Hii Ni Hollywood Usiyooneshwa Kwenye Tv | The Hollywood You Won't See On Tv...🇺🇸

  Рет қаралды 36,485

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Күн бұрын

Пікірлер: 135
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Please SUPPORT me by joining here; patreon.com/JackWaUSA
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Жыл бұрын
Big up jack kwakutumia muda wako kutujuza Mambo mbalimbali ya ughaibuni great job 👏👏
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Pamoja sana!
@ManenoMaiko
@ManenoMaiko Жыл бұрын
Sasa Jack hizo ndo pkpk zahuko
@ismailisungura3491
@ismailisungura3491 7 ай бұрын
Jack we ni nouma pa1 sana 🎉 nikiwa Port Elizabeth in S.A
@EdwardboayEdward-sx5hn
@EdwardboayEdward-sx5hn Жыл бұрын
Ilikuwa na mpango wa kwenda marekan sahivi siendi tena najua mtaa Jack kazi nzur🙌🙌🙌
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 Жыл бұрын
Jack Leo nimewahi endelea kutupa burudani kaka big up
@meshackchubwa
@meshackchubwa 6 ай бұрын
kweli maisha ni kupambana haijalishi unatokea katika mazingira ya aina ipi
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 Жыл бұрын
Leo wa kwanza naombeni like zangu jaman
@Ken-em8ve
@Ken-em8ve Жыл бұрын
T
@EREVUKATV
@EREVUKATV Жыл бұрын
Punguza ujinga naww
@elishambisse8790
@elishambisse8790 Жыл бұрын
Naishi tanzania bwn kaka vip uk marekani naona unakula bata kinoma enyew lkn una moyo san unapo ish nahao wasung wanatemby uch kabis kak mm naitw elias smb mukali wang wape hai hao waxung asee kk
@elishambisse8790
@elishambisse8790 Жыл бұрын
ivi kk mbn uy analia kwnn
@elishambisse8790
@elishambisse8790 Жыл бұрын
Kk uy alio tupia jesi yayang musalimie
@Manlike96
@Manlike96 Жыл бұрын
Good, so watanzania wanapenda kuona videos Kama hzi bro
@neemamroso6864
@neemamroso6864 Жыл бұрын
Umetisha bro
@lucykhamsin3700
@lucykhamsin3700 Жыл бұрын
Kazi nzr jack songa mbele
@JeremiaBoniface
@JeremiaBoniface 5 ай бұрын
Kazi nzur sana jack hongeraa
@stevejeremiah4497
@stevejeremiah4497 Жыл бұрын
Najifunza mambo mengi kupitia chanel hii, lakini kubwa nililojifunza na linaniumiza, Watu wengi hawana Hofu ya Mungu. Unaona watu wanatembea uchi kabisa, yani robo tatu ya mwili wa mwanamke uko patupu. Robo moja ndiyo kafunika na penyewe kafunikia tu madaso madaso. Kweli nchi hii ni nzuli sana kuishi coz I think kila kitu kipo. Ila ukiishi nchi hii kama hujitambui na huna msimamo ni rahisi kuhalibika
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Umenena vyema kabisa!!
@FocusKazenga
@FocusKazenga Жыл бұрын
Hongela sana jacki kazinzuri
@sifrajenterprises5002
@sifrajenterprises5002 Жыл бұрын
Yaaani hata kabla hujamuoji mimi nilijua tuu huyo kalewa,imenikumbusha shoga angu mmoja akilewa yeye ni kulia kukumbuka ndugu wote waliokufa😅😅😅😅😅
@lewisdavid9749
@lewisdavid9749 Жыл бұрын
😂😂
@maishayetufilm
@maishayetufilm Жыл бұрын
Pole sana Umezichelewa zile pikipiki ila bado Video ni Kali sana
@hamiskidunda9770
@hamiskidunda9770 Жыл бұрын
Number 1
@FadhilJuma-v2u
@FadhilJuma-v2u Жыл бұрын
Good jope jack
@ngaboespoir4580
@ngaboespoir4580 Жыл бұрын
A m always into your content mn
@MomadeAndurabe-ip5ek
@MomadeAndurabe-ip5ek Жыл бұрын
Mr Jack Makukubali🔥👌🇲🇿
@mjasiliamalikijana7074
@mjasiliamalikijana7074 Жыл бұрын
Nakubal Jack unatisha mwanangu one day yess tutameet
@deejayspicetv1714
@deejayspicetv1714 Жыл бұрын
My favourite channel so far. reping 254
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
🙏🏾
@queenieSamantha544
@queenieSamantha544 Жыл бұрын
Vibes on beat yues that it's poa aaaah ✌✌✌✌✌🔥🔥🔥🔥🔥
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu Жыл бұрын
Good vibe ✨
@rmbwitu1994
@rmbwitu1994 Жыл бұрын
Daaaa people live good life bro in amerika
@huntemruketv9179
@huntemruketv9179 Жыл бұрын
Video nzury
@abdallahmohammed4059
@abdallahmohammed4059 Жыл бұрын
Nakubali mzee baba
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
Naona Jamaaa anafanya Sturds hapo kweli anamizuka.
@lenardmlunga7353
@lenardmlunga7353 Жыл бұрын
kuntu sana bro jack👊
@thedicesman
@thedicesman Жыл бұрын
Jack number 1 forever
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
✌🏾
@badru1968
@badru1968 Жыл бұрын
Ongeza conversation na wachumba na wajuba
@13_young.k.i.d.d
@13_young.k.i.d.d Жыл бұрын
Hii sehemu inavisu Hatarii!!! nipeni maua yangu 😂
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
😂
@ZainaCheusi-po2ds
@ZainaCheusi-po2ds Жыл бұрын
Vibe nzuri hii Dhulkifl Abdul Malik
@charlesmandela2318
@charlesmandela2318 Жыл бұрын
Beautiful
@jeanbaek7607
@jeanbaek7607 Жыл бұрын
Aaaa huyo mzinguaji wako wengi sana hao siku nyingine usikubali wezi hao mr anyways, keep up good work
@JosephatPaul-zi1tx
@JosephatPaul-zi1tx Жыл бұрын
Nikija USA sipotei 😂, mchizi unaupiga mwingi afu Kwa mguu 🫡
@ratifua.nanjonga9924
@ratifua.nanjonga9924 Жыл бұрын
Kaka Jack huko umekwenda tangu lini, maana unaijua kila sehemu?
@seleselemani5943
@seleselemani5943 Жыл бұрын
Salute 🇿🇦=)+(=🇱🇷
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
hii camera yako inaonesha vzuri although ni kubwa ila no way good picture afu nilichogundua wenzetu wakojua una record wanawaza ni youtuber ila bongo utasikia unaturekodi ukatuuze sema wenzetu pisi kali wanyamwez wanazitolea macho wanaendelea na habari zao kingine megundua wenzetu kitu km simu ni kitu cha kawaida.
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Umechelewa Sana mpaka zimeondoka
@EREVUKATV
@EREVUKATV Жыл бұрын
Oy Jack
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 Жыл бұрын
Dah watu wanastareheka ...kweli
@johnkimulu4158
@johnkimulu4158 Жыл бұрын
The white limousine was fire 🔥🔥🔥
@shomaryabdul6862
@shomaryabdul6862 Жыл бұрын
Iyo ilisaangapi hapo kama tz
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
alivyosema she felt dizzy mawili kalewa au yuko in drugs. au alilewa kwenye hiyo bar wakamtoa nje.
@omariselemani4038
@omariselemani4038 Жыл бұрын
Brother you are very professional for sure😅😅😅
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks
@RonnieBertin-f7f
@RonnieBertin-f7f 4 ай бұрын
WALKING WALKING YOU FOUND WALKING DEAD
@standardtv3494
@standardtv3494 Жыл бұрын
hyo model sasaa hahahahahahahha
@kileosala789
@kileosala789 Жыл бұрын
Pisi Kali izo mkulaa
@thedicesman
@thedicesman Жыл бұрын
Jack Mimi no wa kwanza na ni ndoto yangu kuja marekani naomba unisaidie kunihost
@mtakimasinde6116
@mtakimasinde6116 Жыл бұрын
Dada tapeli uyo alitaka akuingize mjini ila leo amekutana na mjanja kutoka bongo mission yake imefeli 😂😂😂😂
@Haleem_07
@Haleem_07 Жыл бұрын
Uhakika Bob 😂
@dibara5423
@dibara5423 Жыл бұрын
uyo mdada atakumaliza broh.hamna kitu cha boyfriend 💀🦴🤘🏾💉
@vibetz9991
@vibetz9991 Жыл бұрын
10:50 bro usije kutekwa na matapeli wanaoitaji msaada😂😂😂
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Inabidi kua muangalifu hapa mjini!!
@DavidLucas-ou7vp
@DavidLucas-ou7vp Жыл бұрын
🤣🤣🤣namuona gigy money wa marekani
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
kazi nzuri sana jack
@mallowmduhu4933
@mallowmduhu4933 Жыл бұрын
Mwamba huna baya,kama msaada huo uliompatia basi unatosha maana unaweza kuingizwa mkenge muda mwingine
@dismasmalelo8478
@dismasmalelo8478 Жыл бұрын
hello how are you doing today Mr Jack I am dismas from mwanza Tanzania it's been a year now since I started following your videos here on you tube so if you are interested you can help me with something
@LucyKwayu
@LucyKwayu Жыл бұрын
Akusaidie nini sasa tengeneza maisha yako hahahaha😂😂😂
@joshuabartonpolelaab4985
@joshuabartonpolelaab4985 Жыл бұрын
huyo jamaa alikuwa anatangaza nin na hicho kihoni😁😁😁
@taakilamugo88
@taakilamugo88 Жыл бұрын
Mambo shwari from Kenya
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Pamoja sana!!✌🏾
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
AKINA DADA WA BUNJUI GAMBIA.
@merefrank
@merefrank Жыл бұрын
mambo vp kk uko poa naomba namba nikupigie nikuurize kitu
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Жыл бұрын
Jack kutoka loss angles adi New York kwa bus nauri Bei gani?
@egbertcarter3665
@egbertcarter3665 Жыл бұрын
5:21 "Cheki Pisi kama hii, wuu umeona ee" Hawa watoto wanaenda wapi 😂
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Noma sana. Mambo ni mengi, muda mchache 😂
@standardtv3494
@standardtv3494 Жыл бұрын
kuna nguo watu wanatinga hapo mbefele huku bongo yaani ni lazima uwe chizi kuvaa hivyo ingawa ndiko tunakoelekea
@Jameskaguo
@Jameskaguo Жыл бұрын
ione IST ikiwa Hollywood 7:55
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Anajiuza huyo au jambaz anataka akuingize chaka huyo
@lazarodaudi1689
@lazarodaudi1689 Жыл бұрын
Bro Nina swali kidogo, hao watoto ukiwa tongoza wanaeleweka lakini? Au ndo kama hapa bongo mizinguo kibao, binafsi nikija huko lazima nizae na mweupe mmoja, natamani sana kuja USA
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Inategemea na mwanamke anavyokufeel. Kama anakukubali bhasi ataeleweka, kama sio lazima akukazie!
@VICTORMABULA-y6y
@VICTORMABULA-y6y 15 күн бұрын
Una penda kuzaa na mzungu
@lazarodaudi1689
@lazarodaudi1689 15 күн бұрын
@@VICTORMABULA-y6y yes brother tuchanganye damu kidogo
@jekoniarobben5307
@jekoniarobben5307 Жыл бұрын
Mbona kama nmemuona boyka
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 Жыл бұрын
Watu wako na Vibe la kutosha,kazi wanafanya saa ngapi?
@crdeseven5875
@crdeseven5875 Жыл бұрын
Can I get your contact please jack I'm from kahama Tanzania 🇹🇿
@rashidikinywaki
@rashidikinywaki Жыл бұрын
Oiii mwanangu tunatalii na kujifunza pamoja Endelea kutupa madini
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Nimefurahi kusikia hivyo!
@Salumchiwili2023
@Salumchiwili2023 Жыл бұрын
Usikose kutuletea show ya Rick rose ya magari yake
@HerenaCharles-dl7tk
@HerenaCharles-dl7tk Жыл бұрын
Nixaidieh nifike USA mitafanya kazi yeyote ata kama kua kama spea Tali
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Жыл бұрын
Iyo gari refu nyeupe Kama cardillac inaitwaje?
@herikaniugu
@herikaniugu Жыл бұрын
Unataka kununua au unauliza tu kutusumbua? 😂
@kagege23
@kagege23 Жыл бұрын
Limousine
@josephmaina-vm1lc
@josephmaina-vm1lc Жыл бұрын
Kaka nimeona nyota ya 2pac apo chini kwa mpigo 😂😂🇰🇪🇰🇪
@cyprianvictor8747
@cyprianvictor8747 Жыл бұрын
Mbona sioni IST
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Hazipo
@dixonmzalendo
@dixonmzalendo Жыл бұрын
Hyo dem Yuko na miyeyusho tu
@RashidililaRashidilila
@RashidililaRashidilila Жыл бұрын
Achana nae huyo wewe jack kala bangi tu huyo mmama
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Жыл бұрын
Nashindwa kuelewa huko watu wako busy mda wote sio usiku sio mchana
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
Mchana ni kazi usiku ni kula bata babu
@championtv255
@championtv255 Жыл бұрын
Kubabake ingekua mm ndo ww ningemtindua huyo anataka bwana huyo analolote.dah tafika lini huko jamani watoto wapo kama kuku laleki.dah
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
hahahaha ila mawazo yako we jamaa
@ismailisungura3491
@ismailisungura3491 7 ай бұрын
Oya nakubali 😂😂😂 angejuta
@liberatusaloyce4570
@liberatusaloyce4570 Жыл бұрын
Oya mzee baba hivi unaruhusiwa kufanya mahojiano kwenye mitaa au mpaka upate kibali maalumu
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Unaruhusiwa!
@hatbtalveson6581
@hatbtalveson6581 Жыл бұрын
KAMA KAWAIDA KAKA NAKUBALI,NMEFIKA MWENYE COMMENT ZA HERUFI KUBWA😂
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Karibu sana!!
@allyabdallah8534
@allyabdallah8534 Жыл бұрын
Bro huo ukumbi mbona wamefurika hivyo kunanini? mmmh type mambo yanayo jiri humo ndani my brode Hiyo sehemu kwa muonekano tuu inaonekana Kuna fisu vya maana
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Kuna Dj's maarufu walikua wanaplay music humo ndani!
@ElmonizeKaserya
@ElmonizeKaserya Жыл бұрын
Zatangujuzi vp
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Salama tu!
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 Жыл бұрын
Jack shemeji yetu yule aliye jikata kucha alipona ? 😂
@HerenaCharles-dl7tk
@HerenaCharles-dl7tk Жыл бұрын
Iiiiiiiiii ivi kumbe USA ombaomba ni wazuli aakuma make xiamini jack bola ni Baki mwanza magu nikija uko nitakufa Kwa ukimwi najijuah
@djmoolah2553
@djmoolah2553 Жыл бұрын
oya jacky embu nijibu maana wewe ndio ulikuwa karibu na hyo gari ya polisi je hyo gari ndio ilikuwa ina mziki mkubwa au ni club iko jirani
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Ni bar zilizopo jirani
@gnaivasha
@gnaivasha Жыл бұрын
tupe vitu buda
@AmoniMgaya-j9w
@AmoniMgaya-j9w Жыл бұрын
Jaki natamani kuja uko nataka kuja uko
@victorphilibert1629
@victorphilibert1629 Жыл бұрын
I guess kwa yule demu bonge ilikua set up
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Yea, ni ngumu kujua. Ni vyema kua makini tu!
@madinakheri487
@madinakheri487 7 ай бұрын
Popote ulipo nipo kutoka morogoro
@imachembele7043
@imachembele7043 Жыл бұрын
Ina bd uajir camera man hl ww uwe una tuonesha tu yy ana kufata kwa nyuma
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
Utamsaidia kumlipa?
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Жыл бұрын
Marekani Kuna makabila ya wenyeji ni kabila gani?
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
wachaga
@sumayasumaya6455
@sumayasumaya6455 Жыл бұрын
Red Indians
@nemecymsanya4952
@nemecymsanya4952 Жыл бұрын
@@kwisa4899 hahahah
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
Wanyakyusa akina mwaisa mtumbad
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 118 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
HAMU | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo
1:28:13
Adam Leo Studios
Рет қаралды 2,6 МЛН
How Do Polish Villagers React To a Black Foreigner? (Social Experiment)
25:14
The Story Book: Wapenzi waliotikisa dunia kwa Kuua na Ujambazi
26:52
Don’t TRUST The Media: I Went To Ukraine 🇺🇦
29:58
Emeka Iwueze
Рет қаралды 327 М.
Hivi ndivyo Kenya ilivyo maarufu huku USA
20:40
Jack Wa USA
Рет қаралды 20 М.