Somo limenibariki sana mtumishi ubarikiwe Mungu wa mbinguni aendelee kukutumia katika viwango vya juu 🙏
@wakywenaky3674Ай бұрын
Yaani swali hili limenisumbua muda mrefu sana, namshukuru Mungu kwa kumpa mtumishi huyu hilo somo, God bless you ❤
@carolinederi5690Ай бұрын
Me sisemi kitu apa mwaka huu baada ya kuongeza maombi guy vifo vita kunusurika moto ndani ya nyumba watu kufungwa gerezani magonjwa kazini nyumban auna mahali pa kupumua ila naamin me ni dhahabu maan kweny nmefika ki imani nkiona mtu yualia kwa sabab ya changamoto nacheka kwanza alafu tuombe pamoja ndio nmwambie ya kwangu
@holyspiritconnectАй бұрын
Amen
@holyspiritconnectАй бұрын
@carolinederi5690 katika yote Mungu ni mzuri sana sana
@Rm2024-x3dАй бұрын
Asante kwa maombi haya ya kunifungua macho mtumishi barikiwa sawa. Nimekua na nasumbuliwa madeni huu mwaka biashara ni mbaya nauza kiwanja wateja wanaahidi mwisho wa mwezi halafu unapofika hawapokei simu nimejua ushindi wangu unakaribia amen
@NeemaJohn-y1rАй бұрын
Nikweli mtumishi wa Mungu yani mimi siku nikiomba sana kwa machozi na kutubia dhambi zangu yaani huousku silali nitafanyishwa uzinzi kuliko siku ambayo siombi ila nikomba kawaida ninalala vizuri tu
@CandySohia-mm9od7 күн бұрын
Mtumish nimempokea bwana yesu hallelujah 🙏
@SalmaHaule-eg8ulАй бұрын
Aminaa baba barikiwa saana MUNGU azidi kukutumia kwaajili yetu tulio gizani sasa nauona Mwanga
@CarolineNanjala-f3o4 күн бұрын
Be blessed glory to God 🙏🙏 hili jambo limenisumbua Kwa muda nashughuru mungu nmejibiwa
@SIMONOSERE-yv6yeАй бұрын
🎉 it's true when you don't pray things seem to be working smooth but the moment you start praying you see the opposite you fail to understand have gotten the answer thanks man of God blessed
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@BeckyIregi-y8o19 күн бұрын
I second you with bitter truth
@clarisumazi4 күн бұрын
Amen ubarikiwe Sana mtumishi hili swali limenusumbua mda mrefu bt nmepata jibu lake Mungu nisaidie
@hellenmnyazi22011 күн бұрын
Amen amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu umenitia nguvu kwakweli nilikuwa najiuliza mbona nimeomba sana na kila nikiombea jambo hili sijapata jibu linatoka hili hii hali imenichanganya sana. Asante sana mtumishi kwa mafunzo haya
@AgnesWere-r6d3 күн бұрын
Asante kwa kunipa ufunuo 'nashindwa nikijiulliza bona nikifunga na kuomba mangonjwa zinainuka,,naomba mungu awe mshindi wangu
@brunidamadege374728 күн бұрын
Ahsante YESU kumbe ninaenda mwisho wa niliyopitia haleluyaaa.
@Rm2024-x3dАй бұрын
Umeongea ukweli kabisa sauti inasikika yupo wapi huyo Mungu wako unayemtegemea oooh Yesu sitaki kuharibu mahusiano yangu na yako..nisaidie Yesu wangu...❤
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen
@annasagumo974112 күн бұрын
Amen....eeeh Mungu nifiche chini ya mbawa zako jicho la shetani lisinione mimi na familia yangu nakataa roho za visasi vya adui nitetee Mungu wa Israel zamisha jeshi lote la adui ndani ya bahari ya sham🙏🙏🙏🙏
@CarolyneMalala-o6xАй бұрын
Barikiwa sana maana umenitia nguvu kupitia kwa huu ujumbe🙏🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉🎉
@Sarahsilvestar23 күн бұрын
Na shukuru kwa neno🎉🎉
@kitumainikubatu3182Ай бұрын
Hii ni somo nzuri inatuhimiza kwa safari yetu ya kwenda mbinguni, asante sana Bwana asifiwe.
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@VeronicaMtitaАй бұрын
MUNGU nakuomba unisaidie nisimame imara katika kuomba kwangu Nina amini ipo siku nitayashunda yote Amen Amen Amen 🙏
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@holyspiritconnectАй бұрын
Mungu akubariki pia
@LinetKerubo-ms7ko23 күн бұрын
May the Lord bless you kwa hili somo.
@edinahmoraamageto734421 күн бұрын
So touching be blessed mtumishi wa mungu
@saranjelekela7955Ай бұрын
Amen Mungu anisaidie
@yunispatrick8613Ай бұрын
Asante sana kwa huu ufunuo, Glory be to God 🙏,More Grace pastor Innocent
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen
@MARIAMMKIWA-s7pАй бұрын
Asante mtumishi kwa somo hili zuri.mungu akubariki sana.
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen. Mungu akubariki pia
@collethageorge512Ай бұрын
Eeeeh yesu nakushuku kwakuwa unanifundisha kila siku 🙏🙏🙏🙏.. mungu akubariki mtumish kwa somo zuri
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen
@peteroderobarasa5205Ай бұрын
I give glory this word is for me man of God
@FrankMwaluswaswaКүн бұрын
Nami mtumishi ndivyo inavyotoke kwangu mungu amekupa kwa ajiri yangu
@BeckyIregi-y8o19 күн бұрын
Asante Baba wa mbinguni kwakumpa mtumishi wako neema yakufunza haya,,,mm nimetukanwa matukano Kali kazi lkn Mungu ni mwema nimeelewa shida inatoka wapi
@VickyMfinanga21 күн бұрын
Yaaani Mungu akutunze tuu uzidi kutusaidia mtumishi Mungu akupe ulinzi mkuu
@GraceMgalla-w6z6 күн бұрын
Mungu naomba unisaidie nisikose amani ndani ya moyo wangu🙌
@thomasnaom3591Ай бұрын
MUNGU akuonekanie mtumishi una mafundisho mazuri sana🙏
@peteroderobarasa5205Ай бұрын
Amen.powerful teaching man of God
@FelixManiraho-h6uАй бұрын
May God grant you more wisdom!! My heart breaths again
@CandySohia-mm9od7 күн бұрын
Uchumi wangu hauop sawa ewe yesu wa Israel nifungue🙌🙌🙌✨💵
@NeemaShila-s1z25 күн бұрын
Amina mtumishi ni kweli kabisa.ukisha ona hivyo kaza mwendo.
@annamaige3552Ай бұрын
Amen. Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@billcipher878019 күн бұрын
nimekutana na somo muhimu kwa wakati sahihi asante YESU
@CandySohia-mm9od7 күн бұрын
Yaan vita ya uchumi inanisumbua sana pastor😭😭😭😭
@blandinaabdul7232Ай бұрын
😭😭😭😭 eeeeh mungu sikia kilio changu jibu maombi yangu 🙏 inatosha baba 😢
@lizmercynekesa1440Ай бұрын
Amen
@ElvinaNzai-p7c28 күн бұрын
Ameen
@SherryFuraha26 күн бұрын
Amen
@solomonnyongesa6142Ай бұрын
Ubarikiwe sana muchungaji,ni ujumbe bora sana
@NEEMASWEDIАй бұрын
Asante mtumishi umenitia moyo, nitazidi kuomba na kufunga kwa imani kubwa, barikiwa sana mtumishi wa MUNGU.
@MercyMoraa-ij3uuАй бұрын
Mtumishi wa Mungu asante kwa kunitia moyo mm niko kazini ninao fanyia kazi wanamuabudu shetani ninapo sindi kuomba divyo wanaendelea kunitesa sana kwa sababu wameona huo ushindi Mungu ameweka juu yangu Yesu anisandie nisichoke
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen. Mungu yu pamoja nawe
@gracegerson97967 күн бұрын
Mungu nisaidie napitia ilo
@gracegerson97967 күн бұрын
Ni kweli napitia ilo mungu nisaidie
@ndamunguop339Ай бұрын
Somo zuri Sana. Mafundisho haya ni jambo Lipo na linaishi ktk maisha ya wengi.
@holyspiritconnectАй бұрын
Amen
@angelmndolwa2578Ай бұрын
Haleluya mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana, unanisaidia sana ktk imani.
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen
@faudhiasalum7279Ай бұрын
Hallelujah hallelujah YESU AHSANTE 😢kwa som la leo
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@fridahissole122Ай бұрын
Amen...No retreat No surrender...we have Jesus on our side.
@holyspiritconnectАй бұрын
Exactly 💯
@MwicheGomaАй бұрын
Am blessed man of God,God bless you for teaching us the spiritual teachings that helps our journey in Christ
@mancamushiАй бұрын
Asante Roho mtakatifu rafiki mwema nimejifunza kitu nipe kusonga mbele kiimani na kungojea Bwana YESU
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@VivianMunee-h6jАй бұрын
Thank you for the scripture,you have open my spiritual eyes and may God bless you man of God🙏🙏
@mgdleenknzo929729 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏 nakufatilia
@RebecaMbembelaАй бұрын
Mungu nipe uvumilivu nisikate Tamaa, nimeteswa muda mrefu kujiuliza kumbe Leo nimepata jibu, mungu akubariki Mtume
@Mwx-zd4ovАй бұрын
Amen hili jambo lanisumbua xana nisaidie mtumishi wa mungu
@peteroderobarasa5205Ай бұрын
Amina Yesu Kristo ndiye Mungu wangu na Mwenye vita
@Mary-r5lАй бұрын
Mtumishi Yani hili somo naona linanilenga mimi kabisa Yani asante sana baba kwa somo hili
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen
@EstherBitengoАй бұрын
Asante Kwa ujumbe huu,nilikuwa ninasafiri gafra ndege ikaniacha😢sasa nimerudi kwa utumwa tena ,ninaomba Mungu afungue mlango wa kutokea nimekaa miaka mbili,niwakati wa kutoka ila dah !sikati tamaa Mungu nisichoke
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen
@samuellubungaАй бұрын
Asante sana kwa somo mtumishi Mwenyezi akuzidishie Nimebarikiwa vya kutosha
@sudiadianeАй бұрын
Asante Bwana Yesu kwa somo hili 🙏🏻🙏🏻
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@annbonareriАй бұрын
Mungu niongoze kwa kila eneo ĺa maisha yangu..Amen ❤
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@RebekaMpakiАй бұрын
Amina ushindi ni hakika🎉🎉
@marynanjala-r9s9 күн бұрын
Amen amen nimebariwa ...Niko na hiyo shida naomba lakini majaribu ni mengi
@happymsombaofficial2956Ай бұрын
Mungu akubariki mafundisho mazuri sana
@JucintaMinooАй бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu,mungu akubariki sana.
@EnduHaizeraАй бұрын
Asant mtumishi wa mungu nimebalikiwa kwa neno lako
@ShilaLewaАй бұрын
Mungu azidi kukubariki mtumishi....mimi nikiomba silali kabisa nahangaika sana....barikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏🙏
@BernadethaMboweАй бұрын
Ubarikiwe sana mtu wa MUNGU
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@WilliminaOjiamboАй бұрын
Amen amen wow wow ahaa a hili ndio huwa ni swali langu kila mara kumbe ni hivi bariki wa sana mpaka mafuta wa bwana Mungu aishiye
@Rm2024-x3dАй бұрын
Vaa silaha zote za Mungu. Efeso 6:10-18
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@jackcandy6830Ай бұрын
Ameen
@AnsaB-j2mАй бұрын
Amen
@ElvinaNzai-p7c28 күн бұрын
Ameen
@jackcandy6830Ай бұрын
Ukweli kabiza mtumishi wa Mungu nimeomba sana juu ya ndoa yangu nashukiwa Bure niombee sana naitaji Maombi yako kutoka kenya
@holyspiritconnectАй бұрын
Tutakuombea. Mungu atakutendea
@VictoryBangningaАй бұрын
Umenifungua sana mtumishi wa mungu ubarkiwe naahidi kuzidisha maombi ili niwe mshindi amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@joycemwakilembe-lc9fxАй бұрын
Kwa kweli hili ndilo janga kubwa. Mungu atutetee❤
@IvonIvon-gu6zsАй бұрын
Amina mtumish wa Mungu,imekuwa kwangu safar hii Kila nkiomba mateso yanarud mara mbili kwangu, Yaan Hali ikawa mby kbs, Mungu unipe nguvu yakushinda Tena
@SaidiMasimangoАй бұрын
Amen, mtumishi wa Mungu .maombi hii inagusa roho yangu
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@mwajumamsangi9014Ай бұрын
Aminaaaaaaa. Somo zuri mnooo. Bwana Yesu apewe sifa.
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@AndrewWoisoАй бұрын
Amina mtumishi wa Mungu.... Asante MUNGU
@adelinekato2762Ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi Innocent kwa neno takatifu la Mungu. 🙏
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen
@SabinaKimoloАй бұрын
Asante Mungu Ee Mungu zidisha nguvu ya maombi ndani yangu nsikate tamaa
@marthamsacky6973Ай бұрын
Kabisa nami nikiomba hali inakuwa mbaya sana lkn namshukuru Mungu huwa sikati tamaa Mungu Asante kwa kunipigania
@SomoeKitemweАй бұрын
Nakushuru sana Yesu kwa kumtumia mtumishi huyu kumpa somo lilikuwa linanisumbua sana hili suala.namshukuru sana Mungu nina aman
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@ZawadiAidanАй бұрын
Mtumishi Watu Wengi Tunapitia Hii Changamoto Mungu Akubariki Sana Nimepata Mwanga Leo
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen
@gggghhhbh575525 күн бұрын
Umeongea sahihi kabisa hata mimi huwa ninashaghaa sana lazima ukitaka kusonga hatua lazima vita itokea kwa wakati huu nimekuelewa sana asante kwa neno la kujenga mioyo zetu
@willeyshambaa1226Ай бұрын
Akisanti sana mutumishi kwa maombi hi ubiri ina tusaidiya sana mungu kumbuka msichana wangu ku fuguliwa ili Apate mu chumba kutoka kwako yesu
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@holyspiritconnectАй бұрын
Tutamuombea
@ingutiaeliakim1689Ай бұрын
Amen Asante mtumishi wa mungu
@holyspiritconnectАй бұрын
🙏🙏🙏
@IreneCheptoo-o3dАй бұрын
Amen mtumishi hata mimi huwa najiuliza hili swali asante nimefahamu sasa.
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@mariaikombe7839Ай бұрын
Amina baba tusiwe wepesi wa kukata tamaa ila majaribu ni makubwa zaidi🙏🙏🙏🙏
@JacklineJepkosgei-o9jАй бұрын
Kweli pastor nimebitia hayo saaana,nilisidi kuomba milango ikafunguliwa Asante kwa hilo neno.
@LinnaDaffiАй бұрын
Ee Mungu wangu naomba unitie nguvu nisikate tamaa,okoa uzao wangu baba na unijaze nguvu ya kuomba kwa ajili ya familia yangu uliyonijalia baba usiniche
@RojepiRojepiАй бұрын
Amina,Namshukuru Mungu aliyemtuma Roha mt kunijulisha hili
@happynessgosbert3544Ай бұрын
Mungu Akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa Somo lamatumaini
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@sarahkamandewambui665015 күн бұрын
Yesu tusaidie juu mimi na familia yangu tumepitia mambo mingi magonjwa yenye ata haileweki but I only trust God
@monicah29114 күн бұрын
Asante mungu 🙏 wangu
@mariammwandago7606Ай бұрын
mtumishi wa Mungu asante sana kwa hili neno la uzima
@JudithiOnganchi-o6sАй бұрын
Umenitia moyo Amen
@farijisibaniloАй бұрын
Nimejifunza🔥🔥🔥🔥
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen
@JosephineLunyamaАй бұрын
Asante sana mtumishi, hayo ndo ninayopitia,lakini sikati tamaa BWANA YESU ASIFIWE SANA!, UBARIKIWE SANA.
@heavenlight5084Ай бұрын
LORD ur so good for us, mimi nikiomba sana,Hua kwenye ulimwengu wa ROHO wananiuliza,hivi sasahivi unasali kanisa gani,mana unaharibu sana vitu vyetu, asubui ukimsalimia mtu haitiki, ana hasira vibaya
@holyspiritconnectАй бұрын
"Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli." Zaburi 121:4
@heavenlight5084Ай бұрын
@@holyspiritconnect very true mtu wa MUNGU
@VailethVedastus23 күн бұрын
Ubalikiwe mtumishi nimejifunza kupitia neno la mngu mngu asimame kwenye uzao wangu na wamjue mngu
@blandinamteiАй бұрын
Barikiwa mtumishi kwa mafundisho mema
@CarolineOgeroАй бұрын
Sina la kumpa huyu mungu hila namshukuru kwa kunionekania sababu mtumishi kuna ile mahuburi ulixema kuhusu ezekiel alimlilia mungu na mungu akasikia maombi yake.nami nilikua naugua lakini niliomba enda mbele za mungu na kumbukusha sadaka mahali nilikua naumwa nimepoa ooh nitakutumikia eeh yesu uliye hai na njia ya ukweli Amen
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen
@julianapeason6254Ай бұрын
Jina la MUNGU ni kubwa sana @CarolineOgero. Najua huwezi anza kuandika jina lako kwa herufi ndogo kwa hivyo la Mungu linatakiwa uandike kwa herufi kubwa kwa heshima yake MUNGU.Unapoanza kwa herufi ndogo sio jina la huyu Mungu aliekuumba na akakujaza pumzi uliyonayo.
@amwesigajonathan69144 сағат бұрын
Caroline jitahidi unapoandika Mungu uanze na herufi kubwa. Mungu akubariki
@CarolineOgero55 минут бұрын
@@amwesigajonathan6914 nashukuru kwa kunikumbusha barikiwa na Mungu wetu
@ChedielMsafiriАй бұрын
Asante sana MUNGU wangu kwa jina la YESU amen🙏
@gracekunambi7438Ай бұрын
Amen Ameeeen nimebarikiwa mno na ufunuo huu.. 🙏
@holyspiritconnectАй бұрын
Ameen ameeen
@tricecliton873229 күн бұрын
Yesu unishindie, ni kweli ushindi wangu u karibu
@AngePascaline-c8tАй бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@LusiaJohnSangaАй бұрын
Yesu naomba unisaidie nipe neema nisikauke maombi nawewe pekee umebaki katika hili. Nivushe nisikate tamaa.asante Mtumishi