Je! Unaijua hiyo mihuri saba ukinijibu hapo ndipo nitajua umetumwa ila unachanganya na uongo, uwe mnyenyekevu au lengo lako ni pesa, Jifunze kwa mjumbe wa agano mwenye elimu ya ufalme wa Mungu.
@tabiebinda97498 ай бұрын
Amen mtumishi umenifunguwa mno
@PeterMbugua-wt9vl5 ай бұрын
Thank you so much
@PeterMbugua-wt9vl5 ай бұрын
Niko inchi ya kenya nimejifunza mengi kwako mtumishi mungu akupe Neema zaidi
@j3st6604 ай бұрын
Mbona twafundishwa yesu alikufa akafufuka akazikwa na sk ya tatu akafufuka akapaa mbinguni jamani mpaka kuja wengine kuelewa nikazi ninavyo tazamaga juu 😅😅 sijui namwangaliaga nani mmmmh yerusalemu sijui niitazamaje kiroho kwakweli mungu nisaidie jicho la tatu
@ezekmusic25782 ай бұрын
Hahahah ,,, kazi tunayo. Yale tuliyolishwa awali yametuharibu😂
@PeterMbugua-wt9vl5 ай бұрын
Nimekufanya mlezi wangu katika imani kwa mafundisho mazuri.naitwa peter kutoka kenya nairobi.nimekujua juzi tu nikiwa kwa yutube nikasema nikusikie unavyo funza biblia.wawawah kumbe ni wewe nimeishi kutafuta nimeishi kutafuta elimu ya kweli naona ka nimefika natumia MB nyingi kukufuatilia kila siku nashukuru mungu kwa kunipatanisha na wewe
@mwalusambointernationalmin90655 ай бұрын
Amen, karibu sana Mpendwa pia unaweza jipatia vitabu kupitia duka letu hili la online: www.getvalue.co/home/seller_collection/7619. ili uendelee kujifunza zaidi.
@ZephaniaMwalusambo4 ай бұрын
Nimefurahi sana kukupata kutoka Kenya, Mungu akubariki kwa kuipenda kweli ya Mungu.
@MjumbeAgano4 ай бұрын
Nimekuambia biblia imetiwa mihuri saba hakuna awezaye kuisoma, hapa unanukuu maandiko sio ufunuo wa kweli, Ni mjumbe wa agano duniani pekee ndiye aliyekusudiwa kufunua siri yote ya Mungu, Ufunuo wa Yohana 5:1- - -
@hellynyoni76137 ай бұрын
NIPO Dar es Salaam, LAKINI NIMEAMUA KUWA MWANAFUNZI WAKO KILA SIKU BABA