Je suis à Kinshasa 🇨🇩 mais je regrétte d'être surpasser par le Rwanda vraiment c choquant incroyable aussi Kinshasa es très Salle mais es très construite les humbles existe Chez nous.
@MgeniHaji12 күн бұрын
Kumbe tuko namba moja ❤
@Fmbtv25512 күн бұрын
🙏
@LeboossYoms2 ай бұрын
Très cool ala première place
@Fmbtv2552 ай бұрын
🙏
@lebahatilemali6 ай бұрын
Kwangu MMI nimetembelea Nyegezi na Nyamogolo Mwanza Ukweli hapo Mipango ya Magu ilikuwa sahihi kabisa nimeipenda Sana Nitamkumbuka Magu Daima
@Fmbtv2556 ай бұрын
🙏
@MussaJacob-n7r7 ай бұрын
Nimeishi Nairobi, sijaona maajabu ya Jiji, Dar Bado iko juu.
@Fmbtv2556 ай бұрын
😄
@omaryally20486 ай бұрын
Hivi ww ni kichaa au unakifonda kwenye ulimi? Hamna nchi inaitwa lwanda,aflika,bala,uchafu huo toaaaa
@NtamamiloGibson5 ай бұрын
Mimi ni Mtanzania huiju vizuri Nairobi na wala huijui vizuri Dar es Salaam. Nairobi iko vizuri mno.
@jumaatsuma2316Ай бұрын
Wewe uliisha kibera😂😂
@ProsperUlungi-p3tАй бұрын
Labda wewe hujui Nairobi kama umetembea hakuna maajabu yoyote labda kama ulienda kama kifulushi@@NtamamiloGibson
@JonathanAshraf5 ай бұрын
Good job
@Fmbtv2555 ай бұрын
🙏
@erickmapunda48743 ай бұрын
Uko sahihi
@Fmbtv2553 ай бұрын
Shukrani
@PaulNdeto-s7g3 ай бұрын
Enkale nairobi...green City ❤❤
@Fmbtv2553 ай бұрын
👍
@suzanne95177 ай бұрын
Napenda sana Africa yetu ❤❤
@Fmbtv2556 ай бұрын
👍
@User-xl1ul4fp9b6 ай бұрын
Kweli wambie🇹🇿🇹🇿👍👍👍
@Fmbtv2556 ай бұрын
👍
@deonatusmnaku14810 ай бұрын
Safi sana
@Fmbtv25510 ай бұрын
Ahsante sana
@PapaaMasauti-q7o2 ай бұрын
Hongereni sana NAIROBI kuwa capital city in East Africa na kati
@Fmbtv2552 ай бұрын
🙏
@LeinahPeter7 ай бұрын
Naishi Nairobi lakini Addis Ababa🔥✍️
@Fmbtv2556 ай бұрын
😄
@CeciliaOberhoff3 ай бұрын
Kenya Hard nature builty
@Fmbtv2553 ай бұрын
👍
@imanikiza7 ай бұрын
Is very good
@Fmbtv2556 ай бұрын
😄
@janecharo11966 ай бұрын
Good job 🎉🎉❤❤
@Fmbtv2556 ай бұрын
Thanks
@kapafulemartin51647 ай бұрын
Shukrani muana inchi
@Fmbtv2556 ай бұрын
🙏
@samlb_ngika10 ай бұрын
Big up bro
@Fmbtv25510 ай бұрын
Ahsante sana
@DenisAduvaga-k2q20 күн бұрын
mombasa n kubwa kushida asmara bujumbura na mogadshu hii utafiti c sawa
@Fmbtv25518 күн бұрын
Sawa
@eddechriss26648 ай бұрын
Wewe ni Mtanzania umefanya kazi yako kwa kuzingatia weledi hongera sana, kuna mkenya alituwekea top ten ya reli ya standard gage akajari ukenya wake kwa kuudanganya umma kuwa SGR ya Kenya ni bora kuliko ya Senegal, Ethiopia na Tanzania
@Fmbtv2556 ай бұрын
Shukrani
@ibrahimgwasma12236 ай бұрын
Wakenya ni tribalist sana
@puritdana6 ай бұрын
Nani alikwambie ni mkenyaa mnatupendaa nyie alafu tukawa number ngapi kwa relief🤣🤣🤣🤣🫵
@Fabricemukaba2 ай бұрын
My CONGO DRC
@Fmbtv2552 ай бұрын
👍
@MeuraMoses7 ай бұрын
Uongo bwana namba moja ni adis abba ❤ is the best
@Fmbtv2556 ай бұрын
Kwa mujibu wa takwimu zako
@JacksonGresmo-d1b7 ай бұрын
You're right bro
@Fmbtv2556 ай бұрын
🙏
@judithogaya9730Ай бұрын
Ethiopia inashida Kenya Kwa Utajiri Ila Kwa ujuzi Na ujaja wa maendeleo ya kujenga haiifiki Kenya ata Kwa Dawa chenzea Kenya shillings wewe huogopi🇰🇪💃👌❣️💪🔥🧨🎇🎆
@Fmbtv255Ай бұрын
😄
@rodgerswafula43186 ай бұрын
My city my town,,,, Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Fmbtv2556 ай бұрын
👍
@ZenaKayamba11 ай бұрын
Safi
@Fmbtv25511 ай бұрын
Ahsante endelea kutufuatilia uweze kuelimika, kuhabarika na kuburudika
@MgeniHaji12 күн бұрын
Ila Africa hujaimaliza bado kuna ichi kwenye umackini hakuna wala kwenye maendeleo hukuztaja
@Fmbtv25512 күн бұрын
Sawa pamoja
@AugustinPhilbert6 ай бұрын
Adis ababa no1 EA
@Fmbtv2556 ай бұрын
🙏
@4806lencyАй бұрын
Addis Ababa has surpassed Nairobi, as at now it's the leading city in East Africa
@Fmbtv255Ай бұрын
🙏
@AnelikaMajaliwa-z1h4 ай бұрын
Tanzania imazidi kupendeza siku hadi siku
@Fmbtv2554 ай бұрын
👍
@franktibikunda571722 күн бұрын
KWA IYO ETHIOPIA IPO AFRICA MASH
@Fmbtv25522 күн бұрын
Ndio
@CeciliaOberhoff3 ай бұрын
Were is the nature Reserve loketed
@MussaJacob-n7r7 ай бұрын
Nimeishi Nairobi, sijaona maajabu ya Jiji, Dar Bado iko juu. 8:01 8:01
@Fmbtv2556 ай бұрын
😄
@CeciliaOberhoff3 ай бұрын
Born in Nairobi stupit people waching how the City is being destroyed
@Fmbtv2553 ай бұрын
😄
@CeciliaOberhoff3 ай бұрын
Mutaangukiwa na hio manyu aerthquick Okinawa
@Fmbtv2553 ай бұрын
🙏
@ElianoEly-v6v16 күн бұрын
Kinshasa ni kubwA piya inajengwa kupita Kigali Iyo list Yako aiko sawa
@Fmbtv25516 күн бұрын
🙏
@AtwifMabrouk2 ай бұрын
Hicho Kiswahili Chako Kinachefua Kwa Kweli Kwani hujui Kutofautisha R na L? DLC ZAILE,🤔😭
@Fmbtv2552 ай бұрын
🙏
@SheliamJuneIamfine-ji6yw5 ай бұрын
So beautiful Kenya ❤️❤️❤️👌👌👌
@Fmbtv2555 ай бұрын
🙏
@BarakaSeki25 күн бұрын
Wew ni manzanita sauti ni wenyewe
@Fmbtv25524 күн бұрын
😃
@judithogaya9730Ай бұрын
Kwani Bara la Africa lipo Na inji ngapi juju inafaa iwe 12
@Fmbtv255Ай бұрын
😃
@abooaboo-rs4uw7 ай бұрын
Naijua tanzania vizuri sana.bado miaka 30 mf8ke tulipo na hapo tutakua mbali sana.anyway,mnajaribu lakini bado.ukeli ni kwam a ufisadi hamna tanzania.
@omarjumaan30616 ай бұрын
Hamna nnchi haina ufisadi duniyani ela ni kuzidiana kenya yakiulayaulaya ndio mana ufisadi ni kwa jumlah ndio kusema Amakwakweli
@Fmbtv2556 ай бұрын
😃
@SwammaduAlly7 ай бұрын
Tatizo wakenya mnataka Kila kitu muwe wakwanza wakati majengo yenu ni ya kizamani sana
@Fmbtv2556 ай бұрын
😄
@PaulNdeto-s7g3 ай бұрын
Jenga yko mpya
@jumaatsuma2316Ай бұрын
Mwenye ameandika hii ata ni mtanzania😂😂
@felixmakinda7689Ай бұрын
Hivo kaka umefika Nairobi mwisho lini?! Majengo mapya yanakuja kila siku ila mji mchafu na miundo msingi imeharibika Sana. Usafiri pia shida.
@ArianaVaiyАй бұрын
Wewe muongo bwana mmmmm
@Fmbtv255Ай бұрын
😃
@nozesybafikege84175 ай бұрын
Sasa mbona Nairobi watu ni Milion 4 wakat Dare es salaam ni milio 8 au hamwangalii uzito wa Idadi ya watu
@Fmbtv2555 ай бұрын
Sio idadi ya watu
@Jayjones20055 ай бұрын
Dar kuna slums bana ,millioni 8 ,mrundiko kweli🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AnordJoseph-e2e6 ай бұрын
Mbona Eritria imezidi Burundi
@Fmbtv2556 ай бұрын
Ndio hivyo
@StephenKabalisa10 ай бұрын
😮
@Fmbtv25510 ай бұрын
👍
@judithogaya9730Ай бұрын
Our Kenya has GDP of 171 billion why our city can't be beafully 😂😂😂❤❤ my Nastion
@Fmbtv255Ай бұрын
😃
@bensonkitilit80672 ай бұрын
Kampala cannot beat Mombasa
@Fmbtv2552 ай бұрын
🙏
@jojosky3376 ай бұрын
Wakenya hacheni midomo😂😂😂😂😂
@Fmbtv2556 ай бұрын
🤣
@BashulileKangereАй бұрын
Kinshasa ni muji mkuu kuzidi Kigali na Lubumbashi 🇨🇩 ni muji mkuu mbele ya Bujumbura
@Fmbtv255Ай бұрын
🙏
@abooaboo-rs4uw7 ай бұрын
Upuzu utaisha lini.hakuna miji endelezi kama nairobi mombasa kisumu eldoret thika kakamega nyingi kenya
@yustomwaisomania25877 ай бұрын
Acha bangi hiyo n miji iloyoendelea kwenu huko Kenya asee
@Wastara0017 ай бұрын
shida kutoelewa jiji ( capital city) lini Mombasa, Kisumu... ilikuwa capital city??? Utachekwaaaaaa
@steveanthon55237 ай бұрын
Bora umemsaidia kuelewa, kwahiyo alitaka miji yote aliyoitaja ya kenya iwe miji mikuu? ingekuwa nihivyo Chicago, Newyork city, ingekuwa miji mikuu ya Marekani! lakini mji mkuu wa nchi huwa nimmoja tu! hiyo mingine inabaki kuwa miji mashuhuri.
@Wastara0017 ай бұрын
@@steveanthon5523 Baadhi ya wakenya hujiona wamesoma kwa kuzungumza kiingereza kingi kumbe hawajaelimika
@blackmonkey46067 ай бұрын
Kumanyoko wewe mpumbavu mkubwa akili huna nini ama fyetu from Mombasa apa nakutusi ata kama we mkenya mwnzangu
@SHIJADAVIS5 ай бұрын
Mwandishi umechemka East Africa ama Afrika?
@Fmbtv2555 ай бұрын
👍
@imaniLameck-fd4eb7 ай бұрын
Watanzania tunakuja juu na kwamijengo kenya hamtufikii yenu mijengo yakizamani sisi Tz ya kisasa tunawapa miezi 6 tutawazidi
@Fmbtv2556 ай бұрын
👍
@alliancemugane15895 ай бұрын
Nairobi itakuwa haikui itakuwa imesimama? Hawa jamaa wametuzidi kila kitu kasoro sisi tumewazidi uongo ,chakula na Ardhi nzuri
@NtamamiloGibson5 ай бұрын
Kwa haya yanayoendelea TZ. Mtasubiri sana mrudisheni Magufuri.
@stanleybupambambogo33342 ай бұрын
Ni wewe binafsi uliyewazidi Kenya uongo. SIYO Tanzania wala Watanzania!! @@alliancemugane1589
@MANYAMABAHATIАй бұрын
Adis ababa is first city and second is kishasa ,dar is third one and forth one is nairob
@johnwoshi34596 ай бұрын
Unashindwa kutamka kutofautisha R na L
@Fmbtv2556 ай бұрын
Ndio,siwezi
@fettiemaganza14846 ай бұрын
Wkakenya wakitoka zao ushgoo Kuja Nairobi wanajiona wameshaijua Dunia nzima😂😂
@Fmbtv2556 ай бұрын
🤣
@barakateacher32253 ай бұрын
Kesho majengo yenu ya enzi ya ukoloni hapa Tz ya kisasa
@Fmbtv2553 ай бұрын
👍
@CeciliaOberhoff3 ай бұрын
Uko sio afica
@Fmbtv2553 ай бұрын
😃
@EdigivaKacheina5 ай бұрын
ADIS ABABA NDO IPO JUUU BRO
@Fmbtv2555 ай бұрын
🙏
@CosmasSengenge7 ай бұрын
Kumbe Ethiopia ni Eac membership?
@Fmbtv2556 ай бұрын
Ndio
@Fmbtv2556 ай бұрын
Kwa mujibu wa watakwimu
@CosmasSengenge6 ай бұрын
Xawa, ckuwa najua
@ScholasticmboranoScholastic7 ай бұрын
kigali nimuizi
@Fmbtv2556 ай бұрын
👍
@kapafulemartin51647 ай бұрын
Mimi ni Martin tuko mjini RDC
@Fmbtv2556 ай бұрын
👍
@MohamedIbrahim-bn1gz6 ай бұрын
Ni Asmara sio Asmala sawazisha R na L zako please
@Fmbtv2556 ай бұрын
Nimekupata
@fredykaiza24166 ай бұрын
Jifunze kutamka R. Kwenye R unaweka L unakosea.
@Fmbtv2556 ай бұрын
Uwezi kuwa mkamilifu kwa kila kitu ikiwa umeweza kufahamu matamshi hayo yana kasoro inatosha
@khadijanjama87215 ай бұрын
Yani povu linawatoka jamani 😂😂😂😂
@Fmbtv2555 ай бұрын
😄
@cheiknamouna20587 ай бұрын
Bro kazi yako ni nzuri ila soma lugha kiasi unatuangusha🙏
@Fmbtv2556 ай бұрын
Shukrani
@kanaelikanuya79196 ай бұрын
Nairobi is the best one
@Fmbtv2556 ай бұрын
🙏
@CeciliaOberhoff3 ай бұрын
Lama aerthqeark Malzkaffee isoliert na sitima imepotea
@Fmbtv2553 ай бұрын
🙏
@LeylaLeylachuga4 ай бұрын
Nairobi sio number one bro
@Fmbtv2554 ай бұрын
Kwanini?
@AminiMsellem-gk3yy4 ай бұрын
Shida kiswahili chako kama hukuenda shule😂😂😂😂
@Fmbtv2554 ай бұрын
😄
@MichaelLambeti6 ай бұрын
Ni Rwanda na cy Ruwanda
@Fmbtv2556 ай бұрын
Umesikia wapi neno Ruwanda?
@SabunNgalaba-oi6ml5 ай бұрын
Wewe naona hujla wakati unaandaa video hii
@Fmbtv2555 ай бұрын
🙏
@AminiMsellem-gk3yy4 ай бұрын
Hujui kutofautisha "R" na "L" BiashaRa unasema BiashaLa 😂😂😂😂
@Fmbtv2554 ай бұрын
👍
@jaymapepefatma59365 ай бұрын
Nilijua tu kama Tanzania utaiweka 😬😁😁😁🚶🚶
@Fmbtv2555 ай бұрын
😄
@jaymapepefatma59365 ай бұрын
Tanzania nyinyi waongo sana 😂😂💔🚶
@stanleybupambambogo33342 ай бұрын
@@jaymapepefatma5936😮😮😮😮😮. Nyiye Wakenya wakabila sana. Pia ni watumwa sana wa nchi za magharibi. Hujikwezesha uzungu bandia mkidhani kweli mtabadilika kuwa wazungu! Hebu acheni hizo zenu za ajabu... Jikubalini kwa rangi ya asili yenu. Khaa!!
@DorcasHeritier5 ай бұрын
Kinshasa ina pita Kigali na dar salaam saana wewe ni muongo
@Fmbtv2555 ай бұрын
😄
@carolinemuli18626 ай бұрын
Kenya tuko juu Tanzania akuna siku mutatushinda
@Fmbtv2556 ай бұрын
😄
@stanleybupambambogo33342 ай бұрын
Ndiyo! Nakubaliana na wewe kwamba Kenya mko juu kwa ukabila na fujo za kisiasa... Sisi Tanzania tuko chini yenu kwa hayo mambo tajwa! Asante kwa huo ung'amuzi wako ee!
@MohamedIbrahim-bn1gz6 ай бұрын
Ni DRC sio DLC
@Fmbtv2556 ай бұрын
🙏
@dollardavid9556 ай бұрын
😂😅 hayo ndo matamshi ya watanzania wengi
@MubayaSelemani7 ай бұрын
Hiyo mimi siikubali hata kidogo
@Fmbtv2556 ай бұрын
Unapopinga ni vizuri kuleta hoja ili wanaosoma maoni waelewe tatizo lilipo
@AliBakariAli5 ай бұрын
ASMARA sio ASMALA
@Fmbtv2555 ай бұрын
🙏
@ellsonmkonyi13197 ай бұрын
😅😅😅
@Fmbtv2556 ай бұрын
😄
@MohamedIbrahim-bn1gz6 ай бұрын
Ni Ruwanda sio Luwanda
@Fmbtv2556 ай бұрын
🙏
@EmmanuelMalando8 ай бұрын
Burundi unafanyaje huko
@Fmbtv2558 ай бұрын
😃
@mohdmansur48454 ай бұрын
East Africa huijuw ??? 😅😅😅
@Fmbtv2554 ай бұрын
😄
@KevinSteven-w1eАй бұрын
😂
@Fmbtv255Ай бұрын
🙏
@josephochwaya5 ай бұрын
Ni the green city under the sun bt not in the sun, wewe nimsaliwa sawapi😂😂😂😂
@Fmbtv2555 ай бұрын
👍
@puritdana6 ай бұрын
Tanzania wanapendaa kenyaa ngalia comment section ukipata mtu hawesi sema kenyaa anyway majirani
@Fmbtv2556 ай бұрын
👍
@stanleybupambambogo33342 ай бұрын
Mh! Hebu tujuane ambao hatujaielewa andishi ya huyu jamaa.😂😂😂😂😂!!
@alliancemugane15895 ай бұрын
😅Acha unachanganya mambo wewe unaijua Kinshasa? Ni bonge la Jiji
@Fmbtv2555 ай бұрын
Inaweza kuwa kubwa lakini hapa hatuangalii ukubwa
@AlexMwas-m1x7 ай бұрын
Post facts acha ujinga, Nairobi is the most developed city in east and central Africa
@Fmbtv2557 ай бұрын
Unaweza kutoa takwimu zako
@stanleybupambambogo33342 ай бұрын
Khaa! Mbona unalazimisha mambo? Anzisha video yako, ukaiweke Nairobi yako kuwa bora zaidi ya miji yote ya east & central Africa kama yalivyo madai yako!!
@AlexMwas-m1x2 ай бұрын
@stanleybupambambogo3334 Endelea kuumia mtanzamavi, lakini huwezi badilisha facts
@MussaRamadhan-p1e3 ай бұрын
Safi
@Fmbtv2553 ай бұрын
🙏
@AugustinPhilbert6 ай бұрын
Adis ababa no1 EA
@Fmbtv2556 ай бұрын
👍
@MussaJacob-n7r7 ай бұрын
Nimeishi Nairobi, sijaona maajabu ya Jiji, Dar Bado iko juu. 8:01 8:01