sasa hawa ndio team Jesus sura ni natural hakuna mkorogo na wanang'aa bila lotion asante Yesu mpenzi wa moyo wangu. masters nimebarikiwana wimbo mzuri Mungu awaepushe na majaribu ya shetani ameen
@adammillinga138611 ай бұрын
Ni mapendo yangu kwako kuokoa roho yako ee mwanangu usiogope njoo utubu dhambi this song touch our heart and heal may God give us strength by living this song
@chalaleiwen51454 жыл бұрын
Nalikuwa nimelala,Moyo wangu u macho,Sikiliza Yesu wangu mpenzi wa moyo wangu×1 Siku zote nakungoja we Bwanangu uje kwangu usogope kunijia nitakupokea tu. Nalilkuwa nimelala moyo wangu u macho sikiliza Yesu wangu mpenzi wa moyo wangu ×1 2 Nimemwaga damu yangu roho yako kuokoa damu hiyo ipotee we mwanangu rudi tuu, Nalikuwa nimelala moyo wangu u macho sikiliza Yesu wangu mpenzi wa moyo wangu ×1 3 Ni mapendo yangu kwako kuokoa roho yako we mwanangu usogope njoo tubu dhambi,Nalikuwa nimelala moyo wangu u macho sikiliza Yesu wangu mpenzi wa moyo wangu 1× 4:Nitayari kukupokea mpenzi wangu rudi kwangu ufurahi pamoja nami milele na milele, Nalikuwa nimelala.....×1
@emmanuelstephen19503 жыл бұрын
Shukrani
@rachelberi3 жыл бұрын
Thanks for writing the lyrics
@generosakinemo5490 Жыл бұрын
Siku zote nakungoja we mwanangu uje kwangu. Sio bwanangu sahihisha neno hilo
@newmanh4 жыл бұрын
THIS SONG DESERVES A BILLION LIKES, VIEWS AND SUBS...I FEEL SWEET LISTENING TO THIS HYMN. HEAVEN GETS CLOSER.
@raymonarsenalem88355 жыл бұрын
Napendezwa xana na nyimbo za kinyenyekevu Kama hivi, na usiombe na masista wanyenyekevu kama hawa mpk utahsi unaiona mbingu moja kwa moja!
@raymondmushi33104 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Asanteni masista kwa kuutendea haki. Mnavutia sana masista. Nna wanangu wanne nitawashauri walau mmoja wao ajiunge na ninyi. Hongereni sana masista kwa kuinjilisha kwa njia ya nyimbo. Mbarikiwe sana
@chalaleiwen51454 жыл бұрын
1: Nalikuwa nimelala moyo wangu u macho sikiliza Yesu wangu mpenzi wa moyo wangu,×2 2: Siku zote nakuingoja we Bwanaangu uje kwangu usogope kunijia nitakupokea tu Chorus/ Nalikuwa nimelala moyo wangu u macho sikiliza Yesu wangu mpenzi wa moyo wangu. 3: Nimemwaga damu yangu roho yako kuokoa damu hiyo ipotee we mwanagu rudi tu Chorus/ Nalikuwa nimelala moyo wangu u macho sikiliza Yesu wangu mpenzi wa moyo wangu 4: Nimapendo yangu kwako kuokoa roho yangu we mwangu usogope njoo utubu dhambi Chorus/ Nalikuwa nimelala moyo wangu u macho sikiliza Yesu wangu mpenzi wa moyo wangu. 5:Nitayari kupokea mpenzi wangu rudi kwangu ufurahi pamoja nami milele na milele Chorus/ Nalikuwa nimelala moyo wangu u macho sikiliza Yesu wangu mpenzi wa moyo wangu.
@angelpangan16824 жыл бұрын
Chalale Iwen
@Hilmarahomes4 жыл бұрын
Dah
@aishayahaya51194 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe
@rajopro5 жыл бұрын
This is one of the best Catholic melodies... Top tunes za nyakati za zamani. Simply amazing. Asanteni sana Masista wetu kwa kutushirikisha wimbo huu. Pongezi kwa HT, quality production.
@heraldiusherman52435 жыл бұрын
rajo productions na holy Trinity, nawakubali sana, natamani sana kufanya kazi na nyie
@ivankasiano97445 жыл бұрын
I wish I was the one
@triffproductions43485 жыл бұрын
Waoooh! Safi
@triffproductions43485 жыл бұрын
Exceptional kabisa hiii, safi, hivi ndio kazi huenda
@richardpanza9894 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana mutuma nami
@joycegadi95725 жыл бұрын
Najivunia Yesu Kristo Bwana ndani ya moyo Wangu. Mimi wake milele 🙏
@fidiankwera63055 жыл бұрын
Huu wimbo ni mtamu mnooo. Ni halisi na una MANENO mazuri na matamu mnoooo. Asanteni sana masista. Mmeutendea haki mnooo
@nasriathumani66795 жыл бұрын
Mungu awa baliki
@samitambu73234 жыл бұрын
Mungu nimwema ujumbe umefika
@robsongabriel48274 жыл бұрын
Nihulumie kwa nayo pitia sasa Ee Mungu
@angelaalphonce2425 жыл бұрын
So cute am proud to be a Catholic mmeimba vizuri kwa utulivu mbarikiwe
@vaimpolo21135 жыл бұрын
l
@robert.maganya10515 жыл бұрын
najivunia kuwa Mkatoliki bwana awabariki Sana nasi tupate baraka kupitia wimbo huu
@zakayomtweve6845 жыл бұрын
Mungu awabarik sana
@wlkmwlkm33815 жыл бұрын
Amina Robert pia nawe 🙏🙏
@brigidharrietmunayi46705 жыл бұрын
Nalikuwa nimelala moyo wangu huu majo. This is the oldestest Song that was sung in the Church for the Holy Communion and people would medidate and remain very a wske in the Lord. For it says the same words. I was sleeping but my heart remained a wake in me, and these are the religious sisters speaking in one voive. Jesus says that i am the gate of the sheepfold.
@brigidharrietmunayi46705 жыл бұрын
The sheepfold means as Christ explains: Who goes a head befofe me is a thief and bandits and that is why the sheep didn't take notice of him. The pagan heart can not understand this when Christ speaks: Christ makes the different between a Christian heart and the pagan heart: Jesus began with Compassion to the people of Samaria, because the Samaritans don't have Compassion. Jesus shows how the Samaritans were wounded and left nearly dead by the way from Jerusalemme to Jericho, and that was the day the Samaritan learned to have a compasdionate heart and became a true neighbour.
@brigidharrietmunayi46705 жыл бұрын
So if we are truly converted we shall learn a long the ay with him like the two disciples of Emaus till our eyes open at tge breaking of Bread.
@neemashayo70685 жыл бұрын
Sikiliza Yesu wangu, mpenzi wa moyo Wangu... Maneno haya yanamsogeza Kristo karibu...
@bugumbasofia84725 жыл бұрын
Ni Yesu peke yake mpenzi wa moyo, hongereni masista wenzangu.
@jacksharmantbarakengere31285 жыл бұрын
Bugumba Sofia
@fridabisama26155 жыл бұрын
Hongereni sana, kazi ni nzuri sanaaa
@cisseevariste16795 жыл бұрын
aksante sana ni kweli yesu peke rafiki wa moyo wangu
@jamesjamesh.58225 жыл бұрын
Nalikuwa nimelala. Safi sana. Nimekuwa mtu wa kwanza kuweka maneno ya baraka
@antonyjeremia72245 жыл бұрын
JAMES James H. mbalikiwe sana masista we2
@olivergaudence64545 жыл бұрын
Amina
@ericdiseteh81115 жыл бұрын
mungu akubariki
@gilbertrubenntagaya39015 жыл бұрын
Hongelen Sana watawa, Gilbert kutoka pugu parish
@queenvee53695 жыл бұрын
Sikiliza yesu wangu mpenz wa moyo wangu love u all of the time God bless you forever 😍😍🙏
@onomsokele19955 жыл бұрын
Ameen
@medradmsokele39734 жыл бұрын
Kwani nikisikiliza wimbo huu najisikia amani na raha mungu akapate kuinua mioyo yetu Amina
@anyase5 жыл бұрын
deje corriendo la Tv y desperté con esto! surrealista.
@brunobruce10864 жыл бұрын
Ahsante kwa wimbo mzuri sana,pia niwapongeze kwa kazi nzuri mnazozifanya hasa zakufundisha,nilipita kwenye mikono yenu kwa mafundisho ya dini,ni ukweli usiopingika mnajua kufundisha,Mungu awabariki sana,
@dorothyxavery61785 жыл бұрын
Congratulations our sisters... Proud to have u in our faith
@justinlasway24834 жыл бұрын
Niki sikiliza uwimbo najikuta na amani moyoni mwangu sana
@emilianaluoga68935 жыл бұрын
Amazing song,huwa naguswa sana na wimbo huu,,mbarikiwe Dada zangu katika Kristo
@erasmiedward28364 жыл бұрын
Nabarikiwa sana kila ninaposikiliza hu wimbo
@venantbashizi4363 жыл бұрын
Mungu wetu azidi kuwa angazia na kuchunga sauti zenu nyororo kila leo. Amina!
@florianmgaya64185 жыл бұрын
Asanteee HOLY TRINITY STUDIOS na ndg.yangu A.J. Myonga kwa kuiwakilsha vyema ihalula na njombe kwa ujumla MUNGU awabariki
@getrudetully82655 жыл бұрын
Hongereni sana Collegine Sister's, Mungu azidi kutukuzwa kwa njia ya nyimbo na sauti alizotujalia.
@asiakanu67474 жыл бұрын
Nimewakubari massta wa parokia ya migoli
@lightnessrobert68614 жыл бұрын
najivunia kuwa mkatolik mungu hawabariki masista wetu
@pendonjau76824 жыл бұрын
Aminaaa....... barikiwa sanaa... namshukuru Mungu wangu kunifanya mkatoliki
@alsteusbageny13235 жыл бұрын
Your making me to be happy hoping that one day Jesus will solve my problems
@patrickmukambilwa5844 жыл бұрын
Nalikuwa nimelala moyo wangu ukashu sikiliza yesu wangu mpenzi wamoyo wangu asante sana kwamaneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu sikuzote Mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
@devotharwegasira85905 жыл бұрын
Asanteni sana masister mmeimba vizuri sana, uyumbaji mzuri sana ambao hautengui maana ya maneno ya wimbo. hongera sana.
@felisterkokuberwa57835 жыл бұрын
Touching song ,oh Jesus mpenzi wa kweli wa moyo wangu karibu tusaidie tujalie nguvu ya Roho Mtakatifu atuongoze
@marymuthoni15514 жыл бұрын
This song puts my mind back to my loving Jesus who keeps on reminding me how He died for me, calls me back when l have turned my back to Him
@nicoletarimo97482 жыл бұрын
A
@sophiamalekela82905 жыл бұрын
unabariki sanaa nafurahi kuwa mkristo ama kweli ukristo ni tunu
@jacquelinemushi81455 жыл бұрын
Good.A touched song.Proud to be a real catholic.Nakumbuka maisha ya Kibosho girls 1999's
@adammasunga63825 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana na nimebarikiwa sana na machozi kunitoka kwa wimbo huu kunigusa na mungu awabariki masister AMINA
@edinachrispat2122 Жыл бұрын
Huu wimbo umenibariki Sana Asante Yesu kubadilisha maisha yangu enenda Nami siku zote za maisha yangu🙏
@tumainkarangwa89274 жыл бұрын
Asanten malaika wa Bwana kwa kutuweka rohoni
@lydiashisia21694 жыл бұрын
Injili mbele." Nilikuwa nimelala nikasikia saiti ya Yesu wangu mpenzi wa moyo wangu.Be blessed.
@norbertaukhumeb4665 жыл бұрын
so peaceful,we need words please my brothers,we want to sing together also, from st.charles lwanga parish grootfontein namibia, proud to be a Catholic amen
@isaacbisansaba99305 жыл бұрын
I was asleep (Nalikua Nimelala) , My Heart was awake (Moyo wangu U macho) ; Listen my Jesus (Sikiliza Yesu wangu) , The Love of my Heart (Mpenzi wa Moyo Wangu) - (this is a chorus, it is quite a loving and personalise song to someone yelling for God)
@rukiasabina10564 жыл бұрын
@@isaacbisansaba9930 ĺ
@rukiasabina10564 жыл бұрын
@@isaacbisansaba9930 9 ô
@hellenmurii20165 жыл бұрын
nimependa masista hawa lakini namuomba mungu anisaidie niwe sister
Thanks for the reminder. Happy old days at St. Peter Clavers Choir - Nairobi with Mwalimu Domino and Mike Maganzo. Thank you my choir masters.
@clementinamadai4115 жыл бұрын
Jemimah Anyango
@clementinamadai4115 жыл бұрын
Jemimah Anyango
@priscacharles65685 жыл бұрын
Kazi nzuri sana👏,mbarikiwe🙏 na utume mwema ❤️
@benedictogodfrey77125 жыл бұрын
Safi
@ivankasiano97445 жыл бұрын
yesu ni okowe
@andekilecostantin30725 жыл бұрын
prisca Charles inapendeza kwakweli
@polycarpchamshama76625 жыл бұрын
Big up kwenu masista kwa uimbaji mzuri
@scholasticahbasweti22415 жыл бұрын
Humble voices big up sisters mbarikiwe kwa kazi yenu nzuri.
@stellahlubega35215 жыл бұрын
Amina napenda huu wimbo haujawahi chuja masikion kwang
@marianaalex6985 жыл бұрын
Hongeren sana masista mwenzangu Mungu awajalie vipaji vingi vya uinjilishaji
@ameliajones30695 жыл бұрын
Thanks you sisters! Good song nice voices, continue to spread Good News for Jesus Christ! I respect you, God bless youuu!!!🙌
@jamesbenjamin59695 жыл бұрын
Hongereni Masister kwa kazi nzuri, Mwenyezi Mungu awabariki sana
@jamesnyamwaya18413 жыл бұрын
Watawa wetu pongezi sana
@tofautichannel63884 жыл бұрын
Hongereni masister tunatambua kazi yenu katika kumtangaza Kristo,,i'm proud to be a christian!
@fortunatahulilo84115 жыл бұрын
Najisikia amani moyoni kila nisikilizapo wimbo huu
@permanencenkunzimana59214 жыл бұрын
Me too I am blessed thanks to this song sang with beautiful melody. I am Burundian and its the first time I listen to these holy voices. Dear Sisters, keep up and may our heavenly father guide grant you strength for this tremendous work
@sundaychristian69685 жыл бұрын
Absolutely i like the Song,its very nice congrats
@jameskassa96325 жыл бұрын
Mmeutendea haki wimbo huuu.biti nzuri, utulivu mzuri ,na pia stlyle nzur ya kushake .ujumbe umefika.
@robistermwansepele54563 жыл бұрын
Ahsanteni akina dada kwa kutuinjilisha kwa sauti zenu nzuri Mungu awaepushe na mitego ya Shetani mdumu katika kumtumikia yeye Daima...naamini siku moja nitakuwa km ninyi🙏🙏🙏.
@georgebanzi69733 жыл бұрын
Jamanii daaa Cha maana zaidi hakuna Nataman binti yangu awe na wimbo na uinjilishaji ugusao moyo kiasi hiki.Asante MUNGU.
@watupemyeule70104 жыл бұрын
Nawakumbuka masista wa collegne nikiwa iringa migoli,,bwana mungu awabarikie kwa wimbo mzuri.Amina
@cayusoginga7 ай бұрын
Watching from manga girls high school kenya 🎉
@selinapius2750 Жыл бұрын
Yesu mwema, tufundishe kukupenda kweli😢
@agnesmbulinyolo77815 жыл бұрын
Wa sister wazuri Wana amusha ndani mwangu furaha ya kuwa mtawa
@edwinelias85545 жыл бұрын
Congratiton sister nikisikia huu wimbo nakumbuka msiba wa mengi 😭😭
@teddyottaru98905 жыл бұрын
This is the best song ever , am so blessed being Catholic , proud of it, May Almighty Lord bless you abundantly 🙏🙏🙏
@devotaadrano62412 жыл бұрын
Now I can see how lord is good
@stanslausgervas89923 жыл бұрын
Nice song ..... Wimbo unaonikumbusha mbali sana ....NALIKUWA NIMELAL
@vinenswilliam35343 жыл бұрын
Padre Kayetta huu wimbo si kazi yako bali ya Roho Mtakatifu hakika
@gabrielvenant57784 жыл бұрын
Mungu awabariki sana masister kwa kaz nzuri ya uinjilishaji hakika niskilizapo wimbo huu nnafarajika sana
@musamtaki92233 жыл бұрын
sikilza yesu wangu mpenz wa moyo wangu mungu nimebarkiwa kwa wimbo huu
@octaviandeogratias11174 жыл бұрын
Nawatakia utumwe mwema. Roho wa Mungu awe juu yenu siku zote za maisha yenu
@antonithomas46733 жыл бұрын
Hongereni masista mungu awabariki kwa wimbo mzuri.
@researcher79465 жыл бұрын
So beautiful souls, nmefurah kumuona sister grace voice #3🙋🙌
@gracewambui78333 жыл бұрын
Beautiful song
@albertblasiusmligo87155 жыл бұрын
Hongereni sana
@maishamoshi98365 жыл бұрын
Hakika huu wimbo ni wakitambo kidogo, namefarijika sana na uinjilishaji wa hawa masista. Mungu awabariki ktk utume wenu.
@MabagalaIV5 жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristu daima. Huwa nameditate na hii nyimbo
@fatimatasebgo96382 жыл бұрын
Pascal mabagala
@johnmuyisa11744 жыл бұрын
Nawape ndani ya Kristo mubarikiwe na kipaji kyenyu
@njoonituimbepamojanasifaza60752 жыл бұрын
Safi sna kazi nzuri Sana naombaa kopy wapendwa wangu nawapenda sana
@andondilechaula95614 жыл бұрын
Mungu abaliki utumishi wenu hakika kila nisikilizapo huu wimbo najawa na ngvu zamungu
@vitalisshomar26004 жыл бұрын
Nimewapenda kwa uimbaji wao Hawa masista KWELI Mungu awabariki.
@williamlilangala7826 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Mungu awabariki sana Masista
@irenemlugo26534 жыл бұрын
Hongeren sana masista kwa kazi Nzur mungu awabarik amen
@francisleonard22084 жыл бұрын
Sauti zimepangiliwa kazi nzuri ya uinjilishaji
@franciswekesa71195 жыл бұрын
CONGRATULATIONS SISTERS. HOLY TRINITY YOU ARE THE BEST. I SALUTE YOU FOR THE GOOD JOB YOU ARE DOING. CONGRATULATIONS
@franciswekesa71195 жыл бұрын
@@HOLYTRINITYSTUDIOS amen
@manjaruujr1465 жыл бұрын
sijutii kuwa RC
@mistiolapaul69234 жыл бұрын
Hakika napenda sana kusikiliza wimbo huu
@vinnybm46034 жыл бұрын
Nce song always i like to listen this song God bless all sisters
@ivynececilia94402 жыл бұрын
Hongereni masista kwa kazi nzuri hii... Mwenyezi Mungu awabariki
@annamsofe46545 жыл бұрын
Mbarikiwe sana❤❤
@sophiamabula38974 жыл бұрын
Amina kubwa watawa wangu mnanikumbusha kigangoni kwangu naupenda sana wimbo huuu hongereni sana
@anthoniam.nyangalima8375 жыл бұрын
Kazi nzuri sana, najivunia kuwa mkatoliki, asanteni masista pamoja na Wana Holly Trinity studio 🎙 Mungu awabariki sana, mnajua mnachokifanya.
@georgearony63895 жыл бұрын
Woow....it's so cool and amazing voice and song...good work Sisters may God bless you always
@wesleyrogito83265 жыл бұрын
Mungu awalinde na awainue enyi masista kwa wimbo mtamu mno na kuitikia wito wa kutumikia mungu
@MichaelMagoti Жыл бұрын
SAFI SANA KWA KUNILIWAZA MBINGUNI MASISTAZ
@pascalshiwa88765 жыл бұрын
yesu mpenz wa moyo wangu!!!! hisia zimenijia sana be blessed
@josephmatemu82785 жыл бұрын
Re mind Lovely Dady.R.i.p
@richardchaula18605 жыл бұрын
Hongereni Sana Masista wetu kwa Uimbaji uliotukuka. Nabarikiwa sana na kazi yenu.
@victoriaharrison1245 жыл бұрын
Stay blessed!!! Naupenda sana huu wimbo
@gracianalugome17655 жыл бұрын
Hongeren masista kazi nzr ,,,,hongera pia kwa HT picha nzr bila kumsahau mr Myonga Ayub kinanda kimetulia
@olluoddiossa98634 жыл бұрын
Tumuombe mungu sisi tu wapitaji katika hii dunia. Wimbo mzuri
@luchezalucheza40015 жыл бұрын
Mtwango nyumban nimeipenda kumbe tunakwaya nzuri hivo jaman hongera
@peterisidory10422 жыл бұрын
Mungu awabariki mama zangu Kwa kazi nzuri.
@florakarlo73525 жыл бұрын
Mungu awabariki sana masister wote mlioandaa wimbo na kufanya uinjilishaji kwa wimbo mzuri,umenibariki sana wimbo huu
@elizabethkanja31755 жыл бұрын
Hakika Mungu anatukuzwa. Hongereni sana watawa wenzangu.