Hii Gari Ukiweka Lita Moja Ya Petrol Inaweza Kwenda Hadi Kilomita 40

  Рет қаралды 65,983

Snashtz

Snashtz

11 ай бұрын

Hii ni gari aina ya Raize ya mwaka 2022 kutoka Toyota. Ni gari la Hybrid na Petrol.
FAHARI MOTORS (T) LTD / faharimotors_sales wamefanikisha mchongo huu mzima.

Пікірлер: 158
@rahimaidd
@rahimaidd 11 ай бұрын
Ungekuwa vizuri kila unapotangaza gari ungekuwa unaweka bei ili iwe wepesi kwa wazamaji wanunuzi
@peninashungu6633
@peninashungu6633 10 ай бұрын
Kama mm nataman Gari Nina M2 tayari
@fallykhan2383
@fallykhan2383 11 ай бұрын
Saut imechanganyika na upepo so jitahidi video nyingine utakayofanyia nje uwe makin kweny saut. Vinginevyo kua unaingizia saut kwa mala ya Pili studio❤
@sebatech3951
@sebatech3951 11 ай бұрын
Asante kaka Snash nime furahia sana
@outzone66
@outzone66 11 ай бұрын
Location nzuri. Ila maudhui yamerushwa na noise(sound) distribution, pia camera cloud (sky) distraction. But umejitahidi
@Kim3607
@Kim3607 8 ай бұрын
Mbona huja taja bei ya toyota Raize #snash ume tisha
@sydneymdindile4804
@sydneymdindile4804 11 ай бұрын
Sio kweli kaka fanya utafuti zaidi watu tunaelewa
@UWESUHMADY
@UWESUHMADY 10 ай бұрын
Kaka kama kweri up tayali kuifanya iyo kazi basi tafuta maiki nzuri ili weze kusikika ❤❤❤
@christopherongenga7676
@christopherongenga7676 10 ай бұрын
100%
@absonfungo5091
@absonfungo5091 11 ай бұрын
asante bei yake mkuu
@kawanga0073
@kawanga0073 11 ай бұрын
Gari moja kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏👏
@barakamateru7615
@barakamateru7615 11 ай бұрын
Hii gari nilitaman saana kuijua ...and I love it
@jibririjamshidi
@jibririjamshidi 11 ай бұрын
Upo sahihi sana mzee nakukubari sana
@snashtz
@snashtz 11 ай бұрын
🙏🏽
@Kim3607
@Kim3607 8 ай бұрын
Snash upepe sisi sikii vizuri
@princemosha4566
@princemosha4566 11 ай бұрын
Upepo snash tumia Adobe Podcast ina AI mzuri Sana. Wa kupunguza noise hizo
@beberu29
@beberu29 11 ай бұрын
Snash kaka naomba nipe review ya move moja ya BIRD Box BARCELONA please
@samigofute1130
@samigofute1130 9 ай бұрын
Gari kali sana
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 10 ай бұрын
Inauzwa bei gan
@Matatasaid
@Matatasaid 11 ай бұрын
Sawa
@benjaminchengula8674
@benjaminchengula8674 11 ай бұрын
Mnaweka namba tukipiga hazipokelewi je nikiagiza hamtapokea sm miaka mingapi??
@erickbabu4404
@erickbabu4404 10 ай бұрын
Bei gan
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 11 ай бұрын
Kuna upotoshaji baadhi ya maeneo. Hada hizo KM si kweli
@HashimMbamba-zl1in
@HashimMbamba-zl1in 11 ай бұрын
Jaribu kutuwekea bei ili tupate movition ya kununua na ss tujue kiwango Cha mifuko yet......lakin tumia mic unapo record upepo una fanya usisikike vzur
@percivalmkanyia6494
@percivalmkanyia6494 10 ай бұрын
Nimeingia Google nimeona kiasi hicho cha mafuta si kweli
@user-oq6sh8qh5g
@user-oq6sh8qh5g 11 ай бұрын
Nipe bei
@patrickKitambo
@patrickKitambo 11 ай бұрын
Hii ninayo mim daihastu rocky ya 1995 gari nzuri sana
@user-cj6ry2hl1u
@user-cj6ry2hl1u 11 ай бұрын
That is my car☝️👽
@machasofficialsite6221
@machasofficialsite6221 11 ай бұрын
Fanya review ya nissan xtrail new model ya petrol
@godmlamka2194
@godmlamka2194 11 ай бұрын
Sema Broo upepo mwingi sana apo ulipo
@therealaitar4149
@therealaitar4149 11 ай бұрын
Upepooo rudia hii
@snashtz
@snashtz 11 ай бұрын
Pole
@lazarusloveness9115
@lazarusloveness9115 11 ай бұрын
upepo kaka
@snashtz
@snashtz 11 ай бұрын
Pole sana
@StevenMagema-ik2yt
@StevenMagema-ik2yt 11 ай бұрын
Daaah upepo unazingua kaka tunashidwa kukusikia vizuri naomba uiludie ilii tukuelewe vizuri😢🙏🏾
@paullubida8058
@paullubida8058 11 ай бұрын
Duhh 😮
@kasimjuma6649
@kasimjuma6649 10 ай бұрын
vip spare zake na service yake??
@swaleh_hassan
@swaleh_hassan 11 ай бұрын
Pacha wa urban cruise
@victaboy7273
@victaboy7273 11 ай бұрын
Du. Huyu jamaa sitamwamini tena.
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 11 ай бұрын
Toa bei
@Satier47
@Satier47 11 ай бұрын
😮 bei
@fadhilifredrick4115
@fadhilifredrick4115 11 ай бұрын
bei gani
@EbenezerRajabuMwamengo-pq5ev
@EbenezerRajabuMwamengo-pq5ev 5 ай бұрын
Watu wengi tunapenda kujuwa bei siyo maneno mengiii
@mwesigwambeikya3612
@mwesigwambeikya3612 11 ай бұрын
Brother tunaomba review ya Mitsubishi outlander
@lusajomoses7009
@lusajomoses7009 7 ай бұрын
Habari kaka, hili gari ni kiasi gan cha pesa?
@shedyclever9014
@shedyclever9014 11 ай бұрын
Gari Kali mno. Tatzo ndan plastic nying inafanya gari inakuwa inaingiza saut za nje ata kama umefunga vioo🤔
@dausonnelson4125
@dausonnelson4125 11 ай бұрын
Tatizo Upepo mwingi aisikiki vzr
@godfreylasway1450
@godfreylasway1450 11 ай бұрын
Bei
@ommymwamba
@ommymwamba 10 ай бұрын
Snash watu wa android umetuchukuliaje lkn
@MartinDavid-yt3nz
@MartinDavid-yt3nz 11 ай бұрын
Itakuwa bei mbaya
@daudimanjeleza2416
@daudimanjeleza2416 11 ай бұрын
Hii kila kitu kama Daihatsu Rocky mpaka muonekano
@joelmutagwaba255
@joelmutagwaba255 9 ай бұрын
Ni gari hiyo hiyo, toyota wakiiuza ndio inakuwa inaitwa toyota raize. Ila design na utengenezaji ni daihatsu rocky.
@jakembazi
@jakembazi 11 ай бұрын
Umeua mkuu
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 11 ай бұрын
Gari ya mwaka 2022 aina android radio!!!!!?????????????
@abrahamkaksi3040
@abrahamkaksi3040 10 ай бұрын
Video sauti mbaya haijatulia Kwanin usitafute sehem nzur ili ufanye revew ikawa na saut nzur
@user-oe8ee5tw7l
@user-oe8ee5tw7l 11 ай бұрын
Ni bei gani Injinia
@francolazaro8646
@francolazaro8646 11 ай бұрын
Sasa we Mtangazaji... USB na typ C hujui tofaut yake 😁 😁 😁.... USB ni USB lakin typ inategemeana na wew unatmia typ ipi... USB typ c... USB typ iphone... USB typ smart........ Sas wew unasema kwann ety wameweka USB badala ya typ C 😂😂😂😂
@habililailo271
@habililailo271 11 ай бұрын
Ujasema inauzwaje
@abdallahabibu8340
@abdallahabibu8340 11 ай бұрын
Labda ni IST iyo
@chrizostomchristian1884
@chrizostomchristian1884 11 ай бұрын
Weka bei
@BenLeeBl
@BenLeeBl 10 ай бұрын
Sikunyingine tafut sehem isiyo na upepo
@solomloganzala678
@solomloganzala678 11 ай бұрын
Naiitaka hio gari
@user-rp2yq4il6u
@user-rp2yq4il6u 11 ай бұрын
Price plz
@saidallysaid7981
@saidallysaid7981 11 ай бұрын
28km/l sio 40km
@victorcephas3618
@victorcephas3618 11 ай бұрын
Muwe mnaweka bei
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 10 ай бұрын
Toyota = takataka
@thomasshebila721
@thomasshebila721 8 ай бұрын
Dollar ngapi gari hiyo!
@LoemaGwaltu
@LoemaGwaltu 3 ай бұрын
Hiyo sh ngapi?
@richardnganya2311
@richardnganya2311 11 ай бұрын
Nchi hii uongo unatamalaki !!
@bakarykijazi293
@bakarykijazi293 11 ай бұрын
Kwakuwa wabongo hatuna akili,bas tutakuamini tu maana hata pikpk ukitia robo Lita utaenda kilomita 100 zipo
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 11 ай бұрын
Sema wewe ndio huna akili
@testmyphone1305
@testmyphone1305 11 ай бұрын
duh inamana hata tank la mafuta likiwa na harufu ya petroli gali linaweza kuenda 😂😂😂😂😂
@daudjohn752
@daudjohn752 11 ай бұрын
😂😂 sure
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 11 ай бұрын
Mhhhhh kweli
@KennethKonga-gb9hm
@KennethKonga-gb9hm 11 ай бұрын
Jalibu kubalanc upepo
@libeberu
@libeberu 11 ай бұрын
Huu ni UONGO kweupeeee. Hata bajaji haifiki 40km kwa lita
@seifsaud
@seifsaud 11 ай бұрын
Sio ukweli mimi naitumis inakwenda km 22 kwa Lita sio 40
@hurumasaimon3651
@hurumasaimon3651 11 ай бұрын
Ulinunua Bei gani
@prospersanga7942
@prospersanga7942 11 ай бұрын
Na Ni ya mwaka gani? Hiyo ya kwako ya litre 01 per 22 km
@abdulngonyani8104
@abdulngonyani8104 11 ай бұрын
Ukiwa unafuta alichoandika manufacturer kuhusu fuel consumption na utakapokuja kutumia hiyo gari utakua very disappointed. Anachokiandika manufacturer ni test ya kwenye lab with very special conditions ambazo wewe hautaweza kuzifikia, ndio maana mtengenezaji anakuambia gari hii inaenda 25km per litre lakini ukijakutumia wewe ni 10km per litre . Kwahiyo usiwe una google huko na kuja kutuambia 40km per litre
@Kimjongun4996
@Kimjongun4996 11 ай бұрын
Tuwekee bei bhana,mbona km unatutamanisha sasa tupe bei.
@johnkessy6023
@johnkessy6023 11 ай бұрын
Bei ya Raiz hujagusia
@user-qf3so2qk6l
@user-qf3so2qk6l 10 ай бұрын
He bei yake?
@officialtrojanhorse
@officialtrojanhorse 11 ай бұрын
Usb and type c 😢 what's difference
@mcvirgomleziofficial
@mcvirgomleziofficial 11 ай бұрын
😂😂😂
@dennisevarist
@dennisevarist 11 ай бұрын
USB A na USB C au USB type A na USB type C. Hii USB A ndio hii watu wamezoea kuitaja tu kama USB ila ina type yake ambayo watu wasiozifuatilia hawazijui. Hivyo unapomueleza mtu unasema tuu USB na type C ili mbongo akuelewe
@ridhwanshuma7858
@ridhwanshuma7858 11 ай бұрын
Now days kuna type C to type C ndicho alichotaka kueleza. Tumezoea Usb port to type A au ile ya usb port to type C
@benjaminyakobo7792
@benjaminyakobo7792 11 ай бұрын
Nimekubari shingapi
@naseebjoseph5330
@naseebjoseph5330 11 ай бұрын
Mbona leo kuna noise
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 11 ай бұрын
Chuma ni Daihatsu Rocky kitu kinanusa tu wese...
@patrickKitambo
@patrickKitambo 11 ай бұрын
Mim ni nayo ya mwaka 1995
@firemototv3735
@firemototv3735 11 ай бұрын
Umezingua hyo vdio kabla hujatuma ungekagua huo upepo hatukuelewi
@snashtz
@snashtz 11 ай бұрын
Pole sana
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 11 ай бұрын
Sasa wewe upo kwenye matangazo bado kelele yani hata kujua nini maana tangazo la biashara.
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 10 ай бұрын
Hakuna gar inaenda km 40 kwa lita fala wewe
@amrozwhite1073
@amrozwhite1073 11 ай бұрын
UPEPO UNAZINGUA HATUKUELEWI HM NAKUPENDA KUKUSKILIZA TU MANA PESA YA KUNUNUA SINA
@snashtz
@snashtz 11 ай бұрын
Pole
@husseinhatib5875
@husseinhatib5875 11 ай бұрын
Snash upepo unazingua
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 11 ай бұрын
Bei gani dogo?
@mwishobeatz4794
@mwishobeatz4794 11 ай бұрын
Aah boss unadamganya Sana Toyota Raize 1.0 turbo inaenda 22km per L.T Na 1.2 G inaenda 24km L.T. Na Town 1.0 turbo 10km L.T Na 1.2 G Town itatumia 12 L.T.
@donnieblasto2315
@donnieblasto2315 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 anatulisha matango pori
@mwishobeatz4794
@mwishobeatz4794 11 ай бұрын
@@donnieblasto2315 Yuko sawa ni mess kidgo tuu Namkubali sana @snash tz
@edlumala9428
@edlumala9428 11 ай бұрын
Dogo afanyi tafiti kabisa! Anaongea sana bila data
@dennisjulius1136
@dennisjulius1136 11 ай бұрын
Lbd lita moja ya oil na sio petrol
@rogershaule6785
@rogershaule6785 11 ай бұрын
Hizi gari kuna ambazo Fuel type ni Hybrid(Petrol), kwahiyo zinaweza zisifike hiyo distance kulingana na uendeshaji lakini normally ni 25 to 30 kilometers per liter. Pia kumbuka zipo za 4WD(tegemea High fuel consumption) and 2WD(Low fuel Consumption).
@kasimjuma6649
@kasimjuma6649 10 ай бұрын
bei Gani wewe
@jeremiahmwanyanje5012
@jeremiahmwanyanje5012 11 ай бұрын
upepo mwingi kk kunavitu vingi atujakusikia
@snashtz
@snashtz 11 ай бұрын
Pole Kwa tatizo hilo
@PENTESTING122
@PENTESTING122 11 ай бұрын
kaka nimekusikiliza kwa makini sanaa ila ulivoongelea HIJACK aseeeee idris elba apewe heshima yake tu ,a person using Negotiation to solve terrorism hahahaa😂😂😂
@snashtz
@snashtz 11 ай бұрын
😂😂😂
@yoramlusinde3166
@yoramlusinde3166 11 ай бұрын
Unasifia gar au unauza
@sadikimwalongo7871
@sadikimwalongo7871 11 ай бұрын
Sema bei?mkuu
@izzytv.7169
@izzytv.7169 11 ай бұрын
MBONA MAIKI YAKO INA NASA UUPEPO VP? MKUU HAIVUUTII
@godsonandwele5265
@godsonandwele5265 11 ай бұрын
Gari kali afu haina BEI huu ni Upumbavu..mnatafuta followers tu nyie😯😯
@Memphisblue22822
@Memphisblue22822 11 ай бұрын
usb........ type c 😂😂😂😂😂
@mohamedkitemwe3569
@mohamedkitemwe3569 11 ай бұрын
Kwa mm mchumi inanifaa
@hilalymunisy762
@hilalymunisy762 11 ай бұрын
🤣🤣mchum unatolea wap hela zakununua hii gar
@ellymlay9266
@ellymlay9266 11 ай бұрын
Kuhusu Bei, next time utupe na Bei na je? Sisi tunaishi uswazi vijijini Huku Hiyo gari Ina 4wd au Ni gari ya kwenda kula Bata tu?
@paschalkiniofficial123
@paschalkiniofficial123 11 ай бұрын
Hii ni cc ngapi mzee
@rademm8924
@rademm8924 11 ай бұрын
990
@johnkessy6023
@johnkessy6023 11 ай бұрын
Bei ya kuanzia dokeza Basi nipo Dodoma
@snashtz
@snashtz 11 ай бұрын
Tupigie simu +255 756 445 759
@thomasmweupe2245
@thomasmweupe2245 11 ай бұрын
Unafeli kitu kimoja hausemi bei
@husseinyunus298
@husseinyunus298 11 ай бұрын
Uongo mtupu
@timobrownfighter
@timobrownfighter 11 ай бұрын
Kaka nini maana ya SUV
@fidahkileo306
@fidahkileo306 11 ай бұрын
Super Undery vehicle
@waltertesha3312
@waltertesha3312 11 ай бұрын
Sport utility vehicle (SUV) kama sijakosea😊
@snashtz
@snashtz 11 ай бұрын
Sport utility vehicles
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 11 ай бұрын
​@josephleonard-78ndio Nini Sasa.kingeleza kwetu Bado sana kaka
@prospersanga7942
@prospersanga7942 11 ай бұрын
Unayesema sio kweli haitumii kiasi hicho Cha mafuta, ya kwako Ni gari ya mwaka gani?
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 11 ай бұрын
Huyu anaongopea kwenye ulaji wa mafuta sikubaliani naye kabisa
@shedyclever9014
@shedyclever9014 11 ай бұрын
Pengine ina push na umeme boy hujaskia.?
@JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc
@JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc 11 ай бұрын
Bei gani?
@barakamateru7615
@barakamateru7615 11 ай бұрын
Kasha omba radhi ya saut
@snashtz
@snashtz 11 ай бұрын
🙏🏽
@jumalihumbo5314
@jumalihumbo5314 11 ай бұрын
How much
@richytarimo4656
@richytarimo4656 11 ай бұрын
imezid hata bajaj yan lt 1 km 28 duh rahaa sana
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 11 ай бұрын
😂😂😂
Wow Usinunue Toyota RAV4 2020 Kabla Hujatizama Hii Video!
15:02
ACHANA NA IST, NUNUA 2010 MAZDA VERISA, UTANISHUKURU.
17:26
THE CAR LOVERS TZ
Рет қаралды 3,1 М.
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 525 М.
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 31 МЛН
KWANINI TOYOTA HARRIER NI GARI YA OVYO...
8:59
East Cars
Рет қаралды 37 М.
KAMA UNA GARI ANGALIA VITU HIVI KABLA HUJAWASHA GARI KILA SIKU
7:13
ONLINE TRAINING 86
Рет қаралды 4,6 М.
UCHAMBUZI WA GARI LA AINA YA  HONDA | DR. MECHANICS
25:00
Roc TV
Рет қаралды 30 М.
Toyota Ist Tanzania
11:19
Ndinga za Bongo
Рет қаралды 115 М.
Honest kami dito! | 2024 Toyota Veloz 1.5 V CVT Review
23:45
SasayadBaPaps
Рет қаралды 15 М.
USIICHUKULIE POA HII KARATASI  "KWAKO UNAETAKA KUNUNUA GARI USED"
16:03
Игровой Комп с Авито за 4500р
1:00
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 2 МЛН
Красиво, но телефон жаль
0:32
Бесполезные Новости
Рет қаралды 122 М.