Kitu kimoja nnachokipenda kwa sheikh huyu mashallah ameshika sunna haswaaaaa ya rasul wetu.....ni kua anatoa nafasi ya maswali na majibu...sio kama ma sheikh wengine wao ni khutba tuuuuuuu huna nafasi ya kuuliza.....
@emamuharamain45525 жыл бұрын
Kweli kabisa
@ramakibati74155 жыл бұрын
Sheikh Wang Allah akupe umri mrefu namwisho mwema iliuzidi kutupa faida zaidinazidi inshaallah
@dulaedyy30875 жыл бұрын
Mungu akuzidishie na ambaye hakufaham arudi utotonn
@TrueTrue-u4h3 ай бұрын
Assallam alleikum Mimi nimemfumania mume wangu Na hawara wake kwenye nyumba yangu Na mume katowa talaka bila Mimi kuitisha Kwa aibu Na mimi SITAKI Tena juu amekuwa akizini Na hata tunafunga ndoa Na alkuwa Na mtoto njee familia yake ilificha jee Niko SAHIH kusema simtaki
@TrueTrue-u4h3 ай бұрын
Naomba jibu tafadhali
@zainabuhmbabazi49285 жыл бұрын
Yan wanaume wana mcezo katka ndowa na wataulizwa na ALLAH
@ramadhanchaurembo74185 жыл бұрын
Jazzakhah Allah khaira
@IbrahimBakari-o4s Жыл бұрын
Mashaallah
@aminasaid38245 жыл бұрын
Je mke kaachwa talaka 1 na akaregelewa na baada ya miez kadhaa akapewa tena 2 zikatimia 3 na baada ya masiku machache ya eda meme akahitaji tendo la ndoa na mke akaridhia je inakuwaj hiyo. ?
@jumatano2425 жыл бұрын
A/alaykum dada Amina me najaribu kukujibu suali lako ila pia ulizia zaid, hapo itakuwa wamezini maana ata kma ypo ktk eda hawez kumrejea tena maana talaka zimeisha asubirie aolewe na mtu mwengne aachwe ndoakamuoe tena wallah aalam
@is-hakayussuf99815 жыл бұрын
Zina iyo
@kausarsaleh7085 жыл бұрын
Mmh wengine yanatukuta
@ummusalim19912 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@halimakhalfan11964 жыл бұрын
je akikuambia tuachane n sahh
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Shukran
@MuhammadMuhammad-lq2um Жыл бұрын
Kwa mfano umwambie mimi na wewe basi je? Itakua imepita talaka?
@abdallalali73965 жыл бұрын
Eyes
@abdirizakoma24695 жыл бұрын
Huyu sheikh yuwakaa masjid gani huku kenya tafadhali muniambie
@abubakarabdulaziz91555 жыл бұрын
Yuko masjid Shibu hapo mwembe tayari
@anwarelviejo62705 жыл бұрын
masjid shibu
@abullahkabaka87745 жыл бұрын
MASHALLAH ALEIK
@MaryamMaryam-sr8zp3 жыл бұрын
Je kama mke hamtaki mume na akaludishia mahali yake mumewe naakaipokea je inaluhusiwa?naje talaka huandika mume au mke?