Sasa uyo anae lala hiyo gorofa ya mwisho anapataje usingizi? 😅😅😅
@salomerange15523 жыл бұрын
Nice
@fledymavikamavika65803 жыл бұрын
Ni kweli
@paulsimiyu45823 жыл бұрын
Waaaaa
@abakukiabakukisanga13323 жыл бұрын
Hatari
@ibrahimshomali40043 жыл бұрын
Duh!
@jacobmalingu27693 жыл бұрын
Kwenye masaa upo duniani tofauti na sisi...
@nasrimzaina48802 жыл бұрын
dunia yake ina siku 23 tu kwa mwaka
@MatubaSonАй бұрын
@@nasrimzaina4880hahaha
@geradyelias61003 жыл бұрын
Hataliiii
@natureworld2953 жыл бұрын
Ulienda shule kweli kaka 😂😂😂
@BrianKibako9 ай бұрын
Ni Ukweli kabisaaaA waeza kuoona ukiwa Kenya Side za Kinshansa hapo Arusha
@abubakarindyambi54493 жыл бұрын
Asalam alaykum kwema
@marconakomolwa39173 жыл бұрын
Mko vivuri
@roselynwaniko38823 жыл бұрын
Jengo
@zuberiismail29728 ай бұрын
Acha uongo, hayo masaa milioni 22 ni sawa na miaka mingapi??!!!! au unatuona sote umetumudu kaka😂
@hyasintndimbo29984 жыл бұрын
🙏
@ShabanHamis-d2hАй бұрын
Hii ni kal san
@hallin95613 жыл бұрын
Masaa million 22 ni sawa miaka 2,511 . Rudia calculation zako upya...
@novatusbwakea17043 жыл бұрын
Eti buju khalifa...anavyotamka baana...na limetumia miaka sita tu kujengwa sio sekende zote hizo
@amangervacy8793 жыл бұрын
Huyu jamaa muongo sana
@shamsaabdalah70383 жыл бұрын
unaakili wewe daaah
@shaqirhassan23523 жыл бұрын
Me mwenyewe nimeshangaa kweli Duuh jamaa muongo Sana anatuona hatujui hesabu nini?
@jonasjonas81112 жыл бұрын
Rud darasan ukamuombe mwl wako wa hisabati akufudshe vzur, swali lako liwehil mwal masaa 22M ni sawa na miaka mingap? Ukipewa jibu rudi uandike upya!!
@manjemk8331 Жыл бұрын
Unazijua saa milion bwege ww
@fatumasimai8463 жыл бұрын
Watu hawakumbuki asaakm ipo ck watakufa
@mabujuma12154 жыл бұрын
😳😳😳😳
@furahanguvila.nguvila60673 жыл бұрын
Huez lala usiku ukagongwa na ndege??
@CamilasJohn2 ай бұрын
😂
@shijathedon54532 жыл бұрын
Sema umetupiga mtama apo kwenye masaa ya kujenga mpumbavu wewe 😂😂😂🤣🤣
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Bulb za Volts 100!!🤣 Sema bulb za watt 100
@paskalinasimoni60993 жыл бұрын
Hadi tiffa dangote jamani
@mwalimuomarymaandiko4528 Жыл бұрын
Umesema limeanza kujengwa 2004 nakumalizika 2010 wastani wamiaka sita kilamwaka mmoja unamasaa 8760 ukipiga mala miaka sita utapata52560 hio miaka M 22 umetoa wapi?
@kanoleausi420413 күн бұрын
Amekariri alivyosikia😂
@amaniomballa18553 жыл бұрын
Hadi wazungu nao kumbe washamba wanapiga picha za Nini wajenge lao
@bableeyzabdalla5313 жыл бұрын
Wazungu sio wajinga hilo jengo halidumu zaidi miaka 30 livunjwe lifanyiwe Ripea kimwanzo
@jonathanjj.pachajjpacha91273 жыл бұрын
Dunia ya MUNGU vitu vya mchina😥😥✋🤔🤔
@bennagemeestate8203 жыл бұрын
Hapo sio china kaka
@mussaidrissa13853 жыл бұрын
Umekosea dunia ni ya mungu na vitu ni vya mugu na yy ndio anae wapa wahy binaadamu wakafanya vitu tofauti ni kwa uwezo wake
@athumanimagoti66373 жыл бұрын
Marekani hawana jengo Kama hilo
@bableeyzabdalla5313 жыл бұрын
Marekani wanajenga majengo ya kimaendeleo sio fahari na ndio ikawa nchi tajiri ya kwanza Dunia nikuulize Dubai ni nchi yangapi kwa utajiri duniani
@micamathew25953 жыл бұрын
Mnajitahidi kujiwekea hazina hapa duniani cyo??? Ahhh itaanguka.
@simonmsungu28822 жыл бұрын
Wa2 wanataka kumzd mung
@aishahassani39213 жыл бұрын
Sisi ambao tupo huku Dubai tumesha lizoea kuliona na kulitumia kwa kununua vitu baadhi kwenda kula so kitu Cha kawaida
@mwanakherpelege5863 жыл бұрын
Kwahyo tumekuuliza🙄
@reubenmuganyizi85373 жыл бұрын
Hatuja kuuliza usipende kuji mwamba fai😆😆😆😆
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
@@mwanakherpelege586 asiwababaishe yeye yupo uko anaosha vyombo anatafuta ridhiki kama watu wengine,sio kitu cha kuwatambia watu ,kawaida tu nchi tajiri kuwa mambo ka hayo,ukienda omani muscat Kuna hotel ipo chini ya ardhi kawaida nanyi ipo siku mtakuja ,huyo mwachezi na ulimbukeni wake kwanza kulala wa mwisho kuamka wa kwanza😂😂😂
@issaramadhan74563 жыл бұрын
Duu maajabu ya dunia
@zabronjohn81203 жыл бұрын
Mwanzo nikadhani nimekosea hesabu. Jengo limekuwepo kabla hata ya Yesu