Mhh! Hapo kwenye Mungu Mmoja Nafsi tatu umetuchanganya....Tangu mwanzo Mungu Alisema Natufanye Mtu kwa mfano wetu....Yesu Kristo Anasema Mimi na Baba tu Umoja...Nafsi Yesu Kristo Alipokuwa Akibatizwa, Nafsi Mungu Baba Sauti yake ikasikika Huyu ni Mwanangu Mpendwa Msikieni Yeye...Yesu Kristo Anasema Naenda kwa Baba na Roho Mtakatifu Atakuja kwenu...Professor.. Mungu ni Mmoja katika Nafsi Tatu.
@NICKSONNGATA2 ай бұрын
Elewa kuwa Mungu so binadamu kusikika Kwa sauti kusikuchanganye.jiulize yesu akiwa mdogo Je nguvu za Mungu hazikuwepo?
@MjumbeAgano4 ай бұрын
, Mungu ni mmoja hana nafsi tatu, yeye anaitwa Bwana Yesu Kristo. Nafsi ya Mungu ni Neno
@MarryMbilinyi-h7e5 ай бұрын
Mungu ni mmoja yesu ni mwana wa Mungu na roho ni Roho ya Mungu tusichangany mamb
@deussimbeye95316 ай бұрын
Ubarikiwe baba nimekuelewa
@albert_Victor5 ай бұрын
Amina🙏
@thomasmwangama90142 ай бұрын
Yesu alipaa kwenda mbinguni ktk wingu nawatu walimuona he hii inakaaaje?
@ZephaniaMwalusambo5 ай бұрын
Semina nyingine imefanyika Juni, nyingine itafanyika Desemba.