Mwl nyerere alikuwa kiongozi shupavu Sana na aliijenga Tanzanian kwa umoja wetu. Tufuate nyayo Zake katika ngazi Zote za uongozi
@georgematahimba52423 жыл бұрын
I love mwl jk Nyerere too much👏
@marynjau20682 ай бұрын
Rest in peace mwl na babq wa taifa letu.we still miss you
@MWARUNGUKALIMBOMWANDOE Жыл бұрын
Mwl. Julius Nyerere, alikuwa na akili ya kipekee. The first president of Tanzania and the father of the Tanzanian nation. He was brilliant and a true leader, who proved it beyond doubt. Nilipenda sana sera zake na mpaka leo ninazpenda. Hana mfano, bado sijamuonea mwenzake mwenye hekima na busara kama yeye. Na kweli alisema mtu yeyote anaendekeza Ukabila amefilisika kisera
@issaowden44002 жыл бұрын
Maono na uongozi ulikuwa ndani yake sikuizi ni unafiki tyu
@martinchea693 жыл бұрын
Nyerere hoyeeee
@mohammedkhimji55653 жыл бұрын
Quality of a Great Leader....he accepted Arusha Declaration was a failure....but it was gem of a philosophy....basi tu hatukulitekeleza vizuri. RIP Father
@abuelolongavida7261 Жыл бұрын
I will doubt to call it a failure...though I must admit that it needed some adjustments to suit the time, sadly enough we didn't do that!
The Catholic Church, rare to fault has once again the first to know that Mwalimu deserves more than what human being could offer. Mwalimu stands out as the leader the whole wanted then and as now.
@DuduBalyehele9 ай бұрын
Huyu.na.mandela.tuliwahiji.sana
@williamkirway46203 жыл бұрын
Baba wa Taifa wa kwanza kuunganisha watu bila kuwagawa,kikabila utakumbukwa na vizazi vyote.12/1/2021Wiliam cresent kirway toka Haydom-manyara.
@kassimloav24023 жыл бұрын
CCM iliyo ongozwa na baba Wa taifa ulikuwa na wazalendo na walikuwa na hofu ya mungu