This is show how generous she is Watu wote hawa Wanywe wale duh.naamini kuna wedding Crashes nao wapo. Mungu awabariki kwa upendo wenu maharusi surely Many blessing!!!
@bahlaoman6467 Жыл бұрын
Nandi kama nandie❤️ Allah akusimamieni wewe na William mukaishi vyema kher na baraka ktk ndoa yenu Ameen
@samuelobondo8617 Жыл бұрын
i love seeing this pair together ,this is true love. all the best African princess v/s ningaa....
@superbob7753 Жыл бұрын
Mashallah mashallah so amazing weeding have never seen befor imewezaaaa mungu awabariki kwa sanaaa na awape vizazi vyema twince inshallah same like me.by super bob from gulf area
@anitamollel8982 Жыл бұрын
Hongera nandi Mungu atufanyie wepesi katika ndoa yako kumbe hii ndiyo mimba inayo myima Doris usiingiz Kwenye huba big up
@zabibuhassanchitumbo334 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@calebkoyotv Жыл бұрын
Mario is a real singer
@janepherkhisa8581 Жыл бұрын
Nandy is a very strong lady
@pamanyango8917 Жыл бұрын
Very strong woman
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
Sanaaq walah
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
Very very very very very strong
@evainnocent9520 Жыл бұрын
Nimefurah sana kuwaona nandy Na Gigi kuwa pamoja tena wakifurah.
@twalibjuma981 Жыл бұрын
Mashallah nand mungu akutangulie ktk NDOA yako mkae mkisikilizana kifo nd kiwatenganishe ila si chochote
@marykiloga7485 Жыл бұрын
mariooo ni good performer
@saluboy1178 Жыл бұрын
Mariooo 🔥🔥🔥🔥
@faithelyne7560 Жыл бұрын
God bless your marriage , gigy money never disappoint 🤣
@ettangala3719 Жыл бұрын
Are you seeing 😂😂😂😂😂😂😂
@nadyajonas9395 Жыл бұрын
Hpo kwa dear ex nenga karambit kupaa nyie😂😂😂 pole dear ex wa nenga
@reahpaulo5043 Жыл бұрын
Nitaman sana kuona mnafunga ndoa mungu awatangulie kwenye maisha yenu mapya awakinge nabaya yote
@kassimmuhange8214 Жыл бұрын
Hukaisana utajifunguwa ckwazoizi ilo Mungu akufanyie wepesiiii
@paulomhando5201 Жыл бұрын
Mungu awatangulie katika maisha ya ndoa
@kondwanimwangobora7696 Жыл бұрын
Marioo🔥🔥🔥❤️🙌
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
Nimependa mlivyomfurahia nany na shughuli yake... Jomoni... Mana KWA kufanya hivo Mungu atawafurahisha nanyi