ALHAMDULILLAH NAMUOMBA YA ALLAH AKUZIDISHIE HEKIMA NA BUSARA NA AFYA NJEMA RAIS WETU MPENDWA. AMEEN
@KhalidAli-xx4vk3 жыл бұрын
Baada ya kusikiliza hutuba ya raisi wa znz Jana yenye kusisimua na yenye matumaini usiku wa kuamkia jana niliota tupo pamoja na raisi pamoja na mufti tunaongea tukiwa tunafurahi na kubadilishana mawazo nilishangaaa kwa kweli