Subhana Azza wa Jalla tujaalie tuwe na mwisho mwema na utujaalie tuwe wakufuzu kutokana na maswali hayo mie na familia yng na wazazi wangu na islamia pamoja.shukran sheikh.
@amenaafrica7046 Жыл бұрын
Asalamu Alykum warhmatul wabarakatu mashaAllh mungu akujaalie kheir katka majukumu yako ya kila siku akujaalie umzima na Afya,,
@nuruddin5074 Жыл бұрын
ALLAH AKULIPE KILA LA KHER INSHALLAH
@thumnathumna59462 жыл бұрын
Insha Allah kher..
@aysha8507 Жыл бұрын
Masha Allah
@awadhishabani28362 жыл бұрын
Jazakallah khaira ,Allah azid kukufungulia milango yako ya neema na baraka
@radhiambwana3353 Жыл бұрын
Subahana llah
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Shoukran sheikh walid alhadd nakubali sana mawaidha yako
@buhitexmohamed4785 Жыл бұрын
Mashallah ajalie wanetu Allah awepe elim ka yko
@binbaya9232 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@rahemaissa9867 Жыл бұрын
Eee Mola wangu naomba unijaalie qauli thaabiti ktk hayo maswali nijaalie nifaulu na uniridhie yaa Rabbi ktk kher Amiin 🤲 pamoja na wazazi wangu na kizazi changu Amiin na mume wangu pia na waumin wote kwa ujumla
@rahmamohammed9678 Жыл бұрын
Allaahumma Amiin yaa rabbil Aalamiin jaamia Muslim wa Muslimat yarabby
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu Allaahumma salii wa saliim ala sayyidina Muhammad wala alihi wa ass habihi wa jimain mashaAllaah Tabarak Allaah
@khadijatamimi2495 Жыл бұрын
Jazakallah kheira shukran
@meandme3437 Жыл бұрын
Hapo kwa Qunnut!!! Loh! 😂 😂 mbavu zangu 2023
@maryammzee3246 Жыл бұрын
Hotuba nzuri imejaa vionjo😂
@buhitexmohamed4785 Жыл бұрын
Akupe umri mrefu uzidi kutufunza
@salamajuma2931 Жыл бұрын
Hakika Sheikh walid unajua hassa kuaydh kwa bashasha unajua kufundisha hassa umejaaliwa Hekma ya kufundisha. Allah akuwezeshe zaid