Historia, Asili Na Maana Ya DAR ES SALAAM, TANGA / ZANZIBAR

  Рет қаралды 139,241

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

Historia, Asili Na Maana Ya DAR ES SALAAM, TANGA / ZANZIBAR
Jiji la Dar es Salaam lilianza kama kijiji kidogo cha Wavuvi kilichojulikana kama Mzizima, kijiji hiki kilianzishwa na Wabalawa ambao walichanganyika na Wazaramo.
Ujenzi wa makao ya Sultan pamoja na Bandari ulianza rasmi mwaka 1865 katika eneo la kijiji cha Mzizima, ujenzi huo ulikamilika mwaka 1866.
#ASILIYATANGA #DARESALAAM#ZANZIBAR
www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 167
@anuaryally6177
@anuaryally6177 5 жыл бұрын
Leo hii dar es salaam imevamiwa na wenye mikono ya koti ata kuchimba vyoo vya mashimo walikuwa awaelewi kula chapati waanze vipi basi leo hii kumekuwa shagala bagala sisi tuliokuwa na miliki ya viwanja pembezoni mwa pwani tunazulumiwa viwanja kwa kufoji sitakabazi hewa masikini na akina mwakipasile,akina masawe akina wambula akina sumaye akina ndungulu sisi tuliowakalibisha wazaramo tunaonekana mazwazwa wakati walikuja wanakunya na kuondoka bila kutumia maji na mikono yao ya koti masikini ya mungu wengine ndio hao wanaopiga kelele ughaibuni uko
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 5 жыл бұрын
Anuary Ally, wewe wala SIO Mdar es salaam hata kidogo. Kwanza LAFIDH yako si ya ki- Dar es salaam na hata huna sifa hiyo M-dar es salaam ni m karim, anapenda wageni na hatoi LUGHA ya matusi na KASHFA. Ni mchamungu na ana Utamaduni wake. Ana Subra,Ghaiba,Staha, na Aibu. Ana jistiri kwa MAVAZI, na hatamki maneno machafu na kusema kwa Sauti kubwa mbele ya Hadhara,na ni msafi kwa mazingira yake na MAVAZI. Huyo ndie m- DARUSSALAM
@anuaryally6177
@anuaryally6177 5 жыл бұрын
@@minskbelarus7255 kuwa na mkono wa koti ni matusi sasa mzaramo utampereka bukoba kwanza iyo dar es salaam ni pwani imekuja tu hivi karibuni wenyewe tunaielewa east coast kuanzia pwani somalia mpaka mtwara au pwani ya waswahili wazungu wanaita swahili coast
@joycejohn102
@joycejohn102 5 жыл бұрын
Duh poleni watani zangu wazaramo
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Joyce John kwa.?
@ramazubery2641
@ramazubery2641 4 жыл бұрын
Wazaramo wezangu mpowapi?
@elishamaimu4602
@elishamaimu4602 5 жыл бұрын
Unafanya jambo muhimu sana...Usaidia kutunza na kutambua historia yetu zaidi na kuongeza (awareness) ya historia ya Tanzania na Mtanzania..Historia tuliyoanza ipoteza..Hongera sana kiongozi
@danielmndeme3740
@danielmndeme3740 5 жыл бұрын
Global tv mtabaki kuwa juuuuuuuuu mawinguniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@josephatkashendwa1177
@josephatkashendwa1177 4 жыл бұрын
Bro from another mother Kazi nzuri sana, Gonga cheers kama unakubali kazi ya huyu bro, binafsi nakukubali sana edgars. Toa historia ya Mkoa Wa Kagera, kwa usaidizi kujua historia ya Mkoa Wa Kagera kwa karibu na kwa kina karibu Bukoba ili ujue historia yenyewe ili ukisimulia uwe analyzed critically zaidi.
@turkeyphone9629
@turkeyphone9629 5 жыл бұрын
Mmmmm ki persian zanzibar maanake wanawake wazur or kisiwa kizuri
@yascomdoe5686
@yascomdoe5686 5 жыл бұрын
Turkey Phone uongo
@ally1702
@ally1702 4 жыл бұрын
Asante kwa kutujuza Ila niulize kidogo tu tulisikia Zanzibar ilipata Uhuru mwaka 1963 na wakaoneshwa mpaka watu ambao wako umoja wa mataifa na bendera ya Zanzibar na mpaka kiti Cha zainzibar Cha umoja wa mataifa kilikuwepo Ila baada ya Uhuru mwengine wa karume au mapinduzi pamoja na muungano kila kitu kikapotea swali langu hivi ni wepi waliopinduliwa mwaka 1963
@ramadhanlitei9377
@ramadhanlitei9377 3 жыл бұрын
Zanzibar walipata uhuru th 10/12/1963
@fredkutiri5393
@fredkutiri5393 5 жыл бұрын
umesaidia sana kuelezea yale sikuwa nimewahi kuyaskia Endelea na kazi saifi ya Historia, HASANTE SANA
@khamisally5788
@khamisally5788 5 жыл бұрын
fred kutiri anapindisha history nyingi sana
@fredkutiri5393
@fredkutiri5393 5 жыл бұрын
@@khamisally5788 kama gani kaka au ile tumefunzwa shuleni?
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 5 жыл бұрын
Thanks reporter, I love u more
@laylisaid9563
@laylisaid9563 4 жыл бұрын
Shukuruni kwa isitoliya yako
@nusurati5810
@nusurati5810 4 жыл бұрын
Daah kaz nzur nimejua vingi leo ahsante broo 🙏
@kebo2155
@kebo2155 4 жыл бұрын
Anakudanganya tu anawasifu Waarabu ambao wameleta biashara ya watumwa... Vipi wewe nenda kawasome Wangozi Bantu tribe ambao wenye lugha ya kiswahili.....
@asallymbwego5906
@asallymbwego5906 5 жыл бұрын
Unajua sn bro Ahsante
@fahadjuma5150
@fahadjuma5150 5 жыл бұрын
Asanteni kwa Historia hiyo
@abdulosman7866
@abdulosman7866 5 жыл бұрын
unaeleweka vizuri bro
@vincentoulo1262
@vincentoulo1262 4 жыл бұрын
Nikiwa kisumu kenya napendezwa na kazi yako kaka.
@mahaowenaltoubi529
@mahaowenaltoubi529 5 жыл бұрын
Hii history ya Zanzibar sio ya kweli kwa ninavyo hamu mimi
@saidsanzunkoba3995
@saidsanzunkoba3995 5 жыл бұрын
Mahaowen Al Toubi kwan ikoje historia
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
mtoe bhsi maelezo, co kuishia kupinga tu!
@yascomdoe5686
@yascomdoe5686 5 жыл бұрын
history ya zanzibar ipo sahihi kabisa yni amn alipokosea
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
yasini mdoe mznz weye?
@ramazubery2641
@ramazubery2641 4 жыл бұрын
Asante sichokagi kukusikiliza auchosho Kaka.😃😃🙏
@saidmduchu8100
@saidmduchu8100 5 жыл бұрын
Asante kaka kuna kitu bado tunahitaji kujuwa ni kweli dar es salam ilikuwa ni miongoni mwa zanzibar maana wanasema katika zanzibr empire inaonekana imo ndani ya zanzibar
@dkmasenga6918
@dkmasenga6918 4 жыл бұрын
Hili halizi pingika ilikuwa
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 5 жыл бұрын
warabu mlikuja tz zamani sana kweli sis na nyie ni ndugu
@rasheedmuslih3142
@rasheedmuslih3142 5 жыл бұрын
Iyo background soundtrack inankmbsha mbali sana someone I wished for but will never be! It hurts really
@Nesphore1
@Nesphore1 5 жыл бұрын
Name ya sound track?
@Wolfstudioo__
@Wolfstudioo__ 4 жыл бұрын
Me also ilanitakuwaa cz nasom ili niwee
@ahmadkafashe7427
@ahmadkafashe7427 5 жыл бұрын
Ahsanteeee bro. P1 saaana
@emjay1016
@emjay1016 5 жыл бұрын
brother upo vizuri sana asee naomba histora ya jiji la MWANZA
@ashangarawa6292
@ashangarawa6292 5 жыл бұрын
umejitaidi
@magessamagessa5502
@magessamagessa5502 5 жыл бұрын
Gonga like
@focusmagesa7964
@focusmagesa7964 4 жыл бұрын
_kaka nakukubali sana_
@sylvesterkeya6820
@sylvesterkeya6820 3 жыл бұрын
Eko
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 жыл бұрын
HUJUI LOLOTE KUHUSU DAR SALAAM, AU NI WALE WALE WANAPOTOSHA HISTORIA KWA CHUKI ZA UISILAM KOMEN KUPOTOSHA HISTORIA?,
@baltazarierro1575
@baltazarierro1575 3 жыл бұрын
Tatizo mji haujapangwa vizuri
@jp1780
@jp1780 5 жыл бұрын
Nivizuri kujifunza history yetu ya colonization ili tendo hili lisiweze kurudia tena wazungu wanatudanganya eti yesu alitukufia wakati ma babu zetu ndo waliotupigania naku huwawa kwajili yetu washenzi sana hawa watu
@benjaminmalima397
@benjaminmalima397 2 жыл бұрын
acha kuingiza hisia za udini
@amosiaswile830
@amosiaswile830 4 жыл бұрын
One Ananias Edigar aminia
@tamatiabduly3865
@tamatiabduly3865 3 жыл бұрын
Waooo
@alibintwahamagola9696
@alibintwahamagola9696 5 жыл бұрын
🙏♥️✊🏿
@naimasaid7763
@naimasaid7763 5 жыл бұрын
Wale wazaramo wenzangu wa Dar mpoo
@jembagerald5813
@jembagerald5813 4 жыл бұрын
Neema12 Neema12 mm nataka moja wakuoa kama upo tuyapange
@khadijarajab8383
@khadijarajab8383 2 жыл бұрын
Asili yenu Morogoro Dar mlikaribishwa tu kulikuwa na wenyeji hapa.
@michaelgeorge7051
@michaelgeorge7051 5 жыл бұрын
More thinks
@millowamilonga
@millowamilonga Жыл бұрын
Mbona hii ni simulizi tu na sio historia ya kweli ya neno na uzaliwaji wa DUR AL SALAAM. Ovyo kabisa
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 5 жыл бұрын
pamoja kaka
@erickmachua8829
@erickmachua8829 5 жыл бұрын
Hapo kwenye Mji wa Nne umetuhongopea kabisaaa...Naanza kushuku usahihi wa Taarifa zako
@barnabasmakilika1721
@barnabasmakilika1721 5 жыл бұрын
ERICK MACHUA sema mjii wangapi mwenye taarifa sahii
@rashidseif6103
@rashidseif6103 4 жыл бұрын
Kwa tanganyika na tanga sijui, ila kwa zanzibar mpaka leo hii historia yake bado kila mmoja anasema vyake, kwa sababu mpaka hv sasa bado hamujaijua zanzibar ni ipi na unguja ni ipi, kwa hapo sijaipenda hiyo historia yako.
@robert79160
@robert79160 5 жыл бұрын
C kweli maana ya jina c hizo ulizotajja
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 5 жыл бұрын
Mimi napata taabu sana na PICHA ya Baba wa Taifa akichanganya Udongo kutoka TANGANYIKA na ZANZIBAR. Nilitamani kuona hivi Me. NYERERE angeshika udongo kutoka Zanzibar, na Mzee KARUME angeshika Udongo kutoka TANGANYIKA na wote kwa pamoja wangemwaga kwa ishara ya kUCHANGANYA. 🤔🤔🤔🤔🤔
@bwegelanyakhaido3088
@bwegelanyakhaido3088 5 жыл бұрын
Minsk Belarus iyo clip ipo itafute tuu
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 5 жыл бұрын
@@bwegelanyakhaido3088 iko wapi, nilioiona ni Ile ambayo Mzee KARUME kasimama karibu na huku akimuangalia MWALIM akimimina vyote viwili.
@bwegelanyakhaido3088
@bwegelanyakhaido3088 5 жыл бұрын
Minsk Belarus haaa kumbe ulikuwa unataka yani wote wawili wa changanye Kwa pamoja...nilikuwa sijakupata fresh iyo hamna
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 5 жыл бұрын
@@bwegelanyakhaido3088 umeelewa seen. Kwa mtazamo wangu Mimi,hiyo ingenipa maana na picha halisi ya MUUNGANO.
@solomonadams6337
@solomonadams6337 5 жыл бұрын
kama raia hawataki ni hawataki tuu hata viongozi wangefanya nini sawa?nilimsikia baba yangu anasema K alipokuja na mambo yake haya ya kijinga watu walichukia lakini walikuwa hawana la kumuambia kwa sababu yeye ni mtu mzima sawa?
@amosfrankmasaka
@amosfrankmasaka 9 ай бұрын
chuo cha ilala daressmu
@clevisgeorge9507
@clevisgeorge9507 5 жыл бұрын
Nyimbo mpy za wcb
@clovetv_pba
@clovetv_pba 5 жыл бұрын
Historia ya Zanzibar hasa hujaeleza inavostahiki, yan umefikia sunni katika historia ya Zanzibar
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
hmm
@mikidadibonifacsiwa4666
@mikidadibonifacsiwa4666 5 жыл бұрын
Hapana mie nakataa kwa dare es salam
@mwandumazaoidrossa1702
@mwandumazaoidrossa1702 5 жыл бұрын
kbsa uongo mtupu
@dulakess8928
@dulakess8928 5 жыл бұрын
dar slam nieneo LA Zanzibar pammoja na mombasa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
ivo!
@user-us9gl8jg4l
@user-us9gl8jg4l 5 жыл бұрын
Yani mnatetereka wenzetu wazanzibar punguzeni kukiuza hizo ardhi maana sasa hivi maneno yemekuwa mengi sana maana mshawauzia waarabu na wazungu sasa zanji kiwanja bila nimilioni 5 au 6 upati vya mjini mpaka milioni 20 ni shida aisee
@suleiboy5230
@suleiboy5230 5 жыл бұрын
hapana sio kweliiiii
@legezalegeza9362
@legezalegeza9362 5 жыл бұрын
Naaam
@mwandumazaoidrossa1702
@mwandumazaoidrossa1702 5 жыл бұрын
kabisa
@shukurukoll7269
@shukurukoll7269 4 жыл бұрын
Hiyo picha " Black & White" inanikumbusha mbali, hiyo ni Hospitali ya Mnazi mmoja na hapo mbele kwenye duara palijengwa Chem chem wakati huo.
@HadijaRajabu-pr9di
@HadijaRajabu-pr9di 7 ай бұрын
Hao wabalawa n wakina nani na wanatokea wapi?.
@mhthesamemh7303
@mhthesamemh7303 4 жыл бұрын
Leo hii tanga imechoka sana yaani haiendani na history ya tanga
@habibnjowele7751
@habibnjowele7751 Жыл бұрын
DAR = NYUMBA SALAAM= AMANI KWA HIYO KWA KIARABU DAR NI NYUMBA NA SIO BANDARI SALAAM KWA KIARABU NI AMANI SO DAR EL SALAAM NI NYUMBA YA AMANI NA SIO BANDARI YA SALAMA! SAWA ANANIAS DO MORE RESEARCH! OTHERWISE IT'S GOOD DOCUMENTARY!
@okonkoochola1451
@okonkoochola1451 5 жыл бұрын
mmeweka na picha za jiji la kigali
@aliaboud3059
@aliaboud3059 3 жыл бұрын
Kuna makosa mengi ya tarehe za matukio na asili ya majina. Ukoloni wa waingereza ulianza baada ya Vita ya mwanza ya dunia mwaka1918 chini ya League of Nations. Neno Zinjibar ni la Kiajemi sio Kiarabu na neno Daresalaam tafsiri yake ni Nyumba ya Amani. Jina hilo lilitokana na jengo ambalo sasa ni sehemu ya kituo cha tiba za kansa "ocean road". Awali jengo hilo lilitumika kama madrasa ya kiislamu.
@samasob8233
@samasob8233 3 жыл бұрын
wrong information, the pictures are polish refugees in Tengeru Arusha after world war 2. Vita ya kwanza ya dunia ilikwisha mwaka 1918, siyo 16, anyway asante kwa information
@gospeltotheworld
@gospeltotheworld 5 жыл бұрын
Tangu lini Tanga iwe juu ya Arusha? Mji mkuu wa Tanganyika wakt wa utawala wa kijerumn ulikuwa ni Tabora sio DSm
@azizihamisi420
@azizihamisi420 5 жыл бұрын
Tanga ni zaidi ya arusha,,sema wao hawakuekeza kwenye elimu....tanga hawana ubinafsi kama huko kwenu moshi.....walistaarabika kitambo ila wao hawakwenda shule
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@azizihamisi420 ivo!
@suleshngwisa7516
@suleshngwisa7516 5 жыл бұрын
Bisha hivyohivyo ila ukweli tanga ilikuwa juu
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 5 жыл бұрын
Sulesh Ngwisa nikweli kabisa miaka ya nyuma tanga ilikuwa juu sana km vile ilivyo dar es salaam sasa ila watu hawajui tu ila tanga inahistoria na wageni walikuj wa makabila mbalimbali
@jumaamashaka7844
@jumaamashaka7844 3 жыл бұрын
Jina La tanga unedanganyq
@johngabrielz5904
@johngabrielz5904 5 жыл бұрын
Fanya historia ya mahakama kuu ya Tanganyika..
@kebo2155
@kebo2155 4 жыл бұрын
Wacha kuongea vitu usivyojua... Wabantu walijenga miji kabla mwarabu hajaja.. Mwarabu amejuaje kujenga kabla ya wabantu... Wabantu Wangozi ndiyo wenye lugha ya kiswahili na ndiyo walijenga kilwa, lamu kabla ya Waarabu na walitokea Ethiopia.. Fanya research kabla ya kutupa nusu story... Amka..
@amanichanga3448
@amanichanga3448 5 жыл бұрын
Zenji === Mtu mweusi, Bar === Bahari
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
yaani bahari ya mtu mweusi???
@amanichanga3448
@amanichanga3448 5 жыл бұрын
Mnzava Chris Mtu mweus anaeishi karibu na bahar
@bensonthobias8401
@bensonthobias8401 5 жыл бұрын
Jamaa unajuaaaaa
@ashminhaabdullah4963
@ashminhaabdullah4963 5 жыл бұрын
Sauti tamu sana mpaka naunguza ☕️🤣🤣🤣🤣🤣
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@ashminhaabdullah4963 hmm
@elishasolomon9742
@elishasolomon9742 3 жыл бұрын
Nani yupo na uku?.
@hamiswilson2455
@hamiswilson2455 5 жыл бұрын
Tuletee historia za madikiteta duniani hasa ya Adolf Hitler, Musolin, etc pía na historia ya Bismack aliesimamimia Beril conference
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Yaani natamani history ya Berlin conference kweli maana nasiikia walitugawa kama pipi😄😄😄
@hafidhmohd8696
@hafidhmohd8696 5 жыл бұрын
Historia ya Zanzibar bado huijui unajua ni tarehe zake tu ila huijui
@suleshngwisa7516
@suleshngwisa7516 5 жыл бұрын
Toa unayoijua ww
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
@@sahimm4767 tatizo lingine wabongo wanapenda kukosoa wakati hawataki kutuambia ukweli. Hapo angetakia alivyo kataa, aandike kwa kifupi historia yake anayoijua ili tujifunze
@idiameir3958
@idiameir3958 5 жыл бұрын
Kasome ten history ya Zanzibar isidanganye wat
@alalawiymuhammad446
@alalawiymuhammad446 Жыл бұрын
Wabarawa sio wabalawa na mchanganyiko baina wazaramo wamashomvi ambao ndio kabla kuitwa hivyo waliitwa wamwambao kwao uzaramo unapatikana kabila tatu ushomvi unabarawa na uzaramo
@kagarukifred7372
@kagarukifred7372 5 жыл бұрын
huyu Jamaa mbona anaonyesha na mji wa kampala
@mohhamedygideoni2205
@mohhamedygideoni2205 5 жыл бұрын
Kagaruki Fred unatakiwa uwe unaelewa hizo picha zimewekwa apo ili kujenga uhalisia
@msodokithesantz1655
@msodokithesantz1655 5 жыл бұрын
Ww muongo ww ukanda wa pwani wote una hesabika Zanzibar mpaka Kenya huko mambasa yote Zanzibar Inahesabiwa
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 5 жыл бұрын
Swadakta
@ramseyhusseinkhamis8258
@ramseyhusseinkhamis8258 5 жыл бұрын
We ndio haujui soma
@tareeqkhamis6203
@tareeqkhamis6203 5 жыл бұрын
Sawa kabisa
@turkeyphone9629
@turkeyphone9629 5 жыл бұрын
Zanzibar nilisikia kwa mwalimu wangu akiniambia zanzibar yote hadi dar es salaam ni zanzibar
@dvdbruno1266
@dvdbruno1266 5 жыл бұрын
Leteni ushahid
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 5 жыл бұрын
Wewe jamaa kwenu tanga ndio mana unasena ndio mji wanne kwaukubwa hujaitaja Arusha
@Apeacfulguy
@Apeacfulguy 5 жыл бұрын
Wabara wanajuwa historiya ya ulemwengu walikuwa watumwa tuu hawajui kitu wanafungwa manyiororo tu
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Жыл бұрын
Labda km we mpemba ndo Stori ya utumwa haikuhusu lakini km sie hapa unguja lazima ukutane nayo na ndo maana wengi wetu ni wandereko wazaramo wanyamwez watanga na wamakonde hivyo ww mpemba Zanzibar umevamia Tu na wala hakukuwa katka history ya zanzbar kisiwa cha UNGUJA na pemba wameunganisha hao waarabu walouza wazee wetu nyie wapemba mrudi kwenu Somali na sudani hatuwatambui
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
yaani mbeya yahesabiwa >>>>> kuliko arusha????
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 5 жыл бұрын
MZEE baba kila sehemu upo du
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
KACHERO SIMBA hahaha.,umeniona wapi tena mkuu.?
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 😆😆😆
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 ?!
@lageettamim4415
@lageettamim4415 4 жыл бұрын
Doh Zenjibar ni neno la kiarabu maana yake land of black tena mpaka leo Yemen Hadhramout kuna mji unaitwa Zenjibar do your research
@kebo2155
@kebo2155 4 жыл бұрын
Miji hii yote ni ya wa mabantu.. Na waswahili wa kwanza wenye lugha waliitwa Wangozi ni Wabantu walitokea Ethiopia na ni waislamu wa kwanza kabla ya madina na makka.. Hawa walislimu wakati waislam walipokimbilia Ethiopia na baadaye waliupeleka uislam kusin lamu. Mombasa Zanzibar kilwa rufiji nk.. Mwarabu alileta biashara ya watumwa..
@abuyabally5086
@abuyabally5086 5 жыл бұрын
hujaichambua umeipelekapeka unavotaka ww labda hujui au unaificha kwa makusudi
@lelarashid5243
@lelarashid5243 5 жыл бұрын
Wrong history, umeficha mambo mengi
@makamehamisi1485
@makamehamisi1485 5 жыл бұрын
Toa yako iliokamilika tukupongeze
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@makamehamisi1485 wakera kwl hw
@alexmamti5022
@alexmamti5022 5 жыл бұрын
Rp
@bazilbernard2499
@bazilbernard2499 5 жыл бұрын
Safiii.
@emmanuelqaday6949
@emmanuelqaday6949 5 жыл бұрын
Natamani nipate no zako maana historia unazotupa inanisaidia no zangu ni +255763195750
@boniphacemanuel8705
@boniphacemanuel8705 4 жыл бұрын
nyie acheni upumbavu mnaolaumu msomaji akili ndogo laumuni muandaaji
@abdulrahmansaliumalbry2615
@abdulrahmansaliumalbry2615 5 жыл бұрын
Bustards mauwaji sio mapinduzi makafiri mola atakuonesheni bustards.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
hmm
@davydany9648
@davydany9648 4 жыл бұрын
Nani hao
@zainbalmasrory8024
@zainbalmasrory8024 5 жыл бұрын
Nani alieita dar es salaam?
@applestru_cape2219
@applestru_cape2219 5 жыл бұрын
Mwarabu
@Wolfstudioo__
@Wolfstudioo__ 4 жыл бұрын
Nitakuwaaaa km napend xn alivyo
@saudaasumani6729
@saudaasumani6729 4 жыл бұрын
Kama muongo toa wewe istolia
@tamatiabduly3865
@tamatiabduly3865 3 жыл бұрын
Umeona atowe yey
@binotvtanzania5650
@binotvtanzania5650 5 жыл бұрын
Historia ya zanzibar huijui kwakuwa hata kiswahili hujui kimetokana na wapi zanzibar hakuna wabantu
@chibumichael1862
@chibumichael1862 4 жыл бұрын
Bino tv Tanzania .....kuna waarabu sie?????
@ibrahimcharlesswaleh
@ibrahimcharlesswaleh 5 жыл бұрын
Distorted history.
@solomonadams6337
@solomonadams6337 5 жыл бұрын
wewe chogo acha kudanganya machogo wenzako kwa sababu alipokaa huyo Maliki Majid wenyewe wanajua historia yao na huyo majid sifikirii kama alikua maliki wa awali sawa?tafuteni historia yenu sawa?musiibe historia ya watu mukajifanya yenu sawa?wew Abidi unusu.
@laucrizant4981
@laucrizant4981 5 жыл бұрын
Mbn kuna question mark, hapo unauliza swali au unafafanua!!!?
@daudvedasto9809
@daudvedasto9809 4 жыл бұрын
Chogo babaa ako fala wew af kwnz mmezoea kufirana tu uko kwenu wehu nyie
@bumbazladas4369
@bumbazladas4369 5 жыл бұрын
Tanga imekufaaa
BILA Maandalizi Ya Kustaafu / Pensheni Itakunyonga
12:36
Global TV Online
Рет қаралды 36 М.
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
IJUE HISTORIA YA MAAJABU YA MWANAMALUNDI
11:30
Global TV Online
Рет қаралды 301 М.
JE! ULIDANGANYWA HISTORIA YA ZANZIBAR- MANGAPWANI?
19:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 73 М.
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН