Hakika Katika wanamuziki wanojiheshimu huyu kwangu ni namba moja.Usiache kutukuza kuhusu mwanamuziki huyu juu ya hali yake...Ahsante sana!
@jesuitredbrigades80503 жыл бұрын
Kazi nzuri kakini umesahau kugusia Kia Whitney alikua kwenye mapenzi ya jinsia Moja na mwana dada aitwae Robin Crawford...Kwa MDA mrefu hata waliishi kwenye nyumba Moja kabla ya Bobby brown kuja Kwa Maisha yake
@manuelykimaro99952 жыл бұрын
Kweli
@henrygwalema18603 жыл бұрын
My all time Whitney Houston's song"I look to you".
@manuelykimaro99952 жыл бұрын
Huu wimbo aliandikiwa na R Kelly
@emanuelkasiano69343 жыл бұрын
Safi Sana hakika nafurahia kusikiliza simulizi zako
@ismailyismaily80723 жыл бұрын
Daah nampendaga sanaa huyu mamaa Whitney Houston nikikumbuka hilesingle yake ya I will always love you
@mrsdeborahurio3 жыл бұрын
Wimbo wa Dolly Parton , yy alirudia tu kuuimba na aliuimba vizuri sn.
@fatmakombo75843 жыл бұрын
Haya madawa anaeyatengeneza mungu atamuona
@ellienially11303 жыл бұрын
"I will always love u" ..my song🌄😭😭
@amiltonmichael53773 жыл бұрын
My best female singer
@mrsdeborahurio3 жыл бұрын
Usalama uko kwa Mungu tu......TOA MAISHA YAKO KWAKE!
@fatumaayubu6453 жыл бұрын
Mungu atupe mwisho Mwema.
@maulidisaidi84803 жыл бұрын
I wanna dance with Melody, moja ya wimbo wake ninaoupenda sana🔥🔥🔥
@macamezunguzungu55843 жыл бұрын
Sasa twende kazi 💪 Justin
@pracxedismathias55553 жыл бұрын
yaani leo ndiyo nimejua kama na mtoto wake alikufa😭😭😭
@julithamuhale72713 жыл бұрын
I will always love you! Sauti ya kumtoa nyoka pangoni!
@NajmaAayan-rx1dc Жыл бұрын
Mambo mmi nakupendasana unavyo simulia
@steveirungu31323 жыл бұрын
I miss you 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗 Whitney Houston by Steve Irungu Jermaine
@erickphilipo60583 жыл бұрын
Nimeipenda
@emanuelmwaipaja20623 жыл бұрын
Sema kwa Mimi (1999nmezaliw)huyu mdada nilikuw simjui et lakin baadhi ya nyimbo zake kama nimewahi kuzisikia vile
@happynelson11363 жыл бұрын
Kuna mtu kule Uingereza alifikishwa mahakamani sababu aliisikiliza nyimbo ya I Will always love you kwa sauti kubwa sana masaa 24 mpaka majirani hawakuweza kulala usiku hii nyimbo inapendwa sana mpaka leo
@Swahili143 жыл бұрын
Htr😭✨🥰 1B views
@josephmwangi5803 жыл бұрын
Kazi nzuri bongo fasta
@zershmohammed88203 жыл бұрын
Me sauti yako tu😍😍😍
@sarakondo38443 жыл бұрын
,good job❤
@Swahili14 Жыл бұрын
Her SO EMOTIONAL ALL THE MAN THAT I NEED GREATEST LOVE OF ALL ONE MOMENT IN TIME DIDN'T WE ALMOST HAVE IT ALL I HAVE NOTHING AMERICAN NATIONAL ANTHEM RENDITION (STAR SPANGLED BANNER) & I WILL ALWAYS LOVE YOU are definitely my BEST SONGS OF ALL TIME 🥇👑❤️
@danduwadandu50473 жыл бұрын
Thank you very much very much
@togetherchristiansmedia34373 жыл бұрын
Unajuwa historia mbali mbali kaka
@happynelson11363 жыл бұрын
Whitney alianza kutumia madawa kabla hajakutana na Bobby tena kaka yake whitney ndiyo alikuwa anampa whitney madawa ya kulevya
@xhampoza_253 жыл бұрын
Mimi naitwa justin shedi sasa twende kazi
@jafetmbele71653 жыл бұрын
Hongera
@ellienially11303 жыл бұрын
Mungu ni MWEMA mda wote RIP 💚💚
@mussahassan29373 жыл бұрын
Bongo fasta 👍nimekubal
@officiallycyra69443 жыл бұрын
Daaah mapenzi bhana
@ajiryal-amin6863 жыл бұрын
Nampenda sana huyu dada
@stellahmhando4303 жыл бұрын
Inasikitisha sana😭😭
@manuelykimaro99952 жыл бұрын
My love is your Love🔥 Nappy Rest in Peace
@brianontori83843 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭so sad
@ngolobulugu95253 жыл бұрын
Dah imeniudhunisha sana
@ahmedhamdan85263 жыл бұрын
Hatari
@Mbeyaconscious3 жыл бұрын
✊✊
@BONGOFASTA3 жыл бұрын
Nakubali sana kaka
@blueberrypotatogames79502 жыл бұрын
Ameuwawa.
@fatmaahamad6333 жыл бұрын
Asante
@innocentboykid2443 жыл бұрын
Mimi naitwa Justin shed SASA Twende kazi
@dullahsamir15553 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@paulsheshe48393 жыл бұрын
Ni legend
@kkutanzania53863 жыл бұрын
History mzur
@onlyonetztv6103 жыл бұрын
Nakukubali sana bro,,umekua kioo changu sasa
@swaumuugata41666 күн бұрын
Madawa yanawamaliza wengi😢
@dikodikson5593 жыл бұрын
Good job all over the 🌏🌏🌏
@yusufuwadi42563 жыл бұрын
Good broo
@chancelebishopofficial27853 жыл бұрын
If unapenda kujuwa true story fatilia the story of Bobby Brown, acha kudanganya please
@ayshahamud26253 жыл бұрын
Kuna na movie pia ya maisha yke
@manuelykimaro99952 жыл бұрын
I will Always loves you ni ya dolly parton yeye aliiirudiaa
@collisbill88713 жыл бұрын
Maisha Ni Kipajii
@LearnwithMadamnaomi3 жыл бұрын
Duh staki mapenz yani chukulie kila kitu,
@patrickherman19063 жыл бұрын
mmmmmh!
@user-ot2io4cy6w3 жыл бұрын
Mama na Mwana walikuwa na sauti tamu😑😑😑
@bulayaconfidential72123 жыл бұрын
Mbona me simjui...
@mussakasela19373 жыл бұрын
Inahuzunidha Sana😭😭
@paulinacherement25343 жыл бұрын
Congratulations
@TonyMkongo3 жыл бұрын
👏👏👏👏
@BONGOFASTA3 жыл бұрын
Pamoja sana Tony
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@busindevyote35193 жыл бұрын
Nilimpenda sana Whiteney H
@allthingdranabeauty3 жыл бұрын
Ila kifo chake ukifutila na move historia mwenyewe akiongea anaonesha ayuko happy kwenye mahusiano mwanaume anamcontrol sana ataki awe karibu na marafiki wala ndugu yan witney alimpenda sana mwanaume ila mwanaume alikuwa sio mtu wakujali yeye ni mali tu ukifuatilia inteview za Witney na historia na marafiki wanavyongea akuwa happy kwenye mahusiano ndio hapo kahanza madawa
@manuelykimaro99952 жыл бұрын
Na alikua akitumia bangi kabla hajakutana na bobby
@faizamohamed69933 жыл бұрын
RIP 😭😭😭
@hopehope52433 жыл бұрын
So sad
@dianaalfredy33053 жыл бұрын
Tuletee historia ya diamond nasibu
@lovenesdanieli93642 жыл бұрын
Ipo hyo labda ya kuzalisha
@vintagemusicgroup92363 жыл бұрын
Ndivyo makampuni makubwa ya kibeberu yanayoingia mikataba mikubwa na hawa wasanii yanavyofanya. Michael Jackson walimuua hivi hivi kwa kudai ameoverdose madawa. Whitney Houston nae kwa madawa. R.Kelly wanambambikia kesi za ubakaji kama Michael Jackson...
@lucasmhagama81663 жыл бұрын
Huyu Dada alikuwa anaimba bwana na sauti yake sasa daah Boby Brown alimpoteza sana laiti in short Boby alikuwa mume mbaya na baba mbaya pia
@dankankazimoto92103 жыл бұрын
🙏💙
@baltonmanjise72093 жыл бұрын
Kiukweli imenisikitisha sana
@mrshadow43953 жыл бұрын
Hahahah! Hv huyu ndo kati ya wale wakina Yondo sister...
@michaelmagere27953 жыл бұрын
Hapana
@user-ot2io4cy6w3 жыл бұрын
😢😢😢
@emanuelmwaipaja20623 жыл бұрын
Justin hapo mwishoni underground ilikuwa high kuzid sauti yako
@happynelson11363 жыл бұрын
Sasa nafikiri wote hao waliuliwa watu watatu katika familia moja wafe hao waliuliwa na watu pia Michael Jackson na yeye aliuliwa na hao frimasson
@LadyveenOfficial3 жыл бұрын
Can anyone tell me background ya huo wimbo mwishoni mwa hii Clip
@umojamedia41673 жыл бұрын
Song.happy life Artist.sherma Andrew
@LadyveenOfficial3 жыл бұрын
@@umojamedia4167 asanteee Sana
@robertsimba5081 Жыл бұрын
Love is blind
@mustakimukarimu51653 жыл бұрын
Majanga
@MenejaCossie3 жыл бұрын
Nice try lkn next time usicopy na kupaste documentary nyingine they are all over in the net.., and waandishi wa hizi documentary wametwist sana story this is not clear at all🙌🏾🙌🏾
@faustapetro50513 жыл бұрын
Ok
@annwachiya64383 жыл бұрын
Rilly love is blind Bobby uspoiled whitney
@maryamshuraim41633 жыл бұрын
unajua malaika sauti yake
@ajikanyenje10173 жыл бұрын
Nikweli ukiwa Karibu na mwizi na wewe utakua mwizi?
@kasindejonathan9783 жыл бұрын
Hivi malaika wanawake hakuna maana Kuna Michael Gabriel Rafael nk lakini majini mmhh maimuna na kuendelea why malaika wanawake nijuzeni wanaojua..
@philippeter1983 жыл бұрын
hawapo majini ndo wapo wanawake
@simontamba12853 жыл бұрын
Umenifumbua..
@FatimaFatima-wk1jk3 жыл бұрын
Malaika hawana jinsia maana wameumbwa Kwa nuru na ndio mana hawazaani mana sio viumbe hayo majina uliyo yataja sio majina Yao halisi
@kasindejonathan9783 жыл бұрын
@@FatimaFatima-wk1jk Asante nilikuwa najiuliza hivyo nashukuru
@nilansaid29273 жыл бұрын
Majini ni malaika waliohasi, Mungu akawatoa mbinguni na kiongozi wao shetani mpaka siku ya hukumu kuu
@user-qm2up2ly4b3 жыл бұрын
Kumbe malaika ndo wanasauti lama ya huyo dada
@Ryoof-qo7if3 жыл бұрын
Ushawahi sikiya sauti ya malalka we🤣🤣🤣
@عبدالعزيزعبداللهالفغم3 жыл бұрын
Nami pia nashangaaaa mwenzetu kaisikia sauti ya malaika
@phitolyfancy65613 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣lakini you guys🤣🤣🤣
@officiallevyclassic12593 жыл бұрын
Sauti hata Ali kiba mfalme anayo
@beautyibrahim84283 жыл бұрын
😂😂😂Tunamzungumzia huyu sio alikiba ata ww saut unayo
@officiallevyclassic12593 жыл бұрын
Sauti ya kuimba wewe huna
@mbarikiwambarikiwa64793 жыл бұрын
Tuwe makini ktk kuchagua marafiki.
@sophiakassim67843 жыл бұрын
Hakika
@happynelson11363 жыл бұрын
Mbona Bobby anaishi mpaka leo
@upendolema98093 жыл бұрын
🙄
@dennisisrael21873 жыл бұрын
Duuuh baraka inageuka laana. Umarufu cio kosa, kosa n kuishi km unavyojickia kupitiliza pamoja n kampani mbovu
@JumaaNdululu3 жыл бұрын
Siku hazirudi nyuma
@Ogtydan3 жыл бұрын
KUNA WIMBO WAKE UNAIMBWA wiiii ooloweeeisii yuuuuuu uuuu uhuuuuuuuu
@vincentashiembi3 жыл бұрын
ongelea DMX nini kilitokea kwake
@azizawadh59733 жыл бұрын
Hawa kina Dada ni shida duniani ah
@magzakky27813 жыл бұрын
Kama ni shida Anza na mama Yako maana ni mwanamke ebu chunga mdogo wako kenge wewe hujafa hujaumbika
@evelynkilawe53793 жыл бұрын
mwanaume ndo alisababisha wewe nasio wanawake boya ww wanaume nyie madawa ya kulevya apo ndo alisababisha kifo cha huyo dada
@kari_ahmad063 жыл бұрын
P
@navury93453 жыл бұрын
layers lol.
@salumsalum57123 жыл бұрын
Mimi n Albert Einstein Sasa twende
@simontamba12853 жыл бұрын
Hahahaha🤣🤣
@pendooscar93223 жыл бұрын
Amekufa vibaya namtto wake pia kafa Yan wanaume wapuuzi
@philippeter1983 жыл бұрын
mh!
@pendooscar93223 жыл бұрын
Unabisha au
@johnpaulkirenga58243 жыл бұрын
Nyamaza
@chancelebishopofficial27853 жыл бұрын
Wewe ni muongo sana ,you don't know anything bro ,fatilia story vizuri,stop kudanganya people