Kama umewatch zaidi ya mara tano pita na like 🥰what a wonderful and nice song
@yohanaemanuel47472 жыл бұрын
Nimeipenda saana hiyo kwaya
@helenawilliam98323 жыл бұрын
Pokea shukurani zangu bwana pia, kazi nzuri ni kazi ya ukombozi
@msokasgallery83233 жыл бұрын
Amen
@tylookwambosh9854 жыл бұрын
Sauti nzuri hizo Mungu awabariki
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amina
@manase_fast_courier Жыл бұрын
watoto wa msoka wanaona aibu😜......wimbo mzuri sana asee
@msokasgallery8323 Жыл бұрын
😆😆😅
@afraziakapongwa53502 жыл бұрын
Hakika huu wimbo tokea nimeufaham kila ninavo amka asubuh naamka nawo Mungu awajalie nyote mlio shiriki katika wimbo huu awajalie wema na baraka na awaoneshe njia pasipo na njia katika utume wenu, najivunia kuwa mkatoriki jaman
@festojrtz96204 жыл бұрын
Nyimbo Nzuri Saana HOLY TRINITY Hamjawahi kutoa kitu Kibaya Hongereni Saana. Mbarikiwe Saana
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Hakika, HT wako njema sana
@dativateti45722 жыл бұрын
Wimbo umejaa baraka nyingi. Naomba nota zake tafadhali
@msokasgallery8323 Жыл бұрын
Zinapatikana Swahili Music Notes
@fransiskokameguzi24803 жыл бұрын
Hii nzuri Sana😍😍🤩😀🎅🧞
@RyneNicholas Жыл бұрын
Mm nimewatch Zaid ya mara 20 naomben like zenu
@melkiadeskalisto89184 жыл бұрын
Paul Msoka MUNGU Ana onesha makubwa sana ndani yako
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amina, jina lake litukuzwe
@FridaNyongesa-t6n Жыл бұрын
What do you always do with your friends,,,big challenge,,, God bless you for the good choir,,big up msoka's friends
@venerandafredrick65312 жыл бұрын
Wimbo huu nimeusikia tr 3/10/2022 nikiwa kwenye Costa tunaenda kumzika Bibi yangu Mwanza hakika ulinifariji ikabidi nitafute
@msokasgallery8323 Жыл бұрын
Amen 🙏 Barikiwa sana Veneranda
@lameckd79954 жыл бұрын
Hongeren xna.kwa wimbo mzuri wapendwa wainjilishi wa.mungu
@lucykiria64544 жыл бұрын
Sichoki kuutazama huu wimbo..Mungu azidi kuwabariki
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amina. Nawe ubarikiwe sana
@irenemaliwa43793 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni azidi kuwatumia kipekee muzidi kuieneza injil ya Bwana nabarikiwa Sana na huu wimbo
@msokasgallery83233 жыл бұрын
Amina
@frankchibago32064 жыл бұрын
Mungu wangu ni kushukuruje Mana wewe ni mwema kila waKati,kila wakati wewe ni mwema
@eveliuspaulo99434 жыл бұрын
Amina
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amina
@MoureenMagret2 ай бұрын
Hongera sana nyimbo nimaombi x2 mimi ni mwana kwaya lakini sina uwez wakumba penye niko hakuna kanizani kwa hivyio niokoe na nyibo naburudika❤
@japhetpetro95984 жыл бұрын
Safii RC Ni Dini Bora Duniani.
@minaperepm3 жыл бұрын
Yeah
@johnsonprosper4073 Жыл бұрын
Kilicho bora ni wokovu siyo dini ndugu
@godfreymajoa41004 жыл бұрын
Asanten kwa ujumbe wimbo mzuri mungu awabariki
@benjaminmichel74514 жыл бұрын
Aisee hii nyimbo ni 🔥 🔥, Dah aisee naona Kama nilichelewa kuusikia huu wimbo
congradulations guys good job....mungu wangu sijui nikushukureje....thanks God
@elizabethqumunga13284 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa nyimbo nzuriiii wenye ujumbe mzito ndani yake
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amina
@golingoibenzi21424 жыл бұрын
Hongerq sana ,wimbo.mzuri mbalikiwe zaidi
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amina
@msokasgallery83234 жыл бұрын
A,en
@stellamahende39542 жыл бұрын
Amina mwenyez mungu aendelee kuwapigania kataika utume wenu hakika wimbo huuu unafairi sana ukuu wa mungu mubarikiwe sana kwa uinjilishaji🙏🙏
@noelbabuya4 жыл бұрын
Iko safi uimbaji wenye mvuto
@SaloniusDavid Жыл бұрын
NAMSHUKURU MUNGU KWA WIMBO MZURI, ASANTE SANA MARAFIKI WA PAUL MSOKA. HUYU NI MWALIMU WANGU WA KISWAHILI, NAKUKUMBUKA SANA MWALIMU. MUNGU AKUTUNZE!
@maureenmowakimani27294 жыл бұрын
Namshukuru bwana hata zaidi wimbo huu kweli ni wa faraja
@josephjosephat90293 жыл бұрын
Nimebarikiwa sanaaa jamani
@machoziasa69364 жыл бұрын
Hongereni san bwan yu pamoja nanyi
@saimonshija61524 жыл бұрын
Kalihiyo, Mungu azid kubariki kazizako by Mr simando
@tinohmichaely59993 жыл бұрын
Raha ya milelee uwapeee €££ee bwana na mwanga wa milelee uwaangazieee waendeleee kukusifu na kukuhimidi mungu wa majeshiii nawapenda xana wimbo mzurii unabariki kwa kweliiii,
@ambrosethomas59224 жыл бұрын
Safi sana.
@crediuskyando69064 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri na ujumbe mzuri
@modesternorbert97284 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana asanteni mbarikiwe Mungu azidi kuwatia nguvu
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amina
@berthamwalu86894 жыл бұрын
Yaan huu wimbo jaman sichoki kuusikiliza!! Barikiwenu sana
@cosmasfesto55194 жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzuri
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Asante
@esthermuasya77423 жыл бұрын
@@msokasgallery8323 wimbio mutamu sana
@revocatusmboro50864 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana kwa ajili ya tafakari ya ukuu wa Mungu maishani mwetu. Thanks mtunzi endelea kumtukuza Mungu kwa kipaji chako cha utunzi.
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amen
@agneskerengo83755 ай бұрын
So smart , and amazing songs sweet voice 👍💪💞
@augustinemaingu4 жыл бұрын
Abarikiwa sana Msoka kwa utunzi bora
@elizabethmkulu44244 жыл бұрын
Amina mungu awazidishie kwakweli
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Asante brother
@yohanamethod75734 жыл бұрын
@@msokasgallery8323 napenda sana kutoka moyon
@msokasgallery83234 жыл бұрын
@@yohanamethod7573 Shukrani
@benitokizamuri84354 жыл бұрын
Hongeren nyote mlioshiriki katika wimbo huu hakika nimzuri
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amen
@lucresiapeter13854 жыл бұрын
Video nzuri sana hongereni umetamani wimbo usiishe naangalia tuuuuu
@tatukivugo53334 жыл бұрын
Asante Mungu kwa wema wako.Mungu awabariki sana Msoka familia na Kikundi kilichoandaa no faraja sana.Mungu awabariki sana.
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amina. Nawe ubarikiwe sana Lucresia
@protassabato66304 жыл бұрын
Ushauri. Muwe mnaweka Mawasiliano ya kwaya husika au kikundi husika.
@verdianamarceli24132 жыл бұрын
Mmeimba vizuri hongereni sana na Mungu azidi kuwatumia kwa utayari wenu ktk shamba lake, kuitangaza injili kwa kila kiumbe
@StudioiRisPro4 жыл бұрын
Nzuri iyo Brothers
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Thanks
@perpetuahmungai59884 жыл бұрын
Wow! Wow! Wow! Yaani huu wimbo upon juu Sana, sichoki kuusikiliza. Msoka friends, you're truly great. Holy Trinity you did it again, huwa ham-dissapoint hata. Mungu awanemeeshee baraka tele tele.👌top notch
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amen. Be blessed
@sophiamathew43944 жыл бұрын
@@msokasgallery8323 mmmh
@agnesskimario8857 Жыл бұрын
Mungu ni mwema sana.Hongera sana Mtunzi mwenyezi Mungu Akujalie Afya njema
@pierremrema66762 жыл бұрын
Huu wimbo mzuri sana una ujumbe mzuri sana hongereni sana wanakwaya kwa utume
@laurentkadodi64803 жыл бұрын
Sawa nimewaelewa Hongereni sana kwa uinjilishaji wenu usiochosha kwa mtazamaji na msikilizaji mwenye mapenzi mema .
@nemangowi14184 жыл бұрын
So amazing. Love it mmejua kumuimbia MUNGU.
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amina
@Kingdon87653 жыл бұрын
Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
@SerahSyombua-rh8yw Жыл бұрын
Nice song.
@EvaTango-ug7seАй бұрын
Very nice song mbarikiwe jamn na mwenyezi Mungu ❤️
@mumyhendry29194 жыл бұрын
Mafundi wote wako hapo mtaachaje kutubariki jamn!!!🙏🙏🙏Mungu azidi kuwatunza daima!!! Nawapenda kutoka moyoni♥️♥️♥️
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amina. Mungu atukuzwe
@mumyhendry29194 жыл бұрын
AMEN
@johnkaremeri17523 жыл бұрын
Thanks
@apendayetweve84412 жыл бұрын
Nitakushukuru kwa ukarimu wako🙏🏻🙏🏻
@dadaz46533 жыл бұрын
Wimbo wangu asubuhi ,mchana ,na usiku naupenda sanaa
@anastaziarock14374 жыл бұрын
Jamani hongereni wimbo mzuri sana naninajivunia kuwa mkatoliki
@dorisabu13414 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri
@michaelsunday82592 жыл бұрын
Nice One!! TUMSIFU YESU KRISTO
@isaacsheen4054 Жыл бұрын
Wimbo safi sana! Kusema Asante inampendeza sana Mungu wetu.
@sharoombay89974 жыл бұрын
Daah hadi mwili umenisisimka.!!! Hakika hapa pana Roho Mtakatifu. Mungu awabariki wapendwa.
@veronicamassalu625516 күн бұрын
Asante sana Mungu kwa kuwa wewe wewe ni mwema kila wakati❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@josephfalaghamoja78004 жыл бұрын
Mungu awajalie maisha mema na matunda ya upendo katika ndoa na family yenyu. Congratulations Mr& Mrs Msoka👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@msokasgallery83234 жыл бұрын
Amen
@jasonmwombeki3514 жыл бұрын
Huu ni wimbo mzuri.sana....naona wataalam wameunganisha Atlanta zao na director kafanya vyema kabisa.....salute
@ConstantineWilbroadWilbroadАй бұрын
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri kwa kwakweli ujumbe wake ni mzuri sana
@naomikagai8251 Жыл бұрын
Nice song 🥰 nimeipenda sana after kufunzwa na mwalimu wangu wa choir
@beathamerchory4992 Жыл бұрын
Safi sana dini yetu nzurii sana wanakwaya mmeimba vizuri jamani endeleeni kumwimbia bwana
@dicksonmwonya60152 жыл бұрын
Hongera sana kwa yote, na kwa utunzi mwema, pia Mungu akikupa kilema hakunyimi mwendo
@liliankinyanjui67564 жыл бұрын
Naskia mbingu zafunguka ,, naskiza nikiwa Dubai mbarikiwe sana kwa kutubariki na huu wimbo ,,tunawapenda Sana