"HUTAKUJA KUSAHAU KWENYE MAISHA YAKO - UMEPATAJE UJASIRI wa KUSEMA AMENIDANGANYA?'' - RC MAKONDA...

  Рет қаралды 50,333

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

"HUTAKUJA KUSAHAU KWENYE MAISHA YAKO - UMEPATAJE UJASIRI wa KUSEMA AMENIDANGANYA?'' - RC MAKONDA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 85
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@Nestoemanuel
@Nestoemanuel 4 ай бұрын
Zawadi gani waungo tu
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@hamishassan6784
@hamishassan6784 4 ай бұрын
Na anaye sema makonda anaonea na Kudhalilisha watumishi na aone kisha aseme. Mungu akulinde na na Muomba Allah s w akuhifadhi na akuongoze fanya kazi mama aliyokupa naamini mama pia anafahamu haya kwani wapo watu wazembe wenye kutetea uzembe unaofanyika kwa watumishi waserikali na kuifanya serikali yetu ionekane imeoza wewe safisha chapa kazi muwakilishe mama vyema na naomba pale watakapo kuita basi wakupiongeze kwa maana wajue kuwa unautofauti na sisi wananchi tupo pamoja nawe
@TertulaDonath
@TertulaDonath 4 ай бұрын
Makonda mungu hakupe maisha marefu
@chalemofaraji8797
@chalemofaraji8797 4 ай бұрын
Alllah akulinde makonda Kwa KAZI nzuri unaifanya yaan sina hata la kusema nazidi kukuombea dua 🇬🇷🇬🇷🇹🇿
@JacksonMollel-c8e
@JacksonMollel-c8e 4 ай бұрын
Makonda sio wakudanganywa!! Asante Kwa Busara zako Kwa Injinia Mh, Makonda
@joycemwango943
@joycemwango943 4 ай бұрын
Ubarikiwe MH, MAKONDA kwa kujali wanaichi.
@AdamYusuph-iv7gr
@AdamYusuph-iv7gr 4 ай бұрын
Fanya kazi broo tunakutegemea kuwa Rai's wetu wa baadaye
@DaudKoroso
@DaudKoroso 4 ай бұрын
Ahsante sana. Makonda hupindishi. Humo humo
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 4 ай бұрын
Watu wanene wachunguzwe wanakula rushwa ukila kwa jasho huwez nenepa sana kidogo tu
@sophsoph4740
@sophsoph4740 4 ай бұрын
😂😂mbona watu wanene😂😂
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 4 ай бұрын
@@sophsoph4740 hahahaha si wanakula chochote kwasababu pesa hawajaitolea jasho
@agathasungura5047
@agathasungura5047 4 ай бұрын
😅😂😂
@jessybaraka5899
@jessybaraka5899 2 ай бұрын
Haki kakayangu makonda Mungu akufinike na damu ha yesu maana unawatetea wanyonge Sana
@alinasor8553
@alinasor8553 4 ай бұрын
Mtihani
@raymondkihaka1827
@raymondkihaka1827 4 ай бұрын
Ila kwakweli ndungu yangu makonda wewe umechaguliwa na mungu
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 4 ай бұрын
Kwisha habari yake😢😢😢😢 unabishana na Mwananchi
@mahirmohd1931
@mahirmohd1931 4 ай бұрын
Yaaan 👏👏👏👏👏👏MAKONDA NI KIONGOZI CHUMA YAAN MTU WA MAANA KABSA💪👊 PIGA KAZI NA MUNGU AKULINDE KTK JINA LA YESU🙏
@issaally8817
@issaally8817 4 ай бұрын
mwenyezi Mungu akuongoze vyema
@abdulymaeda2697
@abdulymaeda2697 4 ай бұрын
Asantee asanteh nani kasikia
@KassimuMbarack
@KassimuMbarack 4 ай бұрын
Good
@amosmahona433
@amosmahona433 4 ай бұрын
HIi Nchi inatakiwa kwenda namna hii kibabe kibabe
@dominaMushi
@dominaMushi 4 ай бұрын
Idara ya maji waizi mimi mwezi wa 3 sikutumia maji kabisa ila nimeletewa bili ya unit 9 natangia nifunge maji sikuwahi tumia zaidi ya until 2 ila kwa sasa nashangaa napewa bili hewa
@phaustineJoseph
@phaustineJoseph 3 ай бұрын
Makonda nimekukubali una technical questions
@joelvideotv1372
@joelvideotv1372 4 ай бұрын
Makonda atakuja kuuwa watu kwapleshaaa maana watu wanakua pesaaa za selikalo
@saidyusuph7357
@saidyusuph7357 3 ай бұрын
Kweli arusha mbovu. Sasa makonda acha awapige spana😅
@IsmailAlly-u3l
@IsmailAlly-u3l 4 ай бұрын
Uyu jamaa engeneer ni mpigaji sana.....nakumbuka aweso alishamtumbuaga.....
@jacksonmagola1824
@jacksonmagola1824 3 ай бұрын
Natamani kufanya kazi na makondaa
@babuukimario6146
@babuukimario6146 4 ай бұрын
Kuanzia Leo nakuita profesa makonda.
@luhindamatati5273
@luhindamatati5273 4 ай бұрын
Refa ana sema Gori linesmen ana sema kona! Hapo sijui itakuaje
@AshuraChamwana
@AshuraChamwana 4 ай бұрын
Nasikiaraha kumsikiliza makonda
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 4 ай бұрын
Walijua magufuli amekufa, kumbefikira zake zinaishi mafisadi wote wapigwe hao mafisadi
@MDUYARAMAMduyarama
@MDUYARAMAMduyarama 4 ай бұрын
Makonda ataijenga Arusha mama ameleta mtu sahivi ataiweza Arusha
@tiopherysanga2934
@tiopherysanga2934 3 ай бұрын
nikimuangalia makonda namuona jpm kabisa
@agathasungura5047
@agathasungura5047 4 ай бұрын
Wananch hawana masihara tunatoa kodi kila kona alafu mtu analeta mambo ya ajabu
@Shebyboy-vw9rh
@Shebyboy-vw9rh 4 ай бұрын
Nyoka nao hao
@ReganRingo
@ReganRingo 3 ай бұрын
Kamataaa
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 4 ай бұрын
Kuongoza wamasai ni kazi ngumu
@edinamwafongo9130
@edinamwafongo9130 4 ай бұрын
Tatizo mh makonda anamaswali magum mno,kujb viongozi wanamuogopa
@alinasor8553
@alinasor8553 4 ай бұрын
Au wanaekana hawa tuu maka zini
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 4 ай бұрын
Uwe raisi Kwa kweli unatodha mwaka 2030
@maingwamaingwa9887
@maingwamaingwa9887 4 ай бұрын
Baadhi ya viongozi kuweni na huruma na familia za wenzenu nyie mmkaa kungalia yenu tu so powa
@eliangikundimlay3084
@eliangikundimlay3084 4 ай бұрын
Hyo mita inaxoma maji hayajafk
@GeofreyBalyo
@GeofreyBalyo 4 ай бұрын
hee mimi mwanzoni walivyokua wanamtania kuwa hajasoma nikajua kwel kumbe hapana .mwamba shule imo sio kubwa ila anaitumia vizur
@daudimwaipaja1734
@daudimwaipaja1734 4 ай бұрын
Naomba nitajie hata watatu tu waliosoma wanaoitumia elimu Yao vzr mnaowaita wasomi ndio vilaza wa nchi hii na ndio waliotuhalibia nchi tetu
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
Daah wafanya kazi kama hawa wanatakiwa kwanza kuwekwa ndani hata kwa miezi miwili kwanza afu kazi anapewa mwengine ndo watapata funzo
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 4 ай бұрын
Bado nasema mnazaririshwa na matatizo ya watu kama yote
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
Hapo sasa
@peterhelpeterluena9191
@peterhelpeterluena9191 4 ай бұрын
Wewe Huna matatizo?
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 4 ай бұрын
@@peterhelpeterluena9191 watoto wamajipu
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 ай бұрын
MAKONDA UKIWA RAIS WAFANYAKAZI WATAOGOPA KUIBA KULA RUSWA ATA SENTI AMSINI APO NDIO RAZIMA UCHUMI NA MANDELEO YA TANZANIA YATAKUA SUPER MUNGU AKUBALIKI UWE RAIS WA TANZANIA MAKUFULI JUNIOR CHAPA KAZI
@starjay3052
@starjay3052 4 ай бұрын
uyu jamaa uraisi apewe tu
@EliasMaduka-r5r
@EliasMaduka-r5r 4 ай бұрын
Magufuli ametuachia jembe jembe kweli
@simulizitanzania2571
@simulizitanzania2571 4 ай бұрын
Ila kwenye Cross examination Makonda uko vizuri sana. Very smart
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
😂😂😂😂 mwamba
@maxmilliannoel2605
@maxmilliannoel2605 4 ай бұрын
Very smart
@nyembomajid1262
@nyembomajid1262 3 ай бұрын
makonda anawabana wale wanao tapa tapa Kwa maswali makonda hapendi uongo kua mkweli sijafika nilifika kabla hayo sijafika yaani hapo ndo makonda anawazidi akili
@leonardobedi4779
@leonardobedi4779 4 ай бұрын
alaf wanatokea watu wanasema makonda usitumie lugha kali… ebu wawe serious ase.. piga kazi makonda
@gwakisakaswaga5249
@gwakisakaswaga5249 4 ай бұрын
Hao ni walewale wanaonenepesha matumbo yao kama nguruwe bila kujali hali mbaya za wananchi. Uzuri ni kwamba Makonda majungu na figisu zao anazijua na anawaweza pia...PIGA KAZI usikatishwe tamaa na Wapuuzi wachache tulio wengi tunathamini jitihada zako
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 4 ай бұрын
Hawa jamaa zetu sa ingine ni janja sana, unaezakuta jamaa wa watu kachomewa utambi kumbe wanakata bomba makusudi😂😂😂
@wamburasungura6812
@wamburasungura6812 4 ай бұрын
Hakuna mtu anakata bomba makusudi alafu maji hayatoki mwaka mzima wewe unakuja kutete ujinga hapa
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 4 ай бұрын
@@wamburasungura6812 nimekaa na wamasai, ninawaelewa sana tabia zao. Kuna mambo inataka muda sana kuwapa elimu. Na hicho nolichoongea ni kwa mujibu wa uzoefu niliokaa nao. Kama huwaelewi njoo huku nilipo ujue vyema ukorofi wao
@seurimasaitz4958
@seurimasaitz4958 3 ай бұрын
Which kind of education? No sense.
@AbelaPius
@AbelaPius 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu mheshimiwa RC.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 3 ай бұрын
Kufukuxa kaxi,hujui mateso ya wananchi.
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 4 ай бұрын
Imagine una mazao halafu wanakuja kulishia, kweli washindwe kuchinja bomba wafate majibure na madumu!!! Wafanye utafiti kujua mabomba yanakatika vp.
@MasumbukoKilunga-mf7sg
@MasumbukoKilunga-mf7sg 3 ай бұрын
Mkuu wa Mikoa yote tz
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 ай бұрын
Mungu akulinde Sana Makonda ❤️❤️❤️
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 4 ай бұрын
Hao ndio Manyang'au Wataifa Letu Nawazembe kazi hao Alafu wanakuaga Majeuri hao ukiwakuta Ofisini Wachati alafu wewe unakua unamueleza Shida yako Alafu anakua anagunaguna tu jeuri kweli kweli hao watu
@lucasmlowezi9214
@lucasmlowezi9214 3 ай бұрын
Sijawahi juta kutumia bandle langu kukusikiliza Mh. Makonda. Kweli uko kazini
@FloraIloko
@FloraIloko 4 ай бұрын
Tanzania nchi yangu namisi home lakini nafurahi kumbe mungu katuinulia jembe makonda hapi silaa mungu aendelee kuwasimamia
@MichaelMollel-zp3kg
@MichaelMollel-zp3kg 4 ай бұрын
Arusha ongereni Sana mmepata mteetesi muombee ni Sana
@MagesaChacha-dt7zu
@MagesaChacha-dt7zu 4 ай бұрын
Sasa huyu mbona anapumua sanna kwenye maiki hivi sijui uwoga au upigaji umezidi😂
@AsiaNgoleka
@AsiaNgoleka 4 ай бұрын
Hawa watendaji malofa kweli hutumia uwongo ili maisha yao yaende mbele na kula mishahara bureeeeee
@godfreybigeyo4356
@godfreybigeyo4356 4 ай бұрын
Hii nchi ina watumishi mizigo sana!!
@godfreybigeyo4356
@godfreybigeyo4356 4 ай бұрын
Mmungu wa mbinguni
@avitusmichael5
@avitusmichael5 4 ай бұрын
Bwanyenye kapatikana kwa mwamba Makonda
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 4 ай бұрын
Huyu mzee wa Maji alishatumbuliwaga sehemu flan iv na Mh Aweso.. Achape kaz aache kujieleza kwa uoga bn.
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
Akatulie tu nyumbani hajui lolote
@carolinerubeya7817
@carolinerubeya7817 4 ай бұрын
Aisee unauliza maswali kwa ukatili sana aisee
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 4 ай бұрын
@carolinerubeya7817 Hivi upi ni ukatili sana kati ya Ulizwaji maswali na umbambikiziwaji bili ya maji zaidi ya milioni 1+ ??
@MbalaziTv4135
@MbalaziTv4135 4 ай бұрын
We ni mwizi
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 ай бұрын
Uwaziri Mkuu ndiyo unamfaa
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 80 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 55 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 55 МЛН