Nandy and Alikiba have great music chemistry.....they should do another collabo...like if u agree
@potyiuspatrick1679 Жыл бұрын
Mashabiki wa kiba from east Africa mnipe like☺️
@saadekhamisnassor43315 ай бұрын
Tenaaa
@user-em4iv1xy1m4 ай бұрын
Alikiba nikubwa wa mzuli pale tanzania ulifanya nyimbo ya utu vizuri sana na muma shukurani sana ana baki kuwa mufalm wa tanzania
@user-xf3rt6xt6n10 күн бұрын
Kwani.awaolewi.mpaka.wawe.namimba
@aminasalim87082 жыл бұрын
Salute ...king Alikiba♥💃🙏
@jabiljust47232 жыл бұрын
Nimetembelea hii page baada yakuona sura ya Alikiba baada ya kuimba utu nikajikuta naangalia Hadi mwisho ni zaidi ya UTU na UTULIVU Kati ya Hawa watu wawili🥰🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️
@sporahsende97382 жыл бұрын
Upo kama mimi2
@jabiljust47232 жыл бұрын
Daaah wew acha tuh balaaa huu wimbo unanikonka moyo
@kiungomkabaji6032 жыл бұрын
Mfalme ni mfalme tu wengine ni vibaraka t fundi ALI KIBA 4real ( UTU)🙏🙏
@marywanjirumburu34822 жыл бұрын
Only one king 👑. Kenya loves you kiba 🇰🇪
@nyamingoxamwita84312 жыл бұрын
Nan kasema kiba hajui music nan n mond au konde🤔 nasema ivi KIBA NDO TOP MUSICAL IN TANZANIA 🇹🇿
@deric22632 жыл бұрын
🎶❤️
@finestmtotowababa72492 жыл бұрын
Sio swali la kuuliza anaitwa King 👑. Wengine ni Simba Tembo chui wote wapoisituni na misitu ipo chini ya mfalme mwenyewe
@ellahmaketa69262 жыл бұрын
@@finestmtotowababa7249 Umenena vyema
@robathcarlos80682 жыл бұрын
King ni habari nyingine
@mdta81612 жыл бұрын
Umenena ndugu
@mercykamau43602 жыл бұрын
I love king Kiba....so humble
@lizahadongo18012 жыл бұрын
Lakini Ali kiba much love from me ♥️♥️ congrats nandy🇰🇪🇰🇪
@saibabatz7370 Жыл бұрын
Alikiba ulichangamsha sana hao wapolooooooo..BIG UP sana
@faustineagustine5538 Жыл бұрын
Namkubali Sana kiba I love you my brother
@shirleyvloggs91862 жыл бұрын
I just love King kiba..his passion in singing and how funny he can be and how if he loves you he cares for you or just immediately if you work with him their's definitely connection there for him..all his collabs he's always happy from the small clips we be seeing and how he sings wholeheartedly..that little kid kiba still there..he does things his way and it's perfect..I love yah king kiba forever a legend ❤
@shirleyvloggs91862 жыл бұрын
As in you can just tell by how he treats nandy💘
@bethm65872 жыл бұрын
True legend
@rahmarajab36882 жыл бұрын
Absolutely!!!!
@chisanshikazembe37412 жыл бұрын
@@shirleyvloggs9186g , z
@bonifasicharo3568 Жыл бұрын
yyyyyygggggy
@theopisterjovent34832 жыл бұрын
Hakika itakuwa ndoa yenye utu na utulivu Mungu akawape upendo zaidi ya upendo king kiba oyeeeee🔥🔥🔥🔥
@marrowog89752 жыл бұрын
I'm very happy to see Bwana harusi ana vibe na song ya king
@jabiljust47232 жыл бұрын
Nawasalimu kwa jina la la Billnass na Nandy bila kumsahau king kiba I love everybody 🥰
@eight-fivetv542 жыл бұрын
Patamu mno mungu awalinde kwenye ndoa yenu Nandy&Alkiba big up wana music
@anicyaedward56052 жыл бұрын
Sichoki yan I cant tired to watch both of them together with King kibaaaaa... utuuuu 💃🏾💃🏾🤗❤️❤️
@maryannekwamboka83412 жыл бұрын
Waah same here am watching over and over na siboeki😂😂
@priscaalphonce1662 Жыл бұрын
Mwwnyewe Kila mara naangalia ,nampenda Sana Kiba kiukweli
@benno2552 жыл бұрын
this is how legend do it all over the world.Kiba is a legend
@geymusic30282 жыл бұрын
Katisha kuliko hiikzbin.info/www/bejne/f3KThHyKrdqiqtE
@bonifacemfaume97882 жыл бұрын
Mpaka sasa trending #01 duu hatari sana UTU imeweka uharisia wa mjambo lake Nenga&NANDY Hongereni kwa uamuzi mtukufu #KingKiba kuinogesha haswaaaaa heshima kwake kiba jamani
@idrisashelimo3072 жыл бұрын
Only one King utu my favourite song nic King 🤴 nic King 🤴
@furahasarakikya32232 жыл бұрын
Alikiba 🥰😍😘🥰😍😘🥰😍😘🥰😍😘🥰😍😘🥰😍😘🥰😍
@popotekambi41192 жыл бұрын
Alikiba's songs must be played in my wedding
@omobabaoluwo30032 жыл бұрын
When??😊
@popotekambi41192 жыл бұрын
@@omobabaoluwo3003 Cheza chini😂😂😂😂😂
@katherinerandu6987 Жыл бұрын
Me too😂
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
In Sha Allah
@racmassawe5111 Жыл бұрын
THEM;wapi Me;POPOTEKAMBI😂😂
@misspinks92322 жыл бұрын
Kiba jmn mbn kanyimbo umezidi kukinogesha God job🙌🙌💕💕💕💕
@Moregun6192 жыл бұрын
Nandy and alikiba are just like those two favorite siblings of all time👌💯 undugu wao udumu aisee, see how they always joke around 😅 reminds me of my sister and I whenever we together,
@charlesndege9620 Жыл бұрын
Wow🤗! ,,, King Kiba,,King Kiba,,,King Kiba hakika umeinogesha sanaaaaa ,,,hiyo shughuli,,,,, Full mautamuuuuuu
@ellyjacob98972 жыл бұрын
Alikiba salute 💪💪
@maureenshibika32102 жыл бұрын
I love Nandy, she has sweet voice, congratulations doll much big up from Kenya💕❤️🙏
@gospelextramusic67342 жыл бұрын
KIBA namuelewa sana kwa jumbe zake hazina mitusi mitus na kukaa uchi. Hata sisi wa gospel tunasikliza pia
@@abdulmvungi9609 ww unacho chochote? Acha makasiriko kwa mwanaume mwenzio kuwa busy na kusaka flusi 🤗🤗ht husda utaacha 🚶♀️🚶♀️
@suleamberforreal74012 жыл бұрын
Pigaaaa keleleeeeeeeeeeeeeeeeee kwa King wa Tanzaniaaaaaaaa 👑 Alikiba huwa nasikia raha sana kukuona tuuu boss😎
@elsiekamai7012 жыл бұрын
Wow,,alikiba you are just amazing guy,,I love your support participation in this amazing wedding
@geymusic30282 жыл бұрын
Katisha kuzi hii kzbin.info/www/bejne/f3KThHyKrdqiqtE
@mrsmiangijunior36552 жыл бұрын
Penda sana nyie mungu awasimamie kwenye kila hatua ya maisha yenu amiiiiin 🤲 lnshaalha 🙏 ❤️❤️
@ezekiadaud4870 Жыл бұрын
Asante saan King Kiba kwa upendo wako kwa wasanii wenzako
@Wanisimbula2 жыл бұрын
My fav star of all time..King Kiba..All the best Nandera na Nenga..
@kerrykerubo16982 жыл бұрын
Alikiba😘😘😘
@abdulkareemchande72042 жыл бұрын
Nyimbo za ali kiba inaweza kupigwa popote na unaweza kusikiliza na yoyote,huwezi kusikia shairi zilichanganyika na lugha isiyofaa
@irenekatumwa96682 жыл бұрын
Kabisa
@atoshamkingule72582 жыл бұрын
Yes
@mtimacharles2059 Жыл бұрын
Nikwe?
@francelyungu47262 жыл бұрын
Clouds kupitia msanii alikiba amefanya video hii kuwa bora zaidi ongera king kibaaaaa
@muryaniathuman38452 жыл бұрын
King kiba for life😎😎🤜🤜
@sakinamixpambe26022 жыл бұрын
Bravo King unaonekana umeifurahia kweli harusi hii hongera sana
@thethengomba3552 жыл бұрын
Alikiba is another level, the GOAT without a doubt
@mackeymwamzandijr16962 жыл бұрын
U can Say that again
@jabiljust47232 жыл бұрын
Heeeeee jaman mbona hamsemi Kama ipo on trending number one
@hidayaseleman23972 жыл бұрын
Kingkiba
@saadaomar16162 жыл бұрын
So cute king kiba. Congratulations to Nandy and Billnass
@paulebby18772 жыл бұрын
Kingkiba is the mega 🌟
@sheebahal2559 Жыл бұрын
King kiba wetu...Mashalla
@christabelkhayanga40762 жыл бұрын
Congratulations to you African princess may Allah bless your marriage
@tiffanykerebi2268 Жыл бұрын
African princess Na Billnass congratulations...Kiba the King of Bongo
@kelvinstephano80892 жыл бұрын
Wimbo wa taifa huo Asante sana kingkiba
@asnakidenya25132 жыл бұрын
Kingkiba🤩😍
@pantonizerbazenga254 Жыл бұрын
I aprove this song of kiba to be a wedding song all over Africa
@mwambiretv1652 жыл бұрын
Alikiba ni Moto wa kuotea mbali
@everlyneongayo56922 жыл бұрын
Congrats African Queen God blessed ur marriage n give u children of ur dream we lv u
@esthernyokabi32252 жыл бұрын
Kiba is a happy human being ❤️.❤️
@pantonizerbazenga254 Жыл бұрын
Hii ndo ngoma sasa i watch everytime
@cmaxfrans46542 жыл бұрын
Kiba bwana huwa yuko relaxed sana kwenye mic he knows what he does. Big up!
@anzenisaidi6694 Жыл бұрын
Madjlu
@faridaf39232 жыл бұрын
Kiba kama Kiba👌👌🔥🔥🔥kiboko ya uchafu🔥🔥🔥🤸🤸💃🏿
@Victoria-tu6vr2 жыл бұрын
Nimeipenda hiyooo Mungu awajalie ndoa njemaaaaa nawapenda sanaaaaa
@jofreymasangula4982 Жыл бұрын
King kiba wewe ndio king music Tz Mungu azidi kukusmamia 🙏🤣🤣🤣
@zenahyusuf462 жыл бұрын
I love how Bilnass vibes and sings with him😍Kiba is a Legend❤congratulations Nandy and Billnas
@judithnyanchama94272 жыл бұрын
Congratulations 👏
@bettymasitsa95042 жыл бұрын
Alikiba 🔥🔥🔥
@paulebby18772 жыл бұрын
Numero Uno Song 🔥
@sabarluis4932 жыл бұрын
Dada huyo anaolewa 💕💕
@beccadede7592 жыл бұрын
I love Alikiba.
@mmn74802 жыл бұрын
Nimefurh sna sna alikiba kwenda jmni💞
@wardamussa93572 жыл бұрын
Hila.kiba masha allah
@ankalmzito2542 жыл бұрын
nadhani kwa hii harusi ngoma ya#UTU inaenda kuongeza viewers nani anabisha 😀..... 🇰🇪🇰🇪
@aishaidi28252 жыл бұрын
Mungu awa simsmie.
@salma-fc4xc2 жыл бұрын
Kabisaa🇹🇿
@jamesobedy39402 жыл бұрын
Yebabaaa 😁
@tausirashidi43512 жыл бұрын
Kabisa
@jacintamukami67762 жыл бұрын
No one in tz
@dolphmadonna55602 жыл бұрын
Wow,,the way he looked at Nandy n they both burst laughing.... Wow
@gundajr28832 жыл бұрын
Alikiba outfit✌️
@dogoshazzy7612 жыл бұрын
Kingkiba 👑👍
@rjb312 жыл бұрын
The King kills Every drop of Melody 🔥🔥🔥🔥
@geymusic30282 жыл бұрын
Noma kuliko yake kzbin.info/www/bejne/f3KThHyKrdqiqtE
@endie97102 жыл бұрын
#1 on trending jus imagine tuu 😍😍🤎🤎🤎
@monikakimath38102 жыл бұрын
Msaniiii wa kwanza kuwaweka trending #1 clouds TV tz
@omaryluambano34952 жыл бұрын
My Favorite Song Utu ❤ 🎵 💕
@mayumbyomar37142 жыл бұрын
Safi sana King kiba sou sua fã 🇲🇿🇲🇿🇹🇿
@Ryan-ho9sr2 жыл бұрын
Salute kwa king ❤ alikiba ,,ngoma ni freshy sana (inaingia na arusi) congratulations❤ Nandy na bilnas ..Hope for the best in life be it in good or bad situations.
@hadathartha7450 Жыл бұрын
Agjhdjm
@ibrahstar75902 жыл бұрын
Hizi hit song za kuishi zinaimbwaga na msanii Mmoja tu hapa tanzania ni ali kiba pekeee
@mashoplacky55822 жыл бұрын
Amazing Voice Blessed King Alikiba Nandy and Nenga Most love in Family mumefanya Jambo Nzuri Sana La Ndoa
@omaribangu23572 жыл бұрын
King Kiba 👑💯🇹🇿🇨🇩🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💓💓💓💓💓💓💓💓🥀
@issamohamedissa88942 жыл бұрын
nyimbo saafi,mashairi saafi!!si wana flani na minyimbo yao ya matusi...jifunzeni kwa king Kiba
@humphreybilly7437 Жыл бұрын
Kaka Stiven nyerere Mungu akubariki sana kwa Upendo wa Agape.
@HassanAli-eq8ko2 жыл бұрын
King kiba big brother firee
@saidmwinyi70622 жыл бұрын
Kila wakati hichi kipande nakiangaliaa 💥🔥💥🔥
@mis2ra7662 жыл бұрын
Vizur Sana King Wa Mziki Zuri
@floribertebalo7469 Жыл бұрын
Now three days on trending my king.
@facarapper53882 жыл бұрын
Kiva utu uzima dawa kaka unajua kuyaishi maisha....Hongereni billnandy
@jamesobedy39402 жыл бұрын
King wetu ali Kiba 💪
@kelvinmahanga4612 жыл бұрын
Hii ndio maana halisi ya kuwa na kaka anejiheshimu. Heshima kwako kiba
@fatmamshangama38002 жыл бұрын
Mashallaah jamn inapendeza mno
@veronicamyabi27792 жыл бұрын
The only one king😍😍😍
@gabriellyadam94152 жыл бұрын
Alikiba safiiiii
@endie97102 жыл бұрын
Is aunt for me 🤣🤣❤❤❤
@saidmakumlo89302 жыл бұрын
Ila ni raha sana kuoa,au kuolewa na mtu unaempenda..Mungu abariki ndoa hii,🙏🙏
@TEAM-UNITED-Fx75 Жыл бұрын
King 🤴, mfaleme wa mziki wa bongo, big up, ♥
@theblessedone75262 жыл бұрын
I will always clap for others until it's my turn ☺️🙏🙏🙏💗💕❤️♥️💞 Congratulations BillNenga
@fatumamnyenze96962 жыл бұрын
Yani naona rahaa kambe mm ndio naimba 💞💞😍😍
@luludisniper24362 жыл бұрын
Kama kuna cauple me upenda ni hii hapa daah mwezi mungu awalinde awaondole nuks na balaa zote nandy kipenzi mungu akupe wepesi wakati wakujifungua uwe salama na malaika tunae mtarajia more love from 254
@matildankungu97682 жыл бұрын
-go☁️🙆☁️
@salomemdoe85142 жыл бұрын
Wasanii wangu pendwaaaaa🥰🥰🥰🥰
@fredrickmatiku77832 жыл бұрын
Yaani hapa ndio tunaonana kuwa kumbe alikiba ana nyota kali sana Tanzania ni namba 1 king of bongo flavour sio Diamondplatnumz au harmonize 1 day video imetrend na 477k in 1 day 1 on trending
@dicksonaroka6961 Жыл бұрын
Nafikir hii ndo video ya kwanza kwenye chenell ya clouds ya You tube kufikisha views M1 kama kuna mtu anabisha aseme
@Dasmaila2 жыл бұрын
Life is so brighter 😍😍 Na hakuna kipya kwenye dunia