Mwalimu Ndacha akula kibano, Ipi dini ya Mitume na Manabii?

  Рет қаралды 64,165

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Пікірлер: 364
@ummesaniyah
@ummesaniyah 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah... Huyu kaka Masawe anaonekana ni mnyenyekevu na ni mtu mwema... Allahu aa'lam...Allah amfunulie uislamu katika moyo wake na wahadhiri wote wa kikristo na wakristo wote..
@mussahaji905
@mussahaji905 3 жыл бұрын
Ni Muislam Ila nimeipenda dua ya ufunguzii ya wakristo pia sio Mbaya
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 9 күн бұрын
Asante sanàmŵlimu ndacha umeeleweka vizuri kabisa mwenye ako na masikio na asikie na after haki maana yesu alikuwa akiwafundisha ŵtu nifateni maana yesu anasemàmimi ndimi njia kweli na uzima ndacha mugu akubariki huyu shekhe mwaipopo na mbogo naona ni watu wanaelèwa watabatizwa tu mungu awajalie❤❤❤❤
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 2 ай бұрын
mashallah sheikh Mwayipopo kumuringaniya masawe asilimu akuwe mwislam ❤❤❤
@Barnabakabwe
@Barnabakabwe 4 ай бұрын
“Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; wakati ajikwaapo, usiruhusu moyo wako ushangilie.” ‭‭Mithali‬ ‭24‬:‭17‬ ‭NEN‬‬ AMEN AMEN WAMEWASHA MOTO “Jua lako halitazama tena, nao mwezi wako hautafifia tena; Bwana atakuwa nuru yako milele, nazo siku zako za huzuni zitakoma.” ‭‭Isaya‬ ‭60‬:‭20‬ ‭NEN
@estakenia
@estakenia Жыл бұрын
Hakuna njia unaweza kudai kuwa ati umembana mwalimu Ndacha, ila ni kweli tu atawapa tupu. Na mumeona kweli ilipo kuwa watu wote inawapaza kumfuata Yesu.
@nouraalhasani7537
@nouraalhasani7537 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah awape nguvu na afya masheikh wetu tunawapenda kwa kutuelimisha
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo Asifiwe
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 жыл бұрын
Shaikh ramadhan kuria bin kaguo....Allah akupe uwezo wa kila aina uweze kuendeleza da'awa na kesho akhira akufufue pamoja na Mtume s.a.w...amiin
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
AMINI
@loysamwel6308
@loysamwel6308 3 жыл бұрын
Mwaipopo wewe umengoys kama wanaume wawili
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 3 жыл бұрын
Amin
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 2 жыл бұрын
Asalam alykum www safi sana ma sheikh wetu mbogo na mwaipopo namusomaji mungu awape kira raheri
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 Жыл бұрын
Asalam alykum www safi sana sheikh Mwayipopo kuwambiya haki maswe nawenzake tunawakaribisha takika wislam dini yahaki na manabi 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 Жыл бұрын
Masha Allah. Allah awazidishie mashekh wang
@saumkisira9328
@saumkisira9328 2 жыл бұрын
Mashallah Allah awape umri mrefu mashekh wetu ♥️ Kwa ajili ya Allah
@shafiihssan738
@shafiihssan738 3 жыл бұрын
The Ndacha Mungu anakupenda maaana uko kiroho hao wako kimwili zaidi..
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 3 жыл бұрын
Big point
@mishibaron5021
@mishibaron5021 3 жыл бұрын
Hawa yao ni dini ila ndani yao hawana kitu mimi huwaangalia tu ...ila wakae wakijua njia ni moja naye ni yesu
@omansohar2245
@omansohar2245 3 жыл бұрын
Mashaallah nakupenda kwaajili ya allah shekhe mwaipopo allah akuzishie iman
@rayhanrashid3928
@rayhanrashid3928 3 жыл бұрын
Maashaa Allah...
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 3 жыл бұрын
Mashaallah masheikh wetu mungu awajalie heri nyingi inshaallah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 жыл бұрын
Ameen
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 3 жыл бұрын
Amin
@patrickmwendo7393
@patrickmwendo7393 2 жыл бұрын
Hakuna dini mbinguni hiyo ambayo inawanyima usingizi
@kihimbamushyaibrahim7284
@kihimbamushyaibrahim7284 3 жыл бұрын
Mashaaa Allah ukweli atakae taka kuongoka aongoke tunamushukuru Sana mungu kuelimisha masheikhe wetu, Mungu walipe wazazi wawo janat tunawapenda, Mungu ainuwe majina zenu duniani na akhera pia awaongoze wasio kuwa waislam,wasome,wafahamu
@africacoast6841
@africacoast6841 Жыл бұрын
Mbona sjaona kibano apo ndacha is so bright anajenga hoja safi ..pia nmependa meeting is so cool
@nooroman2535
@nooroman2535 3 жыл бұрын
Shelkh Ramadhani shukrani kwa kazi nzuri Mungu hatakulipa
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 жыл бұрын
Mwenye enzi mungu ATAMLIPA kwa kazi ngumu na amjaalie IKHLASW
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Noor Oman. Atakulipa ama hatakulipa?
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 watu wengi hawajui kiswahili jamanii, hapo anadhani amemuombea mema wakati amemuonbea mabaya! Yaani "H" tu tayari imebadilisha maana!
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 3 жыл бұрын
MashaAllah
@hashim8130
@hashim8130 3 жыл бұрын
Maashaallah maustadhi wetu! Mungu awazidishie nguvu katita kutangaza dini ya Allah na awalipe pepo
@shindeznur7290
@shindeznur7290 3 жыл бұрын
Takbir Allahu Akbar
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
AMIN
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 жыл бұрын
Allah wenyu awalipe mapepo majini
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 hahahah...wenyu///msambaa nini.
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 жыл бұрын
@@fadhilikawambwa5159 shenzi
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 жыл бұрын
Ma sha allah Allah awalipe ma sheikh wetu kwa kufundisha dini Ujumbe mmefikisha Jukumu letu kulifanyia jz
@simaijuma1816
@simaijuma1816 Жыл бұрын
Mada nzur ingependeza tukasikia uongo WA wakristo mwishowake
@mufid707
@mufid707 3 жыл бұрын
MashaAllah Tabarak Llah Sheikh Ramadhan
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Mashaa allah takbriiiiiiii mungu awape maisha marefu mashekhe wetu kwa kazi mzuri ipo siku wataeleea tu na mungu anazidi kuleta nguvu KATIKA usilaam
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Nimefurahi kuona Mashekhe wetu wa Kenya na Tanzania mpo kitu kimoja. Allah awaweke mpendane na muipiganie Dini yetu kwa pamoja.
@TeamKRX
@TeamKRX 3 жыл бұрын
Ndacha atarudi kwao kavaa Kanzu 😂😂tayari na anamsahafu zawadi yake 😀
@dannysengata2298
@dannysengata2298 Жыл бұрын
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya 1. kusikiliza ili ujibu 2.kusikiliza ili uelewe. Usije ukajichanganya kwenye hayo mambo mawili But all in all ndacha he knows well what he's standing for..God bless u 🙏
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
Masha Allah, kazi nzuri walimu wetu, Allah awazidishie elimu na subra kwa kazi mnayoifanya na awape amani majumbani mwenu Amiin Thumma Amiin
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 3 жыл бұрын
Amin
@ommytzu4261
@ommytzu4261 3 жыл бұрын
Hakika izi ni raha sana..Takbiriiiiiiiiiiiiiii
@millicentmillicent1789
@millicentmillicent1789 2 жыл бұрын
Yesu ndie kweli Mimi zihami kwa yesu
@isaiahosiemo5417
@isaiahosiemo5417 Жыл бұрын
Hiyo takbiirr ni ya wanawake
@wamugimohammed3848
@wamugimohammed3848 3 жыл бұрын
Asalam Alaykum warahamatulilh wabarakatuh! MASHA ALLAH Ndeche atatoka Dar amejuwa kiswahili na DINI ya haki ni uwisilamu!
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Amyn
@masta_android
@masta_android 3 жыл бұрын
Inshallah kheir
@zainabumwagiroabdallamwagi97
@zainabumwagiroabdallamwagi97 3 жыл бұрын
Mashaalah sheikh Ramadan mungu awajaze baraka na fadhlazake mungu atufikishie sisi watazamaji .
@ashahossein1743
@ashahossein1743 3 жыл бұрын
Allahumma amin
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
ALLAH AKBAR UISLAM RAHA.SHUKRAN SANA STRAGHT PATH DAWAH KWA KUTUJUZA HAYA.
@anwarambar6141
@anwarambar6141 2 жыл бұрын
zaidi ya raha
@mahammoudhaji9083
@mahammoudhaji9083 3 жыл бұрын
Mwaipopo bado uko vizuri sana
@norregaraper5383
@norregaraper5383 3 жыл бұрын
We sheikh ramadhani mungu akuafu kazi nzuli sana
@idditsuma4604
@idditsuma4604 3 жыл бұрын
Nyinyi ombeni sana sadaka mfanye biashara ila dini yaki ni Uislam pekee
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 жыл бұрын
Takbiiiiiiiiiiiiiriiiiiiiiiii mwaipopo
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 3 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh bin Gakuo
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 жыл бұрын
Ni Kaguo sio Gakuo
@ahmedmoge693
@ahmedmoge693 3 жыл бұрын
Manshaalah barakalahu walimu wetu mungu awasaidiee uzito mnao kwa kazi
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 2 жыл бұрын
Huyu msomaji wa wakristo Mungu anifishe huko huko kwa wakristo....
@musalumbi8490
@musalumbi8490 3 жыл бұрын
Shukran Mwaipopo
@abdallahmshamu5529
@abdallahmshamu5529 3 жыл бұрын
Masha allah Allah atubariki xnaa tbakii kwnyee dini !!
@naheelamohamed9970
@naheelamohamed9970 3 жыл бұрын
Mashallah bro
@jamalathman6219
@jamalathman6219 3 жыл бұрын
Mashallah masheikh wetu kwa kazi mzuri ya da'waa,Allah awalipe pepo mue pamoja na manabii na mashuhadai na maswidikina,Huyo ndacha hana dawa isipokua moto ndio makazi yake asiposilimu na kutubia dhambi zake
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 жыл бұрын
Ma sha allah Ma sheikh wetu
@tututz100
@tututz100 3 жыл бұрын
shekh Yusuf Masha'Allah
@fatumakambi960
@fatumakambi960 Жыл бұрын
INSHALLAH
@ndikumanainnnocent7796
@ndikumanainnnocent7796 Жыл бұрын
Wislam nuru allihamdullilah 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@ashahossein1743
@ashahossein1743 3 жыл бұрын
Mashaallah allah atujaalie mwisho mwema
@asiakheir8684
@asiakheir8684 3 жыл бұрын
Aamiin tukale kuku waislam wote in shaa Allah
@mbarakambuguni3228
@mbarakambuguni3228 3 жыл бұрын
Ndacha Pole Sana umejichanganya
@Guavara
@Guavara 8 ай бұрын
Ndacha ametoa point sana, Mwaipopo haeleweki na anarukisha mistari kwa kuongezea maneno yasiyomo.
@noorbawaazir9035
@noorbawaazir9035 2 ай бұрын
Ttzo ndacha anatoa maelezo ya binaadam sio maandiko na huu ni mtihan mkubwa na suluhu kupatikana ni changamoto..
@kherimkose3669
@kherimkose3669 3 жыл бұрын
Nawakubali sana Masheikh ila itumieni sana Biblia kuthibitisha Manabii walikuwa waislamu
@JumaMuhamad-j1v
@JumaMuhamad-j1v Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR ❤
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 2 жыл бұрын
Wakristo siwaelewi mara mnamkataa isaa kuwa ni Yesu mara munamkubali...ili mradi Tu mujitee....sioni maneno yenye umeongea yakani convince kuwa hio dini ya Ukristo...siezi Abudu binadamu mwenzangu...
@AganzeJonashairstyle
@AganzeJonashairstyle 7 ай бұрын
Ndacya yesu asifiwe sana
@mbarakambuguni3228
@mbarakambuguni3228 3 жыл бұрын
Uislamu ndo Dini ya haki na yakweli Ndacho rudi kenya hujasoma bado
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 3 жыл бұрын
Assallamu Aleykum ?? JazakAllahu kheyran bro Ramadhan kuria
@makenakendi9014
@makenakendi9014 3 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH BARIIK always
@jimjam4148
@jimjam4148 3 жыл бұрын
MASHA ALLAH.
@safiaalimohd7222
@safiaalimohd7222 3 жыл бұрын
Wakristo hawana hoja wana viroja tu,huwezi kuulizwa jina lako badala ya kujibu jina lako unajibu jina la babaako. Waalimu wa Kislamu wametaka aya au andiko kwenye Bibilia nini dini ya mitume?......Mdahalo umeisha Wakristo hawakutoa andiko ila ni malalamiko tu.
@nooroman2535
@nooroman2535 3 жыл бұрын
Mashelhk chapeni kazi Mungu yupo
@anwarambar6141
@anwarambar6141 2 жыл бұрын
eti Muhammad ndo kaanzisha uislamu, huyu Ndacha kweli hajielewi, yeye mwenyewe acheka, sababu ajua ni uongo anacho zungumza
@husseinmwenja4398
@husseinmwenja4398 3 жыл бұрын
MASHALLAH shekhe Rama
@hamoodalrawahy2026
@hamoodalrawahy2026 3 жыл бұрын
ASALAAM ALAIKUM. SWALI LANGU NI HAWA NDUGU ZETU WATABISHA MPAKA LINI HEBU TAZAMENI ULAYA NA CANADA NA AMERICA WANAVIO INGIA WISLAAM. MSIJE MKAACHWA KWENYE MATAA KAMA WALIVIO ACHWA WAFUASI WA KIMARECANI HUKO AFGHANISTAN
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 3 жыл бұрын
Hapa ndio huwa sijutii kutoka kwenye ukristo na kuja kwenye uislam
@maimunafzaka880
@maimunafzaka880 3 жыл бұрын
Allah akupe iman . Na akufishe muislamu kakangu
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 жыл бұрын
Allahuma ameen
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 3 жыл бұрын
Allah atuongoze pamoja ktk din y ki Islam Kaka yetu
@meekman1805
@meekman1805 3 жыл бұрын
Maashallah.
@RehemaMkandawile-i3l
@RehemaMkandawile-i3l 8 ай бұрын
daaaa, najivunia kua muislamu
@suleybakari9384
@suleybakari9384 Жыл бұрын
mbna haijamaliza tunaomba part 2 inshallah
@rashidyahaya9804
@rashidyahaya9804 2 жыл бұрын
Allahu Akbaruuuu
@estarcristopher5710
@estarcristopher5710 3 жыл бұрын
Ndacha Mungu hanampago naww we we zidikumtumikia tu
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 жыл бұрын
Anamtumikia yupi sasa kati ya yule baba njiwa na mwana?
@innocentman5954
@innocentman5954 3 жыл бұрын
Mutultee mdahalo wa Chadema na Ccm tafadhali
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 жыл бұрын
Waaislamu wamepigwa 10-0 kweli ndacha nikiboko ya makafiri wa dini ya majini Uislamu... mwenye macho hambiwi tazama
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 3 жыл бұрын
Allah akuongoze uondokane NA ukafir Ndg yetu
@ahmedbakari9223
@ahmedbakari9223 3 жыл бұрын
Masha Allah
@jumannemuhammad2073
@jumannemuhammad2073 3 жыл бұрын
Shekh rama Kama mbongo tu mashaallah 😍
@mohamedtahlil5891
@mohamedtahlil5891 3 жыл бұрын
Mashaalah
@abelsuleimanshiliwa2150
@abelsuleimanshiliwa2150 3 жыл бұрын
Kumbe wewe nawe unafanya uhuni kama wengine, kwanini sehemu yangu na ya CHAKA hujaweka?
@kennedyireri1813
@kennedyireri1813 3 жыл бұрын
Nimefuatilia sana wakati waisilamu wanasema walimu wa wakristo wamelemewa lakini kwa uhakika wapata walimu wao wahepahepa maswali.
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
KARIBU KENNEDY.NI BORA UENDELEE KUSIKILIZA MUNGU ATAKUFUNGULIA UISLAM
@kennedyireri1813
@kennedyireri1813 3 жыл бұрын
@@fadhilikawambwa5159 Mungu wa kweli hawezi elekeza mtu kwa uisilamu.
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 3 жыл бұрын
Umenena kweli
@sokakilumbi9293
@sokakilumbi9293 3 жыл бұрын
tatizo ukristo uongo mwingiiii kuliko ukweli?
@kennedyireri1813
@kennedyireri1813 3 жыл бұрын
@@sokakilumbi9293 tukipekua Qurani utatoroka. Uongo uliopo ni wenu wakujiundia lakini hamuwezi onyesha na mkiulizwa maswalu mnaanza visababu.
@BoboManya
@BoboManya 29 күн бұрын
Baba ndasha uyo mwaipopo alifata wisilamu ju banamuke tu ajuwi ata kitu moja uyo mushabiki ule mashetani ulisha muingiya fasi yote usiwe naongeya Na ambo basikini snaa Bâle batu ya vita abawezi elewa
@magustubabu8547
@magustubabu8547 3 жыл бұрын
Mashaallah alhamdulillah 🙏 Allah Akbar
@jamessilwamba2862
@jamessilwamba2862 2 жыл бұрын
ndacha ni mtu anayeelewa sana mambo ya dini na anaufahamu mkubwa sana
@79batigol
@79batigol 2 жыл бұрын
Salaam Aleikum? Mimi kila ninapo msikiza huyu Pst Ndacha akitowa aya isomwe, Maneno yake yote anayo sema ni ya kichwa chake ajuwa kutunga! Maskini hajuwi anacho ongeya ana dhiyaka sana. Tena azijuwa aya lakini anapayukapayuka kisha aongeya vile kichwa chake kinavyo sema. Yuwapadilish aya zinafyo sema kisha utunga yake.
@RaimamomedSaide
@RaimamomedSaide 9 күн бұрын
Naomba kuuliza,kwani kafiri anaweza kukamata mas hafu?na pili kuisoma wakat ameishika wakat bado hajaslim?
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 2 жыл бұрын
Ndacha anampendaga Sana Barwani....
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Anaona kama inamsaidia sana
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 2 жыл бұрын
@@StraightPathDawah Mungu mwenyewe ndo anauwezo wakuwaongo hawa jamaa nyinyi fikisheni ujumbe Tu Na Allah atawalipeni...Inshaallah
@jofreyevansantony2770
@jofreyevansantony2770 3 жыл бұрын
Wislam ni Dini ya Muhamad, sio ya mungu, imeheleza kuruan
@ibrahimmanur8708
@ibrahimmanur8708 3 жыл бұрын
Rudi uelewe kabla useme ivo
@hamisibakari1991
@hamisibakari1991 3 жыл бұрын
Kwisha wewe wacha ndacha aibike 😹
@abdiabdullahimohd1917
@abdiabdullahimohd1917 2 жыл бұрын
These sheikhs should wake up and answer this guy proper cause people can be mislead by ndachas twist and false claims
@BoboManya
@BoboManya 29 күн бұрын
Ndasha iko guvu kielimu akuna muesilamu mwenye anaweza kufikiya kielimu sasa baba yangu Achana kuwa naongeya Na mashetani baesilamu batu ya jagwa batu yalaana baarabu Bâle ata ukamate microphone utiye kumasikiyo abawezi sikiya maadika
@nikizaanociata4730
@nikizaanociata4730 3 жыл бұрын
Tunawakaribisha sana kwa Yesu nyinyi nyote naanawapenda sana
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 жыл бұрын
Kwa Yesu ndio wapi Nikiza?
@nikizaanociata4730
@nikizaanociata4730 3 жыл бұрын
@@StraightPathDawah Kwa Yesu ni paradise
@ashuashu3843
@ashuashu3843 3 жыл бұрын
Unatukaribisha kupotea?tukaribishe kwenye uongofu ndg.
@ashuashu3843
@ashuashu3843 3 жыл бұрын
Yesu ni kabila gani? Na kitabu cha kikiristo kimeandikwa na nani? Je kama kimeandikwa alieandika kutoka juu ya mbingu?
@aliyahya5785
@aliyahya5785 3 жыл бұрын
Ameen sisi waislamu yeye ni kaka yetu na nabii wetu katka uislam kwaheshma kubwa dada nakuomba uingie katka uislam ili kuuinusuru nafsi yako na moto wa mungu.
@muhammadmuhaznun380
@muhammadmuhaznun380 2 жыл бұрын
Waambie ukweli Mwaipopo wamechoma mafuta Tu...
@fakijuma7549
@fakijuma7549 3 жыл бұрын
NDACHA AMAKWELI NIMPOTOSHAJI LUGHA SIO KAMA YUPO NA HOJA ZAIDI YA MANENO NA MAALEZO ZAIDI YA POROJO TU WEWE KIMBIA KIMBIA SHEIKH YUSUFU WAMBUGU ANAKUSUBIRIA
@ashuashu3843
@ashuashu3843 3 жыл бұрын
Ana maneno mengi bila faida
@salisali3738
@salisali3738 3 жыл бұрын
Misri suria lebanoni jodan magharibi tunisi jazairi ina wakiristo na waislamu lakini sija ona vikao vya kidini kila mtu na dini yake ila tz tu
@uuubfyfftyvcf4896
@uuubfyfftyvcf4896 3 жыл бұрын
Ndacha umepotea kwa ukweli jahanamu ni kwako
@swala2170
@swala2170 3 жыл бұрын
Bro hauruhusiwi kuhukumu. Mungu tu ndiye ana mamlaka ya kuhukumu
@kutailadifi2854
@kutailadifi2854 3 жыл бұрын
Tumuombee Allah amuongoze
@hajraarbei2486
@hajraarbei2486 3 жыл бұрын
A.aleykum. hii namba ya simu kuhusiana na kitabu inakata
@nuruyusuf3237
@nuruyusuf3237 3 жыл бұрын
Kma uko bongo Anza na plus two five four
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 2 жыл бұрын
jamani wakristo si mtoe ilo andiko ukristo dini ,ata ilo andiko lisiseme ukristo dini,litaje tu neno UKRISTO haya mambo yaishe kwann hamtaki jamanii
@anwarambar6141
@anwarambar6141 2 жыл бұрын
Ndacha hajielewi, anaazirika leo
@MatubaSon
@MatubaSon 2 ай бұрын
Hakika watu wa MUNGU wanapotea kwa kukosa maarifa, uislamu umeanzishwa na Mohamad baada ya yesu kwenda kwa baba yake mbinguni halafu mnautetea
@mohammedabdallahalazri3238
@mohammedabdallahalazri3238 3 жыл бұрын
Naomba sehemu ya pili
@musalumbi8490
@musalumbi8490 3 жыл бұрын
Pst. Ndacha hukuelewa maana ya " Bi. Khadija akawa Mwislamu wa kwanza." Fasiri yake ni: Khadija ni mwanamke/mtu wa kwanza kusilimu katika kipindi cha Mtume Muhammaad. Mtume Muhammad anaamrishwa kuwa Muislamu wa kwanza katika kipindi chake, maana yeye ndiye mwendelezi wa gurudumu hili la dini ya Kiislamu. Sawa na vile Adam alivyokuwa Muislamu wa kwanza duniani. "Mwanzo" inarejelea kipindi/ kizazi fulani katika historia. Kama vile kipindi cha Musa, Ibrahim, Nuhu, Issa... Katika kila kipindi kuna watu walioukubali Uislamu kabla ya wengine; yani wa kwanza.
@akeem1221
@akeem1221 3 жыл бұрын
Ndacha katoka bara, bado kiswahili kina mchenga.
@rashidceaser1112
@rashidceaser1112 2 жыл бұрын
Masha Allah sheik shukran tu sana na Allah Subhana Wa Taala akubariki tu sana kwa kufunza pastor Ndacha wa Kenya juu hana elimu na hoja za kusoma vitabu vya Mungu na kuelewa vyema.
@hillarymithika5002
@hillarymithika5002 2 жыл бұрын
uislamu ni dini ya Muhammad si ya mungu huo ndo ukweli na imekauka hivyo
@anwarambar6141
@anwarambar6141 2 жыл бұрын
@@hillarymithika5002 Bro nipe aya ndani Quran isemayo uislamu ni dini ya Muhammad
@hamisimuhammad6225
@hamisimuhammad6225 2 жыл бұрын
@@hillarymithika5002 acha kutafuta Kiki
@farajiissa560
@farajiissa560 3 жыл бұрын
Quran ni kama Google ukisachi kila kitu wapata hakika hata majin wanasema ni kitabu cha ajabu asante allah kwa mm kua mwislam nitaisoma dini yangu mpaka mwisho Wangu! Lord can heard ME
@josephmazengo1113
@josephmazengo1113 3 жыл бұрын
Baki na majini yako mwende jikoni wote
@kennah03m
@kennah03m 3 жыл бұрын
Weka mada vizuri usiweke kizushii angaliaa hojaa afu useme kibano kilianguka wapi
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 3 жыл бұрын
Sheikh mwaipopo ndio mkweli na ndio wakufatwa
@ngaborwizihirwa1282
@ngaborwizihirwa1282 3 жыл бұрын
wakritu oyee
Kibano sehemu ya pili. Ipi dini ya Mitume na Manabii?
1:10:16
Straight Path Dawah
Рет қаралды 30 М.
Je! Nabii Issa wa Qur'an ndiye Yesu wa Biblia?
1:16:57
Straight Path Dawah
Рет қаралды 43 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 96 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 16 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,7 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
KITANZI !!! 🫣WACHUNGAJI WAKUBALI KUWA NABII ISA (YESU) NI KIUMBE CHA ALLAH.
1:02:20
Dawah katika Kanisa la Glory Deliverance Sanctuary.
1:24:13
Straight Path Dawah
Рет қаралды 40 М.
Polygamy Debate Between Brother Dahud & A Bishop Part 2
1:01:04
The Early Church of the Lord Yeshua Nairobi
Рет қаралды 1,1 М.
Askofu na Shehe katika ukumbi wa mjadala. Mada: Nani baba ya Maryam mamake Yesu?
1:07:54
DEBATE   SHAFII SHOMAR   BIBLIA IMEHARIBIWA
1:49:35
HABARI MOTO MOTO TV (HMM TV)
Рет қаралды 142 М.
Ipi dini ya kweli.ShkMazinge,Shk.Kinyogoli and Ustdh, Mwaipopo pt3
1:27:23
ALNUUR ISLAMIC DAAWAH CHANNEL
Рет қаралды 57 М.
JE YESU NI MUNGU?  | MAZINGE VS NDACHA +254705602959
1:47:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 513 М.
PASTOR NDACHA NA MWENZAKE WAPOKEA DOSE YA USIKU
59:02
Straight Path Dawah
Рет қаралды 27 М.
039 2 DEBATE   ASILI YA UISLAM NA UKRISTO NI UPI Pt 2
2:18:59
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 108 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 96 МЛН