Wenyeku mpenda sheikh wetu Mazinge like apa lakini mimi sijabahatika kukuona sheikh wangu Mazinge
@MushdyAbdul8 ай бұрын
Twamuomba allah aongeze warith wa hii kazi shekhe mazingi kwasababu hakuna namna siku yako ikifika mungu atakuchukuwa hatujui nan atakuwa na moy wa dhati kama ww wa kutetea uislam
@rashidkalimbo24514 жыл бұрын
Shekhe Othman Mazinge Allah(S.W) Akubariki na Aibariki safari yako uende salama na iwe yenye mafanikio IshaAllah, kwa kweli tunakupenda sana huku KENYA sisi waislam wenzako na tunakuombea urudi salama na vilevile Alla(S.W) Atujaalie tuwe pamoja na Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) katika Pepo Yake IshaAllah...
@habibaramadhani-xv2ed Жыл бұрын
Ya Allah, Tunaomba ALLAH Akujalie.Uweze kutuwakilisha vizuri . Amiina.
@IngabireAisha38134 жыл бұрын
Allah akbar mola wetu Mlezi akuwekee wepesi katika safari hio ln sha Allah kher amiin ya Rabii 🙏🏻
@Awatee4 жыл бұрын
Allah humma amin
@wamalaibrah44643 жыл бұрын
Mazinge wallah Mwenyezi Mungu akuongezeye umuli Mimi ni mu Tanzania nilizalia Uganda hilo onalolisema ni kweli ksse kanisa iligeuzwa muskiti kwanza ksse bwela ni wanyamwezi
@salimaomar98963 жыл бұрын
Yaa Allah muwekeye Nuuru m zazi wa shekh Nourdini Kishikh katika Kaburi l'âne ALLAHUMMA Amiin
@LilyKangethe-hw2bw Жыл бұрын
Mashallah Allah Akuzidishie heri Inshallah...❤❤❤
@abdul-razzakmuhammed30583 жыл бұрын
Habib Othman Mazinge karibu Sana pemba, Ndoto yangu kwako nipate kukuona shehe wangu Na kuwa mwanafunz wako, nalia kila leo shehe, Namuomba MUNGU aniktanishe na wewe Inshaallah.
@abdirahmanomarofficial39772 жыл бұрын
Asalam Aleikum....Shk kishki na ustadh mazinge....hayaaaka Allah...tunakuombea wew na mandugu Wetu wengine...walio tayari kuokoa dini na kitabu an mtume wa Allah...napenda Mungu awape thawabu nzito kwenye hii dunia na kesho akhira...Ameen....
@tanzanian88474 жыл бұрын
Allah akulinde shk wetu, nakupenda kwa ajili ya Allah. Allah akujalie umri mrefu na akupe ilimu zaidi uwashinde wote maadui zako. Allah akulinde na akukinge na balaa. Allah akupe riziq uitakayo. Amiiin thumma amiin 🤲
@kaya.o16733 жыл бұрын
Man sha allahu
@bananatz42164 жыл бұрын
Maashaallah Allah awafanyie wepesi muende salama murudi salama in shaa Allah
@khuzeimaabdul42754 жыл бұрын
InshaALLAH mungu atakuwezesha uendapo na ushindi juu ya uislamu
@salmazaidalabrawi37233 жыл бұрын
Allah akupeleke salama shekh. Aammiiiin 🙌
@hamishemed93964 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi katika safari yako na akufanyie wepesi katika kuutetea uislam maswali utakayoulizwa katika huo mkutano Allah akupe wepesi kuyajibu kwa usahihi kabisa urudi na ushindi uwasilimishe mpaka mapadri
@emanuelmsaky80743 жыл бұрын
Dini haimpeleki mtu mbinguni amini kwamba siku za mwisho watakuja kuleta hesabu zote kwa Mungu soma biblia ufike mbinguni salama haijalishi upo kwenye dini gani asiye mwamini yesu amekosa uzima wa milele mapadri hawaweI silimu labda nyie tuwakaribishe muokoke.
@jojobrayan15513 жыл бұрын
We real love you sheikh ,ManshaAllah 👏👏🇨🇦🇨🇦
@zenaal-baalawy1953 Жыл бұрын
From 🍁 🇨🇦 na mimi nampenda sheikh Mazinge namfatilia sana@jojobrayan1551
@زينببنتسعيد-د9ح4 жыл бұрын
Maasha Allah ma sheikh wetu wote Mwenyezi Mgu awalinde na kila shari,awaongoze awape afya njema, umri mrefu awalipe kila lililo la kheir wao na ummati Mohammad (SAW)
@fatomhalogandy40453 жыл бұрын
MashaAllah. Great job
@bandajr6583 жыл бұрын
Mungu awalipe mashekh wetu
@waheedahtanzania49123 жыл бұрын
Mashallah masheikh WETU Allah atawalipa fungu lenu siku ya Hesabu Inshaallah 👏
@rabiawaziri39023 жыл бұрын
Allah awahifadhi masheikh wetu Allahumma amiin
@halimamwakucha26374 жыл бұрын
Allah akuhifadh n kila lenye shar uende xalama urud xalama.. Kwa mnafanya kaz ngumu Allah awajaalie pepo mashekh wetu
@tabumpate97623 жыл бұрын
Mashaalah.M/MUNGU nakuomba muweke shekhe mazinge kwakutuokolea dini yetu ya kiisilamu
@probeez25694 жыл бұрын
inshaAllah ya ALLAH mpe maisha marefu mwalimu wetu Habib mazinge InshALLAH na mola wutu akuongoze popote uendapo na akulide na maasidi na ushinde kwaajili ya ALLAh AMIN AMIN inshALLAh
@AmourHaji-gh6pp Жыл бұрын
Maashaallah x10,Barkallah za ALLAH zitawale ktk ulimwengu huu tulionao❤M'mungu atuongoze ktk janna.Mungu akuweke Shehe mazinge ili tuzidi kuelewa dini yetu.
@husseinmombo38343 жыл бұрын
Insshaallah sheikh Mazinge Allah akujaalie kheri katika safari yako na kwa kazi utakayoifanya iwe na mafanikio makubwa. AMIYN.
@lkshmykomar54724 жыл бұрын
Ishalla hery shehe wetu M/Mungu akusmamiye ktk safar zako akuhfadh km alivo mhifadh nabii IRAHMU Amina tunakupenda Kwa ajili ya Allah
@minabuelysee83 жыл бұрын
Amin
@jamesndihokubwayo65603 жыл бұрын
Karibu Burundi Bujumbura tutafurahi sana tupe, dawa1isram
@chamieadam71383 жыл бұрын
Siku atakayofumba jicho sheikh Mazinge kama bado nikiwa napumua sijui nitaliaje wallah nampenda mno kwa ajili ya Allah tu sichoki kumsikiliza
@ZulfahIbrah Жыл бұрын
Mashallah am learning more about my religion Islam Alhamdulillah. Jazakallah Khair
@sakinat25274 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi ktk safari yako na akuhifadh, akuepushe na kila baya . Akujaalie uende salama urudi salama, ukafaulu kwa yote yatakayo kuwa huko kwa uwezo wa Allah ameen yaa Rabb in shaa Allah
@halimaramadhan29754 жыл бұрын
Allahumma amiin
@ahmedalklbani81184 жыл бұрын
Ishaalahh alahh akufanyie wepesi alahh akupe umri mrefu
@Awatee4 жыл бұрын
Amiin yarabal alamin
@issakawaya83154 жыл бұрын
Kwani burundi akuna wa dhiri
@sofiabeja31714 жыл бұрын
Alla akulipe inshaalla
@mivumamusafiri9191 Жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU azidi kumulinda Ust mazinge yeye ndio chanzo ya imani yangu nilizaliwa kwenye ukristo na mm n Muslim kwa mda sasa mwaka kumi🙏🙏
@Mwanaume6764 жыл бұрын
Karibu sana Urundini ustadhi Ya ALLAH mrahisishiye safari, kazi yake ya daawah na umpeleke na umrudishe salama salimina mwalimu wetu Habib Mazinge.
@amadykassim Жыл бұрын
Nakukubali Mazinge ❤
@mohamedkombo83084 жыл бұрын
Inshallah sheikh mazinge mungu akuoeleke salama ukaifanye kazi ya all,na ujira wake allah ndio ajua zaidi atakuzawadia nini,ya rabbi,
@salimaomar98963 жыл бұрын
Allah Akuifadhi kwakila hatuwa ALLAHUMMA Amiin
@khadijaiddi48874 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah akutangulie katika safar yako sheikh mazinge
@sakinat25274 жыл бұрын
Ameen
@hanifatanzania72584 жыл бұрын
Maashallah Allah akulinde na mazalim uwende salama na urudi salama lnshallah ❤️❤️
@korogwetanga8103 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh mazinge na akupe umri mrefu wallah nakupenda kwa ajili ya Allah
@meandme3437 Жыл бұрын
Yarabi akuzidishie umri na afya njema. I love u soo much sheikh wetu. Allah akuhifadhi hifadhi ya mitume.
@rashidkalimbo24514 жыл бұрын
Wallah UISLAMU NI RAHA, hasa mwisho wa video hii nimehisi tu raha, ...Namuomba ALLAH (S.W) Anifishe hali ya kuwa mimi nimuislamu kamili IshaAllah.
@mbwanakhamis96344 жыл бұрын
Ameen
@juliusmakamba2554 жыл бұрын
Wahubiri wenzako wote walisha kufa,wahubiri wakikristo wote wapo,wewe kazi yako ni kuukashifu ukristo na yesu.
@rashidkalimbo24514 жыл бұрын
@@juliusmakamba255 ... hakuna mwiislam anayemkashifu Yesu hata mmoja kaka, na anayemkashfu Yesu basi si mwiislam, Nahisi haujui maana ya Uislamu ni nini na ndomana ukasema hivyo...Ukristo tunaukashfu kwasababu ni uzushi wa watu, Mwenyezi Mungu hajaelekeza watu wawe wakristo na hakuna Mtume hata mmoja aliyekuwa mkiristo including Yesu, Shida yenu hamtaki kusoma Vitabu vya Mwenyezi Mungu mkaelewa, mnafuata tu kauli za wachungaji wanaowapotosha....
@juliusmakamba2554 жыл бұрын
@@rashidkalimbo2451 ni nadra sana kumsikia ustadhi mazinge akikemea dhambi,au akiwataka watu waache maovu,watubie dhambi zao,yeye anawaaminisha waumini wa dini yake ya kiislamu kuwa wakristo wote ni makafiri na siku ya kiyama ni motoni tu,na muislamu hata akiwa mwizi,jambazi,mzinifu,yeye ataenda peponi,anapotosha sana watu.
@rashidkalimbo24513 жыл бұрын
@@juliusmakamba255 ...Mimi nakuelewa vizuri kaka na ndomaana nikatanguliza kusema hauelewi maana ya Uislamu, Uislamu hauelekezi mtu kufanya mambo mabaya mambo machafu hata kidogo kaka, Mtu yeyote atakayefanya dhambi ima ya kuiba, ugaidi, ushirikina, uzinifu n.k moja kwa moja huyo ataadhibiwa na Mwenyezi Mungu unless atubie Kwake, TOBA ya ukweli (TAUBATUL NASUHHA) kabla hajafariki,... Halafu nimeona unasema ati ni nadra Ostadh Mazinge kukemea dhambi, hapo nakupinga mojamoja, Pitia video zake zote KZbin uone vyenye Shekhe Mazinga anavyong'ang'ana kuwalingania Waislamu na hata wasiokuwa waislamu warudi katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wewe unaonekana ni mgumu wa kuelewa tu, m'bishi, coz hata hii video Mazinge amelingania watu warudi kwenye njia ya Allah, ama haujasikia hiyo kauli akisema watu wanachezea wakati kwa kuspend more time na mambo yao ya kibnafsi kama vile mpira wa kandanda hata wakati wa swala instead of wawe miskitini, Ama unataka mtu alinganiwe vipi wewe...Na vilevile nahisi haujui maana ya Kafiri pia, KAFIRI kwa ufupi ni mtu ambaye hamuabudu Mwenyezi Mungu Muumba wa kila kitu duniani, ndio maana Mwenyezi Mungu Akawatambua nyinyi (wakristo) kama Makafiri kwasababu hamumuabudu Mwenyezi Mungu, munaabudu Yesu, Mtume Wake mkidai yeye ndo Mungu...na ndio maana nikasema hamusomi Vitabu mukavielewa coz Yesu anasema yeye mwenyewe 'mimi ni mtu" (YOHANA 8:40) na hakutumwa kwa ulimwengu mzima ila kwa watu(Wana wa Israel)aliopewa na Mwenyezi Mungu na anawaombea hao tu(YOHANA 17:6-9).... Shida yenu hamtaki kusoma tu basi, ninyinyi nakupinga ukweli tu hata muambiwe nini hamutoamini kwasababu tayari Mwenyezi Mungu Anasema Amepiga Mihuri nyoyo zenu na vilevile zimejaa maradhi kwahiyo hata muambiwe nini hamutoamini, macho ameyaziba na finiko hayaoni na vilevile maskio yenu ameyaziba kwa hivyo hamsikii na mtapata adhabu kali... Shekhe Othman Mazinge Anang'ang'ana sana na Namuombea Allah(S.W) Azidi kumpa umri mrefu aendelee kuwatoa watu katika Giza, Nampenda sana Shekhe Mazinga infact video zake kwa laptop yangu zimechukua karibia asimia 60, Nawaombea sana sana mashekhe wote Allah(S.W) Awalinde...Na pia wewe nakuomba usikilize Mihadhara mbalimbali ya Mashekhe mbalimbali huenda Mwenyezi Mungu Akakujaalia kuuona ukweli uko wapi IshaAllah, na utakuja nikumbuka kwa hii COMMENT IshaAllah ima ubadilike au ubaki katika hali yako.... Nakuomba uwasikilize kwa undani hawa Mashekhe wafuatao: *TANZANIA-Shekhe Othman Mazinge, Dr Sule Ostadh Kinyogori, Shekhe Kishki, n.k *KENYA-Shekhe Mohammed Omar, Shekhe Maalim Othman, Shekhe Suleiman Mazinge, Shekhe Izudin Alwy Ahmed n.k *India-Shekhe Dr Zakr *U.S -Shekhe Ahmad Dhada Chukua Vitabu vyote vya Mwenyezi Mungu Uangalia as you listen to them, uone kama wanakwambia ukweli au laa, jaribu kutofautisha between different scriptures ujue ukweli uko wapi kaka, hao wamesoma kweli Vitabu vya Mwenyezi Mungu na ninawaombea sana kwa juhudi zao na naomba dua zao za kutaka radhi kwa Allah pia zinifikie mimi IshaAllah kama mwiislamu mwenzao. Mimi jukumu langu nikufikisha tu, decision ni yako, siwezi kulazimisha coz Dini inakataza kulazimisha mtu, lakini naomba unisikilize kwa makini kauli yangu ya mwisho, kama wewe una dini nyingine mbali na Uislamu, nakuomba mara moja rudi katika UISLAMU kabla hujakufa, kwasababu Ndio DINI pekeyake Ambayo Mwenyezi Mungu Ataiangalia Siku ya Kiyama.
@skkonthetop88763 жыл бұрын
Mashaa Allah Tabarak Nawaombea Mashekhe Wetu Safari njema na Salama. Na mafanikio Mema. Ameen ya Rabi Al Alamin. Ndugu yenu Mohammed Ali Al Rawahi. Al Hail Muscat Omani.
@kochantv85544 жыл бұрын
Assalam aleykhum warahmatullah wabarakatuh... Namuomba Allah akuongoze katika utowaji wako wa dawa, namuomba Allah akurahisishie kazi zako ziwe zahisi.. kwako sheikh mazinge...naomba ukitoka safari yako nipate updates na mm inshaallah Ameeen.
@twalibmakau83804 жыл бұрын
Kwenye uchaguzi huu tunamshukuru Allah ametudhihirishia wanafki, washirikina, wapenda Dunia Allah wajaalie mashekhe mwisho mwema
@hassancharo14964 жыл бұрын
Twalib una mana utshadh Mazinge nimunafiki ama
@saidcharleskarata024 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akujaalie inshaallah katika Safari shee wetu 🙏🏻
@salumkibalabala45824 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah akufikishe Salama na urudi Salama na awarehemu Mashekhe zetu wote waliotangulia mbele ya haq
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Amiin
@IngabireAisha38134 жыл бұрын
Allah akudhidishie umli weny vitendo maqbul Allah akuhifadhi tudhidi kunufaika na elmu yako sh Othuman Mazinge
@paulgwau8833 жыл бұрын
We ostazi acha uongo
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Amiin
@khamismohd86164 жыл бұрын
Allah atulinde na msheikh wetu ukiwemo na ww sheikh wetu sheikh Habib Mazinge
@IngabireAisha38134 жыл бұрын
Karibu sana burundi 🇧🇮 Allah awafikishe salama awarudhishe salama na ushindi uwe wa waislam karam ya tauhid izagae urimwengu mzima🙏🏻
@sakinat25274 жыл бұрын
Ameen yaa Rabbil aalamiin
@khadijaiddi48874 жыл бұрын
Allahhumma Aamiin
@AishaAli-lk7gh4 жыл бұрын
Amiin
@Awatee4 жыл бұрын
Amiin allah auwinue dua nzima insha allah
@zou74704 жыл бұрын
Allahuma aminaa 🙏🙏🙏🙏🙏
@selemanaman83403 жыл бұрын
Allah akbar mwenyezimungu atujaarie mwisho mwema na atufishe hali nakuwa ni waislaam🕌🕌🕌
@hasnaram40444 жыл бұрын
Walah nimejisikia uchungu Sana shekhe aliposema nimebaki mm tu na nikifa mm hamna mtu, nimesikia uchungu mnoo shekhe tunakupenda kwa ajili ya allah
@ndayisengaamissi610211 ай бұрын
Allah aendelee kukupa Umri mrefu Mwalimu Mazingi❤
@ruqayyahfille36564 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah Allah amfanyiye wepesi sheikh wetu kwakila zito
@ramadbanihamis10553 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akutangulie sheikh wetu mungu awe pamoja nawe akujaalie uende salama akujaalie pia urudy salama sheikheh salama na amani iwe nawe
@innocentnimubona55194 жыл бұрын
Karibu kwetu Burundi ALLAH Akujaliyeni inshallah
@mohammedshaban14983 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki mazinge .uendelee kutufunza na kuuteteea uislamu
@rumaukombo64154 жыл бұрын
Allah akupeleke Salam urudi Salam a .Allah atupe mafanikio mema ya dunia na akhera.
@muhsinmrishi34243 жыл бұрын
Shekh kishki allah akuzidishie nakupenda san ww na shekh mazinge mashaallah mna fanya kz kubwa
@Kazubassyathyvry894 жыл бұрын
Allah akupeleke salaam na akurudishe salaam,na maswali yote utakao ulizwa akuwezeshe kuyajibu vzr,karibu kwetu burundi.Na twakuombea Allah azidi kukuhifadhi na akujalie mwisho mwema sheikh wetu
@halimaramadhan29754 жыл бұрын
Amiin
@abouswaleh73754 жыл бұрын
Amiiiiiiiiiiiiiiiiin allahumma amiiin
@abouswaleh73754 жыл бұрын
Amiiiiiiiiiiiiiiiiin allahumma amiiin
@abzinho10karim254 жыл бұрын
اجعل الله رحلتك مثمرة وناجحة. بارك الله فيك وعائلتك يا أمين.
@majaliwamaheru53684 жыл бұрын
Mznge Allah Akulinde na Akuepushe na mabaya ya dunia na ya kaburn wallah Tena Mungu Akupe pepo ya juu kabsa inaniuma Sana pale ninapo fikiria ukfa Nani Atakae kava hii nafas yako Allah Atuandalie mtu kama ww
@Fidia-ie3fi6 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi mère wakiisjamu insha'allah❤
@yvonnenduwayo73034 жыл бұрын
Karibu saaana kwetu Burundi allah awawekeye wepesi
@samilamauji37283 жыл бұрын
Allah akupe umri mref uendelee kutukumbusha inshaallah
@mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын
Àamiin Ya Rabby Àamiin, Allah Awape Umri Ma Sheikh, Mzidi Kuelimisha.
@adamsaidi64613 жыл бұрын
Amiin sheikh
@mwanahalimamwachili96793 жыл бұрын
@@adamsaidi6461 Àamiin.
@rwagasoredieudonne63873 жыл бұрын
Eti Issa alikuwa maskini eti ukifa hakuna atakae tetea dini ndugu huo ni upuuzi .Mungu akusamehe
@abouswaleh73754 жыл бұрын
ALLAH akufanyie wepes kipenzi cha MOYO WANGU... NAMUOMBA ALLAH akusahilishi JANNATU FIRDAUS
@@jonasyohana3258 shwetwani nihuyo uliyo mfunika suruali mungu akudhalilishe duniani na akhera firauni wewe
@jonasyohana32584 жыл бұрын
@@aishaarusha894 firaun ni hicho ulichokifunika na sket.....mbwa kasoro mkia ww
@aishaarusha8944 жыл бұрын
@@jonasyohana3258 mbwa baba ako firaauni heshimu dini za watu nyooooooo ukome kututukana habith kacheze segele kanisani kiama utacheza kwenye moto laana allah akudhalilishe kwa maradhi inshalllah
@salehesengiyanka53974 жыл бұрын
Allah akujalie umri mrefu sana na tareh 25 uwafundishe wachungaji waweze kuslimu waache kuambudu masanamu
@moshimbwana80093 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi ktk safari yako
@HauratySaid-cf1ct Жыл бұрын
Allah akulinde na atujaalie mwisho mwema atupunguzie adhabu
@abdullahiibrahim8893 жыл бұрын
Allah akueleke salama na akurudishe salama na akupe ushindi insha Allah
@mcheshslim Жыл бұрын
Kazi ustadhi wetu waifanya vyema kwa kweli inshallah mungu atakupea umri mrefu uzid kutuelimisha
@ramadhanihudhaifani43764 жыл бұрын
Hongera sana kwa uteuzi huo,kaka mkubwa.Allah Akufanyie wepesi huko uendako ili uweze kutuwakilisha vema,Amiin! Ni imani yangu kuwa utaenda kutuwakilisha kwa uzuri kabsa kwa uwezo wa Allah,Sheikh. Allha Awe pamoja nawe na sie pia,Amiin!!
@zawadi27473 жыл бұрын
Allah akupeleke salama na urudi salama In sha Allah
@halimaramadhan29754 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi sheikh mazinge uende salama hurud salama in shaa Allah
@sakinat25274 жыл бұрын
Ameen yaa Rabb
@zou74704 жыл бұрын
Aminaaa ya rabii🙏🙏
@ghulamjuma28833 жыл бұрын
Ameen
@mikidadijuma74413 жыл бұрын
Ameen
@mkachethedon38413 жыл бұрын
mazinge mungu amzidishie maisha marefu ishaallah
@kanyangezafaraniddi65184 жыл бұрын
Karibu kwetu 🇧🇮ALLAH akuhifadhi from🇨🇦
@Masta_jay0074 жыл бұрын
Naam Allah amfikishe nyumbani 🇧🇮 Salama inshallah
@falumefilme81433 жыл бұрын
@@Masta_jay007 naam shukuru shukuru allah
@muswadiqmkufya15192 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu shekhe wetu tupate matunda yako
@suleimansaleh51234 жыл бұрын
Nakuombea kila la kheri akhii Mazinge ,Allah akulinde na balaa zote za dunia na afanye kazi yako ya da'awa iwe nyepesi uende na urudi salama aammin nakutakia kila la kheri from Mombasa
@ngagishow2614 Жыл бұрын
Allah azidi kukulinda
@binthkhamisi10974 жыл бұрын
Allah akufanye wepes kwa dini ya kislm naurud salam...Ameen on sha Allah
@ashiraally5273 жыл бұрын
Inshallah shehhe utaenda salama na utajibu kwa usahihi na utarudi salama inshallah
@vuaiabdallah37204 жыл бұрын
Ustadh mazinge upo sw Allah akujaalie uendako
@abduljuma62193 жыл бұрын
P
@radhiaomary55914 жыл бұрын
Maa shaa Allah tabaraka'rahman Allah akuhifadhini sheikh zetu awape maisha marefu na husun'lkhatima
@hanifatanzania72584 жыл бұрын
Pia ushauli wangu kama una mtoto WA kiume au yeyote anaitaji kuubili uwafunfishe lnshallah
@mustafaathuman58974 жыл бұрын
Allah akulipe
@famozogofe88152 жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu
@bellbell92944 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akupe jannat firdaus Aamiin
@mealiimwamoyo1653 жыл бұрын
Inshaallah mungu akupe wepesi kila palipo na ugumu akuwezeshe upate ushindi katika jihadi
@infinitiesforlife79793 жыл бұрын
Amina allah awajaalie kila lilojema wenu katika iman abdallah juma nikiwa arusha
@berchmansndoriyobija1264 жыл бұрын
TURAGUHAYE IKAZE IWACU I BURUNDI.KARIBU SANA KWETU BURUNDI SHEIKH HABIBU MAZINGE.MAY ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA GRANT YOU JOURNEY MERCIES, I CAN'T WAIT TO MEET YOU ANA KWA ANA IN SHA ALLAH. KILA LA HERI SHEIKH MAZINGE.
Sheikh Mazinge, wengine tuko Kenya ila dua tunakuombea insha Allah uende salama na urudi salama. Usisahau kutuwekea video ya mkutano insha Allah.... 🙏🙏
@NadiaJuma-en8sr Жыл бұрын
Karibu kwetu sheikh Allah akufikishe Salama inshaAllah
@hafsaali79764 жыл бұрын
""Allah akupe safarinjema inshaallah...na wote walio changia safari Allah awape zaidi walipo punguza.
@saudamachocho48154 жыл бұрын
Mbona hatuna Suleiman Mazinge wa Kenya mwenye tabia nzuri kama Suleiman Mazinge wa TZ. Nakupenda sana MY DEAR. Allah akuhifadhi akupe safari njema.
@kijanahodari20804 жыл бұрын
Maa shaa Allah, Sheikh Mazinge Allah akupe pepo iliyo daraja la juu,uende salama utuekee video ya mkutano huo na urudi salama
@Awatee4 жыл бұрын
Allah humma amin
@mohammedrajabu74494 жыл бұрын
MaashaaAllah Amiin
@rayasaid40994 жыл бұрын
Aaamin YaaaRabalaAllamin amin
@fatumaadan6334 жыл бұрын
Amiin
@officialsaddmfalme53813 жыл бұрын
Mungu akusaidie mwalimu wangu
@tumajunior60804 жыл бұрын
Allah akupe wepesi wakujibu maswali na atupe ushindi inshaallah awahidhi maadui zako 🤲🤲🤲yarabby takabal dua
@changawakalume21383 жыл бұрын
Safi Sana mwenyezi mungu awape maisha marefu ilimwendelee nakazi hi nzuri mnayo ifannya.
@husseinomary79774 жыл бұрын
othman mazinge steringi wa makafirii mungu akueke ishaaallaahh
@egbertsambujune46803 жыл бұрын
Mungu akupe afya njema
@saidhamad5333 жыл бұрын
Inshallah Allah akupeleke salama akurufishe salama