Рет қаралды 9,766
Tazama magoli makali yaliyofungwa na Azam FC kwenye mchezo wa leo wa hatua ya makundi Mapinduzi Cup.
Wafungaji wa magoli ya Azam FC ni Alassane Diao na Pascal Msindo wakati lile la kufutia machozi kwa Vital'O likifungwa Nahodha, Jean Nzeyimana kupitia mkwaju wa penati.