Tafadhali subscribe kwenye channel yetu pendwa ili kusaidia Kazi ya dawah isonge mbele. Inaweza kunipigia au kutuma Ujumbe wako kwenye nambari zifuatazo: +254722600533 +254777600777 +254728844477 +254700716677 +254733663375
Пікірлер: 466
@shushu81052 жыл бұрын
Walahi Sheikh Ramadhan baba yangu mnanipa Raha hadi hasira yote imekwisha Mungu akupe maisha marefu baba yangu Ramadhan nakufatiliy kutoka burundi
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
Wewe Peter umesha oshwa brain na wa zungu asa yaarab Mwenye Enzi Mungu aku onyeshe njia ilio sahihi na aku fanyie wepesi
@hafsaali79763 жыл бұрын
"Mashaallah shekh wetu Ramadhan 🇰🇪🇰🇪twakupenda kwa ajili ya Allah"
@louiskhan73723 жыл бұрын
Wandanganya watu .....wanavuta watu kwa muhammad na amekufa 😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@noahwamalwa43853 жыл бұрын
kwa nini aya fulani kwa Qurani zilitolewa??
@noahwamalwa43853 жыл бұрын
1 Timotheo 3:14-16: Ninakuandikia mambo haya sasa ingawa natarajia kuwepo pamoja nawe karibuni, ili kama nikicheleweshwa, upate kujua jinsi watu wanavyopaswa kuenenda katika nyumba ya Mungu, ambayo ni kanisa la Mungu aliye hai, nguzo na msingi wa kweli. Bila shaka yo yote, siri ya dini yetu ni kuu: Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu, alithibitishwa katika Roho, alionwa na mal aika, alihubiriwa kati ya mataifa, akaaminiwa ulimwenguni, aka chukuliwa juu katika utukufu.
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
Kwanza kazi ya utumwa wali anzisha wa British sio wa arabu ,na wa arabu ndio walio ondosha hio biashara ya utumwa, Subhana Allah sijui Kwa nini wana wachukia warabu. Hasbiya Allah wani'mal wakiil
@abdillahmbarak74183 жыл бұрын
Mashaallah sheikh Ramadan mungu akuifadhi na pia nampenda sana uyo kaka kwa kuelezea ukweli maana wakristo wengi hawafahamu ivyo
@mussamohamedmohamed96293 жыл бұрын
Mashaa Allah,,Shekh Ramadhan Allah akuongezee umri wa kheiry
@naimaabuualii5783 жыл бұрын
Amini
@suleimanabdull19583 жыл бұрын
MashaaAllah Allah akupe kher Shekh wetu, mm natoka hapo znzbr na nimesoma na wakristo wengi Skuli na vile Zanzibar Skuli mpaka msome dua na Quran on assembly wengi wanajua Quran lkni hatukupatapo kuwalingania saivi Allah kakupeleka ww InshaaAllah akulipe .
Asalam Alaykum warahamatulilh wabarakatuh! Wallah kwa kweli Nashukuru sana kwa kuona mji wa Zanzibar! Hii DINI kwa kweli nyingi tu sana ! Kisha imani zao tafauti sasa sijui katika ukuristo ni wepi wanao mfata NABII ISSA! SHEKHE RAMADHANI ZIDI KUWALUNGANIA WAJUWE UKWELI!MASHA ALLAH KUMBE WAMEJUWA DINI YA KIISILAM DIYO DINI ILIKUWA YA KWANZA? MASHA ALLAH MASHA ALLAH
@josephwilliam58133 жыл бұрын
Ilikua ya kwanza Kwa ukanda huu kua na akili
@noahwamalwa43853 жыл бұрын
1 Timotheo 3:14-16: Ninakuandikia mambo haya sasa ingawa natarajia kuwepo pamoja nawe karibuni, ili kama nikicheleweshwa, upate kujua jinsi watu wanavyopaswa kuenenda katika nyumba ya Mungu, ambayo ni kanisa la Mungu aliye hai, nguzo na msingi wa kweli. Bila shaka yo yote, siri ya dini yetu ni kuu: Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu, alithibitishwa katika Roho, alionwa na mal aika, alihubiriwa kati ya mataifa, akaaminiwa ulimwenguni, aka chukuliwa juu katika utukufu.
@zainaal-nabhani9034 Жыл бұрын
Mashallah karibu tena nanzibr
@zaburi23863 жыл бұрын
Uilsam ni sio mpango wa mungu Muhammad hakuwa kutumwa na mungu muumbaji haitotokea kamwe yesu ndie mtume wa mwsho uislam ni mpinga kristo
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Kama Yesu ni mtume wa mwisho naye Paulo alikuwa nani?
@selemanimchana35986 ай бұрын
Soma utaelewa kama kusikia tu mtihani, mungu akuonyeshe njia sahihi
@rayhanrashid39283 жыл бұрын
Maashaa Allah Tabarakallah..Kazi nzuri Shaikh wetu. Barakallau tawfiq
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Shukran jazeelan , Allahuma ameen
@Tareqelbusayd92943 жыл бұрын
Polo pop
@Tareqelbusayd92943 жыл бұрын
PMll o
@Tareqelbusayd92943 жыл бұрын
@@StraightPathDawah p
@zaburi23863 жыл бұрын
We sherk ww elim yako ni ndogo huwez kupambana na watumish wa mungu umejibiwa msawal yako matatu
@zainabumwagiroabdallamwagi973 жыл бұрын
Mashaalah sheikh ramadhan barakallahu fih.
@masoudidadi73693 жыл бұрын
Allahuakbar hakika mnafanya kazi Kubwa Mashallah
@ibrahimkadabla2111 Жыл бұрын
Mungu akusimamie shegh
@saudahassan66673 жыл бұрын
Allah akuongoze sheikh wetu
@noahwamalwa43853 жыл бұрын
Kwa nini kondoo alikula sehemu ya qurani??
@naimaabuualii5783 жыл бұрын
Masha Allah kumbe umefika home nice mungu akupe shekh wetu kipendi chetu Ramadan
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Allahuma ameen
@iddyally72283 жыл бұрын
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
@jumapandu47613 жыл бұрын
Karibu akhiy katika visiwa vya marashi ya karafuu
@aliyahya57853 жыл бұрын
Mashaallah shekh ramadhan.
@abdillahismail82873 жыл бұрын
masha Allha shekh ALLHA akupe umr mrefu
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Masha Allah, Allahu Akbar
@peterobiri25093 жыл бұрын
Napenda channel yenu bro, Christian but supporting IMANI yoyote bora inamtambua Mwenyezi MUNGU
@aliyahya57853 жыл бұрын
Mungu akuongoze siku moja umfuate yesu ili uwe Muislamu inshaallah
@maherzain6153 жыл бұрын
Asante brother peter
@jamalathman62193 жыл бұрын
Mashallah jazakallah kheir
@djhassim_2545 ай бұрын
HAPANA HAKUNA MTU AMEZALIWA MKRISTO .UMBILE ALIOUMBWA NALO MWANADAMU NI UISLAMU NA INSHAALAH MWENYEZI MUNGU ATUELEWESHE HILO
@ibrahimkadabla2111 Жыл бұрын
Mashalla
@marvelousofzanzibar9556 Жыл бұрын
Karibu tena Zanzibar kaka
@jacksonkilonzo14393 жыл бұрын
KWA MARA YA KWANZA NAKUPONGEZA SHEIK KWA KUHESHIMU DINI ZA WATU WENGINE SOTE NI WANA WA MUNGU MMOJA DESPITE OF DIFFERENT FAITH .UNACHOKIAMINI NAWEZA KUWA SIKIAMINI ,PILI NAPONGEZA HUYO MSEE MWENGINE KWA UFAFANUZI WAKE. SOTE TUMETOKA KWA MTU MMOJA ABRAHAM
@alafasyprintingservices6603 жыл бұрын
Mashallah 🤩
@aishaally27303 жыл бұрын
Yaani tuwaombee hawa nduguzetu wakristo wanatafsiri bibilia vile wanavyotaka ndomana wamepotea ALLAH atawahidi unanisikiliza mchungaji anajichanganya na anakimbia maandiko
@restoringfaithinhumanity.50243 жыл бұрын
Bibilia haina tafsiri ila chaa maana ni yesu ni mwokozi na hiyo si ngumu kuelewa.
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
Uyo padire hakufurahiya hayo maswali na sura yake ili jaa hofu alishajua unapo mpeleka hawezi kujibu .
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@peterobiri25093 жыл бұрын
Hii channel ilinifunza kupenda jirani yangu. But mkiwa Ivo ndugu jaribu kuweka online live tuchangie
@mutomubaya3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu hana mshirika maana yake kila kiumbe, kiwe Malaika au Mtu au Jinni au Mnyama ni viumbe. Hakuna yeyote ni mshirika wa Mwenyezi Mungu. Hapo kiongozi anasema ukimwambia yeye kwamba kibeti ni mkate hatakubali. Lakini yeye atawaambia wafuasi kwamba mkate ni mwili wa Yesu na kwamba devai (pombe) ni damu.....!!
@mwatumsaidi51042 жыл бұрын
Zanzibar ni nchi ya kiislam alhamdulilah ila tanganyika wanatuletea ukiristo na mabaa kutuharibia zanzibar yetu yaa Allah dhifa zanzibar yetu juu ya madhalim
@katherinasamwel39373 жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi wa MUNGU
@maprosokelly29863 ай бұрын
Jamaa kasoma ila kujieleza kiimani Bado ajuwi ila historia yuko vizur
@tututz1003 жыл бұрын
FORODHANI karibu Zanzibar shekh
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Kenya Lamu pia kuna sehemu inaitwa Forodhani pia ni kisiwa na kuna historia ya uislamu
@donedaddy45613 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 niko zanzibar kwasasa ila Tanga nako kuna FORODHAN n pazur saaaana kwa kweli
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
@@donedaddy4561 OK, lakini majina yote yametoka maeneo ya visiwani
@noahwamalwa43853 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 Nyumba ya Mungu aliye hai ndiyo KANISA 1 Timotheo 3:14-16: Ninakuandikia mambo haya sasa ingawa natarajia kuwepo pamoja nawe karibuni, ili kama nikicheleweshwa, upate kujua jinsi watu wanavyopaswa kuenenda katika nyumba ya Mungu, ambayo ni kanisa la Mungu aliye hai, nguzo na msingi wa kweli. Bila shaka yo yote, siri ya dini yetu ni kuu: Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu, alithibitishwa katika Roho, alionwa na mal aika, alihubiriwa kati ya mataifa, akaaminiwa ulimwenguni, aka chukuliwa juu katika utukufu.
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
@@noahwamalwa4385 😂😂😂😂😂Unajua bibilia kweli au unaropokwa tu?
@asiakheir86843 жыл бұрын
Huelekei kuwa mkristo,,msiozeshe watu kwa kusikiliza lafudhi,yaani akibadidi jina waweza amini kuwa ni muislam
@shushu81052 жыл бұрын
Kabis
@abdallajuma38503 жыл бұрын
Karib Zanzibar hatimae umefik na kwet, tumezowea kukuon kenya na Tz karib san
@shindeznur72903 жыл бұрын
Allahu Akbar
@josephwilliam58133 жыл бұрын
SHEIKH ANALETA LIGI MWENZAKE HAJAKAA KWA LIGI
@selemanimchana35986 ай бұрын
Ukweli mnaujua ubishani Hadi na maandiko
@josephwilliam58136 ай бұрын
@@selemanimchana3598 YESU sio ISA hatuna shobo kama mlizonazo
@muminaroba91223 жыл бұрын
MashaAllah
@seifabdulwahid4579 Жыл бұрын
Ww muongo hukuzaliwa Zbar
@lahnisalim48993 жыл бұрын
Hawa wazanzibar huingia ktk ukristo kwa sababu ya tamaaaaa ya kifedha
@aishaibrahim16133 жыл бұрын
Masha ALLAH ALLAH akulinde
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Allahuma ameen,
@noahwamalwa43853 жыл бұрын
@@StraightPathDawah Nyumba ya Mungu aliye hai ndiyo KANISA 1 Timotheo 3:14-16: Ninakuandikia mambo haya sasa ingawa natarajia kuwepo pamoja nawe karibuni, ili kama nikicheleweshwa, upate kujua jinsi watu wanavyopaswa kuenenda katika nyumba ya Mungu, ambayo ni kanisa la Mungu aliye hai, nguzo na msingi wa kweli. Bila shaka yo yote, siri ya dini yetu ni kuu: Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu, alithibitishwa katika Roho, alionwa na mal aika, alihubiriwa kati ya mataifa, akaaminiwa ulimwenguni, aka chukuliwa juu katika utukufu.
@mishibaron50213 жыл бұрын
Achana na huyo juu anataka jurudisha nyuma imani yako na niwapinga Christopher so ukiona mtu kama huyo usimpe nafasi ya kuvunja imani yako...ila njia ni moja yesu christo
@josephwilliam58133 жыл бұрын
KAMA WAKRISTO TUMEKUHESHIM SANA UWEZI KWENDA MSIKITINI KWENDA KUKOSOA IMANI ZA WATU
@hadiyamohamed5943 жыл бұрын
Kukosoa? Hamujiamini na kitabu Chenin kwa sababu kibedalishwa maandiko . Quran haitobadilika mpska yesu arudi . Ndio kwa maana tunajiamini na kitabu Chetu .
@josephwilliam58133 жыл бұрын
@@hadiyamohamed594 WAKRISTO tunajiamini KULIKO nyinyi ndio maana ata Isa sio YESU nyie mnakazania kua uislam ata kwenye BIBLIA upo mnakazania ata kwenye BIBLIA Muhammad yupo maana yake Nini mnatafuta backup ya Imani yenu kutoka kwenye BIBLIA ndio maana ata sheikh wenu anasoma maandiko ya BIBLIA na anatembea nayo maana yake Quran haijitoshelezi ni kama gazeti tuu
@hadiyamohamed5943 жыл бұрын
Yesu ni mwisilamu Wacha kubisha hapa . Number hizo hapo juu kama yanekukera sana msneno yake ustadh .
@josephwilliam58133 жыл бұрын
@@hadiyamohamed594 huitaji KWENDA shule Ili kua mjinga lakini ukihitaji kua mjinga basi uwe muislam tu ata ukisoma elim Gani ndani ya uislam hutosha kua mjinga,,,sio Kwa pumba izo
@josephwilliam58133 жыл бұрын
@@hadiyamohamed594 sisi hatuamini ala,Isa Muhammad wala Quran,,,sisi ni YESU KRISTO kwani wewe Quran SI imekuletea Isa mbona unamkana Isa unamtaja YESU KRISTO hakuna uhusiano kati ya YESU na Isa YESU hadhi yake so ya Dunia hii nyie endeleeni kumringanisha Muhammad na Isa so ndio saiz sisi tumeamua KWENDA na YESU hakuna Yesu ndani ya Quran,,,dini Gani ata yohana mnamwita mbayizaji ikiwa ata amuhamini ktk ubatizo
@fadhilabbas57843 жыл бұрын
What he said is history according to his side of religion if you want to know the real history about all the "explorers" who they were you should read the book of " Portuguese period in east Africa " you will get all the truth .
@solomonadams63373 жыл бұрын
Huyu ni mgeni kutoka Tanganyika ndiko wanakotokea babu zake ili uwe Mzanzibar uoneshe makaburi matatu ya babu zako sawa¿halafu tena Zanzibar hakuna asili ya Wakristo wote ni wakuja tuu sawa¿Zanzibar ni Arkipelego visiwa vya Waislam sawa¿thanks
@peterobiri25093 жыл бұрын
Peter please tambua Rabai Morton
@maherzain6153 жыл бұрын
Kanisa limejaa masanamu kisha ukristo umeanza 1980 Zanzibar kwa bidii ya wazungu waliona uislamu umesmama imara wakakerwa nahilo.
@maherzain6153 жыл бұрын
Sababu yakutoruhusiwa kofia nikuwa hilo nijengo lamashetani. Mashetani hawapendi mtu ajistiri.huoni limejaa masanamu.itakuaje kasisi avae kanzu muumini asiruhusiwe.
@restoringfaithinhumanity.50243 жыл бұрын
Wajua ni nini ilio ndani ya kabaa? Bona lazima muinamie kabaa wakati wote mnapo omba?, mkristo pia hajakubaliahwa kueda Mecca Sana Sana kabaa bona? Na wajuaje chenye mashetani hawapendi au wanapenda?
@fatumamwalimu57653 жыл бұрын
Masha Allah, lakini huyo mwenzetu anasema imani zote zimetoka kwa Ibrahim, je vipi kuhusu baniani na mungu wao ng'ombe? Je imani hii pia nabii Ibrahim anaikubali imani hii ya baniani? Hapo tayari huyo mwenzetu anatudanganya
@mutomubaya3 жыл бұрын
Hapo yaonekana haongei maneno sahihi. Mtume Musa aliwakosoa wale walioabudu ngombe. Kwa hivyo hawafai kudai hiyo ni imanI ya wana wa Ibrahimu. Kizazi kuwa cha Mtume Ibrahim kama ni chake ni sahihi lakini kama wanaabudu tofauti na vile Allah aliwafundisha kupitia kwa Mitume wake basi wao wako makosani. Mtume isa aliwajulisha wana wa Israel kwamba wafanyayo ni makosa. Na Mtume Muhammad, Swalla Allahu alayhi wa sallam, amepatiwa kitabu cha Qur'an ili watu wakisome ili wajue nani Muumba wa ulimwengu na sababu za kuumbwa watu na wajue ukweli tofauti na uwongo na wajue njia sahihi na kila jema......tuweni wakweli ....
@josephwilliam58133 жыл бұрын
Uelewa wako ni mdogo,,,mada inazungumzia Muslims and christians
@fatumamwalimu57653 жыл бұрын
@@josephwilliam5813 ,wewe ndio hujaelewa, amesema imani zote, na hata huo ukiristo Ibrahim haujui, maana wapo wakiristo wengi wanaabudu yesu wakidai ndie mungu wao kwa mfano s d a,hawa hawajui MUNGU mwengine ila yesu, na hata awasherekei hiyo Christmas yenu maana wanaamini kua MUNGU hazaliwi, na hiyo nabii Ibrahim aliikataza yani ni miongoni mwa imani potovu
@mutomubaya3 жыл бұрын
@@josephwilliam5813 Yeyote akisema kwamba imani mbili hizo ya Kikiristo na ya ki islamu kwamba zimetoka kwa Mtume wa Allah, Ibrahim atakuwa amesema uwongo. Lakini akisema, imani ya Kikristo inatokana na Waroma, Jamii ya kina Harode, kwa kuwa wao walikuwa wakuabudu miungu badia, wao ndio waliounda Ukristo nadhani atakuwa sahihi.
@josephwilliam58133 жыл бұрын
@@mutomubaya mimi ni mkristo naamini ktk kristo wewe unaamini katika mudi na ndivyo alivyokufundisha mimi naheshim ivyo
@louiskhan73723 жыл бұрын
Mashekh ni waongo ni kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanalazimisha watu wamfate muhammad
@husseinsadick7785 Жыл бұрын
Apo ndio unatakiwa kujua kuwa izi dini zote ni biashala tu
@nassorali8040 Жыл бұрын
Wanadanganya watu kua ni soko la watumwa ili kutia doa uislamu
@restoringfaithinhumanity.50243 жыл бұрын
Sasa kama bibilia inasema mungu ni moja bona basi tusifuate ambacho bibilia inasema?.
@hadiyamohamed5943 жыл бұрын
Endelea kufuatilia hii channel utajifunza mengi
@restoringfaithinhumanity.50243 жыл бұрын
@@hadiyamohamed594 si dhani
@hadiyamohamed5943 жыл бұрын
Huwezi kulazinisha ngombe kunywa maji . Number hizo hapo juu . Unaswali mtafute huyo ustadh atakuwlimisha
@restoringfaithinhumanity.50243 жыл бұрын
@@hadiyamohamed594 ukweli, pia huezi lazimisha punda kwenye mtelemko, lakini nawashanga nyiyi kusema yesu ni mwislamu ila kitabu chenu cha Qur'an kinasema Muhammad alikua wakwanza ku "submit" Qur'an (6:14) Say, “Shall I take for myself a protector other than Allah, Originator of the heavens and the earth, and He feeds and is not fed?” Say, “I am instructed to be the first of those who submit.” And do not be among the idolaters
@hadiyamohamed5943 жыл бұрын
@@restoringfaithinhumanity.5024 anzia kupiga research ma nabii waliotangulia W alikuwa wa dini ngani ? Sisi tunafuata. Usilamu tangu kwa nabii Adam , yesu bado mtumie wa mwisho kuletwa kwa hii dunia . Sasa nakupa test go and do your research then you will know the truth . Usilamu haujaanzia kwa mtume muhamnad .
@restoringfaithinhumanity.50243 жыл бұрын
Yesu alikua muislamu Kweli?
@hadiyamohamed5943 жыл бұрын
Number hizo hapo mpigie. Ustadh na utajibiwa swali lako
@solomonadams63373 жыл бұрын
Hakuna Muarabu aliyeuza Watumwa Zanzibar sawa¿huyo ni mgeni sisi hapo ndipo kwetu sawa¿WaWestern hio ndio ilikua biashara yao Waarabu Zanzibar ndio waliokuja kupiga vipi kuuzwa watu sawa¿wacheni kudan'ganya watu uon'go mtupu...!
@Trgrace2542 жыл бұрын
Na mbona pia mnatumia nguvu za kishetani kupata Mali zenuuu??swali,mbona msitumie nguvu za huyu Muhammad kupata maliii?
@hudaaalhussein38413 жыл бұрын
Uislam ndio ulokuja kuondosha biashara ya utumwa,nabii muhammad ndio aloiondoa hio biashara
@myoutubecom-gg7sb3 жыл бұрын
kuna watu kabila wanaitwa wabarawa ni wanadai ni wareno wako Ethiopia na barawa somalia na kenya mombasa fort jesus wote hawa leo ni waislamu by DNA wanatoka Andalusia. Al-barwani ndiye aliye tafsiri Qur'an
@adamchestemuzaahim41593 жыл бұрын
Point yako ni gani hapo
@eastzooadmin64163 жыл бұрын
Wabarawa ni cushites sio wazungu, asili yao ni hapa hapa east Afrika, Somalia to be exact. Na ni kweli wapo pia Mombasa na sehemu nyengine za pwani ya Kenya.
@saidabdillahi81073 жыл бұрын
Inaonekana huyo jamaa hakujui kama wewe ni mtaalamu wa biblia
@Trgrace2542 жыл бұрын
The problem with you Islam people is that you pretend to know the Bible saaaaaana ata hamjaisoma mkajua vizuri, you are very busy judging the Christian's as if you were the God,hiyo Ni kazi ya Mungu muachieni tafadhali,Kila mtu ashughulike nq dini yake
@selemanimchana35986 ай бұрын
Sasa matayo huyu shekh alizaliwa ktk ukiristo akatoka huko, Sasa wewe unasema haijui biblia, wewe ndio huijui biblia, huyo yesu mwenyewe biblia haijui, kasome maandiko ujue yesu kapaa lini na hiyo biblia imeletwa lini utakuja kunishukuru na ukue Islamic, the rill religion.
@fatumamwalimu57653 жыл бұрын
Hawa watu wanaojiita wakiristo we acha tu, hata asipo ongea vibaya kuhusu uislam lakini kwenye roho zao zimejaa chuki, hapo amesema watu wa dini zote na kabila mbali mbali amoja na nchi tofauti tofauti walikua wakinunua watumwa namaanisha wazungu pia lakini ukiangalia kwenye picha zao wameweka waarabu tu, ambapo mpaka kufikia sasa wazungu bado wananunua watu kutoka Africa na wameungana na baadhi ya viongozi na hiyo bado ni biashara kubwa japo hawaliweki wazi hilo, watu kutekwa na kupotea, wengine kusingiziwa wameshikwa na police!
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Nawakubali sana Straight Path mashaallah mahojiano mazuri na inaonekana ndugu wetu Wakristo inaonekana ibada nyiingi wamejipachikia/Wamezirithi tu kinyume na uhalisia wa tamaduni/mila ya Ibrahim/baba wa imaan na baba wa nitume na manabii. Inasikitisha kusikia kumbe wanaelewa hata baadhi ya ibada wanelewa zimerithiwa kutoka kwa Wapagani lakini wanaendelea kuzurithi na kurithishana hata kama wazazi wao waliowarithusha walikuwa hawana elimu huu ni ntihan. Wanaamini na kuyaenzi baadhi ya mengi ya Wapagani afu bado wanajisifu kuwa wanamfuwata Ibrahim na wala hawaoni kwao kuwa hilo nitatizo/kufuru kubwa. Ipo haja kuwalingani na ujunbe ukiwafikia ni hiyari yao kuahukuru/kukufuru. Nashawishika kusema wanafanya kibri kwa maslahi ya dunia ! Dunia ni mapito na starehe za muda. Peter na wa mfano wa Peter safini pembe zote za dunia ila mkumbuke kuna Mungu Mola Muumba wa kweli na haki anaestahiki kuabudiwa ipaaavyo all kumuabudu mtakavyo/mjioangiavyo ni kumdhihaki Mungu ! Wazungu (Wamissiinary)Wanawapoteza kwa mikakati yao ya kutaka aabudiwe Shetani kwa maslahi ya dunia But all in all, East and West Only Islam reclaiming the Best.
@noahwamalwa43853 жыл бұрын
Hapana, ukristo ni dini ya haki, Yesu alifundisha msamaha hata kwa adui wako...
@noahwamalwa43853 жыл бұрын
Ni vile tu wakristo hawakubaliani na mtu anayeitwa muhammed, lakini wakristo ni marafiki na waislamu..
@fatumamwalimu57653 жыл бұрын
@@noahwamalwa4385 lete andiko linalosema ukiristo ni dini ya haki, manabii wote walifundisha msamaha, hivi pia wao ni dini zako?
@fatumamwalimu57653 жыл бұрын
@@noahwamalwa4385 mum mumkubali msimkubali hiyo ni juu yenu madhali alishachaguliwa na MUNGU kua mtume basi inatosha, sisi yesu tunampenda maana ni mtume wa MUNGU pamoja na mitume wote waliochaguliwa na MUNGU, wasiompenda itawa Coast, na wote wasiompenda nabii Muhammad hao niwafuqsi wa shetani