Historia ya ManDojo na DomoKaya walipokuja Dar Es Salaam mara ya kwanza.

  Рет қаралды 73,352

Octagraphy

Octagraphy

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@BooYaaKaSha24
@BooYaaKaSha24 9 жыл бұрын
Mandonjo & Domookaya are my favourite Tazn artist. mashahiri yenye ujumbe pia yana hadithi
@hadijambwana769
@hadijambwana769 8 жыл бұрын
yani long time sana. uko wapi mandojo &domokayaa..... amkeni jamani...
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 2 ай бұрын
Kweli maisha sio safari ndefu nenda kaka r.i.p
@kalugoshukran7739
@kalugoshukran7739 7 жыл бұрын
Nawakubali ndojo na domokaya, uzikwe hai. big up
@navwadaressalaam3122
@navwadaressalaam3122 6 жыл бұрын
Tembelea Official Domokaya Channel kupata mixtape mpya ya Mcheza Kwao, album ya kwanza ya Domokaya wa Band ya Man Dojo na Domokaya tarehe 02.08.18. Usisahau kusubscribe.
@konkiliquid1611
@konkiliquid1611 5 жыл бұрын
kitambo wakati namfukuzia ndojo kufanyanae hitsong sinza madukan . namshukuru Mungu kuchelewa kwa kolabo kukanifanya nikutane na NEEMA YA WOKOVU.
@mkwavi
@mkwavi 8 жыл бұрын
katika interview za wasanii wa bongo yaan hii nime enjoy sana nyimbo za hawa jamaa zina nikumbusha nipo primary miaka ya 2004 kurud nyuma
@asimaismail5559
@asimaismail5559 8 жыл бұрын
nyimbo naipenda
@jamesjuliussimfukwe.7860
@jamesjuliussimfukwe.7860 3 жыл бұрын
nawakubali sana mandojo hiloo domokaya felo.xxl
@owencreativity
@owencreativity 4 жыл бұрын
Nalia namola kumbe wanga ndowanao mix..'💥🤟🏽
@victorrichard2883
@victorrichard2883 2 ай бұрын
RIP MAN DOJO
@immahfred2127
@immahfred2127 8 жыл бұрын
nikikumbuka bongo fleva iliyofanywa zaman,, miaka ya 2005 kurud nyuma nataman kulia,, walifanya kaz kwel, cku hz hamna lolote
@stylistofficial1405
@stylistofficial1405 6 жыл бұрын
Immah Fred wali fanya vizur wachache ila now wengi wana fanya poa alfu zamani walikua awafuati vina
@expert5898
@expert5898 4 жыл бұрын
Sure kabisa
@michaelmahenge593
@michaelmahenge593 2 жыл бұрын
Hawa jamaa balaaa sana moto wa kuotoe mbali na ndio rapper wa kwanza kuanza kutumia Gita Tanzania na kuonyesha kwamba they are real musician
@cabbonecs
@cabbonecs 2 ай бұрын
2024 RIP MANDOJO🎉
@husenihabibu3689
@husenihabibu3689 7 жыл бұрын
MAJAMAA WALIKUWA WANAJUA
@obedmlule5863
@obedmlule5863 6 жыл бұрын
Nawakubali mko vzr
@tompatel849
@tompatel849 8 жыл бұрын
hawa jamaa wanajua sana nawakubali sana bonge la interview. napenda sana ile verse`HAWARIZIKI KUNIONA NDANI YA SUTI WANA ROHO NYEUSI ZISIZONG'AA KWA JIKI.
@twangalazedon6195
@twangalazedon6195 7 жыл бұрын
Tom Patel
@brisketkidari1623
@brisketkidari1623 7 жыл бұрын
niaje hii ngoma inanima nzuka kila nikiisikiliza haini tosh
@brisketkidari1623
@brisketkidari1623 7 жыл бұрын
vaa miwani man naona ile sana upo full
@rahjah5882
@rahjah5882 5 жыл бұрын
Reminiscing this one ☝️
@kinged9862
@kinged9862 8 жыл бұрын
inanikumbusha mbali kweli mziki safari ya maisha
@saumusalimuhassan3041
@saumusalimuhassan3041 8 жыл бұрын
Me nakumbuka nyimbo ile mlioimba na Jide,
@francisraphael3816
@francisraphael3816 5 ай бұрын
daaah dadeki kitambo sn hapo fetty bado mbichi sn
@atambitomotesTz7100
@atambitomotesTz7100 6 жыл бұрын
time sana mko wapi jamani
@lutachahalajohnkalokozi6297
@lutachahalajohnkalokozi6297 2 ай бұрын
R.i.p mandojo
@elivtv5444
@elivtv5444 6 жыл бұрын
Man dojo naomba kofia yetu
@musambelwa2968
@musambelwa2968 6 жыл бұрын
Mko wapi ahh ya kale ni dhahabu
@timothymponeja8606
@timothymponeja8606 3 жыл бұрын
Noma sana
@sadamissa5687
@sadamissa5687 2 ай бұрын
Rest easy bro 😢😢😢
@amosyohana5351
@amosyohana5351 3 жыл бұрын
Tunaoangalia baada ya dazen kwenda Efm
@mohamedrashid6578
@mohamedrashid6578 3 жыл бұрын
Wapi nitapata mashairi ya wimbo huu?
@Zainab-mv8je
@Zainab-mv8je 2 ай бұрын
Rip
@piusnkwale
@piusnkwale 5 жыл бұрын
Dah hatari sana.
@expert5898
@expert5898 4 жыл бұрын
Historia yao inagusa sana
@neemajulius3910
@neemajulius3910 5 жыл бұрын
Mnajua
@changainstitute4584
@changainstitute4584 6 жыл бұрын
daah ila mlikiua shida saana bruh... Trust.!!
@ThomasMorris-p1s
@ThomasMorris-p1s 2 ай бұрын
Kitambo clous ipo kitega uchumi
@ThomasMorris-p1s
@ThomasMorris-p1s 2 ай бұрын
Rest in peace ndojo
@johnmichael-zg6sd
@johnmichael-zg6sd 2 ай бұрын
Uvaaji wa kofia wa jamaa ndo wakipekeee
@jamesjuliussimfukwe.7860
@jamesjuliussimfukwe.7860 3 жыл бұрын
taswira
@queenhalimoja2599
@queenhalimoja2599 6 жыл бұрын
nawapenda nyie
@greccensalanje8364
@greccensalanje8364 5 жыл бұрын
Inanikumbusha mbali sana miaka ya 2004 nilikuwa mererani machimboni nachimba madini kwa papakinyi
@captendunga1392
@captendunga1392 3 жыл бұрын
DIGALA.
@jamesjuliussimfukwe.7860
@jamesjuliussimfukwe.7860 3 жыл бұрын
taswira
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 54 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 32 МЛН
Salama Na Lord Eyes Ep 20 | HAWATUWEZI Part 1
32:10
YahStoneTown
Рет қаралды 96 М.
Hotuba Ya Mwl  Julius K  Nyerere   Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995
14:17
Young Killer na Dogo Janja Wachanana Live Kuonyesha nani mkali zaidi?
10:52