Hizo ni chokochoko tu unazotafuta na wala huna lengo la kuitafuta elimu,ni majungu tu hayo
@AbdulIssa-o7e3 ай бұрын
Huyu alitaraji shekhe ajibu linafaa afurahi na nafsi yake ndo walivyo watu wa matamanio hawataki hakki arafu mahodari kusema tunampenda mtume kumbe wanapinga maelekezo yake alokuja nayo wanataka yalotungwa na babu zao so la muhammadi rassulu llah,wanalitupilia kule shika la shekhe wake madamu anafanya nae aanajuwa halali kumbe so halali tahdharini ninyi watu munao muhatufu mtume Allah amekemea makemeo makali mno watahdhari wale wanaompinga mtume itawakuta litawajia.adhabu kali au fitna ,kumkamusha mtume so lazima useme kwa ulimi ile kuacha mafundisho yake ukashika yako nako kumpinga hujamfata hapo umekubali kwa ulimi kivitendo vinamkataa mtume ni aliletwa nwalimu kwetu kile alichifanya sisi ndo tumuige na alitufundisha kila jambo hadi mazishi unasemaje ninyi mkaona halifai hilo la kumuobea duwa maiyt mkafata njia zilizobuniwa na watu haya msipo badilika mtakuja kujuta
@AbdulIssa-o7e3 ай бұрын
Shekhe upo sahihi shida ya watu waloacha hakki wakashika batwil ni wagumu sana kuelewa watu wa matamanio hawataki kabisa sunnah ya mtume wao madamu mtu kazaliwa kakuta babu yake anafanya nae anafanya anajuwa ndo dini ukimletea dalili mtume kafanya hivi hakufanya hivyo akubaliani na mtume atakubaliana na linalofanywa na shehe wake au babu yake so mtume muhamadi hwtaki sunnah watu na ukiwaeleza wanakuwa wakali xana ibilis ameteka nafsi zao
@huseninchasi3 ай бұрын
Je yafaa kumsomea maiti Qur'an baada ya kufa ili zimfikie
@Hamis-ks1sy3 ай бұрын
Kuna khilafu baina ya ulamaa akhy mfano Imam Shafii na imam Annawawi rahimahumullah wamepinga hilo lakini tuendelee kufutilia zaid ili kujua dalili nyingine zaidi kutoka kwa wanazuoni.
@hilalkhalfan14523 ай бұрын
@@Hamis-ks1syHakuna aliopinga Ni ufahamu tu.
@hilalkhalfan14523 ай бұрын
Unafaa kumfanyia kila unaloliweza.
@Hamis-ks1sy3 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 Akhy wapo waliopinga nenda kaangalie tafsir ya Ibn Kaathiir tafsir kuanzia aya ya 39 suuratnnajmi utakuta hayo maelezo.
@Hamis-ks1sy3 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 akhy pia ongezea ambalo limethibiti kisheria afwan!
@IsmailJuma-zb5ni3 ай бұрын
Tumeambiwa kila jambo hulipwa kutokana na nia sasa kwanini mtu uwe na mashaka hivo?
@AbdulIssa-o7e3 ай бұрын
Jambo ulipwa na nia kwa msingi wa ibada ya ilofundishwa au ya kuzusha shida watu wakishiklia batil hwawezi kubali hakki we umezaliwa umekuta babu yk anafanya nawe ukafanya unajuwa ndo dini kumbe so ktik mafundisho ya mtume ndo shida ya mtu akishika bidaa shetwani amewashikilia na kuwapambia yale mnayofanya muone mazuri kwahilo mr.ibilis amefanikiwa kuwapambia waislamu waache mafundisho ya mtume wao washike batwil
@hilalkhalfan14523 ай бұрын
SHEIKH UMESEMA DALILI, QUR AN, ISEMAYO "ALIOKUAMRISHENI MTUME SAW MULIFANYE NA ALIOTUKATAZENI MUYAACHE" WEWE : ukasema , MAHALILU TUACHE. KUMBUKA KUWA HAIMO KATIKA YALIOKATAZWA NA AYA INASEMA YALIOKATAZWA. SUALI. JEE KWANINI UMEITUMIA DALILI AYA AMBAO HAIHUSIKI NA SUALI ULILOULIZWA?!!!. HUONI KUWA SHEIKH UNAWEZA KUINGIA KWA WALE WANAO FASIRI QUR ANI KINYUME CHA MAANA?!!!. NA WEYE NI SHEIKH UNAETEGEMEWA UNAFANYA KOSA KUBWA KAMA HILO BILA KUZINGATIA BAINA YA AYA NA SUALI!
@AbdulIssa-o7e3 ай бұрын
Badilikeni nyi watu wa bidaa kazi yenu kila hoja nyi kuunga tuuh semeni kama mnamkadhibisha mtume sabu shekhe Ana nukuu mafundisho ya mtume hapo ulitaka jibu kufata matamanio yako so kilichothibiti kwa mtume ndo ufurahy unaleta vihoja na kumvunjia shekhe heshima Allah anasema alilokupeni mtume chukieni alilokukataza wacheni sasa unaleta hoja za kijinga kabisa ambazo hata mtoto hawezi uliza hivyo alilokupeni mtume chukieni alilokataza liwacheni sasa kitu unaangalia kiongozi alipofiwa alifanyaje unafata vile alivo fanya na ndo uislamu hata maswahaba walimuangalia mtume anafanyaje akifiwa au anapokufa mtu yule ni mtume lakini vile vile mwalimu alikuja kufundisha sasa liliothibiti kwa mtume kumuombea duwa maity sasa ww unataka njia zilizobuniwa na watu so mtume arafu hapo hapo unataka pepo pepo ya nani uipate ikiwa alofundisha njia ya kuiona hiyo pepo mafundisho yake hamuyataki hata ningekuwa mie siwez kupa hiyo pepo ww Allah kamtuma mjumbe wake aje awafundishe njia taabu yote mtume kapitia na mateso makali kuwafahamisha ummah njia ya kumjuwa Allah ni mumuige yey na mumfate yeye sasa alichokuja nacho hamkiaki mnataka yalozushwa na wanadamu na allah amesema na watahdhari wale wanaomuharifu mtume isije wakuta adhabu kali au fitna, sasa mtume alisoma alimuombea duwa mayt nyi mkaona halifai hilo tulete letu Allah amesema amekuwa mtume kwenu kiigizo bora kwenu,sasa simtime kumpinga mtume so lazima utamke kwa ulimi kukataa mafundisho yake moja ya kumpinga nako kuharifu mafundisho yake ni kumkadhibisha mtume kivitendo na hilo jambo baya sana litawaghalimu watu siku ya kiama
@SaidiRamadhani-j3i3 ай бұрын
Huyu sheikh yeye mwenyewe haja jua kama inafaa kusoma alafu anasema ni kama alivyo soma yeye , je , anaesoma muhalillaah anapata thawabu au hapati? Huyo sheikh na ibnu taimiya nani ni thiqah zaidi au anataka kumfanya imam ibnu taimiya amekosea alafu yeye ndio yuko sahihi !! Mawahabi wants wanashida sana
@AbdulIssa-o7e3 ай бұрын
Acha chuki zako na ujahli ulitaka aseme linafaa ndo mfulahi ndo shida ya watu wa matamanio lile jambo la mtume wako unaliacha unataka ulillokuta wazee wako wanafanya shekhee yupo sahihi anakuu liilotoka kwa mtume yeye ndo kiigizo bora kwetu semeni kama mnampinga mtume kina kona nyingi za nini mnasingizia uwahbi Allah anasema mnae mtume kiigizo bora kwenu anacho kupeni mtume chukieni anachokataza wacheni sasa kuna maana gani ya mungu kumuleta mtume ikiwa hamutaki kumuiga mnataka yenu ndo shida yenu watu wa bidaa shetwani amewateka kawapambia mambo mkaona mazuri mkawacha ya mtume mkabuni njia za watu sawa ila ipo siku mtamkumbuka Hawa mashekhe wanaowakataza batwil mnawakaidi lakini muda utopata huo muislamu unaambiwa mtume wako hakufanya ww unakaidi shekhe anafikisha tuuh yey
@MohamedHassan-kk5te3 ай бұрын
Sheikh hapa kachemka kwani jambo mtume kama hajalifanya ndio dalili kuwa halifai kufanywaaaaa?
@AbdulIssa-o7e3 ай бұрын
Ww ndo umechemka shekhe yupo sahihi ulitaka aseme inafaa ndo ulizike ndo shida ya watu walokumbatia bidaa hawataki hakki kabisa shekhe anafata kilichothibiti kwa mtume ndo sahihi umezaliwa umekuta babu yako anafanya bidaa ukajuwa ile ndo dini kumbe ujahli tupu ndo shida ya watu wa matamanio mnatakaga mnachotaka ninyi hamtaki la mtume hata Allah alimwambia mtume wake laiti ukiwatii hwo watu watakupoteza na njia ya mwenyezi mungu ww endelea na bidaa zako usimkaidi shkhe sawa unataka aseme jambo linafaa akati alina dalili kwakuwa ww umepotea unataka na wengine wapotee
@AbdulIssa-o7e3 ай бұрын
Ww ndo umechemka shekhe yupo sahihi ulitaka aseme inafaa ndo ulizike ndo shida ya watu walokumbatia bidaa hawataki hakki kabisa shekhe anafata kilichothibiti kwa mtume ndo sahihi umezaliwa umekuta babu yako anafanya bidaa ukajuwa ile ndo dini kumbe ujahli tupu ndo shida ya watu wa matamanio mnatakaga mnachotaka ninyi hamtaki la mtume hata Allah alimwambia mtume wake laiti ukiwatii hwo watu watakupoteza na njia ya mwenyezi mungu ww endelea na bidaa zako usimkaidi shkhe sawa unataka aseme jambo linafaa akati alina dalili kwakuwa ww umepotea unataka na wengine wapotee
@IbrahimuFumbwe3 ай бұрын
Muongo ww )dalili ya mashindano ya qurani ktk kitabu na Sunna unayo)hiyo ni Mut laka cio muttabia)muongo ww
@AbdulIssa-o7e3 ай бұрын
Ndo shida ya watu wa matamanio hapo ulitaka shekhe aseme linafaa ndo ufurahy kwenye nyoyo yako kwa kuwa umezaliwa ukakuta babu yako analifanya na shekhe wako ukajuwa ndo dini hata kama anamuharifu mtume badilikeni ninyi watu wenye kibri katika mafundisho ya mtume kila jambo mnalikadhibisha haitawasaidia kitu shekhe yupo sahihi jambo lililodhibiti kwa mtume au maswahaba halina asingekataa lakini ni uzushi tuuh Allah Ana sema analokupeni mtume chukieni analokukatazeni liwacheni sasa kiongozi wa ummah alitumwa kukufundisha ww dini unampinga mafundisho yake hutaki unataka kufata lililozushwa na watu arafu unataka pepo pepo yanani upate yule alokuja kuwaelekeza njia ya pepo mafundisho yake hamtaki mnataka yalozushwa na wanadanu nani akupe pepo wakati huyo mwenye pepo alimtuma mjumbe wake mnakaidi kibri hakitakufaa kitu na allh ksema kwenye kuruani wanaompinga mtume hali ya kuwa wongofu umekwisha wajia atawaelekeza walikoelekea usimvunjie heshima shekhe kwa matamanio yako mche allah