No video

HIZI TABIA ZITAKUPONZA.

  Рет қаралды 6,812

Mbeki TV

Mbeki TV

Күн бұрын

Kama una moja ya tabia hizi ama zote basi hauna mwisho mzuri fanya ubadilike kabla haujachelewa. Please usiache ku Subscribe.

Пікірлер: 64
@josephmwita996
@josephmwita996 Ай бұрын
imenisaidia sanaa
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@josephmwita996 vizuri sn ndugu yangu
@DorethMselem
@DorethMselem 2 ай бұрын
Dah asantee sana saaana tena saana tabia ya 5 ndo uzaifu wangu sio kwa mwanaume tu ndugu rafiki mtt yaan asikae mtu karibu na mimi namjali sana kama mtt umeniachia utakuta ameoga amekula kutoa sasa mama angu ameniambukiza sasa mi nimepitiliza sio chiz mimi najitosheleza lkn hee mpaka nimeamua kuwa na njia ya kuwaepuka watu wananipenda wananiita wananishirikisha lkn sasa mnhh toka alipofariki mama angu hamna hata rafiki alienisindikiza mkoan kama ambavyo nafanyaga kwa wenzangu et tutakuja kukuona ukikosa kuja msiban tuma hata buku itaingia kwenye uban wa kusoma dua itanunua hata kuni et tutakuja kukuona nyumban kisa tu unakaa sehem fulan inahadh fulan waje wakuhan au uchunguzi jaman dunia imeisha tujipende tu kwa kweli asante Mwalimu
@monicamwainunu7908
@monicamwainunu7908 Ай бұрын
Hivi unakielewa kinachozungumzwa hapa?
@LightnessMnyanga-uj4yx
@LightnessMnyanga-uj4yx Ай бұрын
Ila kiukweli umenifundishaaa , nimejifunza sana
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@LightnessMnyanga-uj4yx good 😀👏
@marryfaber7211
@marryfaber7211 Ай бұрын
Dah asante kaka mm niko na mahusiano na mwanaume ila kila mara ni ugomvi wa hela
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@marryfaber7211 pole sn
@LightnessMnyanga-uj4yx
@LightnessMnyanga-uj4yx Ай бұрын
Yaan umenifundisha jamani, hata mamaangu hajawahi kunifundisha hivi ubarikuwe sana sana sanaaa
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@LightnessMnyanga-uj4yx ahahah asante sn😀🙏😀
@user-rf1fe1fu6k
@user-rf1fe1fu6k 6 ай бұрын
Asante sana kaka kwakutuelimisha tuimarishe ndoa zetu. Uishima ishamarefu.
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Amina🙏. Usiache ku subscribe ili tuendelee kujifunza pamoja.
@marryfaber7211
@marryfaber7211 Ай бұрын
Asante kwa mafunzo magumu mung akupe umri wa miaka 100
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@marryfaber7211 eeh 100 👏😀
@user-jz4ng5vt6t
@user-jz4ng5vt6t 2 ай бұрын
Naisi kama hii video niyangu akika imenifanya ni jutiye maisha ninayo pitia Asante kaka kwakunisaidia natamani nipate hata namba zako 😢
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
0659152333 WhatsApp only
@user-du6ey8qq8y
@user-du6ey8qq8y 8 ай бұрын
Imenisaidia sana hii video
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Nini utaenda kubadilisha ama kumbadilisha mwenzako?
@user-du6ey8qq8y
@user-du6ey8qq8y 8 ай бұрын
@@mbekitv693 hapana ila nitabadilika mimi sababu yeye anajiona yuko sawa wakati ni ubinafsi anaoufanya
@DorethMselem
@DorethMselem 2 ай бұрын
😂watt wa mambom kimitegomitego asante sana kweli kabisa kabisaaaaaaa❤
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
😀
@GraceSteven-qq5hn
@GraceSteven-qq5hn 2 ай бұрын
Imenisaidia asant sana
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
Karibu sn
@marryfaber7211
@marryfaber7211 Ай бұрын
Na kweli hana upendo namimi nikimwambia tuahane kila mtu awe huru hataki
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@marryfaber7211 mamlaka na maamuzi ni yako
@chriskirenga-p2p
@chriskirenga-p2p Ай бұрын
POA BRO MIMI NI MFATILIAJI MZURI WA VIPINDI VYAKO VINAFUNDISHA THANKS BRO🤩😇
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@chriskirenga-p2p nashukuru sana🤝
@sein.208
@sein.208 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa kutufundisha .
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
Amina mpendwa😊🙏
@ShubiraCostac
@ShubiraCostac 5 ай бұрын
Mafundsho haya ya kipekee na uwezi kuyapata popote ila hapa, yote unayosema yapo na yanaendelea kuwepo,ila mwenye Akili atajifunza na atawafundsha wengine,ASANTE MUNGU akuongezee ufahamu,❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Asante sn mpendwa
@user-wy7zl2vr6k
@user-wy7zl2vr6k 16 күн бұрын
Somo zuri lakini hii tabia ipo wenye pesa wengi wanaoishinao wala hawawapendi wanatakapesa tu nahii itakuwepo sikuzote haiachwi hii tabia
@mbekitv693
@mbekitv693 14 күн бұрын
@@user-wy7zl2vr6k 😀
@adammkondya5896
@adammkondya5896 5 ай бұрын
Mungu akubariki
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Amen
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
NIAMBIE JE HII VIDEO IMEKUSAIDIA?
@itsTubwa
@itsTubwa 2 ай бұрын
𝐒𝐨 𝐦𝐮𝐜𝐡,𝐭𝐡𝐚𝐧𝐤𝐬 𝐛𝐫𝐨
@MamaYussuf
@MamaYussuf 19 күн бұрын
Naomba no yko
@mbekitv693
@mbekitv693 14 күн бұрын
@@MamaYussuf 0659152333
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
wewe ni mwalimu wa walimu
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@kwisa4899 asante sana kwa kunielewa kaka tuko pamoja 😊🤝
@user-xo4hz4lj8k
@user-xo4hz4lj8k 6 ай бұрын
Na Je yule anaekwambia ya wazazi wako yamepita Fata LA kwako huyo kweli' anakufaa
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Sijui ata story imeanzia wapi na yawazazi wako yamepita yapi so sijui hapo mlikuwa mnaongelea nini.
@safiasuliman5136
@safiasuliman5136 18 күн бұрын
Na sm yangu kaunganisha na yake chat zinaenda kwake pia nili taka mkubalia mtu mwengine akaja kunifokea na kumpigia sm yule mwanaume asiwe na mm
@safiasuliman5136
@safiasuliman5136 18 күн бұрын
Kaka ndio ninayo piatia saiv hyo ninae mtaka hanitak na kun block bila sababu
@mbekitv693
@mbekitv693 14 күн бұрын
@@safiasuliman5136 achana nae si hakutaki
@user-du6ey8qq8y
@user-du6ey8qq8y 8 ай бұрын
Shida inaweza kuwa mimi sina hizo tabia ila wanaume wabinafsi sana hasa hiyo tabia ya tatu wengi wanayo
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Ndio hapo nikasema inaweza ikawa ni wewe au mwenzako so kama ni mwenzako ndio hatari zaidi😰
@silviafurah9172
@silviafurah9172 5 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri ya kujiekea uamuzi sahihi kwa mahusiano be blessed
@bettymariga
@bettymariga 2 ай бұрын
Asante sana bro be blessed
@olasegiriabiodun3757
@olasegiriabiodun3757 8 ай бұрын
Kaka naomba ushauri nina mwaname kanamby tupotezeane bila ya sa7
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Nicheki whatsapp kaka
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 8 ай бұрын
​@@mbekitv693naomba whatsapp namba yako
@SarahKambura
@SarahKambura 3 ай бұрын
Mmi nko na mwaume hatujaoana lakini anakaa akiniomba nimzalie n kweli ananipenda ama ananichezea tu??
@TabithaDaniel-dz8zn
@TabithaDaniel-dz8zn 2 ай бұрын
Muongo huyo usikubali
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@TabithaDaniel-dz8zn 😀
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
Kwani kasema anakupenda au anataka umzalie tu
@chuckychucky2783
@chuckychucky2783 2 ай бұрын
Usizae dada utakoma, mwambie aje nyumbani watu wale ubwabwa ndo uzae
@dayanaleonardsinzikayo1771
@dayanaleonardsinzikayo1771 8 ай бұрын
Ila jmn mme wngu ananisalit na hajawahi kuniomba msamaha hanpend
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Upo katika list yangu ya WhatsApp?
@dayanaleonardsinzikayo1771
@dayanaleonardsinzikayo1771 8 ай бұрын
Hapana niunge
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
@@dayanaleonardsinzikayo1771 0659152333
@DorethMselem
@DorethMselem 2 ай бұрын
Dah asantee sana saaana tena saana tabia ya 5 ndo uzaifu wangu sio kwa mwanaume tu ndugu rafiki mtt yaan asikae mtu karibu na mimi namjali sana kama mtt umeniachia utakuta ameoga amekula kutoa sasa mama angu ameniambukiza sasa mi nimepitiliza sio chiz mimi najitosheleza lkn hee mpaka nimeamua kuwa na njia ya kuwaepuka watu wananipenda wananiita wananishirikisha lkn sasa mnhh toka alipofariki mama angu hamna hata rafiki alienisindikiza mkoan kama ambavyo nafanyaga kwa wenzangu et tutakuja kukuona ukikosa kuja msiban tuma hata buku itaingia kwenye uban wa kusoma dua itanunua hata kuni et tutakuja kukuona nyumban kisa tu unakaa sehem fulan inahadh fulan waje wakuhan au uchunguzi jaman dunia imeisha tujipende tu kwa kweli asante Mwalimu
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
Karibu sn mpendwa
MAKOSA YA WANAWAKE #mapenzi #upendo #ndoa #uaminifu #love
36:21
FAIDA 7 ZA TENDO LA NDOA
9:20
Mbeki TV
Рет қаралды 4,1 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 18 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 27 МЛН
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 91 МЛН
DALILI 20 ZA ASIYEKUPENDA.
17:33
Mbeki TV
Рет қаралды 6 М.
FAHAMU VIASHIRIA VYA KUWEPO KWA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
16:41
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 3,8 М.
Njia 11 Zakumrudisha mpenzi wako mliegombana.
20:19
Mbeki TV
Рет қаралды 16 М.
SABABU 3 ZA MWANAMKE KUKUACHA
12:56
Mbeki TV
Рет қаралды 35 М.
SIMULIZI MPYA - RIGHT CHOICE / DEAR HEART
2:53:27
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 31 М.
NJIA 3 ZA KUMUACHA MTU UNAYEMPENDA.
8:50
Mbeki TV
Рет қаралды 18 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН