Nimejifunza mengi mmo siku ya leo Allah akulipe mema mengi hapa duniani na kesho Akhera 🤲
@mbekitv6938 ай бұрын
Amina amina🙏😀
@JacquilineNoah9 ай бұрын
Mim nimeachwa na mimba kubwa na bwana anakaa na mwanamke mwingine ila ananidanganya yupo safar ila kila kukicha ananipigia cm na txt kibao na maneno meng mpaka nmeshamchoka🙌🙌🙌🙌
@mbekitv6939 ай бұрын
Umeolewa?
@JacquilineNoah9 ай бұрын
@@mbekitv693 sina ndoa na hajaoa wala sijaolewa tulikutana tukapenda tukaanza mahusiano
@NeydanieldanielАй бұрын
Asant imenighalim sana na mahusiano ya mtu mwenye wivu baada kuharubu maish yangu na uchumi wangu akaniacha duuuuh nimeanz umpya mungu mwema nimempata mwingine anasaport san kile nachofany na kunitia moyo sana
@mbekitv69319 күн бұрын
@@Neydanieldaniel good🙏
@HusseinMohammed-x1g11 ай бұрын
Allah akulipe mwalim maana hayo ulosema no kweli kabisa binafs yamenisaidia sana
@mbekitv69311 ай бұрын
Ooh vizuri sn🤝
@DignaAlphayo11 ай бұрын
Asante nitaanza mwaka vizuri
@mbekitv69311 ай бұрын
Mungu akutangulie 🙏
@kwisa48994 ай бұрын
Dah am addicted already to ur channel
@mbekitv69319 күн бұрын
@@kwisa4899 ooh asante sana..🥰
@magnibrondi31527 ай бұрын
Laiti ningefahamu mapema ichi kipindi singe umizwa ivi
@mbekitv6936 ай бұрын
Pole sn
@mbekitv6936 ай бұрын
Karibu kutazama video yangu mpya
@ommy12464 ай бұрын
@@mbekitv6933:10Hata mimi pia
@kwisa48994 ай бұрын
umewasema watu wengi waliokuwa wamenizunguka
@wardazamzam846310 ай бұрын
Shukra
@mbekitv69310 ай бұрын
Karibu
@NeemaMichael-w2w11 ай бұрын
Vp kwa anayetunza mimba ya mwnwmke mwngn huku anasema cyo kweli Hali nikiwa najua ukweli