Zanzibar alipinduliwa Mzanzibar mweusi ambae ni ndg Mohamed Shamte Hamad usiserme uongo na usioyajua kuhusu Zanzibar. Mapinduzi yalikua ni mauaji na muasisi mkuu ni Lanatullah Nyerere ndie alieivamia Zanzibar kuuwa raia wa Zanzibari wasio na hatia
@NassorOmarDadi4 ай бұрын
Kuna uongo mwingi ktk habari yko utawala wa zanzibar ulianzia mda mwingi kabla ya hayo ulioyataja ww, tafuta historia sahihi na ya kweli
@salimali-rf9er3 ай бұрын
Huna u nachokijua, unazungumza uchafu tu history gani hii, nenda kajifunze history ya kweli ya zanzibar,usituletee history ya kanisa