RAIS MWINYI NA RAIS SAMIA WAKIHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

  Рет қаралды 25,155

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@gangmore9091
@gangmore9091 8 ай бұрын
Mutayalinda mapinduzi hapa duniani but kaburini n kwa Allah mutaenda kila mtu kujilinda kila mtu peke yke kila mtu atahukumiwa alichokichuma insha Allah
@HawaHawarinyo-r3o
@HawaHawarinyo-r3o 7 ай бұрын
mama yangu rais wangu nakuomba nisaidie mtaji katk biashara yangu sina tegemez rais wangu watanzania naomba naomba msaada wako hata wa milion mbili kwajili ya biashara yangu rais samia suluhu naomba msaada wako unisaidie❤
@abdulazizimohd4230
@abdulazizimohd4230 8 ай бұрын
Miaka 60 lakini bado maisha ni magumu mnoo kwa wananchi wwa Zanzibar,bado bei ya vitu iko juu sana
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 8 ай бұрын
Zanzibar mkoa wa Tanzania hongereni sana
@abduliddi7821
@abduliddi7821 8 ай бұрын
😂😂😂 Na mamaako kamwambie kua dude lake mkoa wa Zanzibar
@suleali4915
@suleali4915 4 ай бұрын
Mkoa una raisi
@suleali4915
@suleali4915 4 ай бұрын
Hivi na mikoa mengine pia ina maraisi?
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 8 ай бұрын
Rais mwinyi Mungu akulinde
@IshimweShafi-zx4ud
@IshimweShafi-zx4ud 8 ай бұрын
Sijaskia president wa uganda
@williamalphonce3534
@williamalphonce3534 8 ай бұрын
😢😢
@user-nu9bh7bz9z
@user-nu9bh7bz9z 8 ай бұрын
Mwinyi juu juu kabisaaaa
@KhatibSalehKhatib
@KhatibSalehKhatib 8 ай бұрын
Zanzibar oyee hongereni viongozi wetu
@Omy-dou
@Omy-dou 8 ай бұрын
Husema hivi mapinduzi wanaitikia daima then tutayalind TUTAYAPIGANIA KWA MASLAHI YETU POTELEa mbali
@clevermngao7565
@clevermngao7565 8 ай бұрын
"Potelea mbali na Mungu atusaidie " Sijaelewa imekuja je hiyo kauli hapo!!
@stonetown578
@stonetown578 8 ай бұрын
Umeona eee
@ferouzkeis6994
@ferouzkeis6994 8 ай бұрын
Alieasisi Mapinduzi haya anaitwa ABEID AMANI KARUME. tusisahau
@user-nu9bh7bz9z
@user-nu9bh7bz9z 8 ай бұрын
Mbona Yoweri Museveni amesahaulika ? Jembe letu la Afrika mashariki nalikubali sana
@williamalphonce3534
@williamalphonce3534 8 ай бұрын
Ndio namimi Nashangaa unamsahau rais unamkumbuka mkuu wa mkoa 😢😢😢😢😢😢
@user-nu9bh7bz9z
@user-nu9bh7bz9z 8 ай бұрын
Hahahahha
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 8 ай бұрын
Laukama wa2 wangejua kuwa mapinduzi yalofanyika ni kuiondoa dini ya kislam visiwani wasinge shangilia
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 8 ай бұрын
Ety miaka 60 ndio safari inaanza yaan ovyo kabisa hatuwapendi chefuu
@froma3732
@froma3732 8 ай бұрын
Pole kama huwapendi wao hata hawana hbr kama wewe huwapendi
@abdulhakimjuma9112
@abdulhakimjuma9112 8 ай бұрын
Mazimwi wakisherehekea mauwaji ya mwaka 64 wafu wanaotembea duniani endeleeni kupinduwa zikija ratiba za vifo vyenu pinduweni
@Omy-dou
@Omy-dou 8 ай бұрын
Nmsemo wetu uo potelea mbali
@moseskazungu1158
@moseskazungu1158 8 ай бұрын
Obama Usen alitaka waza Zanzbar kugetenga na Tanzania 🇹🇿 mulisikia mambo yake mukanyamaza kwajili Obama akikuwa Setani America nimaswatwan. .
@frankalfredy4991
@frankalfredy4991 8 ай бұрын
Great
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 8 ай бұрын
Rais mwingi Mungu aendelee kulkulinfa hongerasana😊
@ImanuelMbandi-lj4tg
@ImanuelMbandi-lj4tg 8 ай бұрын
Huyu rais hapendwi na wananchi potelea mbali ndo nini
@HamisMberwa
@HamisMberwa 8 ай бұрын
Wewe ndio humpendi
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 8 ай бұрын
​@@HamisMberwaHatumpendi ni ukweli
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 8 ай бұрын
Chuki itakuua
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 8 ай бұрын
Imanuel... chuki itakuua
@madetetv6576
@madetetv6576 8 ай бұрын
​@@OmerSuley-gl7goanaekupenda ww ni nani?
@manasekabusha7180
@manasekabusha7180 8 ай бұрын
kuna mtu kazingua poterea mbali namungu amsaidie
@clevermngao7565
@clevermngao7565 8 ай бұрын
Hapo sijaelewa alivyosema hivyo!!!
Teaching a Toddler Household Habits: Diaper Disposal & Potty Training #shorts
00:16
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 1,3 МЛН
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 8 МЛН
SNAKE BOY | ep 38 | final mwisho | SEASON TWO
26:41
CLAM VEVO
Рет қаралды 60 М.
Museveni asimulia alivyokataa kupiga marufuku mchele wa Tanzania, Uganda
15:30