Asnte shehe ponda me mkiristo Ila nakukubal Sana mzee wangu
@prospermalala66362 ай бұрын
Mzeee wetu sheikh Ponda Mungu yupo pamoja nawe ktk kuielimisha jamiii ielewe kinachojiri kwenye Taifa letu, ❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏
@udazakikoti34192 ай бұрын
Ongela sana sheikh ponda, ALLAH akujaalie kwa mchango wako mkubwa wa mawazo ndani ya nchi yetu
@jadetoto2 ай бұрын
Ni hongera jamani khaaq
@ALLY-w6d2 ай бұрын
Shekhe ...safi upepesi kitu mungu akupe afya na akupe mwisho mwema
@officiallnobystar2 ай бұрын
Viva Shekhe Ponda Mungu Akulinde Na Atulinde Wa Tz Wote
@HassanKibwana-h3w2 ай бұрын
Sheikh ponda upo vizur sana sheikh
@nasibuselemani2 ай бұрын
Kila nikikuona shehe Ponda ,nakumbuka mbali sana,allah aendelee kituhifadhi
@margarethpolepole74382 ай бұрын
Mungu tusaidie watu wanauwawa sanaaaa na kutekwa wanawake tunapata uchungu wa uzazi matumbo yanauma
@ashuramuhammed32572 ай бұрын
Huyu shehe shujaa na anaakili timamu huyu shehe hadhina ya taifa umeongea ukweli
@NorbethJosphath-hm1zb2 ай бұрын
Hongera ponda ukuko vizuri nilikuwa kuwa nalikuwa nawakukia waslimu nalikuwa naona kama hawana huruma naomba mnisamehe kweli baba yangu umeonyesha huruma angaria hata mchungaji mbalikiwa mwakipesile anafyopitia sema na Rais muone namna yakusaidia
@hajjijm99352 ай бұрын
Pole sana tunajua sio kosa lako ila ndo imani mnayo aminishwa katika mafunzo yenu pengne ila uislam ni dini ya amani na huruma yote unayoyasikia juu yetu ni propaganda na chuki dhidi ya waislam na uislam.
@godfreydavid69962 ай бұрын
Hakuna Kanisa hata moja linalofundisha chuki,tunafundishwa kusamehe,kuheshimu na kuwajali wanadamu wote.@@hajjijm9935
@philimonyongola24202 ай бұрын
Nakupenda sana shekh Ponda
@EmerecianaWumbe2 ай бұрын
Shekh Mponda si mnafiki anasema ukweli ishu za Taifa
@justardzelphine65262 ай бұрын
Umeongea vizuri sana
@StevenSanga-n3n2 ай бұрын
Mzee ajapindishaaa
@IsayaSosolo-nx8zk2 ай бұрын
Ponda unaeleweka saana hupindishagi manneno, Kwa maana ilivyo kuna haja ya kuandika katiba mpya,
@mataypanga52622 ай бұрын
Kwa vile ana akili nzuri,aongezewe kazi,awe mbunge ili mema yake yawe sheria
@KassimMwembe2 ай бұрын
Hawa ndio viongozi ambao ukiwasikiliza unaona kbs wana uzalengo na faida kubwa mno coz wanakushauri na wanakupa njia nn ufanye ili kurekebisha ttzo.
@YonahMwakalobo2 ай бұрын
Tuko katika wakati mgumu sana.
@chemli232 ай бұрын
Hata ukiwa mkubwa VP Kaa ukijua Kuna siku utaliacha taifa Kwa hiyo mulilo Kuna siku utaliacha kazi na kwenda kuungana na familia Yako Kwa hiyo tenda haki.
@HeriMohamedi-re7xu2 ай бұрын
Kwa waislam naona she ponda ndio anapiga kelele kukemea lakini kuna mziwanda wamezoea kigodoro ndio hawasemi kitu anaongea utumbo