HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA JUKWAA LA USHIRIKIANO FOCAC

  Рет қаралды 6,294

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

Күн бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024.

Пікірлер: 21
@JumaMatiko-zp5nm
@JumaMatiko-zp5nm 10 күн бұрын
Congratulations our excellent Dr Samia Suluhu Hasani for making a strong speech.Natamani ni kushike mkono Rais wangu ❤
@danieledward888
@danieledward888 10 күн бұрын
Thankyou mama for your good speech we are proud of you!
@kiddyadams
@kiddyadams 10 күн бұрын
Hongera saana saana Mh. Rais kwa kila hatua,Hongera serikali na viongozi wake. ushauri wangu mmoja tuu kwenu/ kwako. katika majukwaa haya makubwa makubwa ndio majukwaa ya Mh. Rais na Viongozi wakubwa kuzungumza Kiswahili. lugha ni pesa na ni hadhina kubwa kwa Taifa. hii ndio fursa pekee ya kusambaza lugha yetu hadhimu kiwepesi zaidi na kwa manufaa mapana. tizama leo english inavyotawala kila mahala. ili kiswahili kiwe lugha ya Africa kwa wa Africa basi viongozi wetu pendwa waanze kukiongea huko kwenye majukwaa makubwa makubwa kabla ya wakenya hawajatungalia na kukosa umiliki wa lugha yetu nzuri saana duniani. . pamoja na hayo HONGERA SAANA MAMA KWA MAPIGANO . NAKUPENDA TANZANIA, TANZANIA AMANI UPENDO MILELE NA KAZI IENDELEE
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 10 күн бұрын
IRON LADY ❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 10 күн бұрын
Your ecxellence Madam President of the URT,I acknowledge your distinguished speech,but one thing come to mind after your speech, some time these diplomatic speeches does not give more opportunities of expressing in details things that are in our best interest rather than acknowledging the postive relationship we have with them.
@kurugo-z5u
@kurugo-z5u 9 күн бұрын
pongez rais wetu mpendwa na mama yetu wa taifa la Tanzania kz njema afya na maisha marefu .
@mashaka-zi8ot
@mashaka-zi8ot 10 күн бұрын
Safi sana Rais wetu Dr. Samia Suluhu Hassan, hakika Tanzania 🇹🇿 na dunia itakumbuka matendo yako, na nia pamoja na uthubutu wa kuipaisha Tanzania kidiplomasia, kimaendeleo na kifikra.
@JoshuaLesion
@JoshuaLesion 8 күн бұрын
Safi sana, unatuwakilisha vizuri mama @samia
@wabongoughaibunimediaprodu4471
@wabongoughaibunimediaprodu4471 9 күн бұрын
Kazi IENDELEE
@festoswai61
@festoswai61 10 күн бұрын
Mama nakuamini KWA ujasiria HONGERA .nimekuelewa
@festoswai61
@festoswai61 10 күн бұрын
HONGERA Mama tunakuamini
@takrimumakame2271
@takrimumakame2271 9 күн бұрын
We si Mama, Bali ni mama wa taifa, hongera Mama hongera Tanzania hongera China kwa mutual friends
@MajaliwaAntony
@MajaliwaAntony 10 күн бұрын
piga kazi kwa ajili ya wantania mngu akutangulie
@zakariaabdalla-uo3nk
@zakariaabdalla-uo3nk 10 күн бұрын
Tanzania inapata jina ulimwenguni
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 10 күн бұрын
❤❤❤❤mama❤❤❤❤
@yohanamagehematictok
@yohanamagehematictok 8 күн бұрын
Kwani anaongelea nini😢😢😢😢
@abdul-azizjuma2726
@abdul-azizjuma2726 10 күн бұрын
👏 👏 👏 👏 👏
@fidelfidel4818
@fidelfidel4818 10 күн бұрын
Raisi Samia hajielewi kuliko aongeye kiswahili aitukuze anaogea lugha ya kigeni
@sadih5333
@sadih5333 10 күн бұрын
Kiswahili tena ? Sio Dodoma pale
@joesimba
@joesimba 10 күн бұрын
Why do chinese meetings they have to put the microphones in formation too lol
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 10 күн бұрын
What's the problem of it
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 50 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 628 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 539 М.
Presidential Inauguration 2024: RDF Colorful parade
38:27
The New Times Rwanda
Рет қаралды 114 М.
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 50 МЛН