HOFU ya MPINA SAKATA la BANDARI DAR na DP WORLD, HUU HAPA MCHANGO WAKE wa MAANDISHI kwa BUNGE...

  Рет қаралды 8,796

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
Well spell and spoken Sir I pray to the almighty God to give energy and ways to fight these autocracies to the land and resources of the citizens. Be blessed Hon Luhaga Mpina
@marialesulie6798
@marialesulie6798 Жыл бұрын
Tunakuunga mkono sana mheshimiwa Mpina. Asante kwa kuonesha uzalendo wa hali ya juu na na uthubutu mkubwa
@marialesulie6798
@marialesulie6798 Жыл бұрын
Mpina Asante kwa ufafanuzi mzuri. Mkataba inatisha na inatia hofu.
@masumbukonzumbi1033
@masumbukonzumbi1033 Жыл бұрын
Mpina ni zao sahihi la wazalendo waliobaki katika nchi hii🔥🙏
@jeremiatitus4414
@jeremiatitus4414 Жыл бұрын
Wito wangu kwa mama rais ,Jambo hili litakuharibia sifa jaribu kujiuliza !! Hili lisije likawa mtego kwako utakaokuletea sifa mbaya kwa historia mzima ya maisha yko
@pastorysent6586
@pastorysent6586 Жыл бұрын
Huyu mbenge apewe maua yake❤😊
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Mtajuta sana kuwa na rais kama Samia hana msimamo na elimu yake ni ndogo ya kuunga unga ni rahisi kudanganywa
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Tatizo cyo Samia,Tatizo walioko nyuma yake wanaomuongoza..Nenda kaangalie Tanafrica tv then utaelewa..Aliyewaweza hawa wahuni Ni hayati Magufuli tu.
@elishajoseph6430
@elishajoseph6430 Жыл бұрын
​@@berthatz sana huyu wala sizani kama anashida masikini aisee
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 Жыл бұрын
Mpina una HASIRAAAAAA, Duuh pole sana
@josephsaghana1056
@josephsaghana1056 Жыл бұрын
Huuu mchango ni Msingi wa Kuukataaa huuu ujinga.
@JohnMpiluka-vi5ch
@JohnMpiluka-vi5ch Жыл бұрын
Kiongozi mpina ni mkombozi wetu
@TimotheoKiss21
@TimotheoKiss21 Жыл бұрын
Bola ata Mpina
@kapondazenaida-nq5hk
@kapondazenaida-nq5hk Жыл бұрын
Mpina yuposahihi
@paulthomas2748
@paulthomas2748 Жыл бұрын
Daaaaaahh 😢😢😢😢😢
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 Жыл бұрын
MPINA NAKUUNGA MKONO....TUPO PAMOJA
@aselisamson996
@aselisamson996 Жыл бұрын
Madhara ya Kuupiga mwingi, mara yupo Dubai mara wapi bila sababu za msingi Sasa tazama umwingi wake anayoyafanya,
@BushuMboje-z4m
@BushuMboje-z4m Жыл бұрын
Naomba uhamisho ili niweze kupigia kula jimbo la kisesa uchaguzi ujao ili kula yangu ikusapoti
@joramkimario9321
@joramkimario9321 Жыл бұрын
Ngumu kumeza af ngumu kutema
@joachimngereja7608
@joachimngereja7608 Жыл бұрын
Mh.Mpinaumejipangaje?wengi waliojiyokeza kufanya haya unayoyafanya huwa wameamua liwalo na liwe,unajua kabisa kiptoa maoni mbadala tofauti na hulka ya chama ni kosa?nakuonea huruma Wapi Deo Firikunjombe
@marialesulie6798
@marialesulie6798 Жыл бұрын
Acha woga mtoa mtanzania acha kumkatisha tamaa mtanzania wetu mwenye uzalendo kama Huyu Mpina. Kufa ni kawaida hakuna atakayeishi milele.
@EdyTulatuma
@EdyTulatuma 10 ай бұрын
Mungu yupo nasi pamoja na mheshimiwa mpina
@marialesulie6798
@marialesulie6798 Жыл бұрын
Kwanini mikataba usivunjwe tuanze upya? Badala ya nchi na nchi ufanyike kikampuni na kampuni au chombo kingine kama walivyodhauri Wataalam?
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
Hawa niwamarekani Ila wanapitia mgongoni mwa warabu Watanzania tuamke
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Adui wa Tanzania ni mtanzania mwenyewe wala siyo mzungu au Mwarabu…Kama Wanaouza nchi wangekuwa na misimamo na uzalendo si mwarabu wala mmarekani angesogeza pua yake.
@issaally8817
@issaally8817 11 ай бұрын
kiukweli hapa tumepigwa mwabugusi yupo sahihi yaani anayoyasema mpina ndio yale yale ya mwabugusi kuna haja ya rais kujitathimini kwa kina hili jambo sio dogo
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Dubai anatumika na Marekani hana uwezo Dubai Tanzania 🇹🇿 tukatae apewe China au tunajenga wenyewe DP WORLD ni kampuni ya Marekani Dubai anatumika Tanzania inakufa
@domycossan1395
@domycossan1395 Жыл бұрын
Ndugu tungo zako hazieleweki
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Dubai anatumika DP WARLD ni ya Marekani afahali Bandari wakuwa ni mchina tu kwa sababu anajenga uchumi mkubwa nchi Tanzania kwa sababu Mchina wanauwekezaji wa Africa Marekani anawevu sasa anamtumia Dubai Watanzania Tukatae nch itapata matatizo makubwa sana
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 Жыл бұрын
We naye unachanganya mambo, hapo kuna marekani imetajwa.
@marialesulie6798
@marialesulie6798 Жыл бұрын
@@hassangasaba4565ansjichanganya huyu
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 Жыл бұрын
Si wabunge wote, wengi wamekaa kimya kamwe hawatatamka kitu ktk swala hili. Kimya kina maana mbili YES / NO Je mkataba w BOMBA = BANDARI?????😢 😅😅😅
@TimotheoKiss21
@TimotheoKiss21 Жыл бұрын
Bola ata Mpina
@TimotheoKiss21
@TimotheoKiss21 Жыл бұрын
Bola ata Mpina
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 27 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
Charles Hilary wa Ikulu Zanzibar afunguka Kuhusu kwao na makuzi yake
4:00
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 83 М.
Mpina ajibu wanaosema anaipinga Serikali
38:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 46 М.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 27 МЛН