Wimbo mzuri mnoo! Nimevutiwa saaana na huyo sister anayepuliza hiyo ala ya Upepo! Mungu muongezee kipaji! KRISTO SHARTI ATAWALE👏👏👏
@robertkizito98224 жыл бұрын
Ooòoooh my God this song. Who is here listening and praising with me. Kristu mfalme. Thank you Jesus for this far
@ananiastrasias49093 жыл бұрын
Hakika atawale maishani mwetu... that keyboard ...Mungu awabariki sana
@temuemanuel46714 жыл бұрын
Kristo sharti atawale. Huu wimbo ni mzuri sana. Unaburudisha nafsi na roho. Nausikiliza kutoka hapa Jamhuri ya Watu wa China.
@wairimumwaura93 жыл бұрын
When i miss my auntie i listen to this,,,, Keep resting sweet auntie, i miss you though
@dorotheenshimirimana66632 жыл бұрын
Mbarikiwe
@theresamasanja99254 жыл бұрын
Nice message,,!Kristu sharti atawale,,everywhere!Safi sana dearest Srs!
@drgeofreymdede39524 жыл бұрын
Anayesikiliza kutoka pande za Tanzania 🇹🇿 gonga like hapa
@maida27104 жыл бұрын
Mungu yupo muweza wa yote atufanyie wepes kwa hili jang tunusuru kwa uwezo wako
@marrysimkanga90064 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana kristo sharti atawale maisha yangu yote
@lendukushikeiya72305 жыл бұрын
Kwa kweli Masister wameimba sana. Idawa hongera kwa utunzi wa wimbo huo mzuri sana na wenye kuukumbusha umuhimu wa kuruhusu Yesu kuendelea kutawala mioyo yetu kama wakristu wakatoliki.
@odilekalla65894 жыл бұрын
Kristo sharti atawale, I don't know your language,but my beautiful Sisters I'm very happy watching you singing and dancing. The Sister who blows the trumpet and the brother who plays the piano put this good music. All this to God Be the Glory. May He keep on Blessing you Amen.
@vicentkira75174 жыл бұрын
Hongera sana hakika wimbo huu unafaa sehem zote sherehe/msiba sharti atawale wachaga tumeupata ipasavyo gonga like twende sawa hapa moshi
@evelinemodest46184 жыл бұрын
Nakupenda huu wimbo napata faraja mno nikusikiliza,upedoo karma kwetu,uduma ni karama
@charlyngoma90833 жыл бұрын
Vraiment vous magnifiques et formidable mes mamans d, amour la chanson et très bon 🙏🙏🙏
@lloydnyika88464 жыл бұрын
People of Tanzania I love you so much, I'm inspired hope one day I will be able to speak Swahili without google, love from Zimbabwe
@temuemanuel46714 жыл бұрын
You are welcome ndugu yetu.
@gloriousnp4 жыл бұрын
You want to learn swahili,? relocate to Tanzania for a month or two..... thank me later 🤗🤗🤣 Karibu sana 🇹🇿🇹🇿 We love Zimbabweans too
@lloydnyika88464 жыл бұрын
@@gloriousnp thanks I will definitely do that, let me source some funds
@annajames57833 жыл бұрын
Your welcome
@florianntulo57312 жыл бұрын
And so you will one day speak this beautiful language.
@Love_Tush4 жыл бұрын
Everything about this song is so beautiful!❤️ If you're reading this let your prayers be answered 🙏🙏
@teresiapamfili2813 жыл бұрын
Sauti ya tatu hongereni sana, mnaimba vizuri, japo ni kike, mmependeza
@naomibenjamini20883 жыл бұрын
Amen
@jonathankolongo5622 жыл бұрын
Asate Sana watawa wetu
@sirmutebi33602 жыл бұрын
Amen
@paschalwangaponda35374 жыл бұрын
Ama kwel nmebarikiwa nanhizi nyimbo🇹🇿🇹🇿
@freddykulwa81902 жыл бұрын
Mungu wangu unilinde kanisa katoriki takatifu ramitume duniani kote imani Tanzania 🇹🇿 nzima amina Africa 🌍 ♥
@josephmuriithi60674 жыл бұрын
Bila shaka KRISTU ATAWALE....Beautiful and Melodius presentation. Ahsante sana. HONGERA! TENA NA TENA. GOD BLESS YOUR GREAT WORK OF EVANGELISING
@paskaziaphanuel45304 жыл бұрын
Mungu awabalki mmependeza Sana
@DaudiMatiasWilliam2 ай бұрын
Kama mkristo tikisa mwili kidogo kwa hu wimbo safi sana. 🙏🙏🙏
@mariej69625 жыл бұрын
Hici shetani atashindaje kwanza na haya majeshi. So happy to see my country going green as ever watawa wanaendelea kujitokeza kumtumikia Kristo. Shetani ajifiche tu huko mapangoni. BTW the song is mwaaaah kama Mabinti wa Maria wenyewe.
@benedictmushimba6 ай бұрын
Merci pour l'œuvre de l'éternel que le bon Dieu vous garde encore chanté bien se prié 2 fois ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@rozkiwale9122 жыл бұрын
God bless all of you God is good all the time From Tanzania
@gigicellio49552 жыл бұрын
Merci à tous les soeurs et frères catholique qui donnent leur vie pour être au service des autres.
@amoskipkorirmutai42754 жыл бұрын
Our Lord is Gracious..kwa neema yake tutashinda majaribu...truely spiritual lifting..kazi njema
@risperkanana46536 жыл бұрын
I Cant go without this song...will collide with my boss....kristo sharti atawale mioyoni,kazi na maisha...hongera
@princedominic87762 жыл бұрын
I really love this song
@immaculataroeser90942 жыл бұрын
Marvelous song ! Nahindwa kuelezea utamu jinsi mnavyo feel kila mmoja kwa namna yake .Mungu awabariki sana.
@pascalesso46844 жыл бұрын
Que les grâces de l'éternel soient avec vous au nom de jésus
@NaomiAmani-nf5xg7 ай бұрын
😢😢😢huwimbo si choki kusikiliza God bless you
@sawidazayumba39866 ай бұрын
Kristo atawale milele maishani mwetu Amina!
@mandarineyayeng30794 жыл бұрын
Merci mes sœurs. Que à travers vos chansons, bon nombre de cœurs soient convertis. Soyez bénies
@adejoonuche525 Жыл бұрын
Amen
@winnierinah10464 жыл бұрын
Be blessed sisters ,good song of Kristo atawale maishani mwetu.proud to be a Catholic.
@kwayayamtakatifusimonmtume2 жыл бұрын
Kazi safi, hongereni waimbaji, mtunzi na mzalishaji kwa kweli amefanya vizuri mnoo
@joliekazal2174 Жыл бұрын
Chantez c'est prier deux fois, que Diey vous bénisse pour le temps que vous avez consacré à fin de nous aider à prier deux fois à travers cette chanson
@jessicajamesjames55654 жыл бұрын
Wooow very nice masr wetu tabora 🙏
@rebeccamaunde40852 жыл бұрын
🙏 🙏..wacha kristo atawale maisha yetu
@helenadenis72344 жыл бұрын
Atawale na atawale kristo atawale mioyoni mwetu maisha yetu.
@adammasunga63825 жыл бұрын
Ukiona mtu apinga nyimbo za kristo elewa anahitaji maombi maana ametawaliwa na pepo la unafiki na shetani yu ndani yake Mungu awabariki watumishi wa mungu kupitia nyimbo nzuri za mungu AMINA
@victoriarwerengera48315 жыл бұрын
Mie masista huwa nawapenda sanaaaaaa! Sasa kwa nyimbo zao ndo naisha kabsaaaaaa!
@medardfouda82855 жыл бұрын
Je suis touché, très ému chaque fois que j'écoute cette belle chanson, Dieu soit magnifié
@alexshauri48994 жыл бұрын
Amen
@deograthiaseslon35234 жыл бұрын
Mungu wabariki kwa kaz nzuli
@teresakaguri67364 жыл бұрын
Awesome sisters. May our father keep on blessing you for the very nice voice,song,message inside the song,nice dance well organise ,looking good and many many good advice. Good blessed you daughter's of our God. Am Terry kiplagat in Kenya Mombasa catholic holy ghost Cathedral with Parish priest Fr John Colea .This song I will teach our Sunday service children,wanamaria shirika,missionary children and am very sure we are all going to blessed coz of you sister's Good work am very very proud of you.i have daughter six year's now if she be called to be a sister like you I will advise her to join your shirika
@teresakaguri67364 жыл бұрын
Voice very nice I feel blessed my dear sisters
@teresakaguri67364 жыл бұрын
If you have another one kindly and humbly can I have it please. Be blessed. You are all looking wao .beautiful like mary mother of God.
@sergiol.m.fortuna4 жыл бұрын
Amazing! God bless you all! Greetings from Brazil!
@felisterkokuberwa57833 жыл бұрын
Means that Jesus Christ must rule everything in our life
@fatmakizimba7444 жыл бұрын
Amina. Hakika shart atawale. Karibu Bwana utawale ndani yangu.
@ngantepaul99505 жыл бұрын
What they're singing I have no clue. But I know they're praising God. So uplifting. From the USA with Love
@linusalfredlyimo70985 жыл бұрын
In short, they are saying, Christ must rule.
@wilsonkahamba88064 жыл бұрын
Ma sister hongera. Xanaa yesu sharti atawale kote Duniani
@sabinabusalama6 ай бұрын
Wimbo mzuri sana siku ya uzunduzi ilikuwa mambo moto moto.
@cayusoginga7 ай бұрын
Congratulations for a job well done
@philomenasjohn90834 жыл бұрын
Kristo sharti atawale, Kristo sharti ataeale, mioyoni mwetu .....
@annasanga7334 жыл бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri na ujumbe mzuri Sr. mpiga tarumbeta ubarikiwe umenibariki sana.
@OlasitiEnm-gf9wm Жыл бұрын
Wimbo mzuri na kuleta furaha, hongereni waimbaji
@frenkmzozo59224 жыл бұрын
Asante sana kwa kutuinjilisha naipenda sana wimbo huu kristo atawale maisha yetu
@amandahonde7124 жыл бұрын
Hongera Sana frt ,Onesmo na waimbaji wote ktk Albam ya YESU ATAWALE .
@pelinakalinga21004 жыл бұрын
Amina YESU sharti atawale maisha yangu yote
@SabinaPeter-ez9ik Жыл бұрын
Hongelleni masister kwa ukutuinjilisha munaiba vizuri sana
@mihayobupamba46275 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana! Masista wetu Mungu awabariki sana; muifanye kazi ya Mungu kwa nguvu zote kadri ya Utume mlioitiwa! Hakika mnaibeba bendera ya mwanakondoo aliyeshinda vilivyo! Big up Sister anayepuliza Trumpet! Saafii sana!
@joycegondwe5175 жыл бұрын
Kwa hakika amelitendea haki hilo tarumbeta, dada Bupamba.
@stanmapendomosha26544 жыл бұрын
Mungu awabariki sana muendelee vizuri na hyo talanta yenu napata faraja Sana...
@luvisa24724 жыл бұрын
Hii record companyinayojiita Holy Trinity Studio waache kuweka introduction ya nyimbo yao katika kila nyimbo walizo record, yaani inaudhi unapo taka kusikiliza nyimbo lazima kwanza usikize introduction ya sauti yao kitu ambacho kinaboa. Tunajua mmerekodi hii nyimbo sasa hakuna sababu ya kutufanya tuwasikilize nyinyi kabla ya nyimbo. Roja na Tanganyika production hawaweki signature sound yao, unakwenda straight kwenye music. Makampuni makubwa ya kurekodi wahaweki introduction ya nyimbo kwenye musiki walio record Mnasound mpo patronize and hungry to be known and recognized
@treezahadhiambo65755 жыл бұрын
Who's listening today 🇰🇪
@apoloniachina48224 жыл бұрын
Treezah Adhiambo mimi nasikiliza. Na na barikiwa. Sana
@samsonpesa12404 жыл бұрын
Me
@jameskoang55914 жыл бұрын
am listening to it sister
@sergiol.m.fortuna4 жыл бұрын
Just an amazing presentation full of happiness and soul.
@dismondijoseph27484 жыл бұрын
Safi Sana
@yosephklemensmau85134 жыл бұрын
Wow awesome...... Love from Indonesia
@maryokola3 жыл бұрын
BEAUTIFUL AND LOVELY SONG BY THE BEAUTIFUL NUNS.
@carolinendasala9355 жыл бұрын
Sauti pekee zanijaza Wokovu Wacha sharti atawale maishani mwetu naye ni Mwokozi Kristo.
@tumainibaynit30663 жыл бұрын
Ujuzi na umahiri wa sister mpuliza tarumbeta be blessed sister
@kaiyulakagaruki13105 жыл бұрын
Sichoki kuwaangalia mabinti wa Yesu. Mbarikiwe sana
@juditholoo35354 жыл бұрын
Atawale kweli, you're an inspiration madada zangu wa tanzania
@patrickmukambilwa5845 жыл бұрын
Kristo ati atawale ati atawale mioyo yonimwetu ,maishani mwetu,jumuiyazetu ,uwalimuwetu ,sharti atawale maishani mwetu asante sana kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yakitume amina
@johnonguglo94323 жыл бұрын
Dont know the language but I love listening to this. From Papua New Guinea.
@felisterkokuberwa57833 жыл бұрын
Means that Jesus must rule everything in our life
@julianaluhendemaliponihapa67842 жыл бұрын
Hongereni sana watoto wa Mungu kwa Nazi nzurii sana.KRISTU SHARITI ATAWALE..
@MariaChakas Жыл бұрын
I just love it and especially the touch and the impact beautiful!
@davindermanka59123 жыл бұрын
Quite inspiring, nafarijika Sana,🙏🙏🙏
@MrKipedd5 жыл бұрын
My daily song while I drive to work and back..mbarikiwe sana..Sauti na neno njema 🙏🏿
@justinakalekana63444 жыл бұрын
Mungu awabariki na hongereni kwa wimbo mzuri
@ganza33583 жыл бұрын
So much love .... i don’t understand all the lyrics but this is nice
@chrispinusdindi20234 жыл бұрын
Sauti za ninga kweli Mungu awabariki
@JACINTAMUTUA-c8w Жыл бұрын
Lovely song ,Christ must reign in our lives
@elizabethnyadaro81283 жыл бұрын
Kristu na atawale katika maisha yangu.
@muotinzmultiply884 жыл бұрын
Naona sociol distancing.....nyinyi mlianza mapema😆😆😆 Napenda nyimbo yenu👏👏👏👏👏
@christinanoah38875 жыл бұрын
naupenda huuu wimbo una nibark sana
@josephnziku81174 жыл бұрын
MUNGU awabariki,kweli krito atawale katika maisha yetu
@josianenagito75785 жыл бұрын
Kristu Atawale sawutiNzuli instriments Munch Asifiwe Catholic for Life Oh Baba MunguMwema Mwemaaaaaaa
@josianenagito75785 жыл бұрын
Munguuuuuuuuuui
@josianenagito75785 жыл бұрын
Viengeleza. na bongoyaamerikano
@vincentjuma35815 жыл бұрын
Ni kweli Kristu sharti atawale. Hongera mabinti wa Maria
@ambrosethomas59224 жыл бұрын
Hongereni sana watawa wetu, atawale katika maisha, miito ya kanisa
@marymayoli58732 жыл бұрын
It's a matter of total (I mean total) spiritual surrender and commitment to Jesus in order to experience God's presence and peace in our lives! Good message. 🙏🙏🙏
@nabilibrah19544 жыл бұрын
Mwenyez mungu awatie nguvu zaidi
@lindezanoe22983 жыл бұрын
🙏🙏🙏Deus seja louvado em todos os momentos 🇦🇴🇦🇴🇦🇴
@mercynarotso59443 жыл бұрын
Tumsifu yesu kristu... Allelujah
@trmdsurveyor42385 жыл бұрын
Watchting from Kenya...wimbo mzuri Sana mbarikiwe huku Yesu akitawala maisha yetu
@happyhussein75014 жыл бұрын
Trm Dsurveyor kazi nzuri sanaa
@medardfouda82855 жыл бұрын
J'ajoute que je suis camerounais, vivant à Yaoundé, quartier Mehandan, merci révérendes
@anastaziamdalingwa25164 жыл бұрын
Hakika wimbo mzur na nabarikiwa nao sana
@sesiliatlanka61623 жыл бұрын
Hongereni sana Masista wapendwa....
@richardbahatilwanda67015 жыл бұрын
Mungu awabariki sana masister hakika mmependeza na pia kutuinjilisha Kwa njia ya nyimbo Mbarikiwe
@josephchuwa84262 жыл бұрын
Kweli upendo karama kwetu huduma ni karama.
@VisentMilinga2 ай бұрын
Hongereni sana,wimbo mzuri, naomba nipate nakala ya huo wimbo,au nota ya huo wimbo,au namba ya mtunzi tafadhali