HIVI NDIVYO TRENI YA SGR ILIVYOWASILI DODOMA

  Рет қаралды 13,320

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

DODOMA: TRENI ya Umeme ya Mwendo Kasi SGR kwa mara kwanza leo Julai 25, 2024 imeanza safari za Dar es salaam-Dodoma Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Пікірлер: 15
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 2 ай бұрын
JPM aliipenda sana Tanzania na watu wake mpaka kujitolea uhai wake. Hakuna kiongozi aliyekuwa na maono na udhubutu kama yeye Tanzania. Anzia Mabarabara akiwa waziri mpaka leo kazi zake zinaendelea. Sijui kama maisha yake yasingekatishwa tungekuwa wapi! Alipata Uraisi kutumikia watu siyo kutaka cheo cha uraisi. Mungu amlaze mahali pema peponi.
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 2 ай бұрын
ww ukumjua tu
@AloneChuga
@AloneChuga 2 ай бұрын
RIP jpm
@gastonmodestkaziri2566
@gastonmodestkaziri2566 2 ай бұрын
Hii Bwana asikudanganye mtu! Haya ndiyo maendeleo halisi, wala asikubabaishe mtu yeyote, wa ndani au wa nje ya nchi! Mungu ibariki serikali ya Tanzania, Mungu uwabariki watanzania ibariki Tanzania (kama nchi na Taifa).
@robsonlotyloy5678
@robsonlotyloy5678 2 ай бұрын
Mungi ibariki Tanzania
@JamesSichimata-w1u
@JamesSichimata-w1u 2 ай бұрын
Mitano tena
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 2 ай бұрын
safi iyooo
@benny4345
@benny4345 2 ай бұрын
Pamoja na changamoto zake za kiuongozi, Magufuli alikuwa na vision ya nchi hii. Haya maamuzi magumu alifanya Magufuli na kwa jinsi alivyoacha miradi hii, ni kichaa peke yake angeacha kuitekeleza. Aliwalazimisha kuiendeleza! It was a compulsory project. Magufuli should get all the credits
@Halphan-cw3de
@Halphan-cw3de 2 ай бұрын
Kaka nafikiri unazijua tabia za viongozi wa Afrika, We mpe tu maua yake na Mama kahangaika kulifanikisha thats all it matter, kuna mengi behind the scene😂.Mama angeweza kuliweka pending mimi na wewe tusingefanya chochote kumlazimisha
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
@@Halphan-cw3de kweli
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 2 ай бұрын
Unahitaji kukusanya watu kufumguwa tren.kupoeteza hela.hamna.sababu ya
@Emmanuelmengi
@Emmanuelmengi 2 ай бұрын
Mwenye maono yake angekuepo ingekua ishakamilika adi mwanza
@jebace
@jebace 2 ай бұрын
nipo pale nasubiri baada ya miaka miwili😅
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 2 ай бұрын
Mwijaku badilika mpaka unaudhi. Kwa nini husivae kama muha. Umasai hakupendezi unachoreka.
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 ай бұрын
Muweke nauli rafiki kwani mkipandisha bei mtakuwa mmetoa baraka kwa wafanya biashara wa mabasi na kusababisha shirika kufeli. Hongera JPM kwa maono yako mazuri. R.i.p JPM😢
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН
HII HAPA  SAFARI SGR  DAR HADI MORO, NDANI YA TRENI YA SGR
10:07
TRC RELI TV
Рет қаралды 40 М.
MAJALIWA ATAJA MIPANGO KURUSHA SATELAITI
4:07
Daily News Digital
Рет қаралды 891
How Long Before Earth Becomes Uninhabitable? | Firstpost Earth
7:02
TRENI YA MCHONGOKO DAR-DODOMA NAULI 100,000-120,000
2:47
Nipashe Digital
Рет қаралды 10 М.
#TBC: SAFARI YA KWANZA TRENI YA SGR KUTOKA DAR - DOM
1:14
TBConline
Рет қаралды 10 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН