Nikweli kabisa mafundi wengi wanajua kutazamia sio kujua jambo
@Onlyforfun1992tube11 ай бұрын
Mimi wa pili kucomment mamae
@ItzJerrywrld11 ай бұрын
Jua kali 😂😂
@omarysaid872511 ай бұрын
Hapa kwenye hizi gari injinia alitupiga sana na alitengeneza hii gari chini wa kiwango
@DerickNgowi-mf5pe11 ай бұрын
Hizi gar za duals zinaungua sana nimeshuhudia tatu
@saidrashid104711 ай бұрын
Nitanunua Leyland
@wakililusubilo470611 ай бұрын
Imekaa kibiashara sana hii,😂😂
@bbclondonulimwenguwasoka6126Ай бұрын
Yana mwonekano mzr lakini sasa kuungua huko siwezi jiingiza mkenge
@FredyVincent95175385245611 ай бұрын
Tatizo watu hawasomi manual ya gari😎
@Mukhusin0211 ай бұрын
Huyo jamaa wa BM hakujibu maswali kitaalamu, yeye ameangalia zaid kwenye kujitangaza, kwani IST, PRADO, CRUISER, HARRIER, N.K kwani wao hawafanyi modification!!? Fundi ndo katoa technical lakini bado hailizishi maana kwa nini iwe kwa Dualis zaidi.
@MujuniKamugisha11 ай бұрын
Kama hailizishi toa wewe sababu zako
@NgengeMkeni-uo5hq11 ай бұрын
Mafundi wetu wamezoea kufanya wiring za Toyota. Ni kama vile fundi aliyezoea kufanya wiring za majumbani ukimpa kazi ya kufanya wiring umeme wa viwandani lazima apate shida.
@Jameskaguo11 ай бұрын
pia inaweza kua fuel leak
@godfreymartine585711 ай бұрын
jamaa wa kwanza muongo sana atleast fund kidg
@basekekasusu318611 ай бұрын
Kwan crown hazifungwi music mbona zenyew haziwaki na kwann zina matukio ya kufanana zote
@herrwin.11 ай бұрын
ukweli umefichwa, sijui why!!!.. tatizo hapa ni engine kupata joto sana, angalau yule alisema nunua gari kuanzia 2010, maana before hapo ndio zinaongoza kuwaka moto, ila za 2010 na kuendelea, nissan walijitahidi kuzirekebisha.. ( kama unayo ya miaka ya nyuma, unashauriwa ununue after market engine cooler na utamaliza tatizo kabisa) ..
@mussamayawa81711 ай бұрын
Ila umeogea ukweli kabisa engine za sasaiv sio nzuri sana
@rashidabdallah582511 ай бұрын
Ukweli ambao hawaisemi ni kua,hizi gari hazijaundwa katika specification za huku kwetu,watanzania tunanunua gari bila kuangalia ni specification gani,mfano katika nchi za jangwa gari zao zina tofauti kabisa na gari zingine zinaitwa gulf specification vehicles,huku kwetu mradi gari ina umbo zuri tunanunua tu
@tanzaniacarschannel697511 ай бұрын
Acha uongo...yaani choto la engine ndo lifanye Gari iwake moto? Are you serious?
@rashidabdallah582511 ай бұрын
@@tanzaniacarschannel6975 choto ndo nini
@tanzaniacarschannel697511 ай бұрын
Sema tu elimu ya umeme nadhan kwa mafundi wa Tanzania ni shida
@DerickNgowi-mf5pe11 ай бұрын
Jibu unachoulizwa.....dada angu kabisaaaa gar yake kama hii imengua
@josetobiasimwashangwa39032 ай бұрын
Bado hujajibu mbona zingine zinafungwa na haziwaki
@experienceafrica690511 ай бұрын
Fundi maiko😂
@JUSTNEMITOMINGI11 ай бұрын
Wabongo wanazihalibu
@josetobiasimwashangwa39032 ай бұрын
Huyo bado hawezi kujibu
@yusuphkidoto676611 ай бұрын
Mbona zingine haziwaki na tunafunga mizki minene atar
@everistmayunga489111 ай бұрын
Huyo fund umeme muongo,fuse inapokuwa overloaded inadisconnect(inakata) sasa hapo inasababisha vipi wire kuungua
@meshack326611 ай бұрын
Izo gari zinashida nyingine wala sio mziki au vitaaa
@EsterJaphet-p4m11 ай бұрын
Hajui kitu huyo. Yaani hata chembe hajui.
@saidimwanyiro514711 ай бұрын
Hapo umelenga biashara tu
@joaquimmasengwa12836 ай бұрын
Jibu swali na siamelezo. Umeulizwa ni wateja wangapi wamekupigia kuwa maga yao ysmeungua moto?
@michaelsamson966311 ай бұрын
Vighal vinaghalama
@innocentchuwa526911 ай бұрын
Hilo toleo linashida ndiomaanda kampuni ilisitisha kutengeneza
@jospehfabian785611 ай бұрын
Acha kuzingua bhana. mi mwenyew ni fundi unachokiongea hakina maana hata kdogo
@wawerukamau126011 ай бұрын
Huyo ana visingizio vingi. Wire zote za moto (electric) kutoka kwa battery lazima zipitie kwa fuse kwanza. Kazi ya fuse ni kuzuia short kabla wire hazija chemka
@denismosha667111 ай бұрын
Huyo fundi kaongea kuhusu cover ndiyo zinachoma gari hakuna kingine
@taucdulle746011 ай бұрын
Hawa jamaa ni matapel wanachukua pesa za watu na gari na stor zinakuwa nyingi….wakishanitapel 4m zangu
@paschalm984911 ай бұрын
😢Mbona gari zote tunaweka mziki. Dualis ina nini mpaka iungue?
@denismosha667111 ай бұрын
Huyu jamaa hajajibu swali kwani gari zinazo fungwa Music ni hizo tu
@gordiansoko911311 ай бұрын
Wengine mnao comment hata bajaj hamna acheni uzushi.
@TheBestPhone791811 ай бұрын
Kwahiyo iwe kwa dualis tu? Zingine wanaweka mbona haziwaki??
@pumarice271011 ай бұрын
Na kwanini iwe dualis tu?? Magari mengine mbn poa tu, SEMA hizo gari kitengo Cha umeme walifeli bana.
@MujuniKamugisha11 ай бұрын
Leta sababu zako za kitaalamu usiltuletee siasa
@Hopefx_11 ай бұрын
alicho sema fundi habari ya cover yupo sahihi ni sababu kubwa sana
@meshack326611 ай бұрын
Izo gari zinashida msitudanganye wewe kwan zote zilizo ungua zote umeambiwa zilifungwa mziki
@zainabwage465811 ай бұрын
😂😂😂
@king_maik637511 ай бұрын
😅
@Revocatus-e6k11 ай бұрын
Mbona mengine hayajafungwa mziki na hayaungui?????😮
@ishipalemypasco256711 ай бұрын
Mbwa huyu anataka kuzitetea ili auze kwa sbb naona hapo anazo nyingi zitadoda
@usercabal11 ай бұрын
Gari isiungue japan ziungue bongo wana zichokonoa alafu hawana ufundi wowote ule
@Gamba8111 ай бұрын
Japani ziliungua 30 kwani hujui
@MujuniKamugisha11 ай бұрын
@@Gamba81Acha kudanganya watu
@emmalyanga372611 ай бұрын
Gamba muongo aseeew😂@@MujuniKamugisha
@Gamba8111 ай бұрын
@@MujuniKamugisha 🤣🤣🤣🤣 weeee nayeeee
@Gamba8111 ай бұрын
@@MujuniKamugisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣weeeee nayeee
@ilynpayne749111 ай бұрын
Gari zina matatizo hizo kwanini toyota nyingi hazina mambo ya ku ungua ovyo 😂 Nissan ni gari mbovu
@habibnjowele775111 ай бұрын
UMESHAWAHI KUJIULIZA HIZO NISSAN TUZADAI MBOVU HUKU MBONA JAPAN NA ULAYA NORTH AMERIKA MBONA SIO MBOVU ? NA HUKO MBONA HAZIUNGUI! INAHITAJI KUFIKIRI ZAIDI BADALA YA KUSIKILIZA MANENO YA MITAANI! KWA JAPAN NISSAN NI YA PILI KWA KUZALISHA MAGARI NYUMA YA TOYOTA NA KIDUNIA NISSAN NI 6 KWA KUZALISHA MAGARI MENGI ! FUATILIA UTAJUA