Hio ni kawaida na watu wote duniani wanafanya ..ni sisi tu Tanzania tumechelewa...hata hivyo tumepunguziwa gharama ya kwenda Uturuki..hongeara sana Tanzania yangu😍 nikirudi tz lazima nianze procedure
@MsAisha-w4o4 ай бұрын
Dokta mungu akupe afya njema na atuhifadhi waja wake ❤