No video

HIZI NDOZO FAIDA ZAKUHAMIA CANADA

  Рет қаралды 4,477

Jesse Vlog Swahili

Jesse Vlog Swahili

Күн бұрын

Katika video hii ninaeleza faida za kwenda kule nakupata ukazi wa kudumu. kwa ajili ya kuomba kazi canada we www.jobbank.ca.

Пікірлер: 53
@yassirmaulid683
@yassirmaulid683 3 ай бұрын
kwel kabixaaa🛫👌
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 16 күн бұрын
Asante sana dada
@josephirambona343
@josephirambona343 Ай бұрын
Jambo sana
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 13 күн бұрын
Maisha yanabadilika saana kila pembe ya Dunia, Kazi pekee zenye uhakika Ni za hospital, lakini Sasa Kuna changamoto za Kazi hata Kwa wazawa, binafsi Naona Kwa suala la Kazi Bora Marekani
@ChukuMrido
@ChukuMrido Ай бұрын
Tutahitji tips zaidi
@allyshomari7417
@allyshomari7417 8 ай бұрын
Asante kwa mrejesho. Wa huko ughaibuni!!
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 9 ай бұрын
Safi sana my sister Shukran sana 🤝🏼
@emmanuelmsemo3545
@emmanuelmsemo3545 11 ай бұрын
Thanx very much for your informations you help alot
@ebenezerykimendo-oe2mx
@ebenezerykimendo-oe2mx 11 ай бұрын
Safi sana umenipa kitu cha tofauti sana.nipo kwenye harakati za kuja huko
@ShadowScreamStudio
@ShadowScreamStudio 4 ай бұрын
Safi sanaa mdm
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 Жыл бұрын
Asante kwa kutufahamisha
@Gannaartist
@Gannaartist Жыл бұрын
Asante sana nimekulewa.
@mukhtarally5819
@mukhtarally5819 11 ай бұрын
Dada asante sana
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 11 ай бұрын
Nimekuelewa uko vzr
@bushbabytz
@bushbabytz 9 ай бұрын
kwa hicho kiingereza chako kama umtoboa canada😂 basi mimi nitatoboa mpaka alaska😂
@VictaMfumbilwa
@VictaMfumbilwa Ай бұрын
Dada naomba namba tuwasiriane
@HashimuSalumu-mg6ht
@HashimuSalumu-mg6ht 7 күн бұрын
Dada unaongea ukweli sana Mimi ni derevA wa magari makubwa nashida na kaz naomba namba yako unipe muongozo
@ChukuMrido
@ChukuMrido Ай бұрын
Nitahitaji namba yako yako tuwasiliane kwa what's up Kama upo nje
@user-er6qu3ym4l
@user-er6qu3ym4l 10 ай бұрын
Jambo na kupata
@yahyambugha7870
@yahyambugha7870 5 ай бұрын
Dada jese mi nahitaji barua ya mualiko
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
Me nakukubal san my boc
@user-cr7lo3fv3m
@user-cr7lo3fv3m 6 ай бұрын
Dada minataman kujahuko canada nisaidie dada
@shukurukisuguru6461
@shukurukisuguru6461 Жыл бұрын
next time dada... zungumzia watu ambao Wana elimu ya form 4.. wanawezaje kwenda Canada au marekan?
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 10 ай бұрын
Thanks Dada, upo Tanzania? Naomba msaada wa kuandika resume ya kazi na how to apply visitor viza please
@user-fh6ll3hk4o
@user-fh6ll3hk4o 11 ай бұрын
Please naomba nisaidie website nataka Host canada
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 11 ай бұрын
jessesarro85@gmail.com
@user-mh1fe4cj8h
@user-mh1fe4cj8h 8 ай бұрын
nina hitajj msaadaa nisaidie namba yako ya whtaspp
@user-mh1fe4cj8h
@user-mh1fe4cj8h 8 ай бұрын
dada namba ya whtaspp
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 9 ай бұрын
Naomba nijue pia umri wa kukubaliwa kufanya kazi Canada na kazi gani ambazo zinapatikana kirahisi?
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
Kukubaliwa kufanya kazi kuanzia miaka kumi nane hadi 65
@safimatola4436
@safimatola4436 9 ай бұрын
Naomba no yako nataka kuja huko ila sina mtu
@user-yp1if8qm5s
@user-yp1if8qm5s 11 ай бұрын
Dada nahitaji kazi ya kujitoleya za shambani sijasoma nimeishiya dalasa ya 5 tu
@VictaMfumbilwa
@VictaMfumbilwa Ай бұрын
Dada Jese nahitaji kazi za kujitolea zamashambani naomba unisaidie mchakato
@ibrahimelisha6842
@ibrahimelisha6842 7 ай бұрын
Bado upo Tanzania?
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 7 ай бұрын
Nipo
@bigboys016
@bigboys016 11 ай бұрын
Asante sana dada wewe uko wapi😊
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 11 ай бұрын
Niko Dar
@mswahilipeople2579
@mswahilipeople2579 9 ай бұрын
Dada hujambo mzima lakini naomba Dada namba zako kama hutojali dada
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
0788 734873
@KasililaLogasian
@KasililaLogasian 2 ай бұрын
​@@jessevlogswahilinaitaji unisaidie nn
@godwinaxwesso8726
@godwinaxwesso8726 9 ай бұрын
Nahitaji nije kukuona kama upo Tanzania nipate information ya kutosha
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
Care giver, Factory worker, cleaning jobs,Farm worker ni nyingi
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
Mimi niko Tanzania Goba
@user-fp6cr1yf3i
@user-fp6cr1yf3i 7 ай бұрын
Namba yako
@deusmbassa9749
@deusmbassa9749 11 ай бұрын
Kwn wewe unakaa nchi gani mbona ukienda kule
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 11 ай бұрын
Mimi niko bongo jamani
@alhajiabed7479
@alhajiabed7479 9 ай бұрын
We mbona hujaenda dada.
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
Una uhakika kama sijaona we Jirani yangu
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
Mpaka muonyeshwe maghorofa
@kaselejetombolo
@kaselejetombolo 7 ай бұрын
dad naomb nifanyie nipate host canada
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 7 ай бұрын
Umeshapata visa
@ChukuMrido
@ChukuMrido Ай бұрын
Nitahitaji namba yako yako tuwasiliane kwa what's up Kama upo nje
@ChukuMrido
@ChukuMrido Ай бұрын
Nitahitaji namba yako yako tuwasiliane kwa what's up Kama upo nje
Epuka haya 2024 ili usinyimwe visa
17:59
Jesse Vlog Swahili
Рет қаралды 1,8 М.
Jinsi yakujibu maswali utakayoulizwa airport CANADA
14:11
Jesse Vlog Swahili
Рет қаралды 7 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 20 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,9 МЛН
Marekani au canada wapi kuna fursa nyingi. majibu hayo hapo.
10:56
Jesse Vlog Swahili
Рет қаралды 3 М.
Jinsi yakusafiri visa free countries document zinazotakiwa
12:40
Jesse Vlog Swahili
Рет қаралды 1 М.
Jinsi yakuingia Canada nakupata ukazi wa kudumu
12:49
Jesse Vlog Swahili
Рет қаралды 2,7 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16