Holy Trinity Studio - Wosia ( Official Music Video )

  Рет қаралды 2,826,305

HOLY TRINITY STUDIOS

HOLY TRINITY STUDIOS

Күн бұрын

Пікірлер
@LaCoupe-d5z
@LaCoupe-d5z 2 ай бұрын
Kama unaisikiliza hii nyimbo 2024 kama mm ngoga like hapa
@yohanagabriel8554
@yohanagabriel8554 6 ай бұрын
Tusiishie kusikiliza,tuufikishe ujumbe huu katka familia zetu,hasa kwa watoto wakike.
@dastanshega4343
@dastanshega4343 4 жыл бұрын
Ubarikiwe mtunzi Ubarikiwe pianist Mbarikiwe waimbaji Nimeipenda sana hii Imenifanya nione fahari juu ya kanisa takatifu katoliki la mitume.
@kwayayamwenyeheriemmanueld2255
@kwayayamwenyeheriemmanueld2255 4 жыл бұрын
Mwenyeher Emmanuel dalzon
@henryoreo2283
@henryoreo2283 4 жыл бұрын
na abarikiwe sana daktari kwenye kinanda!
@jacklinemethord6542
@jacklinemethord6542 3 жыл бұрын
Asante
@nestersanga7466
@nestersanga7466 4 жыл бұрын
Ujumbe mzuri kuna jirani kanikwaza nimrjikuta nafarijika mno. Kujua kusehe
@illomowerner7690
@illomowerner7690 9 ай бұрын
Jamaaaaaani dada Nestaaa, dunia inapita...msamehe bure ila mshauri pia
@MsomaoniElizabela
@MsomaoniElizabela 8 күн бұрын
My dady always tell me wosia and play this music 🎶 for me ooh love u papaa ❤😂
@josphatmanyange3128
@josphatmanyange3128 3 жыл бұрын
Nyimbo tamu tamu sana Wanakwaya wenzangu but Tanzania mko juu sana, Mwenyezi Mungu na awabariki sana pia padre wenu. Kenya twawatapua sana
@johnmathias8172
@johnmathias8172 2 жыл бұрын
Hakika kupitia huu wimbo nipo shule ninakiri kuupokea wosia huu nitauishi nakuufanya kuwa taa na Nuru katika maisha yangu yote
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Sauti safi Mavazi safi Utunzi safi, Kinanda safi Ujumbe safi Mbarikiwe sana, mwakola muno
@ktfamereeofficial
@ktfamereeofficial 6 ай бұрын
Ukweli 😊
@christampanju6805
@christampanju6805 4 жыл бұрын
Dunia inapita achana na mambo yake...mbarikiwe sana waimbaji kwa kuinjilisha❤❤
@happyfumbi1831
@happyfumbi1831 6 ай бұрын
❤❤❤
@josehenry7333
@josehenry7333 4 жыл бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri na mavazi mazuri mungu awabariki.
@johnlimbu-bl4pi
@johnlimbu-bl4pi Жыл бұрын
Hongereni sana wana kwaya kwa wimbo mliyo imba mungu awabariki maana imenigusa sana 😃😆
@Nyaboke58
@Nyaboke58 4 ай бұрын
Nani mwingine ametoka tiktok
@kakulwa
@kakulwa 4 жыл бұрын
Nawapongeza mmefanya utumishi. Endeleeni na mausia kwa jamii. Mungu awabariki🙏
@achileskinono8602
@achileskinono8602 3 жыл бұрын
Naomba like yako kama bado unausikiliza wimbo huu
@PioMwalongo
@PioMwalongo Жыл бұрын
Wimbo mzur
@michaelolande8763
@michaelolande8763 11 ай бұрын
2024
@BonifaceMusembi-tc7gm
@BonifaceMusembi-tc7gm 10 ай бұрын
Nyimbo zenu tamu kweli 1:21
@piuslyambisi7217
@piuslyambisi7217 9 ай бұрын
Hongeleni mbarikiwe sana
@peninahngetich6945
@peninahngetich6945 7 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😂😊
@philomenakiilwa3033
@philomenakiilwa3033 4 жыл бұрын
Usikubali kukosana na mtu!!!!🙌🙌🙌🙌🙌 Mungu awatie nguvu muendelee kuinjilisha
@marthakissima3335
@marthakissima3335 3 жыл бұрын
Nazidi kujivunia kua mkatoliki kupitia huu wimbo ,nimebarikiwa sana,Mungu azidi kuwainua jamani🙏🙏🙏😘😘😘
@venasiavicent5236
@venasiavicent5236 2 жыл бұрын
Nyimbo zuri sana
@mosesedward316
@mosesedward316 2 жыл бұрын
@@venasiavicent5236 àà
@modestanyamhanga9185
@modestanyamhanga9185 Жыл бұрын
Nazidi kujivunia kua mkatoliki kupitia huu wimbo🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️
@sikatendedidas7255
@sikatendedidas7255 Жыл бұрын
Namimi pia 🙏🏾
@MagrethAndrew-rc9bk
@MagrethAndrew-rc9bk Жыл бұрын
​@@venasiavicent5236m
@shaibuemmanuel191
@shaibuemmanuel191 4 жыл бұрын
Fahari ya Mtukula ...Wimbo Umetulia na Umefikisha Ujumbe Uliokusudiwa...Ahsanteni Sana
@benjamindenice53
@benjamindenice53 3 жыл бұрын
Mwakola mno, nmewaona watu wa nyumban wote nawafahamu, ila hii nyimbo ni nzuri sana, jitahidi kuitangaza itawatoa kwa kufahamika zaida
@YvoneAmoit
@YvoneAmoit 4 ай бұрын
Proud to be a catholic.......nyimbo nzuri sana ya maadili, mubarikiwe tena sana 🙏🙏🙏
@joeeinsteinogik1336
@joeeinsteinogik1336 3 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo mbarikiwe Kwaya yetu ya MT. Daudi Parokia ya MT. Yuda Thadei-Mutukula 🔥🔥🔥
@reginaregina2702
@reginaregina2702 2 жыл бұрын
Wimbo mziri sana mara nyingi nausikiliza
@herimariabeda4009
@herimariabeda4009 Жыл бұрын
Najivunia ukatoliki
@ElizabethShabani-bo5rn
@ElizabethShabani-bo5rn 11 ай бұрын
😵😵😵😵😵😵😵😵🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄😒😒😒😒😒😒😒🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤢
@msokasgallery8323
@msokasgallery8323 4 жыл бұрын
Good song, good message. I hope akina Nyamwi wamesikia. Nanyi Holly Trinity mmh...Yaani hata hamkosei!! Nitawatafuta brothers.
@msokasgallery8323
@msokasgallery8323 4 жыл бұрын
@@HOLYTRINITYSTUDIOS Amina. Nanyi mzidi kubarikiwa sana
@nesphorysungu4934
@nesphorysungu4934 4 жыл бұрын
Wondeful
@samwelsoka7179
@samwelsoka7179 Жыл бұрын
And the world we shall pass try to live everyone with peace❤❤❤ (waebrania 12:14)
@evastellakawira981
@evastellakawira981 2 жыл бұрын
I love this one million times I can listen to it a whole day 😉 Tanzania mmbarikiwa lot of love from Kenyans
@bibianamaisiba2477
@bibianamaisiba2477 Жыл бұрын
Soo touching indeed..be blessed Tanzania...nice message indeed..sooo wooow(◍•ᴗ•◍)❤
@albinMasawe-ix1cb
@albinMasawe-ix1cb 11 ай бұрын
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri sana hakika nimeinjoy
@donchibya2012
@donchibya2012 4 жыл бұрын
Wameimba vizuri, pia kuna Ubunifu safi kabisa 👏👏👏
@mjasiriamalikwanza3973
@mjasiriamalikwanza3973 4 жыл бұрын
Kazi nzur
@rozadinamwaluko8498
@rozadinamwaluko8498 4 жыл бұрын
Kabisaaa nmebarikiwa vyakutosha
@dativakimaro7640
@dativakimaro7640 4 жыл бұрын
Hongereni sana sitosheki kuskiza huu wimbo hakika ujumbe umefika salama kwa hadhira haswa vijana wetu, Upande wa mavazi mmeweza zaidi ya kuweza proud of you keep it up
@yasintamakongoro9458
@yasintamakongoro9458 4 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoriki
@glorypeter6526
@glorypeter6526 4 жыл бұрын
Mt Daud mmefikisha ujumbe kwa wimbo mzuri maana dunia sio mbaya wanadam ndo wabaya ukikubal kukosana shetan anakutumia ,Holy Trinity hongera kwa kazi nzur video iko clear hongera kwenu kwa wanakwaya kwa uinjilishaj 🙏
@happymakweta2000
@happymakweta2000 2 жыл бұрын
Nimekua machozi ya furaha kwa ajili ya huu wimbo
@happymakweta2000
@happymakweta2000 2 жыл бұрын
@@HOLYTRINITYSTUDIOS nimelia machozi ya furaha kwa huu wimbo mbarikiwe sana
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 2 ай бұрын
30 October 2024 nasikiliza huu wimbo asanteni wanabukoba❤❤❤
@Aaryahpro2022
@Aaryahpro2022 4 жыл бұрын
Kaka mutongore Ni Moto mwingine huu baada ya birthday yako kupita mwaka mwingine wa mafanikio hongera sana
@kaigamutongore8791
@kaigamutongore8791 4 жыл бұрын
Asante sana Elton.. Ubarikiwe saana
@wachirasammy694
@wachirasammy694 4 жыл бұрын
@@kaigamutongore8791 kaka hongereni sana. Naomba nota za huu wimbo
@Aaryahpro2022
@Aaryahpro2022 4 жыл бұрын
@@kaigamutongore8791 tuko pamoja kaka
@joshuasarutwe2412
@joshuasarutwe2412 4 жыл бұрын
HONGERENI SANA FROM MWL. JOSHUA S SARUTWE(MTAMBO MAN)
@joshuasarutwe2412
@joshuasarutwe2412 4 жыл бұрын
OGANIST NI NANIIII HAPOOO( DVD TUNAOMBA NA OGANIST AONEKANEEE HAPOOO)
@faustinejulius9197
@faustinejulius9197 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana nimepata faraja moyoni mwangu nimejifunza vingi kupitia wimbo huuuu
@perpetuahmungai5988
@perpetuahmungai5988 4 жыл бұрын
Wimbo mtamu Sana, wenye mawaidha mazuri. Hongereni wanakwaya wa Mt. Daudi. Holy trinity you've done it again, good job and Mungu awazidishie baraka zake. Nawapenda tu Sana.
@marthamwinuka94
@marthamwinuka94 2 жыл бұрын
Nimepeunda sana huu wimbo
@mutiejulius2811
@mutiejulius2811 4 жыл бұрын
Wimbo wenye wosia kamili ,,,napendezwa na huo wimbo sana ,,hapa Kenya mwapendwa sana ,,,proud to be a Catholic
@vjsteve2546
@vjsteve2546 3 жыл бұрын
Wow! Wosia mzuri kweli...Mungu Mwenyezi akawanehemeshe zaidi waimbaji wa MT. DAUDI
@ElizabethMusyoka-go7eh
@ElizabethMusyoka-go7eh 3 жыл бұрын
Hongera kwa wimbo mtamu na wenye mawaidha mazuri mno kwa watoto wangu..nimeucheza mchana wote Hadi nikatamani kufika nyumbani Kenya na Tanzania
@sylviashiundu382
@sylviashiundu382 7 ай бұрын
2024 Nmerudi kusikiza wosia❤❤❤
@BelinaRwebugisa
@BelinaRwebugisa 4 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri tumuimbie Bwana katika roho na kweli ❤🙏🙏
@LeahErick-m1i
@LeahErick-m1i 3 ай бұрын
Kiukweli tumebarikiwa
@briankilei7370
@briankilei7370 2 жыл бұрын
Love it 😍♥️ Wimbo huu umajaa ujumbe May God bless this choir for me 🙏❣️
@mathanakuhaja6787
@mathanakuhaja6787 2 жыл бұрын
Asante sanà Kwa huu ujumbe..Mungu aendelee kubariki hii Kwaya.Mt.Daudi utuombee
@martinnyinge2505
@martinnyinge2505 2 жыл бұрын
I Love this song with all my heart. ASANTE MTUNZI, MAWAIDHA MUHIMU KWA MAISHA YA MWANADAMU.🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@simbajeff9632
@simbajeff9632 4 жыл бұрын
Wosia-Ni wimbo mtamu sana,ni raha yangu nikiwa studioni niicheze wimbo huu wasikilizaji na mwashabiki wangu wafurahishwe na pia waelimishwe #TeamHolyTrinity #TeamKenyaTz
@damianimasakila8872
@damianimasakila8872 3 жыл бұрын
Mwenye copy anitumie wadau nimeguswa sana
@thebluesaddictconner2908
@thebluesaddictconner2908 3 жыл бұрын
@@damianimasakila8872 Naomba Nota
@ViviannaAngela-j1s
@ViviannaAngela-j1s 3 ай бұрын
Nyimbo nzuri yenye mawaidha ya kudumu..Mtunzi alifanya Jambo njema kwa nyimbo ili..
@symphorianusmadatta2384
@symphorianusmadatta2384 4 жыл бұрын
Hongereni kwa uinjilishaji huu mzuri, ninaomba nota za wimbo huo wa WOSIA.
@proisolution7166
@proisolution7166 2 жыл бұрын
mbarikiwe
@gloriousnp
@gloriousnp 4 жыл бұрын
Wow, just WOW This is mind blowing, uimbaji wenu , mpangilio wa sauti , mavazi, ujumbe. ...... vyote vyamtukuza Mungu Mmenikumbusha choir flani ya arusha sikuimbuki wanaitwaje waliwahi imba a wimbo entitled** NANI KAMA ZAKAYO*
@scolasticaadam7403
@scolasticaadam7403 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzr
@Tsting_yuwes
@Tsting_yuwes 4 жыл бұрын
I cant get enough of this song!!! Haki listening 👂 all the way from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@shafysjhd7430
@shafysjhd7430 3 жыл бұрын
Nice Song be blessed
@sixbert963
@sixbert963 2 жыл бұрын
Mbarikiwe wanakwaya kwa kazi kubwa ya uinjilishaji mnayoifanya mungu azidi kuwapa aftanjema ili muiendeleze kaziyake 👍🌹💯
@hansbertmkonji8677
@hansbertmkonji8677 4 жыл бұрын
Holy trinity you are always the best. Yaan wimbo umenikosha Sana
@renatusmatungwa6800
@renatusmatungwa6800 4 жыл бұрын
Hongereni wimbo mzuri sana
@josphatbundi7654
@josphatbundi7654 2 жыл бұрын
Wimbo mtamu kwa maudhui na sauti zilizolainishwa.Vyombo vilivyo lainishwa na visivyo na kelele💙💙💙👍👍
@MhagaleWegoro
@MhagaleWegoro Жыл бұрын
Wimbo huu una maudhui mazito sana,hongera sana mtunzi na wanakwayawote
@janetkhainga6305
@janetkhainga6305 4 жыл бұрын
Hongera Sana mandugu jirani wa Tanzania kwa choir nzuri keep up mbarikiwe sana
@patrickmgeni7312
@patrickmgeni7312 2 жыл бұрын
Asant mungu you up Fuji l9guys 44ttttfgtpoo6yghuulllllkoly guy Byrd
@AnastanciaOmboga
@AnastanciaOmboga 2 ай бұрын
This song touches my soul ,,,it makes me feel God talking to me
@ananiaaugustino7643
@ananiaaugustino7643 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana,Hii fundisho kubwa,Nimewapenda sana,Mama Bikira awaombee kwa Mwanae hekima na busara za nyimbo hizi zitufundishe
@theaccuracy0145
@theaccuracy0145 4 жыл бұрын
Mungu wa kwel anayeishi juu mbinguni awe nanyi mzidi kutuinjilisha🙏 niko na furaha sana 😊
@JemimaAyuma
@JemimaAyuma 5 ай бұрын
Maombi ya bamoja usaidia wemwenyewe unaeza kosa kujua shida yako kupitia kwamwingine unabona imani ya bamoja usaidia amen jion njema
@mpipiasenga2848
@mpipiasenga2848 2 жыл бұрын
Eeeehhh,Nimesikia wimbo wenye Maneno Makubwa kweli kweli, Mungu Azidi kuwasaidia kweli,Mubarikiwe Sana,
@patrickmkambilwa9932
@patrickmkambilwa9932 4 жыл бұрын
Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@AgnessPaschal-h1i
@AgnessPaschal-h1i 7 ай бұрын
Nimefurai kwakusikiliza wimbo uhu ninzuri sana n'a niosia mzuri kwawatoto wetu naMungu awabariki sana walioimba wimbo uhu.
@maryngina2295
@maryngina2295 2 жыл бұрын
Can't get enough of this song, very educative song. May God bless with greater minds for more ones. Mary ngina from machakos Kenya
@elizabethkapinga2273
@elizabethkapinga2273 4 ай бұрын
I proud to be catholic, Mubarikiwe kuelimisha jamii. Mungu wa Mbinguni Awabariki Sana!
@LOSEPICHOBENEDICT
@LOSEPICHOBENEDICT 11 ай бұрын
Encouraging song mtumishi Anastasia..kongole naye Mungu akujalie miaka nyingi ya utumishi 🙏🙏
@regisininahazwe310
@regisininahazwe310 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kua fundisho hio ! From Burundi 🇧🇮🇧🇮
@dikeregis
@dikeregis 3 жыл бұрын
I found my namesake. Thank you Lord 🙏
@lutasweetbart3987
@lutasweetbart3987 3 жыл бұрын
gongera cna burundi
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Kwaya ya mtakatifu Daudi sig'rendi jamani.mjitahidi mavazi wanawake.pia hongereni kwa wimbo mzuri
@RemyMNgabo
@RemyMNgabo 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri ambao wanikumbusha mahagizo niliyopatia watoto wangu kila wanapoenda shule mbali na sisi wazazi
@princessprisca8270
@princessprisca8270 3 жыл бұрын
Achana na urafiki. Urafiki mubaya . usije ukapotea dunia yenye giza 🥰🥰 asante sana 2mebalikiwa sana 🙏🙏🙏🙏 from tz 🇹🇿
@MartinKiondo-h5w
@MartinKiondo-h5w 3 ай бұрын
Tuwapnde wazaz
@lazarodaudi1689
@lazarodaudi1689 Жыл бұрын
Hongereni sana Vijana wa Mutukula, wimbo mzuri sana 👏👏👏👏💕💕💕🔥🔥🔥
@cevinmlimira6303
@cevinmlimira6303 3 жыл бұрын
Wosia uliojaa ujumbe mzito, kweli mmetisha.
@arnoldrutaihwa3596
@arnoldrutaihwa3596 4 жыл бұрын
Wimbo safi kabisa... Sauti safi kabisa..
@beatricesato151
@beatricesato151 3 жыл бұрын
Wimbo mtamuu...enyewe sameha mara sabini...sio vyema kuwa na kinyongo na MTU..mbarikiwe milele..nawapenda
@julianamendi4899
@julianamendi4899 4 жыл бұрын
Wow. Mbarikiwe xna very nice song 🔥🔥♥️♥️
@abudiasleonard2992
@abudiasleonard2992 3 жыл бұрын
Pongezi zangu pikea
@djontogoro5975
@djontogoro5975 3 жыл бұрын
Hongera wimbo una mafundisho tele
@collinssiyame223
@collinssiyame223 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki sana Alex kapirimposh 🇿🇲🇿🇲🇿🇲💓💓🌼
@stevekichia
@stevekichia 4 жыл бұрын
Wonderful song, wonderful VIDEO .... 4K MMEFIKA WOW God bless you. From Kenya
@jacklinemethord6542
@jacklinemethord6542 3 жыл бұрын
Asante kwa sala zenu
@josephzammit8483
@josephzammit8483 3 жыл бұрын
Well said! I’m publishing a weekly KZbin video on episodes from the life of Don Bosco, entitled ST JOHN BOSCO by JOE ZAMMIT. In this series I’m narrating events and miracles from the splendid life of Don Bosco. St John Bosco used to perform a miracle almost every day, through the intercession of Mary Help of Christians. From the lives of saints we can learn how to love God more and draw closer to him. Thank you.
@talikisiomlegehe7733
@talikisiomlegehe7733 4 жыл бұрын
Safi Sana
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Hongereni sana wanakwaya wa Mt Daud patokia ya Mt Yuda Thadei Mtukula Mungu awabariki sana kwa kutuinjilisha kwa njia ya uimbaji.
@yvonnemunyao
@yvonnemunyao 2 ай бұрын
AM HERE 2024
@patrickmkambilwa9932
@patrickmkambilwa9932 4 жыл бұрын
Asante sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa jalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@IvyLokamar
@IvyLokamar Жыл бұрын
❤❤❤ I'm proud to be a catholic,i can't get tired of listening to this song the whole day,hongereni sana,Mungu awabariki nyote
@pensulochapuswike2884
@pensulochapuswike2884 Жыл бұрын
namimi pia
@RevocatusJames1212
@RevocatusJames1212 3 жыл бұрын
Nmebarikiwa sana na huu wimbo.Kama vile mt augustino alivyosema kuimba nikusali Mara mbili,hakika nimesali na nmeupata usia huu mtamu.....hongereni mno kwa uimbaji
@carolinekerubo9836
@carolinekerubo9836 3 жыл бұрын
I really love this nice song. And iam broud to be Catholic.. It's amazing and fatastic. God bless u.. Bikira Maria atuongoze mwa manae.. Watching from Saudia
@johnlimbu-bl4pi
@johnlimbu-bl4pi Жыл бұрын
Mungu awazidi kuwabariki na kuwalinnda nawatakie utumie mwema
@gorethrweyemamu3724
@gorethrweyemamu3724 2 жыл бұрын
Jamani huu wimbo nausikiliza mpaka basi. Naupenda sana sana siuchoki kuusikiliza. Ni mzuri mno. Catholic raha sana
@neemaifunya8609
@neemaifunya8609 4 жыл бұрын
Wooow!! Hongereni Holy Trinity kwa kazi nzuriiii👍👍
@picsandvidstv1348
@picsandvidstv1348 4 жыл бұрын
Wimbo mtamu kweli. Nimebarikiwa sana nikiwa hapa Kenya
@shafysjhd7430
@shafysjhd7430 4 жыл бұрын
Mbarikiwe nyimbo nzuri watching from saudia.i real miss my church
@stellaphilipo5112
@stellaphilipo5112 2 жыл бұрын
Kweli wimbo huu naupenda sana,, hongereni sana mliimba vizuriii na UJUMBE ni mzuri mnoo watoto wetu wakifuata watafika WATAKAPO kimaendeleo kwa kumshirikisha Mungu.
@venancejohn5166
@venancejohn5166 4 жыл бұрын
Aminaaa
@MatendoMenganyi-xq8lx
@MatendoMenganyi-xq8lx 7 ай бұрын
God is in you all, be blessed forever guys.
@YOSEFU8649
@YOSEFU8649 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana na saut tamu na ujumbe maridhawa mbarikiwe wanakwaya wa Mt Daud
@mabagamendez1156
@mabagamendez1156 Ай бұрын
Mutukula asanteni kwa wimbo mzuli mungu awebiriki sana kila nikisikiliza wimbo huu moyo wangu unafalijika sana
@happynessgekondo8565
@happynessgekondo8565 Жыл бұрын
Nasema Asante mungu wangu kwa ulinzi wako mkuu kupita wimbo huu najivunia sanaa
@deogratiusngereza4002
@deogratiusngereza4002 4 жыл бұрын
fantastic Catholic song nimebarikiwa sana
@aminaathuman34
@aminaathuman34 13 күн бұрын
❤ ilove this song iam proud catholic 🎉
@fredrichard5192
@fredrichard5192 4 жыл бұрын
Amina Amina, amani ya Mungu iwe juu yenu Roho Mtakatifu awaongoze tena zaidi ya hii na mbarikiwe nyote
@annnyawira466
@annnyawira466 Жыл бұрын
I heard a colleague listening to this song I went searched for it. I thank God for this voices. Mother Mary pray us
@chenjachamilions258
@chenjachamilions258 4 жыл бұрын
Mbarikiwe nyote washiliki mulioweza kukamilisha kazi hii Mungu yupo pamoja nanyi 🙏🙏🙏
@carolanita5015
@carolanita5015 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana asanteni
@kevintiraya6964
@kevintiraya6964 2 жыл бұрын
My mom words when i joined campus🙏🙏
@lenahabraham6624
@lenahabraham6624 4 жыл бұрын
Kwa kweli naupenda wosia ulioko katika wimbo huu
@MoureenMagret
@MoureenMagret 3 ай бұрын
Hongera s
@fikileramaisa2996
@fikileramaisa2996 4 жыл бұрын
I always feel the holy spirit keep on shining my lovely choir love u very much
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 10 МЛН
Holy Trinity Studio - Nikushukuruje Bwana ( Official Music Video )
8:12
HOLY TRINITY STUDIOS
Рет қаралды 1,6 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Holy Trinity Studio - Yanipasa Kumshukuru Mungu ( Official Music Video )
9:22
HOLY TRINITY STUDIOS
Рет қаралды 2,4 МЛН
SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:25
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 2,8 МЛН
Holy Trinity Studio - Mahangaiko ( Official Music Video )
6:00
HOLY TRINITY STUDIOS
Рет қаралды 1 МЛН
TEMBEA NAMI (Official Video) - KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
10:41
MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
6:31
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 1,7 МЛН
Naomba Baraka by- Kmk Queens St. Kizito Makuburi
6:34
Alexander mumo
Рет қаралды 3,8 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН