraja
@mwajumampokileomckapela754123 күн бұрын
Wekeni highlight ndefu jmn mbona mnakera hivi mnakata vipande ndo nini sasa
@hasanimohamedi27923 күн бұрын
waamuz waamuz ipo siku yenu 😂😂
@yunusimchala656923 күн бұрын
HUYU MINZIRO NI FALAA FULANI ANAIKAMIA YANGA TU. LAKINI SIMBA ANAWAPANULIA KIULAINI SASA KIPO WAPI YAANI WW NA MKWASA NI MAMLUKI CKU NIKIWAKUTA JANGWANI MNAKULA BAKOLA NAKUMBUKA MKWASA ALITUNYIMA UBINGWA AKIWA PRISON KWA KUTUFUNGA WAKATI ILE GEMU HAIKUWA NA UMUHIMU KWAKE
@salimmalaka25623 күн бұрын
FALA WEWE
@malietamalieta965823 күн бұрын
Weken highlight ndefu sio vipande vipande bhn😂
@idybwoytz848523 күн бұрын
Azam tv 📺 miyeyusho San video sio nzulii vipendeee