Wanataniana bwana...hongereni vijana Mungu awabariki kwa majitoleo yenu
@jumambwambo6 ай бұрын
Hakika hii ni zaidi ya undugu jana wetu wameleta kitu kuzuri sana hasim ibwe wewe ni mtu wa maana sana ali kamwe wewe unajua sana
@MagdaleneMambo6 ай бұрын
Mimi sina timu hapa,kwa sabsbu wote ni wanangu. Nawapongez sana tena sana Hawa vijana, kwa kazi nzuri wanayofanya.pongezi pia kwa vijana wenziwao waliohusika.pongezi kwa viongozi wote,pamoja na wananchi wote waliohusika.Mwenyezi mungu awabariki sana Watanzania wenzangu🙏🙏
@zaitunsuleiman58516 ай бұрын
Aisee hawa watu wawili Job na kibwana Mungu awabariki sana nawapenda sana
@reginaldmapunda67026 ай бұрын
Kibwana na Job nyakati zote wamekuwa ni kiburudisho tisha ndani na nje ya uwanja. Mmetupa burudani na msijali nani kashinda nyie wote ni washindi na walioshinda zaidi wake walengwa yaani wape furaha mama zetu. Big up Kibwana na Job.
@malietamaliet6 ай бұрын
😂😂😂kiukweli mm nawapenda ibwe na kamwe nanakaufanano vile ila kuna yule zakazakazi na Ahmed ally vyenye nimakolo na roho zao zinaendana Asante sana kibwana na job pia ibwe adi alikamwe sauti imemshika
@allytwalib77876 ай бұрын
hii ni zaidi ya burudani , thumb up for all ,,, appreciate
@AshimuMuhammad6 ай бұрын
Ahahhhhh yn mungu awatunze sana kwa kuprudisha kwa jamii🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@errydeo88656 ай бұрын
Asanteni sana! God Bless you all.
@Carolina-sm5zt6 ай бұрын
Nimewapenda vijana hongereni sana
@philberthphilipo1896 ай бұрын
Something amazing
@abubakalimavumbi58466 ай бұрын
Ahahaha 😂😂😂😂😂 dah kibwana analiaaa😢😢😢😢 pole sana
@merinachalinze-rn2cc6 ай бұрын
Mungu awabariki
@rockkubhe64166 ай бұрын
Kibwana kaka kumbuka kuna maisha mengine baada ya mchezo kaka job ni best yako
@GeradinaJohn-xh8pw6 ай бұрын
Ni utani tu hao wote nahisi bado ni marafiki tu
@JumaMngumba6 ай бұрын
Utani tu hapo😂
@AshimuMuhammad6 ай бұрын
Utani tu huo Wala sio ugomvi
@magrethmakauki2356 ай бұрын
Kibwana mpige job kwenzi moja kichwan maana kakuonea😂😂
@Kacho-x1h6 ай бұрын
Sometime kuwasikiliza hawa madogo uleta furaha sana Ali na Ibwe
@carrenbenson21116 ай бұрын
Kibwana ,job wanapendana sana
@ShafiiKikopa6 ай бұрын
All very nice,,,full amazing
@OscarStide6 ай бұрын
Wajamaaa wanajuwa❤
@dochikibaraza29446 ай бұрын
Ibwe na Kamwe mnastahili pongezi saaana kwa hili mlilolifanya, burudani tosha.
@FarajaMzila6 ай бұрын
Hongereni sana job na kibwana
@romwaldkj47546 ай бұрын
Utamaduni mzuri sana wa utani wenye kuleta furaha
@HassanSeif-mh6oh6 ай бұрын
Hana mkataba wa maisha kibwana bhna😂😂😂😂😂
@moshielfesty79926 ай бұрын
Pole kibwana
@zaitunsuleiman58516 ай бұрын
😂😂😂😂kibwana bwana
@mohammedyjshemweta13906 ай бұрын
Hii ni kubwa sana kuliko Ile ya zenjii
@ceankiiza99456 ай бұрын
Rahasana eti kocha Anamkataba wa maisha 😂😂😂
@tabithadaniel73646 ай бұрын
Wape tabasamu imekuwa kubwa kuliko samakiba
@OscarStide6 ай бұрын
Wajamaaa wanajuwa
@Sidrasidra6366 ай бұрын
Masikini Kibwana😢
@merinachalinze-rn2cc6 ай бұрын
Wanafurahisha sana
@KelvinRobert-mn2mn6 ай бұрын
Ila kibwana😂😂😂😂😂
@jaffjeff69126 ай бұрын
We Mshery goli gani ilo ulofungwa
@malkandrew29216 ай бұрын
Team job noma sana 👍
@issayandeki99856 ай бұрын
Nimecheka hatari, kweli wameshinda wote 😂😂😂🎉🎉🎉
@emmanuellupiga6 ай бұрын
Mdathir kala hela na akachza kwao
@ribelathaponsian4216 ай бұрын
The best enjoyment 🎉❤
@sarahmtuka22926 ай бұрын
Job ni mkimbizi Moro 😂😂
@damasdaudi77996 ай бұрын
Feisal sehem aliyopo engineers hersi hawez kuja
@thadeylyimo97726 ай бұрын
Hahaha. Habari za membe kuangusha kabati
@josephlorri4316 ай бұрын
Dogo hana adabu... hakuna ugomvi usio na mwisho
@SophiaChmpaya6 ай бұрын
Acha uwongo adofu mbna alikuwepo@@jemimabakari
@consolathamlimi78836 ай бұрын
@@jemimabakariwakina msindo mtasigwa yahaya zaid lianga had lusajo mbona wapo pamoja na sop
@jemimabakari6 ай бұрын
@@consolathamlimi7883 kweli bhana, walikuwepo.Basi ana kisirani.Lakini wenzie wanamsapoti
@hidayahassan80146 ай бұрын
Imecheka😊
@KelvinRobert-mn2mn6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂,,nikosage tu ya kula ila bando ni weke jaman
@bennamush46166 ай бұрын
Aah weee usinitania hujawahi kutana na njaa😂😂😂
@RehemaYakuti6 ай бұрын
😂😂😂 kibwana
@MalaikaBright-rv6yb6 ай бұрын
Gawaneni bhaaanaaaa jamani kibwana 😂😂😂
@Kisimbi-on2ju6 ай бұрын
Kumbe mpak huko mnatumea tgo pesa😮😮😮😅😮😮😮😅😅😅😅😅
@Tunually6 ай бұрын
😂😂😂Ibwe
@emmanuellupiga6 ай бұрын
Hamuachagi kulalamikia refer
@jr_mkumbojr6 ай бұрын
😂😂😂😂Bacca anataka kupitiliza Dodoma
@HappyAntenna-mt2kf6 ай бұрын
Hahahahaha
@WitnessMasunga6 ай бұрын
😂😂😂
@remidusmwanandenje-yy5gs6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@daudimichael73386 ай бұрын
Ibwe acha lugha za kutaka kuharibu mashindano hayo. 😂😂😂😂
@thetrends4726 ай бұрын
Anatania tu ila inafurahishaaa😂😂
@ZuhuraIsmail-xb4cx6 ай бұрын
😂😂😂😂
@MalaikaBright-rv6yb6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@GabrielSky646 ай бұрын
Engineer Hersi kanunua Marefa😂😂😂 . Ila Cha kujiuliza Tajiri kabisa GSM timu kibwana 😅