HOTUBA YA RAIS DKT. JOHN POMBEMAGUFULI,SIKU YA SHERIA DUNIANI,FEBRUARY 4,2016

  Рет қаралды 48,309

Adam Gille

Adam Gille

Күн бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo Jumatano February 4, 2016

Пікірлер: 14
@christinedisii626
@christinedisii626 8 жыл бұрын
Ameeen mheshimiwa Magufuli Mungu akulinde na kukubariki maisha marefu
@allyhassan2532
@allyhassan2532 8 жыл бұрын
Mungu wa haki akulinde,akuongoze na akupe afya njema kuisimamia Haki nchini kwetu. Nakupenda sana Rais wangu.
@raheljon9786
@raheljon9786 8 жыл бұрын
Wow..I honestly thank God for you everyday. KwakweI Mungu mwenyewe akulinde na kukuhifadhi coz tz ilikuwa imeoza binafsi nilishakata tamaa na hii nchi lakini Mungu ameturehemu na kutupelekea kiongozi mwenye niathabiti
@borntowin168
@borntowin168 6 жыл бұрын
Am from Ghana,please can u translate his speech to English for us? I have heard about this greatest and patriotic AFRICAN president
@amankajuna5064
@amankajuna5064 8 жыл бұрын
Mimi toka mwanzo nilisha kili kuwa zawadi yangu kwako Mh. Rais wangu JPM ni kukuombea kwa Mungu akupe nguvu zaidi, hekima na maono zaidi kwa utukufu wake. asante sana Mungu wetu kwa zawadi hii njema kwa Watanzania
@aronmsigwa8717
@aronmsigwa8717 8 жыл бұрын
Good speech, Good Job my President! God bless you!
@kanyungumsasamazu6690
@kanyungumsasamazu6690 7 жыл бұрын
mungu akupe maisha malefu JPM
@maggymm7302
@maggymm7302 8 жыл бұрын
daaaamn, I LOVE MY PRESIDENT JAMAN... tumbua baba tumbuaaaa.. its really painful.
@paulvenance6843
@paulvenance6843 8 жыл бұрын
Hapa kazi tu!!
@efraziafoka1500
@efraziafoka1500 8 жыл бұрын
Hahahahahahaha he nails 👏👏👏
@emmanuelkileo7577
@emmanuelkileo7577 8 жыл бұрын
ukimsifu mgema tembo ulitia maji
@aronmsigwa8717
@aronmsigwa8717 8 жыл бұрын
+Emmanuel Kileo Hapa ni Kazi Tu, Mhe. Rais anastahili pongezi kwa kazi nzuri anayoifanya! hata usiposemama wewe Mungu atainua hata mawe kumpongeza Rais wetu!
@emmanuelkileo7577
@emmanuelkileo7577 8 жыл бұрын
Mmmmmmh si kweli
Hotuba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli   Udsm,june 02,2016
59:36
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 18 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 31 МЛН
HOTUBA YA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI CHAMWINO DODOMA   21 MAY 2020
28:29
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 25 М.
Agizo la Rais Magufuli kuhusu Wamachinga
22:08
Millard Ayo
Рет қаралды 344 М.
IKULU: HOTUBA YA RAIS MAGUFULI FEB 25 2017
21:13
Millard Ayo
Рет қаралды 69 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36