Damu ya Yesu, ndio kafara safi mbele za Mungu kwa sasa.
@isaacmligo91872 ай бұрын
Huyu Muislam anahamishia Imani ya kiislam kwa wakristo hapa hamna mtu
@194summer2 ай бұрын
@@isaacmligo9187 tumevamiwa Mungu ingilia kati,,amesema damu ya Yesu aitoshi!!kweli shetani hajifichi
@michaelluziga270918 күн бұрын
Sadaka, ni mpaka mungu akuelekeze, wapi pa kupeleka na utoe nini.kwa sababu hata shetani anapokea kafara. Sadaka ili ipokelewe inatakiwa iendane na ucha kitabia.Mungu kwa kanuni ya Kimungu. Ila kwa shetani sadaka inajibu ata kama wewe ni jambazi au mchawi mwovu.hivyo tunapofundisha tufafanue vizuri kuondoa mkanganyiko.
@franciswaititu81972 ай бұрын
Uokovu sio kuhusu mafanikio,injili ya kweli ni Imani inayo kupatia kushida thambi.wakolosai 2:23 Mafundisho ya kishetani hayo. Tembea Kenya uone matajiri wasio kuwa na haja na mungu,utawahubiria nini? kupata utajiri.
@hadijaismail36193 ай бұрын
Stand ya Kibaha ,wachina walichinja Kondoo,IPM unaongea ukweli
@aishakopose262 ай бұрын
Nime kuelewa Sanaa 😂😂 ila kuku elewa wewe mpaka mtu awe na akili timamu❤ mungu akutunze❤
@nantaembanusurupia56742 ай бұрын
Usiwajibu mtumishi nimekuelewa!
@ramseyngwejela4992 ай бұрын
Aaah! Mtumishi hizo fafanuzi zako za sadaka ya mnyama na maelezo ya agano jipya ni tofauti sana. Unachanganya mtumishi na unapotea taratibu sana. Jaribu kumwomba Mungu akusaidie ili usipotoshe tafsiri za agano jipya.
@Nshimirimana-g9n8 күн бұрын
Dusaidiy number zake
@ConfusedHusky-hk4ii2 ай бұрын
Sisi watu wenye tupombali tuchije wanyama nan atatusomea Dua saidia hapo
@kafulirahillaryhabel67282 ай бұрын
Sadaka ya mnyama, shetani amepofusha ufahamu ktk eneo hili. Sadaka ya mnyama haijawahi futwa, na Yesu hakuja kutangua torati. Mimi binafsi, nimeona nguvu ya sadaka hii kuliko sadaka ya fedha ya karatasi. Ipo tofauti ya sadaka Tshs. 100,000 na sadaka ya mnyama wa thamani ya Tshs. 100,000. IPM yuko sahihi ktk sadaka ya mnyama.
@JoashJohnstonАй бұрын
Mimi naogopa kitu kimoja tu. Siku ikionekana sadaka za wanyama hazitoshi au hazifai, wasianze kutoa watu kafara 🏃🏃🏃🙀
@emanuellyatuu7312 ай бұрын
Sasa tutoe sh ngapi ili tuwe Tahiri maana tunaraka mafanikio
@TafutaPesa-b9k2 ай бұрын
Ni kweli baba hata Mimi napitia changamoto
@shabaniathumani22843 ай бұрын
wa kwanza leo kutoka simiyu naombeni hizo mnazo ombaga
@nantaembanusurupia56742 ай бұрын
Hizi nyama watu wanaenda kuchukua serikali ya mtaa wakati wa sikukuu za Idd ni makafara ya watu😢watu tuamke acheni vya bure😊
@SamwelGibaka-uc7cbАй бұрын
Kaza buti mzee wataelewa tu
@EstonKing-xn7niАй бұрын
Kuna maskini unamsaidia alaf unamkuta crabu anakunywa kinywaji kinazid Cha kwako
@josephanthon80372 ай бұрын
Wewe nitapeli waimani ila mwisho wako utakuwa sawasawa na kazi yako.
@abbyn.mwambaАй бұрын
sio taperi anaongea ukweli
@abbyn.mwambaАй бұрын
unaongea ukweli
@info-w4l8 күн бұрын
Ipm achana na jambo hilo ni ujinga uliopitwa na wakati achana na Habari hiyo unapotea sana
@194summer2 ай бұрын
Damu ya Yesu aitoshi???
@MohamedNgaula-zn7rp18 күн бұрын
KAMA DAMU YA YESU INATOSHA USIENDE SHULE WALA USIFANYE KAZI HALAFU HIYO DAMU IKUPE MAENDELEO, MJINGA NA ENDELEA KUKAA UJINGA WAKO, AMKA