Mwanamke Akiwa Na Sifa Hizi Tano (5) Ukioa Ujue Umeoa Matatizo // Sheikh Othman Michael

  Рет қаралды 49,416

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

Ай бұрын

QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM KZbin @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 profile.php?...
TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com/creator-center

Пікірлер: 39
@Raissaabdoul
@Raissaabdoul 14 күн бұрын
♥️♥️Mke wangu iko ivo pia mungu amuongoze😢😢🥰🥰🥰
@mziguwaosman8539
@mziguwaosman8539 7 күн бұрын
Asalamualekum warahmatulahi wabarakatu ila sheikh hata kama huna chochote hata heshima basi maana maisha ya siku hizi nikusaidiyana hasa huku kwetu sehemu za juu hakuna mwaume anaye nunulia mke nguo kwa sababu akisha fanya hata ile pesa ya mshara inakuwa haitoshi kwenye matumizi ya nyumba ndio maana sisi wamarekani hatukai majumbani sisi wanawake nanyi pia tuna wavulia sheikh
@AminaKassim-ni9wd
@AminaKassim-ni9wd Ай бұрын
Yani asilimia kubwa ya wanaume awajui matunzo kiukweli wanatufuja sana wallah mungu anawaona wanaume wote wafujaji alafu wakishamfuja mwanamke wanaangaika nnje kutafuta vizuri mke afai tena
@user-fq3ox7yq5m
@user-fq3ox7yq5m Ай бұрын
Sio kweli hata mkipendwa hampendeki Allah anawaona nyie lakini mpo wachache mnamapenzi
@CikeTanzania
@CikeTanzania Ай бұрын
Kweli kabisaa.
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i Ай бұрын
❤❤❤ Subhana Allah 🙄🙄🙄 apo ktk siri ni kweli ,,,,lkn khs malez mmmmh apo sheikh
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Ай бұрын
Mmhh masheikh hebu tusaidieni hapa kwenye hili jambo
@lub408
@lub408 21 күн бұрын
Muguakubarki
@LailaMichael-t3h
@LailaMichael-t3h 20 күн бұрын
Kweli sheikh Dua zenu Allah atuongoze inshaallah
@ZainabShaibu-kz5sd
@ZainabShaibu-kz5sd 22 күн бұрын
Asslm alykm warahmatullah wabarakaatuh jaman sis ni waislamu ni kitu kimoja hakuna haja ya kutukanan ikitokea shekhe kaongea maneno wew huyakubali bas kaa kimya kunyamaza si ujinga mtume katuhusia sana kunyamaza yanin kutukanan je muoslamu unamtukan muoslamu mweziyo kafir atafanyaje? Kama kwako ni upuuz mwengine kwake kaona maneno mazur tuache ikhtilaafu za kimadhhebu waislamu sis ni kitu kimoja kama mtu humkubali bas msikilize unae mkubal.
@BarakaJackson-q2v
@BarakaJackson-q2v 11 күн бұрын
Tunakiona kitu hiko ndani ya ndoa zetu mwalimu
@Hussenmadua
@Hussenmadua Ай бұрын
Siku zote ukwer unauma kiukwer asrimia kubwa mtoto anae rerewa na mm ndio wote niwazazi Ila bb nimchango mkubwa San kwakumuongoza mwanae alafu msiwe msiwe mkifananisha mitume nakarne yasasa mitume wamama wamitume waribalikiwa Bwana ukwer usemwa
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 Ай бұрын
Mashaallah tabarakaah Shukran Sheikh wetu mawaiza mazuri ❤
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Ай бұрын
maneno ya KIPUUZI,mtume صلى الله عليه وسلم amesema mama ndiye mwalimu wa watoto!! Imaam Maaliki kalelewa na mama bila baba,imaam shafii kalelewa na mama bila baba,imaamu sunna Ahmed bin hambali kalelewa na mama bila baba!! ongea maneno yenye dalili,dini ni aliyofundisha mtume,!!na hakuna nyanja ambayo mtume hakufundisha!!
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji Ай бұрын
Nikweli kbs
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f Ай бұрын
ila unakosea (upuuzi) erro
@Abuqayyim157
@Abuqayyim157 Ай бұрын
Nazungumziaa zama gaaani ndugu
@khadijasoud8026
@khadijasoud8026 Ай бұрын
Usiseme mwanamke mwema haachiki mwiko unatia unyonge wanawake hakuna mwanamke asotaka mume ila wanaue mnatoa talkative bila sababu ya singing ila Allah ndo mjuzi sio weye Sheikh wallahi umekosea kutamna hayo maneno makali
@shamsijuma5050
@shamsijuma5050 Ай бұрын
Mashaalla nawapendaga watu Kama ninyi Allah akuweke wape ukweli bana akhy
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Ай бұрын
Almdulillahi
@AmidaJuma-uv8lj
@AmidaJuma-uv8lj Ай бұрын
We othumani wewe ujuitu maisha ya watu
@sujmasukuzi5671
@sujmasukuzi5671 21 күн бұрын
😅
@user-wz8hw2kk8n
@user-wz8hw2kk8n 20 күн бұрын
Shekh Sasa hivi single mom wamezidi kwa sababu wanaume wa siku hizi hawajitambui na hawataki majukuumu kwa hiyo tuwache tu tupambaneee
@KhanisMakame-wf8yn
@KhanisMakame-wf8yn Ай бұрын
Mmmmmmmhhh weweeer
@AmidaJuma-uv8lj
@AmidaJuma-uv8lj Ай бұрын
Othumani hadi wanume wako ivyo jmn
@AbdurmujiibuAbdurjabari
@AbdurmujiibuAbdurjabari 14 күн бұрын
wanawake wanakera asa madomo
@GeorgePogals
@GeorgePogals Ай бұрын
Shee ila wengine utafutaji mgumu shee unatuzalilisha
@SaquinaMinrage-ll7id
@SaquinaMinrage-ll7id Ай бұрын
Wanaume wa siku izi hata unawafanyia nini anatafuta tu njee
@faizaa155
@faizaa155 Ай бұрын
Siukweli mke ndio ajua kulea kuliko mume kumbuka imam mmoja alilelewa n mama akawaimamu mkubwa
@LatifahIddy-hb5qw
@LatifahIddy-hb5qw Ай бұрын
Mmh kila mzaz ana nafas huwez kusem mama anaweza kulea mtoto wa kiume na kumpa malez ya kiume
@fatumamboweto
@fatumamboweto Ай бұрын
Hamza kimaro maneno mbona makali
@Hairiakhamis
@Hairiakhamis 29 күн бұрын
Kumbe keni kua mtume (s w a ) amesema adhabu Kali zitawapata watt wa Adam lakini kupita mababa kwaiyo hamtakiwi mtuachie wanawake t Bali na nyinyi msimame kama wanaume
@YassinHamdanyassin
@YassinHamdanyassin Ай бұрын
hakuna kitu munajua kuhusu dini munajua kuhubiri mwanamke na mwanaume munaona kama unahubiri kitu ya maana
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Ай бұрын
Sasa hii SI ndoa Kila mahubili mahali pake
@abdulghafursalum4373
@abdulghafursalum4373 Ай бұрын
Ila sheikh wengine wanajiachisha wenywe kwa kupewa maneno ya fitna na kibaya zaid unamkuta kishaposwa na hakupi hata nafasi y kukusikiliza wanamua, na hao wanaotoa fitina hawamfuat muhisikk kikubwa ni kukosa hekima na busara kwa wanawake. Allah s.w atupe subra
@Hairiakhamis
@Hairiakhamis 29 күн бұрын
Ss wanawake atukatai kua kuna maimam wamelelewa na mam t ila kumbukeni enyi wanaume ss ni walezi ila nyinyi ni wasimaminzi
@GeorgePogals
@GeorgePogals Ай бұрын
Shee ila wengine utafutaji mgumu shee unatuzalilisha
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f Ай бұрын
mbona kwenye ushoga hamjasema kama mmezalilishwa ndugu
KISA CHA MKE WA SHEIKH MZINIFU -  SHEIKH OTHMAN MICHAEL
40:00
Kalamutz
Рет қаралды 132 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 7 МЛН
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 16 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 23 МЛН
CHOZI LA MWANAMKE LINAFUNGA MIKONO - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
40:20
JUA KU ISHI NA MARAFIKI NA MA ADUI... OTHMAN MAALIM
34:54
Said Salim Matango
Рет қаралды 1,6 МЛН
KISA CHA KUNGURU NA MAJI YA ZAMZAM//SHEIKH OTHMAN MAALIM.
18:18
arkas online tv
Рет қаралды 188 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 7 МЛН