Mzee Mwinyi alivyosoma hotuba yake nusu na kumwachia mwanae Abdullah aimalizie

  Рет қаралды 258,981

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 жыл бұрын

Пікірлер: 263
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Jamaniiii, mimi nilikua sijawahi kukumbuka kumshukuru Mungu kwa kuniumba mwanadamu!! na kunipa akili timamu nk... Hapa baba anatufundisha jambo kubwa sanaaa, kushukuru..na ndani ya shukrani ndiko amepata huu umri, baraka na kibali cha kukubalika na wengi... Ee Mungu nijalie moyo wa shukrani, nikushukuru kwa kila jambo 🙏🙏 pumzi, ufahamu ,kuona, kusikia, kutembea na kila kitu🙏🙏🙏🙏😭
@andulilembwile6271
@andulilembwile6271 5 ай бұрын
Mheshimiwa hayati Rais Ali Hasan Mwinyi ni Powerful wonderful Fantastic Alikuwa mwema sana Mkweli sana Mwaminifu sana Mkarimu sana tulipo mtembelea kwake. Mara kadhaa na Rafiki yangu Apostle Onesmo Ndegi Alikuwa baba kwelikweli Mzazi mwenye huruma kwelikweli Mcha Mungu kwelikweli Bwana Ametoa Bwana Ametwaa jina lake Libarikiwe Ayubu 1 : 21 Mimi Rev.Andulile Mbwile.
@renatusmgongo4083
@renatusmgongo4083 5 ай бұрын
😢😢😢3
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 Жыл бұрын
Wooow anaona bila ya miwani mashallah,Allah akuhifadhi.
@PeterKive
@PeterKive 5 ай бұрын
Tuna toa poleni sote Mombasa Kenya na nzanzibaa na Tanzania Barra Thanks 👍 All nice ni peter lungalunga
@leodegarfoyanshaw7111
@leodegarfoyanshaw7111 Жыл бұрын
Jamani huyi Mzee Wetu kipenzi nionavyo atafaidi maisha duniani na mbinguni, Ni mtu wa haki, mkweli, mwadilifu, mcha Mungu, anahekima, upendo na mwenye elimu kubwa. Mungu ambariki Mara dufu
@RioIpo
@RioIpo 3 жыл бұрын
Ana visa huyu mzee hahaha nampenda sana Wallah
@abuusufian6506
@abuusufian6506 3 жыл бұрын
My Allah bless you mzee wetu kipenzi ❤️💕❤️💕❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@aciamwinyi3991
@aciamwinyi3991 2 күн бұрын
Mwenyezi Akupe kauli Dhabiti, kabuli lako alijalie Mwanga, Akusamehe Pale ulipokosea, Amiin.
@user-zt6re1dr5f
@user-zt6re1dr5f 5 ай бұрын
Mungu amlipe kwa mema aloyafanya,kwa kua ni binadam bc Kuna siku alikiuka Allah amsamehe Insha Allah
@alisenipeter4307
@alisenipeter4307 3 жыл бұрын
Tunakupenda Sana Mzee wetu unajitahidi Sana kusoma kwaumri wako umejitahidi Sana babu yetu
@mbwawafillingstation
@mbwawafillingstation 5 ай бұрын
Lala salama Babu Mungu akusamehe pale ulipo teleza akupe pepo ya Daraja la juu
@blueeyes5952
@blueeyes5952 3 жыл бұрын
Ukiwa na roho nzuri na kunyamaza basi utaishi miaka mingi, maman Samia uko na bahati sana mtoto wa mwinyi ni rafiki yako tena raisi , muchape kazi na kufukuza wazungu wale wanaoiba mali ya nchi.
@lucasmfaume4535
@lucasmfaume4535 3 жыл бұрын
Hongera sana mh,Raisi mstafu mh, Mwinji.kweli Mungu akujalie maisha marefu zaidi.
@allyfutto8763
@allyfutto8763 3 жыл бұрын
Samahani ila malikia wetu makadirio ya umri wa mwinyi ni zaidi ya 100 inshallah kheri 🤲🏻🤲🏻🤲🏻💪🏻🇹🇿
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 3 жыл бұрын
Mwinyi kwa umri anasoma mia na point na bado ana nguvu sana.
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 3 жыл бұрын
97
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
@@michaelkessy5740 ulimzaa wewe
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 3 жыл бұрын
May katimiza 97
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Anasoma bila miwani,,,,hongera zake!!
@felixmubalama7671
@felixmubalama7671 3 жыл бұрын
Pia nimejiswali hivo
@imelidamfikwa7954
@imelidamfikwa7954 2 жыл бұрын
Nami nimejiuliza,more than 90
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 3 жыл бұрын
Mungu yakuepushe nakorona unanza kukohoa sababu umevaa barakoa mh Abdallah mwinyi
@allyfutto8763
@allyfutto8763 3 жыл бұрын
Mashaallah kamanda hata miwani havai kusoma, huyu inshallah zaidi ya miaka 100 sababu ni Mkakamavu sana maungu ampe umri mrefu zaidi Aamin 🤲🏽 🤲🏽🤲🏽💪🏽🇹🇿
@giztony2009
@giztony2009 5 ай бұрын
Wonderful! Kwenye huo umri anasoma bila miwani
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 5 ай бұрын
Kweli Baba Mungu kukumiminia Baraka tele
@mahadmaxamed8452
@mahadmaxamed8452 3 жыл бұрын
Maa shaa allah I love him my former president Mzee Rukhsa may allah SWT bless you Mzee Rukhsa kama Leo wazalendo wako matajiri wengi sababu yake mzee Ruksa best leader in Tanzania former president of tanzania ali hassan mwinyi long life in shaa allah I wish you all the best
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
HBD TR.Raisi Mzee Mwinyi Mungu azidi kukulinda,na pia pongezi kwa kitabu chako💪❤️🔥🌞🙏🇰🇪.
@oman7710
@oman7710 3 жыл бұрын
Masha Allah Allah akuhifadhi mzee wetu.
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 7 ай бұрын
Namshukuru pia sana sana mwenyezi mungu kwa kutumbia mwanawake ili tupate furaha katika dunia.
@rukiamwinyihija7849
@rukiamwinyihija7849 5 ай бұрын
Ni neema juu ya neema,mungu amrehemu mzee wetu na amlipe pepo ya daraja la juu.
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 7 ай бұрын
Mimi huwa nikiwaona wanawake namkumbuka mwenyezi mungu kwa furaha.
@hidayahassan693
@hidayahassan693 5 ай бұрын
ALLAH AMPE KAULI THABIT,INNALILLAH WAINAILAYH RAJIUN.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 5 ай бұрын
"Njoo kijana wangu, maliza kwa niaba yangu"-
@diyembarak5506
@diyembarak5506 5 ай бұрын
One love mapenzi ya hali ya juu
@AbdulGermany210
@AbdulGermany210 3 жыл бұрын
Wewe ni mbunge kumbuka Kisha una baba raisi mstaafu, una Kaka raisi dah, hii dunia Haina usawa, tutafute pesa aisee watoto wetu wasome
@kevoolymo4647
@kevoolymo4647 Жыл бұрын
Iyo roho mbaya tafuta elaa
@leodegarfoyanshaw7111
@leodegarfoyanshaw7111 Жыл бұрын
Pamoja na shule lazima baraka za Allah ziwepo, na baraka huja kwa kutenda mema
@salumshaib2528
@salumshaib2528 3 жыл бұрын
Hapa kazi tuu""kwakweli marehemu aliitendea haki kauli mbiu yake kwa hio tunaikumbusha serikali usimamizi na ufuatiliaji ndio siri ya mafanikio ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya ya uma,kazi iendeleee
@JonasChisalun
@JonasChisalun 5 ай бұрын
kwakwel
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 3 жыл бұрын
"umri mrefu, uzima wa mwili na akili iliyo timamu."
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
huyo nani ?
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 3 жыл бұрын
@@kiri5807 Ali Hassan Mwinyi. Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
@johnkerrysibomana9062
@johnkerrysibomana9062 3 жыл бұрын
Huyu ni baba yake Rais wa Zanzibar kwasasa Dr Mwinyi?au nimekosea
@fatmarashid2066
@fatmarashid2066 3 жыл бұрын
Amin Mimi na uzazi wangu
@shamomar629
@shamomar629 3 жыл бұрын
@@johnkerrysibomana9062 ndio
@mustajany689
@mustajany689 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mzee wangu
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 3 жыл бұрын
Mzee Mwinyi alimpenda sana Magufuli
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
kiasi ampende kamuhonga mwanawe uraisi .
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 3 жыл бұрын
@@kiri5807 Husagi la kusema
@meshackngaboss1236
@meshackngaboss1236 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa alimpenda sana inaonekana utendaji wake ulimfurahisha
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
@@meshackngaboss1236. ndio hawakuthubutu kumkosoa
@nurasam5475
@nurasam5475 4 ай бұрын
Quran inasaidia uono wa macho vizuur maashaAllah
@anthonykondobole3962
@anthonykondobole3962 3 жыл бұрын
Tz bhana Kipnd corona imezidi hatukuvaa barakoa saiz ime pungua tunavaa dahh.
@aishachambo3293
@aishachambo3293 3 жыл бұрын
Kinga bora
@allenngandu17
@allenngandu17 3 жыл бұрын
kwani umelazinishwa kuvaa afya yako yakuiangalia ni wewe sasa wewe inakukera nini
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Mama kasema,
@barakabaraka9290
@barakabaraka9290 3 жыл бұрын
Kweli
@salimalaquimane2640
@salimalaquimane2640 3 жыл бұрын
Huyu mma ana tengeneza mazingira ya kuleta chanjo
@abdulkhalim5564
@abdulkhalim5564 3 жыл бұрын
Long Live Baba Mwinyi Ur a true Leader.
@michiali9814
@michiali9814 3 жыл бұрын
Mi mkenya ila nikimuona huyu mzee nafurahi vibaya love u more Allah akupe umri mrefu jamani
@mamachris6811
@mamachris6811 3 жыл бұрын
Mzee mcha Mungu,mpole,muadilifu
@michiali9814
@michiali9814 3 жыл бұрын
@@mamachris6811 Allah atasimama na yeye na kizazi chake
@sophiarashid5152
@sophiarashid5152 3 жыл бұрын
Tunakupend pia mkenya
@michiali9814
@michiali9814 3 жыл бұрын
@@sophiarashid5152 asante undugu daima
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 3 жыл бұрын
Kenyans you are the best neighbous. Tz we love you too.
@helentelemla5623
@helentelemla5623 3 жыл бұрын
Hivi awamu ya tano mlikuwepo au nawafananisha? Viziba mdomo?Mnalazimisha Corona ipo kwa nguvu?Mungu tutetee watanzania.Pumzika kwa amani Magufuli, tumeonja asali mkitulisha pilipili hatuli
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Acha wajikinge...kama vip mfate mwendazake
@wasemeabdallah7689
@wasemeabdallah7689 3 жыл бұрын
Msomi wa kwanz asietumia miwani mashallah mzee Mwinyi
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
munafanya nicheke mukimshangaa kuwa hatumii miwani .
@wasemeabdallah7689
@wasemeabdallah7689 3 жыл бұрын
@@kiri5807 kwa umri huo me nastaajabu na kumsifu cjui anakula vyakula gani😂
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
@@wasemeabdallah7689 sasa unastaajabu kupata huo umri au vipi?
@wasemeabdallah7689
@wasemeabdallah7689 3 жыл бұрын
@@kiri5807 kutokutumia miwani binafsi nmempenda bure cjawah ona msomi mweny umri kama huo akisoma bila miwan
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
@@wasemeabdallah7689 sasa siku hizi kuna lense . mimi mamaangu mtu mzima lakini havai miwani ila ana hizo lenses. inakuwa ni glass inavishwa kwenye kiduara cheusi na inakuwa chini ya ile skin ya jicjo kwa hiyo ni surgery . ikisha kuekwa hiyo imetoka tayari umevaa miwani . sasa naye atakuwa ni jivyo.
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 жыл бұрын
Rip jpm kweli uliipenda lugha yetu kiswahili.na leo umetajwa😭
@yahayaomary5639
@yahayaomary5639 3 жыл бұрын
🤮🤮🤮
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 5 ай бұрын
May his soul rest in peace!!
@hamzamohamedKeslivol
@hamzamohamedKeslivol 3 жыл бұрын
Maashallah haya ndio matunda kuwa na watoto
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Watoto wema na walio lelewa malezi mema. Unaweza kua na watoto wengi na wakawa ni mtihani tu. Uzae kisha usiwape malezi mema huku wafiki ng'ooo. Ni wazazi wangapi sasahivi wako Kama hawajazaa. Wakike makahaba, wakiume majambazi na ma rasta. Wengine ma DJ kwenye ma club .
@fatmarashid2066
@fatmarashid2066 3 жыл бұрын
@@bjzee1981 fact kabisa umeongea
@user-if8mb3xo8h
@user-if8mb3xo8h 6 ай бұрын
Naskitika sana baadh ndugu zake Awana kazi.watu wa pembeni wanapewa kazi.amkeni Mzee watu wa pwani jamani
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 7 ай бұрын
Tunakushuru mungu wetu wa haki na upendo kutuumbia mzee huyu katika nchi yetu ya tanzania.
@ziadayasin711
@ziadayasin711 5 ай бұрын
Innalillah waina lillah rajuuni Allah amsamehe makosa
@mawananasoro4405
@mawananasoro4405 3 жыл бұрын
.mungu tunamuomba tuwekee mzee wetu tunajivunia sana 😍😍😍😍😍
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 жыл бұрын
Masha allah babu yetu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 5 ай бұрын
Kiingereza sio utaalamu hata kidogo bali ni Lugha tu ya mawasiliano, vijana kama wangepewa nafasi ya kusomeshwa utaalamu unaopatikana kwenye masomo ya kitaalamu bila kuhusisha kizungu kwa asilimia 100 tungekuwa mbali sana, serikali oneni haja ya kufanya kingereza kuwa somo tu lenye kujitegemea. Sisi watanzania tunaona namna tunavyokosa utaalamu wa mambo kwaajili ya hii lugha ya kihuni duniani, hatuwezi kukuza uchumi hata tuweze kujitegemea isipokuwa kwa kuitumia lugha ya kiswahili fasaha na kingereza kibakie kusomwa kama somo la mawasiliano tu. Mutaikumbuka hii mukizeeka na vizazi vikihangaika na kujua kujibu masuali tu na kukosa utaalamu wenyewe kwa kushughurishwa na Lugha ya kizungu.
@shaklaomar697
@shaklaomar697 5 ай бұрын
Allahumafir-lahu war'hamhu waskinhu fii Jannah Ameen inshaA'llah
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 3 жыл бұрын
Duuu Barakoa Kama Zoote.Angelikuepo JPM tusingeona Hiyo mibarakoa
@fatumajuma1157
@fatumajuma1157 3 жыл бұрын
Ishapta hiyo walipta wng kbla yk Nactutapta
@mwigaali8800
@mwigaali8800 3 жыл бұрын
Yy ndo nani au alikuwa mungu. Mtu
@mwigaali8800
@mwigaali8800 3 жыл бұрын
Yy ndo nani au alikuwa mungu. Mtu
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Na ndo imemuua..ujuaji kibao chaliii
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
@@mwigaali8800 hahahhahaa nashangaa
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 4 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah hadithi mzuri
@emmanuelmaganiko7218
@emmanuelmaganiko7218 3 жыл бұрын
Sana mzee hapa kazi tu.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Ishakufa hiyo..kazi iendelee
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 3 жыл бұрын
Babu kaona isiwe tabu🥳🥳
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 5 ай бұрын
ikiambiwa mzee yuko ardhini leo,kifo kinaumiza sana,daaaaaaa,mtu mwema sana alikuwa wazee,wetu,wenye maadili ya kiafrika na uungwana wake kama hawa huwezi kuwapata leo,wakati wetu ni watu kujilimbikizia mali ndo kazi.Afrika inaenda pabaya sana
@mwajohari4385
@mwajohari4385 5 ай бұрын
Allah amrehem mzee wetu
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 3 жыл бұрын
Dunia niatari sana kabisa mme wa shilole ana vaa miwani Monday to Monday uku mzee mwenye miaka 100 ana soma utuba bila miwani 🤣🤣🤣🤣🤣Asante sana Mzee wetu
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
jamani hii ni 21 century mambo yakuvaa miwani mbona yamepitiwa na wakati? mamangu ni mtu mzima na anatumia glass zimeekwa ndani ya jicho km lense za warembo ila yake ni yakuonea na kaekewa kwa surgery . hapo hahitaji miwani inawezekana na huyu mzee ni hivyo . si tunamuona mwanawe anavaa miwani ? kwa nini yeye asivae?
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Ushetann na umalaikani tofauti
@MainethWella-zl9ux
@MainethWella-zl9ux 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@lesliesolomon3624
@lesliesolomon3624 5 ай бұрын
Buriani Mzee Ruksa 🙏
@suleimansadalla5606
@suleimansadalla5606 Жыл бұрын
Masalam Zen zen aiwaaa
@suleimansadalla5606
@suleimansadalla5606 Жыл бұрын
Qullu zein tabarak lahh
@munamuna7488
@munamuna7488 3 жыл бұрын
Niseme au nisome yote nayaona sawa🤣🤣🤣🤣🤣 unanikosha maneno yake
@josephatjordan5560
@josephatjordan5560 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@AllyMwazoa
@AllyMwazoa 3 ай бұрын
Mzee mwinyi alikua shekhe alietimia maana ukisoma miaka 15 kwa Hao vigogo alioishi nao kisha ukaishi misri ilipokua Al azhar ya zamani ikimeremeta.Aliweza kuchota mengi.Mola amrehemu
@mjsaidkeya822
@mjsaidkeya822 3 жыл бұрын
MashaAllah
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Mungu azidi kukutunza baba yetu, mzee mwenye hekima zake, na ulikua kiongozi mzuri.
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 3 жыл бұрын
Vaeni barakoa neupe au zavitambaa lakini hizo za bluu ziacheni kabsa pili muendelee kupika majungu kunwa chai ya tangawizi mdarasini lemon karafuu kila wakati
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 3 жыл бұрын
Whats wrong with the blue ones? 😅😅😅
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 3 жыл бұрын
And you really think that those made from fabric are more effective than approved surgical masks? 😅😅😅
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Jinga kubwa
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Mediocrity at its best
@michiali9814
@michiali9814 3 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 musimuite kubwa jinga jamani anayajuwa huyo mmmmmm
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 6 ай бұрын
Hamuwaki Waarabu lakini munatawala utawala uke ule wa Kiarabu wa Kisultan Baba ni Mfalme na watoto ni Wafalme hongereni Watanganyika na Wazanzibar Mapinduzi
@mgasathedon1579
@mgasathedon1579 3 жыл бұрын
Anamuandaa tena huyo mwanae
@aminalafaeringaizangaiza614
@aminalafaeringaizangaiza614 3 жыл бұрын
Uerewa tanzaznia mdogo mabarakoa ya nn Sasa wakati ndo hatarishi
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
WANA BAHATI NYUMBA NZIMA VIONGOZI.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
I wish mama akimaliza aje mwinyi mtt
@komboabdallah4451
@komboabdallah4451 3 жыл бұрын
Wake wawili ongera mzee
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Masha"Allah
@fatumajuma1157
@fatumajuma1157 3 жыл бұрын
Kitabu kimechelewa umri umeenda mengi nadhan kaandkiwa
@veronicapeterluvingo458
@veronicapeterluvingo458 Жыл бұрын
Kwahio hapa ndio tuone akimaliza ndugu mtu anafata kaka mtu tulitambue hilo zanzibar teari tumeshakua tuna mfalme na sio raisi koo ya mzee mwinyi ndio imesha kabiziwa zanzibar
@suleimansadalla5606
@suleimansadalla5606 Жыл бұрын
Mashallah
@mwajohari4385
@mwajohari4385 5 ай бұрын
Amenifunsiaha kitu mzee,kwanza amaniamsha mwenye dini
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Hv wajumbe mnajua km ndo tunaagwa hvo km mkapa alikiandka hvhv akakzndua akafark cjui itakuaje
@abdulkhamis1170
@abdulkhamis1170 3 жыл бұрын
Hayo mabarakowa ya nini hukiandikiwa kufa na corona utakufa tumtegemee mungo tu ndiyo mwenye kutuokowa sisi uswazi tunapeta tu
@abednego3876
@abednego3876 3 жыл бұрын
Yamevaa mabarakoa yamekua kama makima.
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
nyinyi waTzn muwajinga sana , huwezi kuwaita watu makima kwa kujikinga afya zao . hizo dharau ndio zilompata Magu akafa corona wacheni dharau zenu hizo wewe unaonekana ndio wale miongoni mwa wanyonge
@azizimangara9024
@azizimangara9024 5 ай бұрын
😂😂😂
@kisamurashid346
@kisamurashid346 3 ай бұрын
Hapo saw
@issazakaria863
@issazakaria863 3 жыл бұрын
Mzee Mwinyi maisha malefu
@user-lr3bv5mo6y
@user-lr3bv5mo6y 6 ай бұрын
Tubia tena allah akusameh
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 3 жыл бұрын
Hana hata miwani safi sana
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Yani uki zeeka unakua na vituko Kama utotoni
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 3 жыл бұрын
Barakowa za bluu sinzuri zina wadudu na sumu ya korona ndani yake kwahio acheni kuvaa barakowa hizo za bluu
@wilikinsmauti5573
@wilikinsmauti5573 3 жыл бұрын
Rubbish
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Jinga kubwa
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 3 жыл бұрын
Nani kakujaza ujinga huo ..!!?? Au umetumia kipimo gani kulitambua ilo ..!!??
@junioryasin5306
@junioryasin5306 3 жыл бұрын
@@wilikinsmauti5573 hahaha babako ni mauti
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 3 жыл бұрын
Huyu nae Jaman 🙄mbona sisi huku tulko ndo twavaa mda mrefu kwel na hatuumw aisee,
@munamuna7488
@munamuna7488 3 жыл бұрын
Mashallah Allah azidi kukupa umri mlefu zaidi
@upendohalisi5763
@upendohalisi5763 3 жыл бұрын
Mmh hivi barakoa imekuwaje ndo kusema corona imekuja kwa upya au, tumtegemee aliyetuumba jamani mbona twarudi misri??
@giztony2009
@giztony2009 5 ай бұрын
Acha kukarili korona imekuwepo tangu zamani
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 5 ай бұрын
Pumzika Kwa amani Babu yetu
@daviddominick5274
@daviddominick5274 5 ай бұрын
Dah
@mbarakaiddi8209
@mbarakaiddi8209 3 жыл бұрын
Kimejaa hekma kitabu hiki na maneno matam
@simongwandu7392
@simongwandu7392 3 жыл бұрын
Sasa hivi barakoa ni sehemu ya suti elimu kwa umma ni muhimu viongozi kwa viongozi wa juu kuonyesha mfano na hata kuweka mkazo Juu ya uvaaji wa barakoa
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 жыл бұрын
Mmhh barakoa
@aciamwinyi3991
@aciamwinyi3991 2 күн бұрын
Daima itakukumbuka milele
@habibajuma2444
@habibajuma2444 3 жыл бұрын
Km mnajua kuna mungu barakooa yanini
@mathewungani9724
@mathewungani9724 3 жыл бұрын
Kibabu Mwinyi
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 5 ай бұрын
Pumzika kwa amani Babu
@veronicapeterluvingo458
@veronicapeterluvingo458 Жыл бұрын
Tuamkeni Tuamkeni
@japhetdeus3464
@japhetdeus3464 3 жыл бұрын
JPM
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
😸😹😹
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
Ndoto za wapumbavu ambao bado wako ndoton mwa uwaji
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 3 жыл бұрын
💞👍🏾
@edinahebel381
@edinahebel381 3 жыл бұрын
Mazingira ya jambo lijalo huwa yanatengenezwa mapema.napata hofu na uvaaji wa barakoa isijekuwa...
@Sylvia547
@Sylvia547 3 жыл бұрын
Tanzanians mshaanza kuvaa mask??
@junioryasin5306
@junioryasin5306 3 жыл бұрын
@travelstylish nurse tuvae tu kila sehem kinga ni bora kulko tiba
@jogechi2105
@jogechi2105 3 жыл бұрын
10:23 Nani amemwona Maalim Seif?
@hemednassor2362
@hemednassor2362 3 жыл бұрын
Itakua humjui we marhuni Maalim.Seif
Namna hotuba ya Mzee Mwinyi ilivyoleta faraja kwa wafiwa
18:54
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 36 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 112 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 21 МЛН
Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24
8:03
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
Jipya laibuka kuhusiana na jinsi Ismail Haniyeh alivyouawa IRAN
2:41
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 9 М.
KUMBUKUMBU YA MZEE MKAPA ALIVYOAPISHWA KUWA RAIS MWAKA 2000
40:29
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 36 МЛН