HII SASA NDIO NYUMBA YA KUISHI KAMA UNA UHURU WA KIFEDHA MAGWEPANDE NZIMA HAKUNA KAMA HII

  Рет қаралды 3,470

Sanuka Media

Sanuka Media

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@RaphaelHelanya
@RaphaelHelanya 2 ай бұрын
Ww ni fundi nzuri hongera sn krb ukija katavi utapiga hela sana.
@chrisshonga
@chrisshonga 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana nitakutafuta
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 ай бұрын
SAFI SANA MWAMBA KAZI NZURI, NAKUKUBALI SANA MDOGO WANGU!! ENDELEA KUPAMBANA ALLAH ATAKUJAALIA KILA LA KHERI IN SHAA ALLAH!!
@MussaGobe
@MussaGobe 2 ай бұрын
Kazi nzuri broo
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c 2 ай бұрын
So many corridors??? una create giza lisilo na lazima wakati wa mchana ambapo wkt mwingine itakubidi uwashe taa mchana. Lakini pia kuongeza unnecessary cost kwa kujenga kuta nyingi ili kuzipata hizo corridors
@godwintenesi3307
@godwintenesi3307 2 ай бұрын
Safi Mr House....Good work😂😂😂😂
@Witnessmontana424
@Witnessmontana424 2 ай бұрын
👌🔥
@AishAish-t1s
@AishAish-t1s 2 ай бұрын
Uwa ujezi wa bati bos akiwa anaitaji deilufu ajenge ru gorofa arafu inaleta akiba hata mwanae akikuwa baada kununua kiwanja ataaza kupandisha chumba juu akaazia maisha
@gonsalvamswaga6471
@gonsalvamswaga6471 2 ай бұрын
nimependa ilivyonyanyuka hadi raha na hizo kona kona mnaweza potea humo humo ndani
@dadyhimselffx
@dadyhimselffx 2 ай бұрын
BROTHER BEI ZAKE NI MPAKA KUPAUA NI NGAPI?!
@gonsalvamswaga6471
@gonsalvamswaga6471 2 ай бұрын
nyumba ya mabwepande copy saved, haaaaaaa
@irenemsangya8949
@irenemsangya8949 2 ай бұрын
Naomba ramani
@MsafirSued
@MsafirSued 2 ай бұрын
Bonge la mjengo
KADANGANYA
10:21
Joti TV
Рет қаралды 357 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,9 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 84 МЛН
Our Mulitimillion Village house tour❤️-2024
28:17
WAMBO ASHLEY
Рет қаралды 723 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
Ninasababu|Mwanaume kama Yesu(Cover)|Praise Medley|Essence of Worship
11:34
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 1,4 МЛН
Ujenzi Kamilifu wa Msingi wa Ghorofa
7:38
SwahiliUnits
Рет қаралды 3 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18