SAKATA la UENDELEZAJI BANDARI ya DAR, MBUNGE MPINA AWAKUBALI DP WORLD DUBAI kwa MASHARTI HAYA...

  Рет қаралды 21,295

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SAKATA la UENDELEZAJI BANDARI ya DAR, MBUNGE MPINA AWAKUBALI DP WORLD DUBAI kwa MASHARTI HAYA...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amezungumza na wanahabari ambapo ametoa ufafanuzi juu ya mtazamo wake kwenye sakata la Bandari ya Dar es saalam...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 61
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Wangapi hatutaki bandari iwekezwee?tujuwane ili sasa tufunge na kumuomba mungu mali zwtu zibaki tu hata zijae panya bc,selikali isilazimishe watu wanavinyongo mno jambo hili likome sasa tujuwane weka like yk hapo tufike milini arobaini ntajuwa kweli haiwezekani anza Sasa msomaji
@Ibnimohd-tr6qc
@Ibnimohd-tr6qc Жыл бұрын
Mie nataka wawekezaj
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Жыл бұрын
uko vizuri mpina
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
CCM wangekua na wabunge km Mpina Tanzania ingekua.mbali sana kimaendeleo, lakini bahati mbaya sana wengi wao mazuzu
@timboxlee919
@timboxlee919 Жыл бұрын
Strong leader mbunge mpina,huyu Mama aliwekwa kuja kutuuza watanganyika, RIP JPM
@Ibnimohd-tr6qc
@Ibnimohd-tr6qc Жыл бұрын
Km hamna kwenu bs muuzwe tu!!!
@user-cz3gk2op9r
@user-cz3gk2op9r Жыл бұрын
Huyu ndiye Mbunge wa kweli hakika nakukubali sana . Naishauri CCM kama mtapendekeza rais wa nchi huyu ndiye atakayeweza kuongoza. majitu mengine ni majizi watupu kabisa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Mpina kwa nini ulinyamaza mtoto wetu kwa sababu huwa nakuaminia japo uko ccm. Mimi siko katika siasa. Tuunge mkono kukataa DP WORLD! Hivi ninyi waandishi wa habari kwa nini huwa maswali ya kuegemea watawala waccm ambayo wameisha wametufanya mazuzu wa kusema ewara. Kwa nini serikali ya Samia inaturudisha kwenye ukoroni mkongwe!
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 Жыл бұрын
You are very right. Your position has become the majority position in the country. IGA hatariiii!
@EvanceBujiku-dc9rh
@EvanceBujiku-dc9rh Жыл бұрын
Asante kaka yangu mpina,mungu akujalie Marshall marefu
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp Жыл бұрын
Hongera sana Mh. Mpina Serikali izungatie sana USHAURI WAKO. HATUKO TAYARI KUUZA NCHI YETU KWA MWARABU.
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb Жыл бұрын
Mungu akubariki Mheshimiwa Mpina
@shemelsayi2205
@shemelsayi2205 Жыл бұрын
Watu wa kanda ya ziwa hatujawahi kuwa wanafiki
@mahindusimbu2012
@mahindusimbu2012 Жыл бұрын
Mhe, MPINA BRAVO. TUNATAKA ARGUMEMTS ZA NAMNA HII JUU YA MKATABA WA BANDARI.
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 Жыл бұрын
Mpina uko vzr ila umejiandaa vzr 2025?
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb Жыл бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa
@wilsonmahundi6816
@wilsonmahundi6816 Жыл бұрын
Ktk wabunge wa CCM wote, huyu ndo mbunge msema ukweli, na anauchungu na nchi walio bakia hamna kitu kabisa
@sufianngellah6297
@sufianngellah6297 Жыл бұрын
Hakuna kitu hapo. Huyu toka alivyotolewa uwaziri ndio anajifanya mwanaharakati na kwenda kinyume na wenzake. Tunamkumbuka vizuri sana enzi za JPM,wengine mmesahau tayari.
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 Жыл бұрын
Usiwe mnafiki kwani mpina amekosea wapi?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Kwa kweli wewe ndiye mzalendo wa walioko ccm. Na ndiyo sababu walikunyang'anya uwaziri. Alihakikisha akawatafuta watu vibaraka wake ili atuiingize ukoloni mamboleo!
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 Жыл бұрын
Mbunge umesema ukweli .hakika Kwa hili tunaenda kupigwa
@AdamMwaipula
@AdamMwaipula Жыл бұрын
Wewe ulikuwa sahihi Toka MWANZO isue ni sintofaham iliyopo ndani yachama chetu
@mussahemed8308
@mussahemed8308 Жыл бұрын
Upande wangu nimekuelewa
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 Жыл бұрын
Mhe. Mpina ukweli wewe ni Jembe Wa Tanzania tumekuelewa vizuri na Hilo limekaa vizuri
@johnkilimo9520
@johnkilimo9520 Жыл бұрын
Mbunge wa Ccm anaejielewa pekee ni huyu tu bc
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Жыл бұрын
Mpina upo sahihi huyo anaye kupinga ujuwe amelamba. Achana naye.
@isaacalex6327
@isaacalex6327 Жыл бұрын
uko safi
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb Жыл бұрын
Mpina Mungu akusaidie unaakili unafaa kuwa Rais unauchungu Rsili mali taifa sio hao wenzio hao kibaya ndiyo chema ndio hawaeleweki wa ubande gani ndugai ludi uongoze bunge tulia hawezi kabisa
@richardzaidi7045
@richardzaidi7045 Жыл бұрын
MPINA NI MUELEWA,YUKO VIZURI KUSHUKA HATA UWAZIRI MKUU
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb Жыл бұрын
Ee Mungu wape viongozi was
@mahindusimbu2012
@mahindusimbu2012 Жыл бұрын
Kumbe upo CCM. Kwa nini hukumtonya Rais hata anafaika hivi.
@martinmukude8258
@martinmukude8258 Жыл бұрын
Very good father mpina magu amekuacha wewe na bashe wapi barozi jembe msilale ndio mashujaa mliobaki
@MnubiMm
@MnubiMm Жыл бұрын
Wewe mpina ulipima mmpaka samaki magufuli alikuona mapema akakutumbua ungeshauri hili jambo Bungeni hukusema chochote ulikaa kimyaa leo nje ya Bunge mbona mliingii mkataba na ticks na hayo mapungufi ya Bandari mengi wameyase tena wazi
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
Kila Mbunge atakuja kutuaminisha haya watuletee magari bure bila ushuru
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 Жыл бұрын
Usalama gani ?usalama mbona Ticts ilikuwa hapo bandarini kwa miaka 25 toka enzi za mkapa,mkataba wao umeisha juzi huo usalamabona hamkusema vp leo?
@user-rp1ys6pw9f
@user-rp1ys6pw9f Жыл бұрын
Hivi ndio kuishauri serikali sio kuropoka kwahiyo si vibaya wala sio kweli dubai haifai bali kurekebisha mkataba
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb Жыл бұрын
Huyu anatakiwa kuwa Spika wa Bunge Tz
@robertphilip385
@robertphilip385 Жыл бұрын
Mpina umesemakweli lkn hawajamaa zako wa ccm watakuacha salama kwl? Maana ccm ukweli hawapendi wamezoea ujanja ujanja
@mmarandu2417
@mmarandu2417 Жыл бұрын
SWALA SIO UCHUMI NI UFISADI ULIOKITHIRI.
@DamasAmos-ue2gh
@DamasAmos-ue2gh Жыл бұрын
Jamani ivikwanini munatulazimisha namkataba Wana nchi tumekataa mkataba wakijambazi atutaki mumepewa Nini kwenyemkataba uo
@giftially5874
@giftially5874 Жыл бұрын
Katika wa2 wanao ongea point we mzee unaongoza
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Mbona wachina wamepewa miradi mingi?
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Mpina wewe ndiye mbunge pekee Tanzania uliyeweza kusimamia ukweli bila kupepesa macho.Ila waliobaki wote tatizo kwe nchi yetu.Maana sijui waliusoma huu mkataba au wapo bungeni kwaajili ya kugonga meza tu na kupitisha kila kitu bila kujali athari za hivyo wanavyopitisha.Bunge letu ni tatizo
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Жыл бұрын
Mwandikie speker wako barua umshauri na nakala kwa waziri mkuu. angalizo : wssikukolombe
@AdamMwaipula
@AdamMwaipula Жыл бұрын
Hapo kwa speaker hamna kitu alipewa shavu kiti na jpm marehemu baada ya muda mfupi tu katugeuka mazima safari akagombee ubunge aliko zaliwa Kama ataamburia kitu nyakyusa ndo maana awawezi toa mbunge wa kike kule ni matusi kabisa
@gabrielymatembo8770
@gabrielymatembo8770 Жыл бұрын
Ccm mpingeni na mpina, nyinyi mnasema silaa mdude na mwabukusi ni wa chochezi na huyo mpina siyo mchochozi tena huyo ni mbunge ccm
@kyaro5945
@kyaro5945 Жыл бұрын
Mpina tumepigwa Mh.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Жыл бұрын
Wote wanawo unga mkono ujuwe wamehogwa. Au akili zao ni pungufu. Wanatuuza vyombo vyoto vimekaa bira kuuliza. Sasa hivi mimi kama mimi sina imani na vyombo vyote vya ulinzi moja kinacho fanyika hivi hamuwezi mkakaa pamoja mkapata majibu sahihi. Boss wenu anaogopa kumwaga kitumbuwa. Hilo ndiyo tatizo. Tt
@mmarandu2417
@mmarandu2417 Жыл бұрын
DP MWANZO MBOVU, YOTE YAJAYO MABOVU. DP UFISADI WA WACHACHE. DP NI MOJA TU BADO MENGI......?
@user-mh5mx1kn8j
@user-mh5mx1kn8j Жыл бұрын
Mpina njaa njaa hiyo huna unalolijiua wee
@mahindusimbu2012
@mahindusimbu2012 Жыл бұрын
Tunajadili hoja ndugu. Mpina anzungumzia hoja sio njaa.Wewe uliyeshiba toa hoja ya shibe yako juuu ya mkataba wa bandari tusikie.
@mahirimahiri2643
@mahirimahiri2643 Жыл бұрын
Je alikuwepo miongoni mwa walioenda Dubai?
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Asingesema hayo km alikuwwpo,kamaanisha alipinga
@abdalahmsigiti5308
@abdalahmsigiti5308 Жыл бұрын
Acha porojo wakati mnapitisha bungeni mawazo hayo yalikua wapi mbona huja shauri bunge kabla mnaona wapiga kura ni wavivu wa kufikiri hayeni
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Keshageuka sasa Kwa maelekezo ya kanisa!!
@selemaniigosha
@selemaniigosha Жыл бұрын
Haya aliyaongea kabla ya bunge kupitisha muwe makin kufuatilia
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
@@selemaniigosha usitutoe kwenye reli, mwache Mwarabu aje apige kazi mahakama ishawapiga chini tayari
@mahindusimbu2012
@mahindusimbu2012 Жыл бұрын
Hilo ni neno sahihi, alikuwa wapi asitoe arguments zake. Mnamuaibisha Spika.
@mariambwilo6841
@mariambwilo6841 Жыл бұрын
Mwingin ni bashe bashe wapi wewe sijakusikia ndio ninaowaelew wabung
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 Жыл бұрын
Mh ujue umebaki peke yako na sidhani kama hao jamaa zako watakukupa tiketi ya 2025
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,8 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 67 МЛН
Mpina ajibu wanaosema anaipinga Serikali
38:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 46 М.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,8 МЛН